Hongereni sana mumeanzisha movie vizur na imeisha vizur tu sanaa❤❤❤❤❤❤❤❤....kweli kile unachotumia kumuua mwenzio nawew utakufa kwa hicho kama baba wa kambo wa Dubu😅❤❤😂😂😂😂
Dubu mm mdau waka chengine mm shemeji yako Kwa mabuti lkn sijaelewa hi movi kabisa Jiji ni mapcha watu au wawili yarabii mungu wangu eti mabuti ni vp hap
Hajra na dubu mnaedana hata kwa ngoma nliona mpo vizuri 🎉🎉🎉maua yenu
🙏🥰
Mdogo wangu HAJRA hapa kwa DUBU kiufupi tusubiri NDOA TUU maana sio kwa kuendana huko kiukweli 🎉
Kwakifup tu nawapenda ❤
Nilijua mm njo natak 2
Mko vizur jamaa bt mnachelewa sana nawakubal toka🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🙏🤝
Kazi ni nzuri lakini kuweni serious 😂😂😂
TEAM DUBU TZ❤❤
BASI LEO NIPENI LIKE ZANGU JAMANI BECAUSE MIMI LEO NDO WA KWANZA. LEO NI MWENDO WA KU ENJOY NA “”” REVENGE EP 4 “”❤❤❤😂😂😂😂
Inapendenza
Mmh ila uyo demu mwenye shedo nyeusi sjui judy mmmhh mmmh AU BAS😊😅😅
Team nyani ngwengwe na mutumishi moto on fire
Yes on fire 🔥
dubu movie yako ni nzuri sanaa sema unachelewa kutoa vipande kipenzi 😢
🙏🥰
Mpaka sasa nimemtambua dubu na dube huyu watatu bado,,, big up yng brother 🎉🌹
🙏🙏
@@OfficialDubu_tzmuoe hajra dubu nshallah mwaendana walai 😂😂😂😂😂🎉
Good job ila awamu hii mme2chelewesha sana 2taisahau jaman, Muendelez m2waishie bas
🙏🤝
Jamn na mm nmewahi leoooo❤❤❤❤safi sana tunapata rahaaa
🥰
Huyu jamaa nyaningwengwe Mbn anajua had anapitiliz sas
🙏🙏
Kaz nzur kisha 🔥🔥💯 sana inshallah mambo yazid kuwa mepes
🙏🙏
Dubu unachelewa sana kuweka mwendelezo kaka
Huyu dogo mdogo ameweza sana hadi kafanana na Dubu mpaka vituko....much love young man❤❤❤❤
🙏🙏🥰🥰
Kazi nzur sema tatzo mnachelewa cn kutoa kazi kwa muda mlefu
😂😂😂😂mtumishi moto wekiboko mama wawatu anamachungu namwae ww unajibebisha😅
🤣
Team Dubu from Mozambique 🇲🇿🔥🔥🇲🇿
Kaka kazi nzuri japo nachangamoto unazo pitia jitahidi kuwahisha kazi
🤝🤝
Team Dubu Oyeeeee❤much love from 🇰🇪 Dubu. Mbona uwa mnaichelewesha Sana hii Revang
🙏🥰
Thenoiseboy from Kisii KENYA 🇰🇪 am in
Unyama kama wote 💪✋✋
🙏
Munaducerewesha Guys 🙏🏼🙏🏼 Much Love From Burund 🇧🇮❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Am here am here as usual from kenya
Mnajua mpaka mnaboa🤣🤣🤣🤣🙌🏻🙌🏻
🙏🙏
Nakwmbia wee😂😂😂😂😂
Hongereni sana mumeanzisha movie vizur na imeisha vizur tu sanaa❤❤❤❤❤❤❤❤....kweli kile unachotumia kumuua mwenzio nawew utakufa kwa hicho kama baba wa kambo wa Dubu😅❤❤😂😂😂😂
❤️
😂😂😂😂😂 Samahani nilijua kopo😂😂
Ety pole mpenzi😂😂😂🎉 we mzee Atar alafu nakujilamba kabisa😅😅🙌
😛
Dah nyani ngwengwe na mtumishi moto wananiacha hoi sana😂😂😂
🤣🤣
Mimi nikekuwa wa Kwanza hapa naomba like hata 20 tuu alafu tuendelee na hii siries
Usimpinge mwanagu njamani kazi ipo
🤝🤝
Mama ❤️
Wapi like zangu from 254🎉🎉🎉
Like yangu ndoiyo nimekutumia
Jmn dubu na dube na huyu wa tatu si nitachanganyikiwa zaidi
Kwqhiyo ni mapacha kweli
Nikama bt kuna kitu huyu mzee anaficha
Mm na nyani ngwengwe yn 😅😅 km hayupo naon bdo cjaenjoy😂😂 unajitahd sana udugu wangu dubu, afu wewe uwe unawahisha bhna. 😂😂😂
🙏🤝
Dubu mm mdau waka chengine mm shemeji yako Kwa mabuti lkn sijaelewa hi movi kabisa Jiji ni mapcha watu au wawili yarabii mungu wangu eti mabuti ni vp hap
Utaelewa Inshaallah 🥰
@@OfficialDubu_tz saw
Aah Mnachelewesha sana mpaka tunasahau tuliishia wapi
Oya mwanangu dubu we noma sana nipen ❤❤❤
🙏🥰
Jamani kwani watu mnalala online weee😂😂😂😂hii nayo ni kali kazi nzuri dubu mungu akutangulie na usichelewe kutuletea part 5🔥❤️🔥❤️🔥
🙏🙏
Hawa vijana niwadogo ila wako serious kweli nimewapenda sanaa hongereni from kenya, Riyadh
🙏🙏
Hongera kazi nzur xana💓💓
🙏🙏
Hongeren sana na kaka ila hajira kanenepa saiv daah
My Dubu again 🔥🔥❤️❤️ much love from🇰🇪🇰🇪🇸🇦
🙏🙏
Dubu my brother unachelewesha muzigo kazi yenyewe nzuri ❤❤❤❤
🥰🥰
Dubu naomba lenke 😂😂😂😂❤❤❤❤
Mnachelewa sana
Umetisha broo
Congrats Dubu.hao dogo washikilie.....hii Kali keep the spirit up
Dubu ni 🔥🔥🔥🔥🔥
🥰
Watu wanawahi sana 😂
Bado nipo na Amapiano kibaka halafu mganga😂😂😂😂anikomeee anikabe huku ananiagua maana na majanga kibao na simu achukue shenziii kabisaa
🤣
Kenya hapa...napenda show yenu sana...congratulations
🙏🙏
Halafu Wewe🖖
Dah hili bongemoka la movie mzee sema usichelewe kuilusha sehemu ya 5
🙏🙏
From Mozambique 🇲🇿❤ Nawakubali sana ❤
🙏🙏
Kazi nzuri wakuu ila mnachelewesha episode nyingine sijui tatizo ni gani
Kwhivyo si wezi😂😂😂we mshamba nini🎉🎉🎉😂😂😂aaaya bwana ukubwa jalala 😂😂😂
umeweka dakika nyingi lkn utashangaa zinaishia10 iyo nyingine matangazo
Wakwaanza like dubu
Jmn msichelewesh duuh nzur mnooo
🙏🥰
Rudi Tena Kwa mganga wako dawa imefuba hyoo Musa 😂😂😂 dubu 😂😂😂 bubu anamapengo balaa eti pole mpenz mpenz hyoo y nyokwe 😂😂😂😂
🤣🤣
😂😂 halafu hicho kizee et pole mpenzi 😂😂😂chenyewe kifupi kaa piriton 😂😂😂
oya kaka dubu me shabiki wako sana,sema hao Madogo wana kazi safi walai Mungu azidi kuwapeleka mbali From Kenya we love you🇰🇪💥💪💪🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌❤
🙏🙏
Thanks dubu kazi yani iko on fire 🔥 pia leo episode imekua ndefu I appreciate good job
🙏🙏
Good job
Wooow🤩...unazid kutsha Dubu...umenteka shabik ako hpa..nakufatilia kchz
🙏🙏
Tamu sana leteni mbio yagufata
Good job my brother Dubu 🎉🎉🎉🎉
🙏
Kazi nzuri but mwachelewa sana jmn
Kazi nzuriii😂😂😂
🙏🙏
Acha zarau mzee😅
Achia ya tano dj wetu
Inapendeza ❤❤❤❤
Dubu uctueke sana 🥰kitu kimenoga bwna🔥🔥
🙏🤝
Safi sana🎉🎉❤❤
Mabuti mabuti na hyoo babu mtaupoza mbona mabuti 😂😂 kama mabuti umepigaje hap madogo nakubali San mabuti na babu yake kazi ipo 😂😂😂😂
🤣
😂😂
Much love kwa tuem nzima❤❤❤🇰🇪🇰🇪
🙏🥰
Unagawiya kuleta filam😢😢😢😢😢😢😢
🙏🤝
Kaliii🎉🎉🎉🎉
🙏🙏
Wow kazi nzuri sana 🎉🎉🎉
🙏🙏
Like when you heard’’ You’re understanding you😂😂😂😂😂I absolutely love this movie.
Dubu ongea yake huku anabinya macho ananikosha sana❤❤🎉😊😊
🙏🥰
Ili goma n moto🎉🎉🎉
Nakupenda Sana dubu uko vzur ❤❤❤🎉🎉
🙏🙏
Unaweza
Fil jannam,abadan abadan😂😂😂nyani ngwengwe sawa bana 🙌 🙌 🙌
Show kali
Afadhali maana nilimiss kitambo sana haki sijachelewa sana
Wakwanza jaman
Asante kaka dubu
bwana mnachelewesha 💪💪💪💪
Sema bro unakela san yani Unachelewa kutoa movie vp
🙏🤝
Aku Sio rangu uyo mze dah amechelewa tyu katika filamu Lakin anajua sana
🙏🙏
Mmmh sijaelewa bado kwanini Dube hataki kumskiliza uyo mama 😢
Kazi nzuri sana Dube 🥰🥰🥰🥰🥰
🥰🥰
Naomba like hata 5 wakwanza
Napenda sana confidence ya hawa madogo
🙏🙏
Dubai jameni week mbili zoteee tuhurumie mashabiki zako ❤😢
🙏🤝
Hapa sas nimejia tofauti ya dubu ba dube mana nilikua naumia kichwa sana.ila hao watto na wkl jamani.nimecheka mpka basi
Kaka mpaka wilayani kwetu bihalamuro kunamizimu yakwenu😂😂😂
🤣
Mnatisha kinoma kweli🎉🎉🎉
🙏
Nakbal sana dubu ka mkuu
🙏🙏