Mwanaume na mwanamke 'wakwama' wakila uroda Bungoma

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • Polisi huko chewele eneo bunge la kabuchai katika kaunti ya bungoma walikabiliwa na wakati mgumu kuukabili umati uliotaka kuwaangamiza watu wawili waliofumaniwa wakila uroda katika danguro moja mjini chwele.
    Inadaiwa wawili hao walifumaniwa baada ya mumewe mshukiwa kushiriki ushirikina uliosababisha jembe likwame topeni kwa saa kadhaa.
    Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke.
    Follow @ntvkenya on Twitter.
    Like our page on Facebook: NTV Kenya.
    Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya
    Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush

ความคิดเห็น • 235

  • @sharonayuks4426
    @sharonayuks4426 4 ปีที่แล้ว +3

    Mambo inakwamana apo ndani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @dingdema2525
    @dingdema2525 4 ปีที่แล้ว +3

    The first witness said huyu bwana na mwanaume wamekwama ju ya umalaya..,😂😂😂😂😂😂

  • @jeyjennyge1303
    @jeyjennyge1303 7 ปีที่แล้ว +98

    who noted something common with the noses of witnesses 😂😂

    • @wanjalatom7490
      @wanjalatom7490 7 ปีที่แล้ว +6

      What about the Noses? Did you create yourself? Respect God my friend. Hujafa hujaumbika. Cheka ujinga. Achana na maumbile ya mungu.

    • @jeyjennyge1303
      @jeyjennyge1303 7 ปีที่แล้ว +1

      waluhya ufala utawaua😂😂😂😂sasa walikuwa pale kuona nn,fala wewe😂😂😂😂

    • @jeyjennyge1303
      @jeyjennyge1303 7 ปีที่แล้ว +4

      Wanjala Tom the name says it all Ni wale wafala wakudandia chopper wakidhani Ni sawmill, 😂😂😂peleka feelings zako western

    • @n-clotv
      @n-clotv 7 ปีที่แล้ว +3

      Jey... I had to replay to chek out the noses. he he... Wanjala, u have a reason to get angry. no wonder oxygen haitoshi huko uluyani...

    • @elikananielia8064
      @elikananielia8064 6 ปีที่แล้ว

      hahahaaaaa

  • @estheralbrechtsen8999
    @estheralbrechtsen8999 5 ปีที่แล้ว +10

    Mwenye hajatenda dhabi awe wakwanza kuwatenia mate🤤

  • @janesarah6711
    @janesarah6711 7 ปีที่แล้ว +7

    Noma hiyo

  • @eliudnjai
    @eliudnjai 7 ปีที่แล้ว +6

    i have been to Bungoma once,it's a chill place

  • @sanchezogembo6643
    @sanchezogembo6643 2 ปีที่แล้ว +1

    Wacha aibu, jifunze kusafisha bakuli ya MKE wako vzuri.. MKE wako Hana makosa kama ulikua unampa moja kaa kuku, alimpata Simba mwenye alikua akimsafishia bakuli yake akimwita majina matamu kitandani... Umati umeona uchi wa bibi yako nani mjinga Kati ya nyinyi wawili..

  • @Emaki-o3k
    @Emaki-o3k 6 ปีที่แล้ว +4

    😂🤣hilarious....they look like night runners 🏃🏿‍♀️😝😝

  • @sophiakitomari1328
    @sophiakitomari1328 4 ปีที่แล้ว +3

    Plani pee😂😂😂😂

  • @zion3655
    @zion3655 3 ปีที่แล้ว +1

    Hawa waganga mwatafuta mbona msiwatafute wanase magoverner...wabunge na ma cs au polisi wafisadi wanaoleta shida nchini?

  • @prosperpeakcentral
    @prosperpeakcentral 3 หลายเดือนก่อน

    A place where a famous meme was born 😂😂😂

  • @Bongasasa
    @Bongasasa 7 ปีที่แล้ว +8

    Hiyo plan B, haijapangwa vizuri si wange enda kijiji jirani to avoid ma kisirani!

  • @mercychelimo9191
    @mercychelimo9191 4 ปีที่แล้ว +1

    Plan b🙄🙄

  • @henryabuya
    @henryabuya 7 ปีที่แล้ว +26

    people don't know how to report . we have very poor eye witnesses as a nation

    • @jolimghlin9335
      @jolimghlin9335 7 ปีที่แล้ว

      henry abuya obosoku gaki

    • @henryabuya
      @henryabuya 7 ปีที่แล้ว

      joli mghlin amangana amakongu pa

    • @jolimghlin9335
      @jolimghlin9335 7 ปีที่แล้ว

      henry abuya naboigo nchi ya vituko

    • @linetgikenyi4613
      @linetgikenyi4613 7 ปีที่แล้ว

      +henry abuya tokumeti

    • @henryabuya
      @henryabuya 7 ปีที่แล้ว

      Linet Gikenyi tiga abanto bariane noboronge

  • @mumino7151
    @mumino7151 7 ปีที่แล้ว +13

    Hawa witness Wa plan pee nao 😂😂😂

  • @derrickibrahim4305
    @derrickibrahim4305 4 ปีที่แล้ว +1

    This shouldn't be news banaa...even those reporting this hucheat

  • @sopiaahmad7795
    @sopiaahmad7795 6 ปีที่แล้ว +2

    Napenda huyo jamaa aliovaa miwani,anaongea vizuri

  • @geniusacer1062
    @geniusacer1062 3 ปีที่แล้ว +1

    Plan P....

  • @brendanicole2245
    @brendanicole2245 2 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂MY HOME PLACE...CHWELE

  • @jakatunice2702
    @jakatunice2702 7 ปีที่แล้ว +8

    kazi ya police ni ngumu sana.

  • @jaynendichu4303
    @jaynendichu4303 7 ปีที่แล้ว +27

    😂😂😂😂Nani ameona chenye nimeona, the witness with macho nne is look alike richard chacha or bifwoli wakoli?

  • @nafunaesther7625
    @nafunaesther7625 7 ปีที่แล้ว +3

    May Jesus forgive them

  • @martinmuthama9298
    @martinmuthama9298 4 ปีที่แล้ว +1

    ati sehemu zao za nyeti hahahaha waah am dead

  • @zion3655
    @zion3655 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzee kaa washuku bibi yako ni kwa sababu humtumikii. Pesa za waganga unazo na bibi humpi. Mnapo waibisha hivi baadaye mwatalakiana. Ya nini?

  • @benjamins1783
    @benjamins1783 3 ปีที่แล้ว +1

    Umarrayaa

  • @barakaobedy2710
    @barakaobedy2710 2 ปีที่แล้ว +1

    Aky Waluhya😂🤣😂

  • @georgemaduga2406
    @georgemaduga2406 4 ปีที่แล้ว +1

    Pipi ya mwenzio plani b😂😂😂😂😁😁😁😁

  • @austinemwashaa1333
    @austinemwashaa1333 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba number yake ya simu

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 6 ปีที่แล้ว +2

    ndio vizuri wa endelee hadi wamalize hamu yao then after that watakua moto ime isha

  • @AhmedIbrahim-vo2om
    @AhmedIbrahim-vo2om 5 ปีที่แล้ว +7

    Plan pee 😂🤣😂🤣

    • @wm9669
      @wm9669 3 ปีที่แล้ว

      Hhh

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 4 ปีที่แล้ว +1

    Hapo ndipo ninapo wakubali Majirani zetu, hamtaki mchezo na "Manzi" kabisaaa bora uibiwe Pesa Sio bibi

  • @muiggz84
    @muiggz84 7 ปีที่แล้ว +2

    plan B #pointtaken

  • @gladysnancha3831
    @gladysnancha3831 6 ปีที่แล้ว +2

    Wololo! Eti plan p! Vituko pungoma

  • @rumeysamohamedkhamis7194
    @rumeysamohamedkhamis7194 6 ปีที่แล้ว +1

    Kuma tamuuuuuuu..

  • @georgestan9589
    @georgestan9589 6 ปีที่แล้ว +1

    hahaha........these people are comedians

  • @uleexyare6403
    @uleexyare6403 4 ปีที่แล้ว +1

    Plan pee🤣🤣🤣

  • @immaaman8212
    @immaaman8212 2 ปีที่แล้ว

    DAWA YA kuwanasuwa ipi

  • @chekanami9562
    @chekanami9562 6 ปีที่แล้ว +1

    Munaharibiwa watu raha..... Kwani nyinyi hamfanyangi

  • @bongomsongamano7408
    @bongomsongamano7408 3 ปีที่แล้ว +1

    Africain know that technologie nothing that why africa stay poor forever 🤦‍♂️

  • @maryodanga140
    @maryodanga140 6 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂hawa news reporters lol😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 5 ปีที่แล้ว

    Hii nomaaaaaaaa

  • @jumason142
    @jumason142 4 ปีที่แล้ว

    Duh hiyo noama...karibuni kuangalia filam mpya mwanzo mwisho subscribe TH-cam in this channel pia ..Kuna tamthilia pia nzuri Sana inaitwa NANI MKAMILIFU...

  • @jlabanshaban2186
    @jlabanshaban2186 6 ปีที่แล้ว

    Unbelievable. ..

  • @billoloo2870
    @billoloo2870 4 ปีที่แล้ว

    Walidhani wangetoja Scot free

  • @sadas229
    @sadas229 4 ปีที่แล้ว

    Mtihani

  • @faithlutta351
    @faithlutta351 7 ปีที่แล้ว +9

    pulani P

  • @annastancianyabuto4863
    @annastancianyabuto4863 2 ปีที่แล้ว

    Haa wanafikiria hatujaona wako uchi mbibi anakimbia uchi

  • @Chris-cb2dj
    @Chris-cb2dj 7 ปีที่แล้ว +2

    hahahahaaaaa bungoma kuna vituko hata MUNGU ALIYEKUFA ALIKUA ANAISHI HUKO NA PIA YOAHANA WE TANO

  • @agnessndauya9459
    @agnessndauya9459 6 ปีที่แล้ว

    Watu wa pungoma Baane. Hahahaaa!!pulani p woishie!!!

  • @farhananasry5169
    @farhananasry5169 4 ปีที่แล้ว

    What happen?

  • @edithnyokabi4482
    @edithnyokabi4482 7 ปีที่แล้ว +7

    wamekamatana kwa sababu ya umalaya

  • @stecybeib8030
    @stecybeib8030 7 ปีที่แล้ว +3

    Dunia jameni

    • @wardahassani1929
      @wardahassani1929 6 ปีที่แล้ว

      uyo mnasishaj aje kigamboni maana adi kichefuchefu

  • @babyyshayo3633
    @babyyshayo3633 5 ปีที่แล้ว

    Nyie watu wa bongoma mnahitaji MUNGU zaidi.

  • @aisshamohamed3452
    @aisshamohamed3452 7 ปีที่แล้ว +9

    lol! I'm scared😂😂

    • @mathenge38
      @mathenge38 7 ปีที่แล้ว

      Aisha mohammed eti u scared?? :-)

    • @aisshamohamed3452
      @aisshamohamed3452 7 ปีที่แล้ว

      deedomie yep 😂😂

    • @mathenge38
      @mathenge38 7 ปีที่แล้ว

      U shouldn't. They are just lucky to be alive. hehe

    • @aisshamohamed3452
      @aisshamohamed3452 7 ปีที่แล้ว +1

      deedomie what about na mimi nikiwahi teleza ooh my God uwiii

    • @mathenge38
      @mathenge38 7 ปีที่แล้ว +2

      lol. I heard Kuna Daktari wa miti shamba who can help u out with that. #operation kutenganishwa

  • @sumyahkalama
    @sumyahkalama 7 ปีที่แล้ว +2

    fisi kapatikana

  • @jacksonkateme7558
    @jacksonkateme7558 6 ปีที่แล้ว +1

    unyakuo wa mjumbe wa mapenzi ya mungu

  • @josephinepeter7393
    @josephinepeter7393 4 ปีที่แล้ว

    Hao waliojaa nje ndo wa kwanza kuibia wenzao ila kwa kuwasema

  • @mama22299
    @mama22299 7 ปีที่แล้ว +9

    waluhya ni Kama wametoka patanisho sasa wako kwa uroda

  • @lucaskasonde648
    @lucaskasonde648 4 ปีที่แล้ว

    Mmmmmmh hatareeeeee

  • @brucee1106
    @brucee1106 9 หลายเดือนก่อน

    Old new are funny

  • @bintimohammedrashidrashid5027
    @bintimohammedrashidrashid5027 6 ปีที่แล้ว

    Audhubilahi min dhalik

  • @mathewkibiru6076
    @mathewkibiru6076 6 ปีที่แล้ว +1

    Well, that's one heck of a bizarre show..FYI, kind'a love the witnessing of the whole scenario.....funny, but i say potatoe.

  • @filanike5772
    @filanike5772 7 ปีที่แล้ว +1

    Weee hao hawatawai jaribu tena in their lives.. Mambo kwisha

    • @fire-n-smoke2878
      @fire-n-smoke2878 2 ปีที่แล้ว

      wapi...hii ni dhambi..dhambi haishi kwa ushirikina..hayo mapepo yata wapeleka kwenye adventure nyingine..the only way ya kuondoa minyororo ya dhambi ni kutubu na kumkubali Yesu Kristo ili maisha yako yabadilike.

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 6 ปีที่แล้ว +1

    hahaha eti akimla kuku wa mwenzie

  • @fff1546
    @fff1546 4 ปีที่แล้ว

    😅😅😅😅😅 hii kenya kuna mambo.

  • @frankshindano4620
    @frankshindano4620 7 ปีที่แล้ว +3

    Duh huko Kenya mna vihoja jamani!

    • @sweetmama3242
      @sweetmama3242 7 ปีที่แล้ว

      Frank Shindano 😂😂😂😂😂😎

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 7 ปีที่แล้ว +1

      +Frank Shindano, Inaitwa kenya muvi

    • @enjoojustin3323
      @enjoojustin3323 6 ปีที่แล้ว

      Frank Shindano makubwa haya

    • @melodylily
      @melodylily ปีที่แล้ว

      Namba ya mganga

  • @imtherealdeal2367
    @imtherealdeal2367 7 ปีที่แล้ว +5

    Niabiwe naweza pata aje hii kamuti..Nikwamiche watu kadhaa watii

  • @camillusgingo2381
    @camillusgingo2381 4 ปีที่แล้ว

    Maneno yakuambiwa

  • @bashirgele4419
    @bashirgele4419 4 ปีที่แล้ว

    Start

  • @tabithawanjiru793
    @tabithawanjiru793 7 ปีที่แล้ว +3

    hahaaa 😂😂😂😂sasa unajua alikuwa planB sasa mamekwamana

    • @denniskalisti2570
      @denniskalisti2570 6 ปีที่แล้ว

      .hahahaha kuna bwana ameiba bibi ya wenyewe sasa kuingia plan b kitu kikakamatana apo ndani kwa kweli kenya kuna vioja

    • @felistermkelemi6668
      @felistermkelemi6668 5 ปีที่แล้ว

      Amber ruth

  • @billoloo2870
    @billoloo2870 4 ปีที่แล้ว

    Hakuna Cha bure,dunia hii!! Wacha tu

  • @dhilowarsodhilodhilo2974
    @dhilowarsodhilodhilo2974 6 ปีที่แล้ว

    mama huyo alikua na release super clue

  • @taracisiusndungu6584
    @taracisiusndungu6584 4 ปีที่แล้ว

    At I zikakwamiriana uko ndani

  • @samwelcharles1954
    @samwelcharles1954 6 ปีที่แล้ว

    Hayo ndiyo yanafanyika muno

  • @zaitunijuma7831
    @zaitunijuma7831 4 ปีที่แล้ว

    kazi kweli ya nn kutian aibu km wamuon kazid tabia mbay mwachan Salam ss hp aibu siwote jaman mh

  • @shanelwangare9620
    @shanelwangare9620 4 ปีที่แล้ว

    Plan P aki waluya pwana hahaha

  • @babyyshayo3633
    @babyyshayo3633 5 ปีที่แล้ว

    Hii bongoma Mbona ina vituko vingi Hivi jamani

  • @user-jt7xs9rl9o
    @user-jt7xs9rl9o 5 ปีที่แล้ว

    Wewe.poleni,jamani

  • @bashirgele4419
    @bashirgele4419 4 ปีที่แล้ว

    Study

  • @richardmwanzia6938
    @richardmwanzia6938 6 ปีที่แล้ว

    Waluje na hizo vitu wacheni tu ndio maana bibi zao wanaenda then wanaingia kusumbua Giddy na Gost tupatanishe na bibi yangu hahaa maajabu hayo

  • @luckyluciano3819
    @luckyluciano3819 5 ปีที่แล้ว

    western,western uhuluya,ahaa

  • @estheronyoro1452
    @estheronyoro1452 4 ปีที่แล้ว

    jmn watu awasiki jamboo

  • @nancyanzemo1902
    @nancyanzemo1902 6 ปีที่แล้ว

    Watu wa bungoma

  • @marynjeri3673
    @marynjeri3673 7 ปีที่แล้ว +7

    Hehe makubwa haya 😀😀😀😀😀😀

  • @estheronyoro1452
    @estheronyoro1452 6 ปีที่แล้ว

    Hahaha jmn yaitwa dhunia

  • @hbkalou2835
    @hbkalou2835 7 ปีที่แล้ว

    Bungoma mmechelewa xana huko andazi bibo chai togwa

  • @ernestjoseph7593
    @ernestjoseph7593 6 ปีที่แล้ว

    Sasa kumbe ni mke na mme , kwani nyie mlizaliwaje??😜

  • @mirydanny.6658
    @mirydanny.6658 7 ปีที่แล้ว +1

    bungoma tena

  • @kiluwasalum5002
    @kiluwasalum5002 5 ปีที่แล้ว

    Iyo dawa ije uku bongo maana

  • @abedmuema1894
    @abedmuema1894 4 ปีที่แล้ว

    Nmekwama apo kwa plan B..haha

  • @karolen_6938
    @karolen_6938 3 ปีที่แล้ว

    Naomba number

  • @saidkinganuarykingazi2012
    @saidkinganuarykingazi2012 6 ปีที่แล้ว

    Nimecheka kama mazuri

  • @mrsdeogratius253
    @mrsdeogratius253 6 ปีที่แล้ว

    Mkome jamani yani hamna hata uoga

  • @danlazi_karipto
    @danlazi_karipto 7 ปีที่แล้ว +1

    who now is thinking this could have been stage managed... refer the Mombasa incident

  • @cantwellfadhill5304
    @cantwellfadhill5304 6 ปีที่แล้ว

    aky hizi xtor zinaninyc

  • @ecwebdealstv
    @ecwebdealstv 4 ปีที่แล้ว

    Hyo si poa

  • @eliuddavid7643
    @eliuddavid7643 7 ปีที่แล้ว +1

    Patamu

  • @hadjamlkong0851
    @hadjamlkong0851 4 ปีที่แล้ว

    Mchepuko ninoma

  • @kassimhashi4092
    @kassimhashi4092 5 ปีที่แล้ว

    Walikuwa

  • @georginaopati5196
    @georginaopati5196 7 ปีที่แล้ว

    Dunia no duara

    • @joysnilson3764
      @joysnilson3764 7 ปีที่แล้ว

      Georgina Opati ni kweli Kenya wawawawa