Mwanamke mwenye asili ya Brazil ameishi nchini kwa zaidi ya miaka 40

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Mwanamke mmoja mwenye asili ya Brazil ameishi humu nchini kwa zaidi ya miaka 40 katika eneo la likuyani kaunti ya kakamega. Elvis kosgei alimtembelea mwanamke huyu nyumbani kwake kongoni ambapo anaishi tu kwa amri ya mungu kutokana na mazingira alimokuwa. Mbali na hayo amedai kujaribu kutafuta usaidizi kutoka kwa balozi ya brazil bila mafanikio yoyote.
    Watch KTN Live www.ktnnews.com...
    Watch KTN News www.ktnnews.com
    Follow us on / ktnnews
    Like us on / ktnnews

ความคิดเห็น • 320

  • @MohammedMohammed-uo5sk
    @MohammedMohammed-uo5sk 3 ปีที่แล้ว +4

    Halloo kenyans lets help this family .haki hii kenya tunaishi maisha tofauti but ningeliomba serekali ya country ya kakamega bwana gavana oparanya pliz saidia hawa wananchi wako kwa matibabu badan huyo mama mpendwa anaonyesha ni muungwana na hawezi kuuza tu wake na aliamuwa kuishi na maana mulembe kwa shida na raha so its time to honor her with anykind of assistance so that they cant shape their destiny.

  • @bobrudala3784
    @bobrudala3784 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri hakika nI hadithi ya kusisimua,Mungu abariki wale wote walioshiriki kuandaa taarifa hii

  • @phennykelly3369
    @phennykelly3369 8 ปีที่แล้ว +5

    Elvis kosgey God bless u

  • @naseemnareja4708
    @naseemnareja4708 4 ปีที่แล้ว

    Very nice 👍 thanks you from naseem UK

  • @phil5689
    @phil5689 6 ปีที่แล้ว +4

    The daughter should apply for a Brazilian passport and travel to Europe with her kids and claim refugee.

  • @geddygeddy5308
    @geddygeddy5308 6 ปีที่แล้ว +19

    One of her child will make her dreams cone to pass...in my prophetic visions and thoughts, I decree and declare abundant blessings full of joyful life and better health

  • @centmichael4814
    @centmichael4814 7 ปีที่แล้ว +9

    Allah Akbar, Allah Akbar..Hiyo ni mitihan IPO siku itakwisha

  • @maligeltabatholomeo8128
    @maligeltabatholomeo8128 4 ปีที่แล้ว

    Poleni sana

  • @msibocharity4300
    @msibocharity4300 ปีที่แล้ว

    She needs to go back to her family because she's suffering so much her country helps old people

  • @bishopfelixnyariki8855
    @bishopfelixnyariki8855 8 ปีที่แล้ว +5

    may I know full information please?

  • @ephraimomudaki1816
    @ephraimomudaki1816 5 ปีที่แล้ว

    Nice girl

  • @yusilyimo6826
    @yusilyimo6826 4 ปีที่แล้ว

    Karibu Tanzania. Nitafute tuongee.

  • @hfufghvbvbv7905
    @hfufghvbvbv7905 8 ปีที่แล้ว

    Mungu

  • @behonestyeah9029
    @behonestyeah9029 8 ปีที่แล้ว +6

    I hate irresponsible government...whats the difference of Kenya Somali and Brazil

    • @zeyechmahir1020
      @zeyechmahir1020 5 ปีที่แล้ว

      Your are not ashamed of yourself stating war controlled country like Somalia

  • @samuelgatheru8641
    @samuelgatheru8641 5 ปีที่แล้ว +2

    EMBASSY YA BRAZIL AJE HII MANENO?

  • @dianahcheropngaina9496
    @dianahcheropngaina9496 4 ปีที่แล้ว

    Uchawi ni mpqya ishidwe

  • @annwambua1882
    @annwambua1882 6 ปีที่แล้ว

    Shame on you Brazil embassy

  • @najmakhamis1898
    @najmakhamis1898 4 ปีที่แล้ว

    Maskin

  • @bintikiziwi4600
    @bintikiziwi4600 5 ปีที่แล้ว

    Alikuja kufanya nn Kenya?

    • @raisafiore6075
      @raisafiore6075 5 ปีที่แล้ว

      Kweli wewe ni binti kiziwi kweli 😂. Amesema aliletwa na mjerumani kama yaya, akateswa,akatoroka

    • @eveimbusi5940
      @eveimbusi5940 4 ปีที่แล้ว

      😁😁😁 sikiliza vizuri

  • @zayomaonlinetv.6067
    @zayomaonlinetv.6067 4 ปีที่แล้ว

    Zayoma tv

  • @sierrakamau1510
    @sierrakamau1510 6 ปีที่แล้ว +19

    Why can't the news casters release a contact for all the viewers who would like to participate in assisting this horribly poverty stricken family.Just telling us the terrible tales of what's what's going on with them shouldn't be an end in itself. It makes you all seem SHALLOW.PLEASE LEARN FROM OTHER NEWS BROADCASTERS and up your shallow game! lol

  • @jessendegwahmusic488
    @jessendegwahmusic488 4 ปีที่แล้ว +3

    Kuishi ugenini ni changamoto sugu...shukuru Mungu uko nyumbani

  • @joerichards1000
    @joerichards1000 6 ปีที่แล้ว +45

    Why should she be taken to Brazilian Embassy? She deserve to have Kenyan citizenship for havens sake, and be assisted by Kenyan government. She has been around in Kenya for 40yrs and the inept govt leaves her undocumented, really?

    • @topestamohammed3538
      @topestamohammed3538 6 ปีที่แล้ว +3

      Seriously africans we don't love each other that's y we are not blessed.

    • @raffraffie7799
      @raffraffie7799 6 ปีที่แล้ว

      kenya is corrupt like hell

    • @paulinepolly1750
      @paulinepolly1750 6 ปีที่แล้ว

      very sad I wish her quick recovery

    • @bulimosavatia3639
      @bulimosavatia3639 5 ปีที่แล้ว

      She says, she's here to stay. Nostalgia, you know.

    • @nichoominor1593
      @nichoominor1593 5 ปีที่แล้ว +1

      Opiyo, our government is very rotten indeed. I pray these leaders can be gone in our lifetime

  • @myself4128
    @myself4128 6 ปีที่แล้ว +3

    Mpeni uraia acheni roho mbaya...40 yrs is too much for God's sake plus added bonus she is black she is one of us

  • @peacefulabdhulhakeem3032
    @peacefulabdhulhakeem3032 8 ปีที่แล้ว +10

    FOR ALL THOSE WHO VOLUNTEERED TO HELP HER,MAY THE ALMIGHTY GOD HAVE MERCY ON YOU TOO DEARS! I TRULY LOVE PEOPLE WHO HAVE MERCY UPON THEIR FELLOW HUMANS AND ALL HARMLESS CREATURES OF GOD!!!

  • @batachokakuza7586
    @batachokakuza7586 6 ปีที่แล้ว +1

    plz naomba number ya sim zake nimusaidi na pesa kidogo ya chakula plzau number yangu 0013124058403 anipigeye

  • @austinekesa7217
    @austinekesa7217 6 ปีที่แล้ว +14

    Excuse me Kenyans???huyu mama alisaidiwa kweli??c tumtafute tafadhali

  • @gerodmbungani6606
    @gerodmbungani6606 4 ปีที่แล้ว

    Pokea nguvu ya uponyaji kwajina la Yesu Kristo (receive the power of Jesus ) every body how read this message say AMEN my name's Gerod Joseph Mbungani.my contacts +255744581069 and +255625166663 find me in WhatsApp

  • @sambosco11
    @sambosco11 5 ปีที่แล้ว +4

    If 10000 Kenyans sent her 100 ksh she would have a million bob tumsaidie

  • @ilovefuckinassgals7474
    @ilovefuckinassgals7474 7 ปีที่แล้ว +13

    uyu brazil hapo amefika home.awo walichukuliwa africa wakapelekwa america kama slaves.damu yetu inarudi.atulie ni nyumbani apo

  • @sharonwanush5408
    @sharonwanush5408 5 ปีที่แล้ว +3

    Wah 😭😭😭
    Hadi nimelia
    Nilikua nadhani me nina mashida mob but hii imezidi

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 4 ปีที่แล้ว

    Huyo tayari ni raia wa Kenya sasa au ili uwe raia inakuaje?
    Serikali ya Kenya inaweza kuwasaidia kwa njia yoyote sio lazima Brazil
    Kwa raisi wetu wa Tz kabla hajamfikia huyo mama..mkuu wa Wilaya anasaidia...toeni mawaskliano yake wanaoguswa wamsaidie pia

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe5172 5 ปีที่แล้ว +3

    Alhamdulilah InshAllah mungu akujalie na subra iko siku utafika Brazil

  • @elsielsee1529
    @elsielsee1529 8 ปีที่แล้ว +25

    too painful may God Almighty hear your cry and Grant your wish

  • @akhousesolutionsltd9433
    @akhousesolutionsltd9433 8 ปีที่แล้ว +56

    "from Canada"mimi nomba numba zake ili nimsaidie please mimi nninaongea lugha yake fr

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 4 ปีที่แล้ว

    Aisee kayakanyaga vibaya mpaka mashambani Africa hatari, Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi

  • @brownbabygirl1284
    @brownbabygirl1284 5 ปีที่แล้ว +2

    Why can't the government help her out. My goodness 😳. So shameful

  • @akhousesolutionsltd9433
    @akhousesolutionsltd9433 8 ปีที่แล้ว +72

    "from Canada"mimi nomba numba zake ili nimsaidie please mimi nninaongea lugha yake fr

    • @omibrahim9584
      @omibrahim9584 8 ปีที่แล้ว +1

      angalia hpo juu kuna no imepeanwa

    • @salmamasoud6055
      @salmamasoud6055 7 ปีที่แล้ว +1

      mungu atawasaidia athuman nitafutee

    • @salmamasoud6055
      @salmamasoud6055 7 ปีที่แล้ว +1

      nitafute no,,nipo masct 94633193

    • @mariammohamed8322
      @mariammohamed8322 7 ปีที่แล้ว +1

      Asumani Kasimu 0774585901

    • @nyangimacky1456
      @nyangimacky1456 6 ปีที่แล้ว +1

      Habar yako kaka naomba no yako ya whatsaap

  • @dianahcheropngaina9496
    @dianahcheropngaina9496 4 ปีที่แล้ว

    Wacha adui wako akuwe n'a shida il ushida gqwanya il ushide

  • @vickiekenyan5356
    @vickiekenyan5356 5 ปีที่แล้ว

    huyu mama halizahitiwa kweli naomba number yake plzz kogoni primary school dio home kwa my mum naeza muzahitiya

  • @سلطانسليمانبنجمعة
    @سلطانسليمانبنجمعة 6 ปีที่แล้ว +2

    Ornestly speaking that reporter killed it with the language swahili sanifu

  • @zannesmarie728
    @zannesmarie728 3 ปีที่แล้ว

    Mbona ameji achilia hivi, & she's very beautiful.

  • @YassinJumaTv
    @YassinJumaTv 5 ปีที่แล้ว +1

    Mr reporter there is no language callwd Ki-Brazil its Portuguese

  • @dashuusaalim1943
    @dashuusaalim1943 4 ปีที่แล้ว

    Reporter anatumia lugha ya kifasihi mashallaaaah waswahil tuko vzury nassi

  • @mushken65
    @mushken65 6 ปีที่แล้ว

    Weak namba yake ya simu tumusaidie. Malaika wamungu katesekea Kenya sana.Tafadhali weka simu yake nitamtumia chochote

  • @rydaartashastar7472
    @rydaartashastar7472 8 ปีที่แล้ว +11

    Oh God same story to me, touched, i wish i was near i would help

    • @mapendoimani2462
      @mapendoimani2462 4 ปีที่แล้ว

      Still you can love knows no Distance

  • @marynjoroge325
    @marynjoroge325 6 ปีที่แล้ว +3

    Maria ahuta ama mama waaa nilikuwa jirani wakati alipokuja hapo kawangware na aknunuliwa nyumba mzungu .kama shukrani ya kumfayia kazi ya nyumba miaka almost 32 .its a long story but familia ya bwana ndio alimfanya masaiu haya yote she was very very rich

    • @hannahwanjiku4665
      @hannahwanjiku4665 5 ปีที่แล้ว

      I used to see her coming from Lavington, I had even forgotten about her. May God see her through.

  • @emillyzeeh1173
    @emillyzeeh1173 ปีที่แล้ว

    Pole sana mama Brazil , ako wapi huyu mama Brazil kwa hivi sasa?🙏🙏🙏🙏❤🇩🇪

  • @SpinnTV
    @SpinnTV 6 ปีที่แล้ว +1

    Namba ya msaada tafadhali,,, Brazil hiwez ikamsaidia, Kenya ni familia yake

  • @sweetyfaridahsweety8700
    @sweetyfaridahsweety8700 7 ปีที่แล้ว +5

    Naomba number yake binafsi kakamega ndio nyumbani

  • @eileenkihula3754
    @eileenkihula3754 4 ปีที่แล้ว

    dahh,huruma saana,hata msaada hana jamani loohh

  • @rehemasharriff7494
    @rehemasharriff7494 8 ปีที่แล้ว +4

    elvis ww paka umeamua kushika jembe.kweli unaufaham wakazi yako brother

  • @salehsaleh2052
    @salehsaleh2052 4 ปีที่แล้ว

    Mtu kaishi miaka 40 kwa hiyo ni mkenya ni nyumbani sasa msada kwa wakenya wenzake

  • @prideofafrica_254
    @prideofafrica_254 8 ปีที่แล้ว +16

    watupe no yake tumsaidie plz

    • @daimavlog
      @daimavlog 7 ปีที่แล้ว

      Mwanamize Elvis akupigie ili?

    • @64aaa
      @64aaa 6 ปีที่แล้ว

      Cymah Wandelt asaidiwe

    • @mamyziwaride8210
      @mamyziwaride8210 6 ปีที่แล้ว

      Eunice David kale maisha kwnu

    • @mamyziwaride8210
      @mamyziwaride8210 6 ปีที่แล้ว

      Maishapopote ila mona shida

  • @prettylittlething6367
    @prettylittlething6367 6 ปีที่แล้ว +6

    How can we contact this lady,am mary 25 years old and am ready to help her in whatever way

  • @Salachou
    @Salachou 4 ปีที่แล้ว

    Plz we need this woman number ...we would like to help her. Tafadhali

  • @akoodi66
    @akoodi66 6 ปีที่แล้ว

    Bogus journalists bringing her fate into public yet not showing a means of help! No personal details of the victim at all

  • @marynjoroge325
    @marynjoroge325 5 ปีที่แล้ว

    mama tulikuwa tunakuita hivyo I dont know what hawa familia ya papa your husband walikufanyia

  • @christde1
    @christde1 8 ปีที่แล้ว +18

    tupeni jina lake kamili na jina la town na kijiji anachotoka hapa brazili ..inshallah twaweza kumsaidia

    • @philipndungu544
      @philipndungu544 8 ปีที่แล้ว +3

      Tafuta email address ya KTN uwasiliane nao. utakuwa umemsaidia sana na Mungu atakubariki

    • @gideonkangogo4675
      @gideonkangogo4675 8 ปีที่แล้ว +1

      mwanamizeelvis@gmail.com nipigie kwa hi nambari 0723539060

    • @christde1
      @christde1 8 ปีที่แล้ว +1

      Philip Ndungu3. niko nje ya kenya

    • @Elvis-Kosgei
      @Elvis-Kosgei 8 ปีที่แล้ว +1

      0720534332

    • @Elvis-Kosgei
      @Elvis-Kosgei 8 ปีที่แล้ว +3

      piga hapo tafadhali

  • @dianahcheropngaina9496
    @dianahcheropngaina9496 4 ปีที่แล้ว

    Mungu ambaye mume muabudu miaka nyingi amesgidwa Leo hau amalala wamuombe

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 2 ปีที่แล้ว

    Is she still there how can I help her ? Contacts please

  • @KayoleKnight
    @KayoleKnight 5 ปีที่แล้ว +1

    Anakaa willian Borges wa Chelsea......ama Marcelo

  • @dontusethis481
    @dontusethis481 5 ปีที่แล้ว

    Simuliza yakusisimua alikua ha uwezo wakukamata nyoka sasa asimulia
    th-cam.com/video/5sCZYVbvQIM/w-d-xo.html

  • @phil5689
    @phil5689 6 ปีที่แล้ว +7

    This lady would be worst off in Brazil, she needs to stay in Kenya, and its unfortunate she married a luhya man, if she had eloped with a kikuyu or GeMa tribe, Kamba or a Kalenjin man her life would have been far better.

    • @husseinmunga9591
      @husseinmunga9591 5 ปีที่แล้ว

      phil5689 God knows

    • @clementmutie3202
      @clementmutie3202 5 ปีที่แล้ว

      was thinking the same..

    • @raisafiore6075
      @raisafiore6075 5 ปีที่แล้ว

      Exactly.

    • @GucciPabz
      @GucciPabz 5 ปีที่แล้ว +4

      Too Sad,Tribalism mpaka youtube

    • @clementmutie3202
      @clementmutie3202 5 ปีที่แล้ว +3

      @@GucciPabz Its reality, Not tribalism. Stupid practices such as wife inheritance will lead to HIV? AIDS, no tribalism there! Laziness like relocating upcountry when fired also leads to poverty.

  • @alphonsinesingirankabo6274
    @alphonsinesingirankabo6274 5 ปีที่แล้ว

    Wende kwa Alp Alp Loukao Alleluia minister utapona mama yangu

  • @maryhessel1376
    @maryhessel1376 8 ปีที่แล้ว +2

    may the Lord bless her and heal her with her Husband God have mercy

  • @husseinmunga9591
    @husseinmunga9591 5 ปีที่แล้ว +1

    Am also work brasil and its like kenya😐, mas aqui esta bem🙄

  • @reginakimani9817
    @reginakimani9817 2 ปีที่แล้ว

    Pastor exekiel jamani

  • @susanmureithi1964
    @susanmureithi1964 4 ปีที่แล้ว +1

    Have mercy God

  • @marypendo3595
    @marypendo3595 8 ปีที่แล้ว +6

    pole jamani MUNGU atakusaidia

  • @ericmonax5666
    @ericmonax5666 2 ปีที่แล้ว

    Huyu anafaa arudi kwao

  • @janesarah6711
    @janesarah6711 7 ปีที่แล้ว +4

    So sad nakutakia maisha mema

  • @aishaeliaslocalmusic8496
    @aishaeliaslocalmusic8496 7 ปีที่แล้ว +17

    Brazil life yao ni kama ya Africa tu .

    • @quanbamtankumam2569
      @quanbamtankumam2569 7 ปีที่แล้ว

      aisha elias Localmusic84 Huja nena

    • @ronaldopeter7496
      @ronaldopeter7496 7 ปีที่แล้ว

      MV,bukoba

    • @annievibes8794
      @annievibes8794 5 ปีที่แล้ว +1

      ni kweli ila bila ya familia yake hana raha

    • @jackycollins2744
      @jackycollins2744 5 ปีที่แล้ว

      @asha brazil life is not same like africa lyf......brazil hv too much benifits even us Foreigners hv alot of benifits over here may God help her to cum bck to her land

    • @edwardmkwelele
      @edwardmkwelele 5 ปีที่แล้ว +2

      Brazil si kama Africa. It is so advanced than Africa. Ukisema hali ya kuwepo masikini masikini wapo lakini siyo hoja wapo hata Marekani hawana hata pa kulala wanalala nje kule shida wanakula kwenye mapipa ya taka

  • @nassorbinfundi1196
    @nassorbinfundi1196 ปีที่แล้ว

    Pole san

  • @MartinsAgufana
    @MartinsAgufana 4 ปีที่แล้ว

    Heart wrenching!!! God have mercy on the lady

  • @anaquinones7383
    @anaquinones7383 8 ปีที่แล้ว +8

    YA Allah please help for. All. human

  • @eriminahmshai
    @eriminahmshai ปีที่แล้ว

    Hiyo ni wetu

  • @janvierwilondja9363
    @janvierwilondja9363 7 ปีที่แล้ว +3

    Mimi ni umoja wa Brasil, Na niko mshirikiyano yaku saidiyana

  • @dianahcheropngaina9496
    @dianahcheropngaina9496 4 ปีที่แล้ว

    Pinya Pinya

  • @dianahcheropngaina9496
    @dianahcheropngaina9496 4 ปีที่แล้ว

    Mesa mate mbila chakula

  • @chrisogonas
    @chrisogonas 5 ปีที่แล้ว +4

    Amazing work KTN!

  • @lenakisuza6574
    @lenakisuza6574 6 ปีที่แล้ว +1

    Nigependa kumsaidia lakini tunaanzia wapi?

  • @essieamonde6282
    @essieamonde6282 8 ปีที่แล้ว +4

    Lord, have mercy on them!!

  • @nancykiberenge5597
    @nancykiberenge5597 2 ปีที่แล้ว

    How is she now

  • @christde1
    @christde1 6 ปีที่แล้ว +1

    ASANTENI KTN NA MARAFIKI WOTE ,,ELIVIS SHUKRANI KWAKO

    • @faithfaith1179
      @faithfaith1179 6 ปีที่แล้ว

      soulstar Frick how did it go sister?

  • @sahromohamed4375
    @sahromohamed4375 6 ปีที่แล้ว

    Kutoka Australia pls number yake nimsaidye

  • @Brendakamau123
    @Brendakamau123 4 ปีที่แล้ว +1

    Our Lord remember Mercy

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 4 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema atasikia kilio chenu pole sana

  • @guikjhhjujj2278
    @guikjhhjujj2278 7 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atakusaidia mama Kwa afya na uzima

  • @suezanna2690
    @suezanna2690 5 ปีที่แล้ว +2

    Lakini kuolewa na waluhya wengine kutoka KK ni kujiharibia maisha mluhya is a no for me😢😢

  • @bintikiziwi4600
    @bintikiziwi4600 5 ปีที่แล้ว

    Hiyo more than 40yrs nobody is alive mumy, pole woiyiee

  • @nida4509
    @nida4509 6 ปีที่แล้ว +4

    Yaani ako na accent ya kiluhya already 👂

  • @eastm.1110
    @eastm.1110 5 ปีที่แล้ว +1

    Did this family finally get helped?

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 5 ปีที่แล้ว

    Wakenya msaidien uyo mama jaman Taifa lenu litapata haibu xana fanyeni ivyo msaidien how! Muoneshen muunganishen na ubaroz wake uyo mama aende kwako MTU kwao jaman iam avata star from Tz usisaau Ku subscribe Channel yangu ya you tube ih kama unapenda music mzul handika_avata star255

  • @kukubadla2365
    @kukubadla2365 5 ปีที่แล้ว +1

    Its only one person we can count on allah

  • @abubakarmuhammadsaid3244
    @abubakarmuhammadsaid3244 2 ปีที่แล้ว

    😭

  • @christde1
    @christde1 8 ปีที่แล้ว

    Elvis kosgei asalaam aleykum naomba mawasiliano nanyi,

  • @sabinahabimana8240
    @sabinahabimana8240 6 ปีที่แล้ว

    kwanini aukuweka number yako ya simu weka please

  • @joskyshams4758
    @joskyshams4758 4 ปีที่แล้ว

    Maria alifaulu kwenda Brazil au la?

  • @daimavlog
    @daimavlog 6 ปีที่แล้ว

    Kwa nini hamuwekagi hata namba jamani tukawasaidia?