Fumanizi la Usagaji: Wajakazi wajipata katika biashara hatari Nairobi
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
- Baada ya upekuzi wa zaidi ya miezi mitatu hatimaye sasa KTN leo inaripoti kuwa sio wajakazi wote wajao jijini Nairobi hufanya kazi za uyaya walizoahidiwa. Imebainika kuwa wengi hujipata mikononi mwa waajiri laghai wanaowaingiza kwenye biashara haramu za kuuza picha na filami za ngono baina ya wanawake katika nchi za kigeni bila hiari yao. Huyu hapa mwanahabari wetu Lofty Matambo akitufichulia biashara hiyo inavyoendeshwa mtaani Donholm hapa jijini Nairobi katika makala ya Fumanizi la Usagaji.
SUBSCRIBE to our TH-cam channel for more great videos: / ktnkenya
Follow us on Twitter: / ktnnews
Like us on Facebook: / ktnnewskenya
For more great content go to www.standardmed... and download our apps:
std.co.ke/apps/...
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watu wa Lynn ngugi mko wapi?
Like hapo we mark the register
Unashangilia ya wenzio,yakikupata usikunywe sumu..
Tuko apa anataka kuaribia lyn ngugi
Wale wale I had to revisit this after her case with lynn.mercy wewe
Why did we forget about this?! When she came to Tuko??! Mercy Atis kumbe 😳😳😳😳
Huyu dem anaitwa mercy ni mjinga sana na akona guts za kutusi Lynn
I also wonder😂😂🤔🤔… just discovered that it’s her sikuwai fikiria😢
Waah mercy Atis after tumelia tuko talks surely kumbe ulikua ovyooooo bt hope umechange
Students wa edgar like this.
She wanted to pull down Lyn Ngugi, but it’s going reverse.
Mungu ni nani
Kijinga sana ata hana aibu
Omg 😮 This is the mercy.. Dear God of Abraham, Issac and Jacob... Protect us. 😔
Courtesy of Edgar 🤣🤣🤣🤣Thnx for sanitizing the country
Ooh my, mercy kula ujeuri wako...let Lynn be...
Lynn pole sana,we love you
Yaani after hiyo sob story yoote enyewe internet never forgets.. thanks to tea master edgar for sanitizing this country
Huyu msichana ni mwenye alikuwa kwa tuko. .... talking to liyn about how he went US en came with nothing.
After ranting against tuko and Lynn. Mercy Atis🙆🙆
Wah,,, may God have Mercy upon kenyans. Kheri kuwa msa'ida kuliko hii bzna haramu. Kujeni SaudiA plzzz uchape job ya shagalla kuliko hii biashara
Alaaaaaah... Mercy Atis amechoma sasa😂😂she messed with the wrong person
Mercy ameshikwa leo!! The way Kenyans came for her!!
Isn't this the same girl who said kuwa she was jailed in America and that she was on Obama's campaign and even at some point a couple in the US who had taken her in as their daughter chased her because she accidentally opened a porn website plus some guys tried to introduce her into escort job but she declined? Isn't she the one? So she was actually a piece of shit? Very demon processed this one!!
This story is getting interesting!🤔 I never thought it was the same girl mercy😥.. na vile niliamini story yake tuko!?
Me too, I thought she was a genuinely sweet girl!!!
I cant believe too
Am here after Lynn cry, mercy know your lane please
Lo,Kenya Kenya haina kazi jamani,,,Asante lofty matambo kwa taarifa hii.
Lifanyie waarabu upate chako chaharali
Huyo ni Atis....I don't give a damn damn
Dee father Ni yeye but she has changed gal
Alaar!....this is where I don't give a damn came from..
🙆🙉
Came from Edgar's IG fast...........mercy mercy mercy you should have just kept shut🙄🙄
Me too 😅
Kwani edgar is back?
@@eunicesilvan9882 yeah bnn
Is there a way that Kenya can deport her to the moon ?😂😂
hehe
Huyo dame n mwenye alitoa Ile song ya I don't wonna give a damn,, dammmnnnn
Let me mind my own business😂😂😂😂😂
Yes.... she's the one
Eeh si ai deportiwa kutoka stato....hayuko yote.....ghai!
Huyu si ni mercy atis wa tuko
aki😳
😭😭😭
Likes za watu wa @edgar obare💀🤡
Nimeona mercy Atis LOL
Hee umeona eeh sasa ata sijui alibadilika au la
Ndio maana adeportiwa kutoka America kumbe tabia yake c nzuri
Who else amekuja hapa after ametoka kwa Edgar obare??
Mercy attis!!
Uyu si ni ule wa i dont give a dzaaaam
She should be.
why is ktn not blurring the face of these ladies to hide their identities?.Dont you think they need privacy too
hassan maqboul if they act porn why do they need privacy
No they don't
You dont have sence
Themselves are happy to display nudes hahaha
@@hindisaidi5097 blurring is to protect their families from stigma. The chances of locals going to porn pages is minimal
Praying for 🇰🇪
Here after Lynn Ngugi's expose wueh Mercy
Huyu ni mercy otis
Huyu c ni mercy atis... Waaah shame
Ndio nashangaa ,,, I don't care
Nimestuka waaah🙆🏽♂️🙆🏽♂️🙆🏽♂️🙆🏽♂️
I am Chinese i do not understand Swahili but, hii ni noma sana, makosa sana. Women empowerment, sio? NKT..!
Chilly Willy hahaahaaa... "hii ni noma sana".habari ya mchina
Chilly Willy hahaaaaa. funny you
Chilly Willy Hehehehe Pwahahahaha. I am also Kenyanese and I don't understand English
Chilly Willy hahhahaha ww
Ati mchina
Courtesy of the legendary Edgar obare!! Pita na like
Students wa edgar hi 👋
Enyewe earth is hard
Huyu ni yule Mercy alihojiwa tuko na Lynn 😀😀weee nomaaa kumbe ni mtu alianza unyoroo kitambo
If you're here today from tea master ngoja like tujuane tukisonga 😂😂
Toba illahi
Wah after tumelia hivyo yote thanks to Edgar
🤣🤣🤣
@@doctorharry 🤣🤣🤣anyway let's not judge😂😂
@@moraavic6144 mutandao si friendly 😅😅😅
Uwiii jamani huu sio utamaduni wetu yaani kutafuta maslahi kwa njia hii Mungu saidia
Waah, when did this happen? After the american saga ama ni kucheswa tulicheswa. Weeuh!
Tulichezwa
Funga washenzi wote🤔
Wanatowa thamani mtu mweusi!
Freedom of expression is Western concept, we adopt without questioning.
TRADING AFRICAN VALUES!
Mercy Atis am speechless
Why isn't she in Jail? The minute you see children, shika yeye
God forgive us I beg, corruption in our Country is... no words to say but God is on the Throne. Very very sad
uuuuh Wacha nikae kwa mwarabu
Nyokabi Waweru eee siz tukae huku niko saudi niko save watoto wangu na wafanyia chochote wana soma ata kama pesa haitochi bola nia fadhali heri kuwa chagalla
we play God to give us strength to continue
Nyokabi Waweru amen amen
kweli dada nakuomba mungu tyu njo dawa kubwa
Nyokabi Waweru kabisa mwaya hiyo ni ridhiki halali kuliko mambo hayo
Alaaaar..hatari
wah heri kazi ya kuosha choo
Alaaaaaaar thank you Edgar
Wazungu wameishiwa na thamani ya mwili zao, haya nao waafrika eti muna iga tu. Mbona hamuigizi kutengeneza ndege jamani.... ???
Nyumba hiyo ifungwe na hawa wafikishwe mahakamani. Hatutaki upuzi Kenya.
Mungu saidia Kenya
here from tuko....i had to revisit.internet never forgets
Uiiiiiiiiii, this is very evil. May God help us.
Mimi hapana ona kosa yyote kwa issue hii ..... Kama makubaliano yawenyewe sisi hamna haki ya kuingia hapo ...... Kibongo bongo hiyo NI kesi kubwa Kama uhujumu uchumi TU hahahahaaaaaaa bongo hizo zitakuwa zinafanyika ila bado hawajanaswa
Waah!!
hata kenya imechangamkia hii bsna🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ooooh my goodness.
Hata angefunga tu mdomo yake.
I knew there was something wrong with this woman from the time she started trending.
Kenya panatumika pesa siyo sheriya, corruption ipo level ya juu
True👍
Do
Mlu
Waaaah wacheni niendelee na kutusiwa na mwarsbu lakini mwiso wa mwezi ela yangu ananipa roho safi,Hiyo nooooo
Heri matusi mia mara
Wah...inaitwa kutumbukia kwa shimo alilochimbia Lynn.
Msiweke sheria kali huko Kenya ya kuzuia mpaka Mungu ashushe kipigo. Mnajifanya kuiga Uzungu sana.
Mercy atis aki weweee
Undaku kweli haipendi uvivu🤣🤣🤣alidhani anaanika Lynn kube kanjikaanga na mafuta yake kaa nguruwe...🤣🤣🤣😂
Sheria gani jaman.mnawasaidia vipi wananchi maskini .kesi ipewe serikalo hamdaii wananchi wale washibe .so Bora hao online waacheni huo ni uonevu
Waaah huyu msichana anaitwa moraa... Alikua jirani yangu 2013 nikiwa shuleni sondu...
Wanawake wakenya ni sumu....
Hata hawajali Allah atupe salama
Internet never forgets
KTN style up munatake aombe kwa streets!!! Kuma niyake kwanza we mtangazaji hiyo sura yako ime beat huezi pewa ata bure!!!! Ni umalaya ndio but u can't compare them to the "Sabina joy"likes hatumii mwili wake Ana tumia akili. "KIPAJI"
Emms Ethan well said
Thankyou...hakna kitu ya mtu anatumia
@@terrynyambura5041 na bundles je? hahaha!
Am here after watching this from Obare
Let her return our money
Hehe am speechless
collins achuro mungu nusuru kizaz iki
Straight from Edgar obare
Muyaone hayo Afrikaa aibu halaf aipot mnawazuia kwenda nje ya nchi kutafuta riziki
Waaah
Arabia sheria inaruhusu mtu kupigwa hadi ufe je Kenya yetu itanoa makali vipi?
Sad!!
Ogopa internet 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mercy u are going down cheza na lane yako
Niko hapa coz of lynn
( I don't give a Dem dedededede Dem dem) hehehehe the song she lookalike...🤭
She is the one.
@@trendsmania885 ni kamkora flani.
God have mercy
Hapo sasa,our government is a big shame to us.maana hata huyu mama akipelekwa mbele hakuna kitu atafanywa.so infact one fails to understand like huwa kinaendeleya.atapeana doo aachiliwe na aendeleee na kai hiyohiyo.naomba yeyote yule akanushe haya.
Wait mercy anakura mume wake i mean cucumber pretending she is innocent 😂thinking we are fools hatushikanishi 😂
AJIRA NDIO TATIZO KENYA WAKIUZA MBOGA ASKARI WA JIJI WANAWAPEREKA MBIO"" SASA WAFANYE NN??? WANAUME NAO CKU HIZI HAWATAKI KUOA,, SASA ITAKUAJE KWAO KUPATA MLO ''' WAPEWE KAZI BAC
that's true
Munge wafunika uso wale maskini walodangnywa😥😥😥😥😥
Makubwa haya.Heri kufanya kazi ya nyumba kuliko hii.
Tafadhari kazi ya kuosha hamam
Huyu ndio alisema she don't give a dddddddddddddddamn 😂😂
Aki na muchua uyo pole sana
nimefika after she is try to mess with our gal Lynn
si huyu ni yule dem alichangiwa na kina Jalang'o?
Hee acha nivumilie kuosha hammam
cate joe baaden zraabu kantaki.
Hahaha
Hamamm ndio nin
Ahsan hammam
🤣🤣🤣🤣khaswa ndg
Non of this women is innocent, trust me .. they're adults,they knew what they're we're doing..... accountability to everyone....uwe yatima, mjane au vingine.....
Woooi si huyu ni musichana eti musanii
The now famous mercy Atis
May God have mercy on u😳🙆♀️🙆♀️
Triste affaire
So sad