Marekani kana mipango gani na samia mbona taarifa ya mashoga ombi la marekani tuunge mkono mashoga sheria imeshindikana mpaka leo kuna nini nyuma ya pazia baina ya samia na marekani kitandawili
Tatizo kwa wa Tanzania wengi wao ni wagumu kuelewa mnakurupuka tu na makasiriko yenu, mmeshaambiwa kati ya marubani wao kumi wa kike huyu ndio wa kwanza kuongoza ndege kubwa ya aina hiyo, tena sasa umbali wa masafa marefu, sio kigoma dar au mwanza, msichokijua hii ndege imepita umbali mrefu anga za kimataifa zaidi ya ft 40,000 juu huko kuna kukwepa vimbunga mivutano (turbine) na ndege za usafiri wa ndani hazipiti umbali huo, na hazikutani na hizo changamoto zaidi ya turbine tu ndio changamoto na si siku zote, ukiwa msafiri wa ndege mara kwa mara hii huwezi ona kitu cha kawaida, sababu ma pilot wa kike si tz tuhata Duniani wapo wachache mno, ni kazi ambayo kwa mwanamke anatakiwa awe jasiri sana na mwepesi mno kwa kufanya maamuzi sahihi, na ndio maana zipo kampuni zimewaajiri marubani wengi watu wazima kuliko vijana na watu wazima hao huwezi bahatika kumkututa mwanamke hata kwa bahati mbaya kwa wanawake pia wanastaafu mapema kuliko wanaume kwasababu nyinyingi, hivyo anastahili pongezi na wala sio ushamba.
Miss Swai hongera!
Ila sio rubani wa kike Tanzania.
Tulikuwa na mwingine ila jina sikumbuki!
Hongera Miss Swai.
Alimaanisha Rubani wakike wakwanza kurusha ndege kubwa kama hiyo ya mizigo
Neema Swai beautiful with brain...hongera Neema Mungu akulinde daima
Doctor samia suluhu hassan chapa kazi rais wetu.
Nikitaka kusafirisha mzigo dar to kigoma ni chap kwa haraka 🙌🙌
Ndege imenunuliwa na serikali ya tanzania sio samia
Samia kanunua ndege aise .
Ndege alinunuwa magufuri mama ana kamilisha jaribuni kuwa wa kweli
Raha San wanawake juu
Magu oyeeee tunakukumbuka
Ndege imenunuliwa na Watanzania.
Acha kutudanganya yy co Wa Kwanza kurusha ndege kubwa. Wa Kwanza Alikuwa Yule Mtoto Wa Mwakasege ndio Aliyeanza kuendeshw Bombadia
Magufuli oyeeee
Nadhani usahihi ni iliyonunuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Tanzania au kama nimekosea nisahihishwe
Ivi Yule rubani waruvuma swai uyu ni mtoto wake ama
Ma Rubani wa Kike ni Wengi hata Yule Mtoto Wa Mwakasege aliyerusha Ndenge Miliyokuwa imebeba Mwili Wa Mangu na yy Alikuww Mwanamke
Miradi Yote Iliacha Na Magu ko Mctuchanganye hakuna alichonunua huyo
Hiyo ndege msidanganye watu ndege hizi zililipiwa na jpm acheni uongo rip jpm
Kwa hiyo tukusaidieje kumaliza kero zako?
Marekani kana mipango gani na samia mbona taarifa ya mashoga ombi la marekani tuunge mkono mashoga sheria imeshindikana mpaka leo kuna nini nyuma ya pazia baina ya samia na marekani kitandawili
Kwa wale wanaouliza pea za Tozo na kodi zinakwenda wapi haya ndio majibu.
Alowaambia hamnaga rubani wa kike nani.......hii nchi klweli bado tupo mbali sana kukuza vitu tu!!!!
Tatizo kwa wa Tanzania wengi wao ni wagumu kuelewa mnakurupuka tu na makasiriko yenu, mmeshaambiwa kati ya marubani wao kumi wa kike huyu ndio wa kwanza kuongoza ndege kubwa ya aina hiyo, tena sasa umbali wa masafa marefu, sio kigoma dar au mwanza, msichokijua hii ndege imepita umbali mrefu anga za kimataifa zaidi ya ft 40,000 juu huko kuna kukwepa vimbunga mivutano (turbine) na ndege za usafiri wa ndani hazipiti umbali huo, na hazikutani na hizo changamoto zaidi ya turbine tu ndio changamoto na si siku zote, ukiwa msafiri wa ndege mara kwa mara hii huwezi ona kitu cha kawaida, sababu ma pilot wa kike si tz tuhata Duniani wapo wachache mno, ni kazi ambayo kwa mwanamke anatakiwa awe jasiri sana na mwepesi mno kwa kufanya maamuzi sahihi, na ndio maana zipo kampuni zimewaajiri marubani wengi watu wazima kuliko vijana na watu wazima hao huwezi bahatika kumkututa mwanamke hata kwa bahati mbaya kwa wanawake pia wanastaafu mapema kuliko wanaume kwasababu nyinyingi, hivyo anastahili pongezi na wala sio ushamba.
Ndege ya Tanganyika au ya tanzania??????
Lake Tanganyika jina la ndege. Kuna Rubondo, ngorongoro
Viporo vya magufuli
Huyu mkuu wa nchi ni jembe na muombea apewe mitano mingine bira kupingwa.
Chawa nyerere nakuona apo
Neema.
Watu wazima moto kwa kumwagilia ndege iliyo nzima hawajambo sana sana! sasa ngoja iungue kiukweli kweli mmmmmmh!🤣🤣🤣🤣
Very skillful
Magufuli jembe