EXCLUSIVE:RUBANI NEEMA AWEKA WAZI MADAI MARUBANI WANAWAKE KUKATAZWA KUZAA - "MIMI NI MKE NA NI MAMA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 74

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว

    BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...

    • @AminaAminjay-dv8tr
      @AminaAminjay-dv8tr 5 หลายเดือนก่อน

      Mwanangu anapenda sana ila sina uwezo hebu mnisaidie ili niwexe kumfikisha kwenye ndoto yake

  • @irenembura8045
    @irenembura8045 ปีที่แล้ว +5

    Hongera saana Neema! Nimependa unavyoongea kiswahili ingekua watu wengine kwa shule ulizopitia wagejifanya kiswahili hawawezi vizuri.

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +6

    Mashallah tabaraka llah 🥰 yote kheri Mungu kampangia Hivyo 🗣️

  • @karirekinyana9759
    @karirekinyana9759 ปีที่แล้ว +3

    Nimeflahi mpaka nalia😊
    kweli hongela dada Mungu akujalie❤❤❤❤

  • @Triphonia-e9w
    @Triphonia-e9w ปีที่แล้ว +6

    Hongera sana sana Mungu azidi kukusimamia na kukuongoza

  • @EnockKagomba
    @EnockKagomba ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana dada unaongea kwa kujiamini safi sana keep it up

  • @ethelgivamakota7143
    @ethelgivamakota7143 ปีที่แล้ว +5

    Hongera sana Captain Neema.

  • @bahatirobert1009
    @bahatirobert1009 ปีที่แล้ว +5

    Hongera sana kipenzi

  • @neemanicholas1663
    @neemanicholas1663 ปีที่แล้ว +3

    Wengi wanatamani wafikie huko ulikofika shida ni gharama za elimu hiyo wengi hatuna. Hongera sana

  • @Lodrickmwambene
    @Lodrickmwambene 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana neema sway you are living your dream God give you long life and prosperity in whatever you do

  • @EliachiMunuo
    @EliachiMunuo ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana Neema Swai,namipia natamani kuwa kama wewe Neema Mimi naitwa Medline Kaaya nahitaji msaada wako

  • @DEVOTHANGONYANI-by4dv
    @DEVOTHANGONYANI-by4dv 5 หลายเดือนก่อน

    Waooo nimekupenda sana mwanamke shaupavu

  • @rahmazahor4333
    @rahmazahor4333 ปีที่แล้ว +4

    Hongera Dada yetu

  • @mariamthomas3902
    @mariamthomas3902 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana super Dada neema

  • @elimidakashumba2422
    @elimidakashumba2422 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana neema.

  • @KabwikaIbrahim-ld8vf
    @KabwikaIbrahim-ld8vf 5 หลายเดือนก่อน

    Very congratulations sister!!God bless you.

  • @bennamush4616
    @bennamush4616 ปีที่แล้ว +3

    Hongera mama mchaga mwenzangu doh umeweza mama

  • @hidayashabani
    @hidayashabani 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana rubani wetu Mungu akutnze na akuongoze ubarikiwe sana

  • @edwincharles3180
    @edwincharles3180 ปีที่แล้ว +1

    hongera neema swai

  • @gracemacha9357
    @gracemacha9357 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera Ney

  • @MwanaishaHemed-xi6rj
    @MwanaishaHemed-xi6rj ปีที่แล้ว +2

    Hongera Dada Neema❤

  • @AbdilahiMriri
    @AbdilahiMriri 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana Neema jamani Madamu.

  • @fadhilaomary6104
    @fadhilaomary6104 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Neema ❤

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana dada ,Endelea kumtukuza Zaidi Mungu,Ila usije ukakata tamaa mwangu usaidie na wanetu,

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera dada rubani mungu akusimamie katika kaziyako inshaallah

  • @modestamashoke9038
    @modestamashoke9038 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awe nawe dada

  • @maria_mutondioriginal5
    @maria_mutondioriginal5 ปีที่แล้ว +1

    Nachowapendea wanawake wa kichaga wapo tayari kujaribu na kufanya heko kwake na kwako ❤️🇹🇿

    • @nesymichael4286
      @nesymichael4286 5 หลายเดือนก่อน

      Sio mchaga mnyakyusa huyo

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 ปีที่แล้ว +2

    Hongera ndugu yangu😘😘😘😘😘😘

  • @Malaikalaizer-d2q
    @Malaikalaizer-d2q 5 หลายเดือนก่อน

    Ongera sana dada Mungu akuongesre miaka na ujasiri

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 ปีที่แล้ว +3

    Welldone Imelda very good Interview really Exclusive

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah ❤❤❤❤❤

  • @fifo262
    @fifo262 ปีที่แล้ว +2

    Hongera mamaa

  • @talhiyaibrahim1074
    @talhiyaibrahim1074 ปีที่แล้ว +3

    Hongera Sana nakupenda Dada yangu

    • @happyfelix9259
      @happyfelix9259 ปีที่แล้ว

      Hongera Sana dada yangu kipenzi mungu azidi kukujalia afya njema kipenzi 💖 💝💓💓💖💖💗 ♥️

  • @DenisMarwa-w9p
    @DenisMarwa-w9p 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤hongera sana,

  • @GemaEfrem
    @GemaEfrem 4 หลายเดือนก่อน

    I am admire you pray for me

  • @melatpw1186
    @melatpw1186 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana dada

  • @scolasticanaigisa2246
    @scolasticanaigisa2246 5 หลายเดือนก่อน

    Nice job

  • @SubiraKanamura
    @SubiraKanamura 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 ปีที่แล้ว +1

    Congratulation🙏

  • @GemaEfrem
    @GemaEfrem 4 หลายเดือนก่อน

    My dear sister

  • @Moon-146
    @Moon-146 ปีที่แล้ว +2

    Hongera

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว +3

    Mwanangu anapenda urubani hapendi udharau anachokufikiria

  • @Salman-h6t7e
    @Salman-h6t7e 8 หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @JohnOmosso
    @JohnOmosso 6 หลายเดือนก่อน

    Safi san

  • @DEVOTHANGONYANI-by4dv
    @DEVOTHANGONYANI-by4dv 5 หลายเดือนก่อน

    Ninamtoto wa wa 8anandoto hiyo namuombea mungu

  • @julianaswai7846
    @julianaswai7846 ปีที่แล้ว +4

    Dada Neem hingera sana kuwa mwanamke rubani. Mchagamwenzangu pongezi sana

  • @DEVOTHANGONYANI-by4dv
    @DEVOTHANGONYANI-by4dv 5 หลายเดือนก่อน

    Anamiaka 8

  • @elizabetty-rt7py
    @elizabetty-rt7py 5 หลายเดือนก่อน

    Nilikuwa nauliza shule kumpokea mtoto ampak form six, au ata form form

  • @sofiyabakari9730
    @sofiyabakari9730 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe mctari wao ni ule ule mpaka mme wala cto shangaa sana

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada kama kaolewa basi mme atkua mtumwa wa nizamu nyumbani kwao mana sio kwa sifa hizo kwa dada

    • @Lodrickmwambene
      @Lodrickmwambene 5 หลายเดือนก่อน

      Wala hayupo hivyo nimesoma naye yupo humble sana

    • @AnethEdward-nf6sc
      @AnethEdward-nf6sc 5 หลายเดือนก่อน

      Nadhani msiwatie hofu wababa wanawake waliofanikiwa ktk tunu flani za kiMUNGU Wana heshima na pia ni wanawake ambao ni wacha MUNGU .

  • @monicambuya-sq9ms
    @monicambuya-sq9ms ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye machalari kweli mchagga halisi

  • @edinachami4318
    @edinachami4318 ปีที่แล้ว +1

    Mje mnihoji namimi narusha kindege

  • @edwincharles3180
    @edwincharles3180 ปีที่แล้ว

    hongera neema swai

  • @NassoroAthumani-ej9hm
    @NassoroAthumani-ej9hm ปีที่แล้ว

    Hongera dada

  • @andrewemanuel2213
    @andrewemanuel2213 ปีที่แล้ว +3

    Ahh kumbe hata wazazi wana uwezo mi nikajua umetokea family kama yangu ,hongera dada

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 ปีที่แล้ว +1

      maa shaa Allah

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 ปีที่แล้ว +3

      We jipange kwa watoto wako inawezekana kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu

    • @AnethEdward-nf6sc
      @AnethEdward-nf6sc 5 หลายเดือนก่อน

      Ni neema ya MUNGU kumpa mtu tunu fln ,Mbona Kuna watoto wametoka ktk familia tajiri lkn wameishia sivyo, MUNGU ni mkuu humpa Kila mwanadamu zawadi flani tuwe na subira na tusikate tamaa.

  • @ashashaban6484
    @ashashaban6484 ปีที่แล้ว

    MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHER KWENYE KAZI ZAKO❤❤❤❤

  • @priscamsuya-xd4tu
    @priscamsuya-xd4tu ปีที่แล้ว +1

    Wanawake tunaweza