Hongera sana Kamanda kupata kazi katika umri mdogo ni neema kubwa sana mshukuru Mungu wako toa sadaka fanya ibada, ili Mungu akupe ulinzi katika kazi yako !! Mara nyingi watu wanaopata kazi katika umri mdogo wanakuwa na maadui wengi wapinga maendeleo !!
Tatizo la tz kazi zote hizo zinapatikana ki familia kama huna ndugu jeshini utaombakazi utachoka na si jeshini tu mahala popote utachaguliwa kutokana na ndugu uliyenaye ndani ya taasisi sio uwezo wako. Sisi wengine tumesomesha tumechoka no job. Baraka ya ma degree ndani na application tumefanya kibao tunarukwa tu. Ndio nchi yetu hiyo
Nani ambae alisema eti hakuna wanajeshi wazuri weee wazuri wako jeshini na akazi kama kawaida znaendlea safi sana mungu aendlee kutupa nguvu cku zote za maisha yetu inshallah
hongera sana rubani.milard ayo ,afande ruban akbar hajaacha namba maana nahisi tutafaana nahitaji kuish chini ya utawala wa kijeshi wa rubani huyu mrembo.
Naona wengi mmejawa na wivu kumbe mnaipenda hii kazi mbona hua mnainyanyapaa ,eti Mara bila kua na ndugu hupati ajira wewe ulisikia wapiiiiiii kama ipo ipo tu acheni kukufuru 🤣🙌🙏👏
So Proud Sister, Endelea kukaza and be Example kwa madada wote na usiache kuwa na kipindi online kuwaimiza madada Tanzania watumie vichwa vyao vizuri Tuwe na Taifa lenye Wanawake Wengi Wenye Revolution ya Maendeleo katika Taifa kama Ngao Ya Taifa ilivyo na Meaning ya Bibi na Bwana...Karibu Tena Cape Town
Hongera ila umefanana na muheshimiwa Rashidi kamwil ka shangaz Devota hadi kuongea .Allah akutangulie akuweken mama enu Amrehem mzee Rashid Ajali akbaru
kwa msiojua hiyo helkopta ni rahisi sana kurusha hata mtu yeyote anaweza kurusha bongo tuko na ushamba mwingi sana norway kuna zile ndege ndogo za taxi wana wanapeana deiwaka kama boda boda wala ganja kibao wanasukuma hizo 👏👏👏
@@gooddeeds162 ndio maana inakuwa kazi sana sisi kuendelea !! Hizi mbegu za chuki ndogo ndogo zipo hata maofisini, huu ndio uthibitisho kwamba watu wanalogana sababu tuu fulani asisonge mbele !! Na uchawi sio lazima uwe ule wa kuloga, hata mtu anayechukizwa na maendeleo ya mwingine na kushindwa kumpongeza huo nao ni uchawi 😁😁😁
Nawakumbusha tuu wabongo, ukitaka kufanikiwa jifunze kukikubali anachokifanya mwenzio, hizi roho mbaya za baadhi ya watu wanao comment mtazamo wao hasi juu ya huyu binti, hizo ni roho mbaya za kichawi !! Usiumizwe na hatua anayoipiga mtu, bali hatua yake ukufikirishe na wewe kuondoka hapo ulipo ili na wewe ujipongeze siku moja !!
The confidence is the only thing which I had notice from a girl But also we should understand that these opportunities are few for those who have in their hands It doesn't matter whom you know but who knows you
Wakati sisi Tunapambana tupate ata izo post za uprivate tu no shida mpaka uwe na mtu wakupiga tafu Unahaso kumtafuta mtu wakukusaidia unaadhirika Mpaka unasema umemkosea nini mungu hizi ajira wanspeana kwa kujuana
mashaallah ulipambanaa ndio maana mungu naye akakufanikisha..songa mbele mdogo wangu mungu atakulinda
Hongera sana Kamanda kupata kazi katika umri mdogo ni neema kubwa sana mshukuru Mungu wako toa sadaka fanya ibada, ili Mungu akupe ulinzi katika kazi yako !! Mara nyingi watu wanaopata kazi katika umri mdogo wanakuwa na maadui wengi wapinga maendeleo !!
Fact
@@abdulaabdula2631 Zaid ya fact 💯%🤝
Masha'Allah, mabrouq ukhty HR Akbar.
Hongera sanaaaaaaa mrembo wetu Mungu akupandishe viwango vya juuu zaidi wanawake tunaweza
Tatizo la tz kazi zote hizo zinapatikana ki familia kama huna ndugu jeshini utaombakazi utachoka na si jeshini tu mahala popote utachaguliwa kutokana na ndugu uliyenaye ndani ya taasisi sio uwezo wako. Sisi wengine tumesomesha tumechoka no job. Baraka ya ma degree ndani na application tumefanya kibao tunarukwa tu. Ndio nchi yetu hiyo
umesema kwl
@@martinmaryogo3676 ndio ivo ndugu yangu
Nakuombea kwa Mungu upate mdani ya huu mwaka kwa jina la Yesu ... kama unaamini sema amina
@@rithadonatus8110 amina
Umesema ukweli ndani ya ukweli kabisa bado mfumo uleule mtoto wa mjomba na shangazi unaendelea
hongeraaa sana dada Mungu akutie nguvu na akuzidishie baraka
Mrembooo Mno MUNGU Azidi Kumuongoza Kwa kila Hatua 😍😘
Well done my dear sister Allah azid kukuongoza katk maisha yko
Hongera mtoto mzuri you're strong lady!
MashaAllah MashaAllah vita ni vita😇😇😇😙
th-cam.com/video/U9EBaCtGjN8/w-d-xo.html EU 8
Ngoja nikusaidie kumalzia MURA
@@eunicejohn5520 . h
L
Duh na me naweza taka kupaa na uyo wa blue na uyu jmn 😍😍
Nice too good work 🥰 mungu akuzidishie cute girl be strong ever dear
Nani ambae alisema eti hakuna wanajeshi wazuri weee wazuri wako jeshini na akazi kama kawaida znaendlea safi sana mungu aendlee kutupa nguvu cku zote za maisha yetu inshallah
Nakufahamu vizur Sanaa kipindi tupo South Africa
Hongera Sanaaa umetusua 🙏
th-cam.com/video/U9EBaCtGjN8/w-d-xo.html EU i9
South ya mtwara?
@@shaurimtanda8285 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 uwiiiiiiii
hongera sana rubani.milard ayo ,afande ruban akbar hajaacha namba maana nahisi tutafaana nahitaji kuish chini ya utawala wa kijeshi wa rubani huyu mrembo.
Mungu akujalie afya nguvu furaha aman na upendo wake katika maisha yako
Akitoka hapo anaenda kuendesha mandege makubwa kwenye makampuni makubwa ya commercial airline duniani. The future is very bright for you girl.
All jet fighters must have these ages.
Hakuna kuwaza mtoto nyumban
Naona wengi mmejawa na wivu kumbe mnaipenda hii kazi mbona hua mnainyanyapaa ,eti Mara bila kua na ndugu hupati ajira wewe ulisikia wapiiiiiii kama ipo ipo tu acheni kukufuru 🤣🙌🙏👏
Mungu aebdelee kukutunza mwanangu utimize ndiyo yako
Dah hongera zake nyingi nyingi sasa yaani maneno yameniishia
Hongera sana mama!; MUNGU akutangulie;'
Ni neema luteni mtoto mdogo hivyo hongeraaa sana
Sio Luten ni Luten Usu
Mashallah mdogo wangu, hongera sana kwako ❤️😘
Hellow
th-cam.com/video/U9EBaCtGjN8/w-d-xo.html tuu 9
th-cam.com/video/U9EBaCtGjN8/w-d-xo.html tuu 9
Mashalah kbs pongezi
Mrembo sana Mungu azidii kuku pandisha viwango vya juu
Gingers mwanangu mungu aebdelee kukutunza ifikie ndiyo zako
Wow! Hata uongeaji wake anaonekana yupo makini sana Masha Allah
Honger dear,Mungu akubariki,akuzidishe kwenye kazi yako
n trauma yako,,,,,
Hongera msichana wangu
So Proud Sister, Endelea kukaza and be Example kwa madada wote na usiache kuwa na kipindi online kuwaimiza madada Tanzania watumie vichwa vyao vizuri Tuwe na Taifa lenye Wanawake Wengi Wenye Revolution ya Maendeleo katika Taifa kama Ngao Ya Taifa ilivyo na Meaning ya Bibi na Bwana...Karibu Tena Cape Town
Wacha mi niendelee kichoma chipsi mana kwa sasaiv maisha connection mtuwang
To more many titles Hasnat #RESPECT
Hongera ila umefanana na muheshimiwa Rashidi kamwil ka shangaz Devota hadi kuongea .Allah akutangulie akuweken mama enu Amrehem mzee Rashid Ajali akbaru
Manshaalah,wanawake tuna uwezo pia wapatiwe nafasi tu kama wana sifa
Keep going gal,,,I love it
Hongera asnat
Well done your confidence make you unique. You are not just a pilot but a combat pilot.👌
th-cam.com/video/U9EBaCtGjN8/w-d-xo.html ty
Exactly dr
Keep up girl....am so happy for you dear
Usu asnat akbare umetisha bibiee
Congratulations classmate😍
hongera Mungu akutangurie
Air force soldier unaitaji kuzoea chakula kweli 😂C'mon
Hongela sana mungu awe na ww
Hongera usna mungu akuongoze
kwa msiojua hiyo helkopta ni rahisi sana kurusha hata mtu yeyote anaweza kurusha bongo tuko na ushamba mwingi sana norway kuna zile ndege ndogo za taxi wana wanapeana deiwaka kama boda boda wala ganja kibao wanasukuma hizo 👏👏👏
Dah !! Wabongo 😂😂 kubali hata kidogo alichonacho mwenzako !! Ni mwanzo mzuri kwake
😆😆😆😆
@@gooddeeds162 ndio maana inakuwa kazi sana sisi kuendelea !! Hizi mbegu za chuki ndogo ndogo zipo hata maofisini, huu ndio uthibitisho kwamba watu wanalogana sababu tuu fulani asisonge mbele !! Na uchawi sio lazima uwe ule wa kuloga, hata mtu anayechukizwa na maendeleo ya mwingine na kushindwa kumpongeza huo nao ni uchawi 😁😁😁
😂😂😂we sema ukwel!?
Daaah!nimecheeka
Hongera sana mama mungu akupe nguvu binti mzuri
Hapo kuna ujomba na u baba mdogo ndo unafanya kazi kama hauna ndugu mwenye cheo sehem yyte mbona utachoka😃😃
Hongeraaa luten
From USA hapa nakusaluti dadangu mdogo
I'm proud of you my friend ❤️❤️
th-cam.com/video/U9EBaCtGjN8/w-d-xo.html EU
Weee
Mungu akubari na uendelee na huo moyo bila kukata tamaa
Contributions gal...👏👏👏👏 what an inspiration to the upcoming ones.
Contribution tena??? Mchango wa nini?
Hongera bibie
She is so cute 🥰
Na anashep
th-cam.com/video/U9EBaCtGjN8/w-d-xo.html EU 9
Hongera sana Allah akutangulie mdada
Naombeni namba zake za simu 🤣🤣🤣
Nawakumbusha tuu wabongo, ukitaka kufanikiwa jifunze kukikubali anachokifanya mwenzio, hizi roho mbaya za baadhi ya watu wanao comment mtazamo wao hasi juu ya huyu binti, hizo ni roho mbaya za kichawi !! Usiumizwe na hatua anayoipiga mtu, bali hatua yake ukufikirishe na wewe kuondoka hapo ulipo ili na wewe ujipongeze siku moja !!
Nakujjua vizuri well done sir
Kasoma wapi seco huyu au ni yule amesoma Feza?
What an inspiration to the
achana na kurusha ndege ila ni pc kal na ana wow kabisa😂😂😂
Na Anakamwanyaaaa
@@gloryidelya9899 uhakika yaaan ukimkuta ndan ya skin ndo utaelewa 😂😂😂
Mpelekeni Ukraina jamani
Safi sana super woman
Sasa ya WOKOVU ni SASA hebu Mwamini Yesu na uokoke na Ulithi uzima WA milele na uende mbinguni.(Yohana14:6,Warumi10:9-10,2Kor6:2).
Nikajua mafunzo ni hapa hapa kumbe nje eeehhh kazi kweli kweli
Maashaallah maashaalaa
Big up sana kamanda
Hongera sana dear
Hongra comrade
Hongela sana mtoto mzuri
Congratulations❤❤❤
Mashallah binti
The confidence is the only thing which I had notice from a girl
But also we should understand that these opportunities are few for those who have in their hands
It doesn't matter whom you know but who knows you
Iam so proud of you girl
Hongera mdogo wetu
Hongera sana sana ubarikiwe wote
Congratulations 👏
th-cam.com/video/U9EBaCtGjN8/w-d-xo.html EU 7
Good job
Katako kapo kwenye combat congrats girl....
Wala hana mbwembwe nyingi binti wa IFM mwaka wa kwanza u know zingeshafika 600
Mwanamke bomba kweli
Hongera mwaya
Congrats 👏
Hongera sana yuko na confidence yake nimeipenda.
Hongereni sana.
Okey good
Mashaaaallah😍
Mashujaa Kama hawa ndio tunaowaitaji kutulinda
Waooo Kaza Buti Ndugu
Connection wazee😂😤
Ana mzigo huyo nimempenda ila kazi za mchongo izo
Hongereni sana na mungu awe nanyi kila hatua
SI aende ukraine sasa🤣🤣🤣
Bravo salute
Hongera ila ni kweli tz kila kitu uwe na ndugu akusaidie sio uwezo tu
Umenitia nguvu mdogo wangu..nimepata nafasi naomba kuitumia..
💪💪proud of u
Unaonekana mtu mzuri unae penda maendeleo ya wengine nimependa hiyo sio wengine wivu tu
Big up! My sister
Mimi nilijua Yupo. vitani Ukrayn
Kuwa ndo yupo anapambana au😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hata Mimi nilijua hivyo kumbe Mmh! 🥴🥴
Namimi Nina ndenge Zango Cape Town name hitaji huyu rababani na cape Town hakuna wazulu Kuna wakasa huyobiti ni Mungo,
Wakati sisi Tunapambana tupate ata izo post za uprivate tu no shida mpaka uwe na mtu wakupiga tafu Unahaso kumtafuta mtu wakukusaidia unaadhirika Mpaka unasema umemkosea nini mungu hizi ajira wanspeana kwa kujuana
Safiiiii Afande
Mzur npen namba zake