WAKRISTO HAWANA UZALENDO WA NCHI YETU | UST. ILUNGA H. KAPUNGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 432

  • @JumaMelele
    @JumaMelele หลายเดือนก่อน +2

    ALLAH amlipe kila la kheri

    • @Hudatztv
      @Hudatztv  หลายเดือนก่อน

      @@JumaMelele Allahuma Aamin

  • @maftahmusa9513
    @maftahmusa9513 หลายเดือนก่อน +1

    اللهم اغفرله ورحمه وسكنه الجنة

  • @MohamedKasalama
    @MohamedKasalama ปีที่แล้ว +1

    Allah akurehem shekh wetu ujumbe umefika

  • @hasbunakhamis487
    @hasbunakhamis487 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi mungu amrehemu alikua mwamba sana.

  • @santonjosephmsadick3899
    @santonjosephmsadick3899 7 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu ni mwalimu wa kweli ni moja ya binadamu ninao wapenda na kuwakubali ktk maisha yangu,

  • @Zainabnoor0087-ze
    @Zainabnoor0087-ze ปีที่แล้ว +1

    Allah akulipe mema, shk ilunga maneno yako ni hazina ya Karne kwa waislam wa Tanzania

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 ปีที่แล้ว

      Kweli mbumbumbu aisee

    • @Zainabnoor0087-ze
      @Zainabnoor0087-ze ปีที่แล้ว

      @@martinmkoba361 jibu hoja za ust ilunga mgalatia usie na akili

    • @princeshahulo2174
      @princeshahulo2174 ปีที่แล้ว

      @@martinmkoba361 mbumbumbu ni wewe usiyejua wakati sahihi ni upi kichwa chako kinawaza ukafiri wako ata kama unapotoka na ukweli unaona, hakika kuna watu wanamacho na hawaoni wana masikio lakini hawasikii!!!!

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 ปีที่แล้ว

      Hapo kaongea oja gani zaidi ya chuki makafiri wakubwa nyie

    • @presenterkabuma1646
      @presenterkabuma1646 ปีที่แล้ว

      @@martinmkoba361We mbwa kama huna la kusema kaa kimya,kenge wewe.

  • @sharifuburuhani1969
    @sharifuburuhani1969 5 หลายเดือนก่อน +4

    Sijawahi kumpenda mtu yeyote Tanzani kuliko SHEIKH ILUNGA HASSAN KAPUNGU

  • @HansTech360
    @HansTech360 10 หลายเดือนก่อน +4

    Makafiri wanatokwa na mapovu baada ya ukweli kuwachoma Allah akurehemu sheikh

  • @beduisanze
    @beduisanze ปีที่แล้ว +2

    asiekuelewa nichizi sana

  • @qasammamachinya4448
    @qasammamachinya4448 ปีที่แล้ว +4

    Safi dirunga,uko sawa

  • @PeragiaAlfred
    @PeragiaAlfred ปีที่แล้ว +3

    Peleka ujinga mnajifanyaga wacha Mungu kweli.kazi kufuga majini tu,kwendraaa.mnatetewa raslimali zenu mnaleta udini hapa

    • @hamzaswaibu9470
      @hamzaswaibu9470 ปีที่แล้ว +1

      Kufuga majini ndo nini wewe mjinga nyinyi wakristo ndo mmejaa mapepo mnashinda mnaangukiana makanisani

    • @aminahkhuzwayo-iv1wl
      @aminahkhuzwayo-iv1wl ปีที่แล้ว +1

      Wewe mgaratia PUNGUZA chuki,, ZIDISHA MAARIFA!huyu mzee anaongea ukweli!
      Nyie wakristo,, ukristo kwanza nchi baadae,,ila waislam wanavyofeli nchi kwanza dini baadae kwa ujinga huu wa waislamu ndio mmekuwa jeuri ya mpaka kuitumana serikali!

    • @BoariIsmail
      @BoariIsmail ปีที่แล้ว

      We yahud ayakuhusu we endelea kuabudu masanam

  • @munic6686
    @munic6686 ปีที่แล้ว +2

    Allahumaghfrillahu waskaana filjanna

  • @mkwipunda2036
    @mkwipunda2036 ปีที่แล้ว +3

    Innaalillah wainnaa ilayhi rajiun Allah rahmet eylesin mekanı cennet olsun amin amin amin

  • @godsondeo7539
    @godsondeo7539 ปีที่แล้ว

    Mimi ni mkristo nawapenda sana niwastarabu ..ingekuwa wanazungumza kama wewe 😊😊😊😊😊

  • @abasingaruka1872
    @abasingaruka1872 6 หลายเดือนก่อน

    SawA, Ubarikiwe

  • @mashakabundala9955
    @mashakabundala9955 4 หลายเดือนก่อน +2

    Yaa Allah milie nuru katika kaburi lake Aamin yaa Rabir aalamin

    • @Hudatztv
      @Hudatztv  4 หลายเดือนก่อน

      @@mashakabundala9955 Allahuma Aamin

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 ปีที่แล้ว +3

    History hiyo inawaingia makafir

    • @maryamos7663
      @maryamos7663 ปีที่แล้ว

      Usitukane bila sababu. Issue ni dini?

  • @zeelamipango
    @zeelamipango ปีที่แล้ว

    Msenge mmoja hv asiyejielewa

    • @MaryamKudra-gf8zs
      @MaryamKudra-gf8zs ปีที่แล้ว +1

      mtukane ujue utakuja mlipa kwa gharama kubwa mbele ya Allah

    • @adammj6258
      @adammj6258 ปีที่แล้ว

      Ndio ushajibu hoja hapo!!?? Mbona Maaskofu wenu wanayajua na hawabishi!!? Anzia hapo kujifunza,,,nyie ni maAgent wa Wakoloni

  • @tashone7884
    @tashone7884 ปีที่แล้ว +3

    Hoja za shekh alizoibua serikali ilishindwa kumjibu akatamani afikishwe mahakamani aombwe ushahidi haikuwahi kutokea alisema hoja na ushahidi anaoibua ni mdogo kuliko aliouhifadhi. Tulitamani sana open kesi tupate faida.

  • @OthmanKiroga
    @OthmanKiroga ปีที่แล้ว +3

    May Allah grant him jaanat Firdausi.

  • @YoshuaSeverino
    @YoshuaSeverino 10 หลายเดือนก่อน +4

    Tuishukru Bakwata kwa kuwa na viongozi wa elewa sana,

    • @sharifuburuhani1969
      @sharifuburuhani1969 5 หลายเดือนก่อน

      mmmh

    • @HamzaAdam-z3c
      @HamzaAdam-z3c 3 หลายเดือนก่อน

      bakwata makafi lituuuu

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 หลายเดือนก่อน

      Lazima ushukuru kwa kua wanabuluzwa na kanisa

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 หลายเดือนก่อน

      The true story kama unao ushahidi wa kupinga hayo lete

    • @ayshahamisi
      @ayshahamisi 27 วันที่ผ่านมา

      Allah amrehem sheikh wetu

  • @daudimwaitebele420
    @daudimwaitebele420 ปีที่แล้ว +2

    Innalillah wainnaillaih raaajiuun
    Hii khutba ni ya mda mrefu sanaaa so watu hamjui huyu aneongea kana kwambia kaongea jana watu wanamtusi tu
    Huyu jamaa alikua mwiba kwa serikali Alisha ondolewa mda mrefu tu so acheni kumtukana huyu

  • @williammwanganya550
    @williammwanganya550 ปีที่แล้ว

    Naomba niwaweke sawa kumbukumbu kutokana na baadhi ya comment hii clip ni ya muda sana shekh ilunga ashafariki zaidi ya miaka mitatu imepita

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 ปีที่แล้ว

      Sante mkuu kwakutuweka sawa

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 ปีที่แล้ว +1

      lakini maneno yake yako sawa.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 ปีที่แล้ว

      @@nassorsharifu9837 sawa Gani huyu mbwa sahivi anaungua huko jehanam

    • @zuberiathumani4287
      @zuberiathumani4287 ปีที่แล้ว +1

      Uukweli unauma kwa wenye fikra finyu na ubinafc

  • @PeterMwita-t6p
    @PeterMwita-t6p ปีที่แล้ว

    Aaaaalaaaah! Maamuma! Dubai chanzo!

  • @sesicasi1364
    @sesicasi1364 ปีที่แล้ว +1

    Wewe uislamu huujui. Sasa ukristu umeufahamia wapi? Pumbavu mkubwa! Eti ule mkate wao!!! Zee puuzi sana hili!!

    • @adammj6258
      @adammj6258 ปีที่แล้ว

      Huwa hamjuagi kujibu hoja mnakimbilia matusi,,,kama mgeni ndio ujue hapo Kanisa lililetwa na Wakoloni kwa maslahi yao na ndio hayo,,,kuwagawa waTanzania,,, Anglican Church, UK na Lutheran German na ndio Wakoloni,,unabisha!!???

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 หลายเดือนก่อน

      Sindano imechoma takoni

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 ปีที่แล้ว +2

    Waislam ndio wazlendo wa nchi hii tunaona uzalendo wao wa kuuza nchi kwa waarabu huo ndio uzarendo

  • @biddii1972
    @biddii1972 ปีที่แล้ว

    Hapo kunapambaniwa bandari iende na waaarabu mungu tusaidie

    • @youssefsanje8743
      @youssefsanje8743 ปีที่แล้ว +1

      Bandari ya babaako

    • @mkude
      @mkude ปีที่แล้ว +1

      NYINYI MNAWACHUKIA WARABU KWASABABU YA CHUKI TU.Wangepewa wazungu mnge kaa kimya

    • @biddii1972
      @biddii1972 ปีที่แล้ว

      @@youssefsanje8743 😂😂😂😂

    • @biddii1972
      @biddii1972 ปีที่แล้ว

      @@mkude mm sichukiii waarabu tu ata wazungu na wachukia inchi yetu mpaka kesho ina nyonywa na wazungu siwezi kuwapenda ,na mm na simama kama chadema sio dini yoyote ile ,sisi kama chadema tulipiga kelele juu ya mikataba ilio kua ikifanywa na wazungu apa kwetu kama hukusikia pia sikulaumu
      Sasa amekuja muarabu tukikataa mnasema
      Ooooh mbona wazungu walichukua
      Kwaio mna lipiza sindio 😂😂😂kweli sisi watu weusi atuna akili 😂😂 ila so mbaya mungu alituumba ivo
      Ila nikuambie kitu mungu ndio muweza ya yote ngoja tuone mwisho ukoje na usicho kijua ni kwamba NAMPENDA SANA RAISI SAMIA kaaa ukili jua hilo na yeye ni binadamu tu kama mm akikosea ana rekebishwa😁😁

    • @hamzaswaibu9470
      @hamzaswaibu9470 ปีที่แล้ว +1

      Acha ubwege kumbuka waarabu ndo wanajenga bwawa la Nyerere na reli ya umeme au hujui😀😀

  • @husseinmwanjela8644
    @husseinmwanjela8644 ปีที่แล้ว +1

    Upo sahihi

  • @camilomassao8971
    @camilomassao8971 ปีที่แล้ว +2

    Ndiyo naamini elimu ni Mkombozi wa fikra.

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 ปีที่แล้ว

    Mnafikiliza taarifa za mwendawazimu.

    • @yassinhamza1969
      @yassinhamza1969 ปีที่แล้ว +1

      Ina maana ww hotuba ile ya nyerere hukuisikia

  • @saidmkwabi9460
    @saidmkwabi9460 ปีที่แล้ว +3

    Tuelimishe baba ila machoko hawapendi

    • @camilomassao8971
      @camilomassao8971 ปีที่แล้ว

      Sasa nyie wenye uzalendo mmetetea nini kama si upepo fuata bendera?

  • @imanimfuruki9040
    @imanimfuruki9040 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 ปีที่แล้ว +5

    Watu wenye busara hupambana na hoja za mtu na si mwenye hoja mwenyewe. Kuzipangua kielimu imma +au- .Na sio kupayuka.Lete hoja yenye ubainifu: ndio au siyo (Burhan).Matusi yana msaada gani kama sio dalili ya kufilisika utambuzi. Marehemu shekhe Ilunga (ALLAH SUBHANAHU WATAALA Amrehemu)Hakuwahi kujibiwa hizo hoja.

    • @reubenbushiri1753
      @reubenbushiri1753 ปีที่แล้ว

      Alijibiwa na Mwalimu Daniel Mwankemwa ipo hapa TH-cam-Inajulikana Kama Mfumo kristo Ni Mfumo wa kifikirika tafuta hiyo ipo part 1 na part 2.Ebu jaribu kusikiliza hiyo

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 ปีที่แล้ว

      @@reubenbushiri1753 Shukran Mr. Reuben ngoja niisikilize.

  • @barnabasmsagamasi611
    @barnabasmsagamasi611 ปีที่แล้ว

    Umepewa kiasi gani na CCM?

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 ปีที่แล้ว

      Unaropoka tu hii clips ina zaidi ya miaka 20 bilashaka wewe ulikua bado unachezea michanga. kipindi CCM wakidi CUF ni chama cha waislam

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 ปีที่แล้ว +1

    Tunahitaji hospital za Kanda na wilaya zijengwe kila mahali tuachane na hospital za kanisa zilipe Kodi zinakwepaa Kodi kupitia partnership

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 ปีที่แล้ว +1

    Haya Ni maajabu ya dunia kweli walio nauelewa wa Mambo niwachache😅😅

  • @DONALDMTOWE-u9g
    @DONALDMTOWE-u9g ปีที่แล้ว +2

    Huyu mchawi katoka wapi?.

  • @nancyaloys8392
    @nancyaloys8392 ปีที่แล้ว

    Jamani mtaturetea hatari Nyinyi ninilakin?

  • @nancyaloys8392
    @nancyaloys8392 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU Yuko wapi apo? Unaubiri nn ushetan .

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 ปีที่แล้ว

    Inashangaza Sana ebu fikiria kwamfano wanaoomba suala la bandari lkatika uwekezaji lifanyiwe marekebisho kwavipengele katika mkataba husika,swali hivi kijiografia Ninani walio wengi katika maeneo hayo ya bandari niwaislamu au niwakristo Kama niwaislamu je, wanaopinga mkataba wauwekezaji katika maeneo hayo yabandari ni wakristo au Ni waislamu,mbona viongozi wakiislamu hatuoni mkipinga badala yake kila kukicha udini kivipi, ama kweli wenye haki watakao iona pepo niwachache kwa hapo mlipofikia mnapotea sana.

    • @mhogomchungu7168
      @mhogomchungu7168 ปีที่แล้ว

      Tatizo kubwa viongozi wa chadema na viongozi wa kikristo ndio waliowafanya waislamu wautetee mkataba kwa kauli zao za kibaguzi, Kuna waloanza kusema wazanzibari wanauza bara , mara wanaleta waislamu waarabu kurudisha utumwa, mara DP world wakikusanya mapato watajenga msikiti mkubwa Mbeya , mawazo ya aina hiyo ni kuonesha uadui wazi kwa waislamu na ndipo mlipokosea. Naamini raia wengi hawajawahi hata kuuona huo mkataba ikiwemo mimi na wewe na kama ushausoma nitumie link nikauangalie

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln ปีที่แล้ว +1

    ilunga wape vidonge vyao hawajielewi hao

  • @maftahmusa9513
    @maftahmusa9513 ปีที่แล้ว +3

    sawa kabisa shekh

    • @romanamassawe814
      @romanamassawe814 ปีที่แล้ว

      Kisha kufa huyo, hayupo duniani

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 ปีที่แล้ว

      @@romanamassawe814 Maneno yake bado yako hai na yataendelea kua hai

    • @romanamassawe814
      @romanamassawe814 ปีที่แล้ว

      @@maftahmusa9513 hata maneno ya shetani Bado yapo hai, alimwambia Hawa siku mkila tunda la mti huu mtafanana na mungu, je maneno ya shetani hayaishi mpaka leo ?. Kufa wote tutakufa ila ukifa unaenda wapi ?. Hilo gaidi Sasa hivi lipo jehanamu ya milele,

    • @petermasanilo732
      @petermasanilo732 ปีที่แล้ว

      Serikali wachukue hatua Kwa hiyo mchonganishi

  • @starvista823
    @starvista823 ปีที่แล้ว +1

    Unatengeneza uongo tu

  • @SylvanusNgutse
    @SylvanusNgutse ปีที่แล้ว +1

    Sitaki kutoa comment yangu mpaka nitakapo fahamu academic CV yake huyo anaeongea. Simwelewi!

  • @georgechiwango7381
    @georgechiwango7381 ปีที่แล้ว +1

    Umesahau historia mzee. Tafuta kitabu kinaitwa uhuru wa watumwa. Uone jinsi waarabu walichowafanyia babu zetu na bibi zetu.

    • @AmerinhoAmour
      @AmerinhoAmour 7 หลายเดือนก่อน

      Waarabu ndio waliojenga kanisa pale mkunazini zanziba.
      km kituo kikuu cha biashara ya utumwa?
      Cc tuna ushahidi wa athari za wakristo/wazungu kua wao ndio waliokua wakiwafanya watu watumwa

  • @kanoa645
    @kanoa645 ปีที่แล้ว

    Hudatv bravo

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 ปีที่แล้ว

    Sasa wameanza kujifichua Quran 5;51) Quran 9;29

  • @LucianSanga
    @LucianSanga 27 วันที่ผ่านมา

    Masulitani Wote Wakua Waisilamu na Wali Tawala Kiisilamu Ajabu kubwa Soko kuu la Watumwa lipo Zanzibar shelhe hajui hilo

    • @Hudatztv
      @Hudatztv  27 วันที่ผ่านมา

      @@LucianSanga Kwenye mafundisho ya Uislamu hakuna utawala wa Kiislamu kisha ukawa wa Kisultani.
      Usultani ni mfumo wa kitawala nitofauti na unavyotawala Uislamu.
      Ukitaka kufahamu vizuri kuhusu biashara ya utumwa, soma kitabu cha "Walter Rodney, How Europe Underdevelop Africa".
      Mwenyezi Mungu akuongoze

  • @MaryamKudra-gf8zs
    @MaryamKudra-gf8zs ปีที่แล้ว +1

    Huu ndio ukweli wakristo siwazalendo mpaka kesho wanajua wajiita waroman, waislail taifa teule niwadini sana ndio maana nchi hii inakwamishwa na hawa wadiini wenye kuinyonya nchii hii kwa maslahi ya mabwana zao.

    • @camilomassao8971
      @camilomassao8971 ปีที่แล้ว

      Elezea jinsi nchi inavyonyonywa, tetea hoja yako, bado ina hang!

    • @camilomassao8971
      @camilomassao8971 ปีที่แล้ว

      Wenye uelewe wasaidieni hawa

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 ปีที่แล้ว +2

    Namashaka na huyu mzee kama hakua mchawi basi ni mfuga majini

    • @hamisimlala4700
      @hamisimlala4700 ปีที่แล้ว +1

      Acha chuki zakijinga mbona anaongea ukweli mtupuuu?pamoja nachuki zako ukweli utabaki tuuu.

    • @KhamisHaroub-uj5ci
      @KhamisHaroub-uj5ci 5 หลายเดือนก่อน

      Ukweli mchungu 😅😅😅

  • @bonifacerobert2960
    @bonifacerobert2960 ปีที่แล้ว +1

    CCM Hii mbinu ni mbinu ovu. Swala hapa siyo Uislamu na Ukristo SAMIA SULUHU HASSAN. Swala ni limkataba la ajabu jamani.

  • @HamzaAdam-z3c
    @HamzaAdam-z3c 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nyelele lahana pumbavu

  • @jafarimsigwa277
    @jafarimsigwa277 5 หลายเดือนก่อน +1

    Unahamasisha vurugu tuache na amani yetu umetumwa na nani?

    • @Hudatztv
      @Hudatztv  5 หลายเดือนก่อน +2

      @@jafarimsigwa277Taarifa hizo watu wa usalama wanaziita: "Declassified Information".
      Mazungumzo haya Yana zaidi ya miaka mitano, hakuna aliyehisi kufanyika kwa vurugu.
      Wewe ndio unapandwa na roho mtakatifu Leo ili ufanye vurugu.
      Ungeelewa kilichozungumzwa ungesema kipi sio sahihi na sahihi ni kipi!
      Fanya vurugu utakutana na wenye kazi zao za kutuliza vurugu.
      Mwenyezi Mungu akujaalie ufahamu mzuri.

    • @khalfanamour1022
      @khalfanamour1022 2 หลายเดือนก่อน

      Ndio ukwel anao ongea

    • @Hudatztv
      @Hudatztv  2 หลายเดือนก่อน

      @khalfanamour1022 Wenzetu hawakuzoea kuambiwa ukweli, hasa unapotoka nje ya wale wanaowaamini kuwa ni watakatifu

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 ปีที่แล้ว +1

    Waisiram niwazito wakuerewa wakijua tutapata misaada jitumeni fanyeni kaazi acheni uchonganisha

    • @MaryamKudra-gf8zs
      @MaryamKudra-gf8zs ปีที่แล้ว

      wazito kuelewa ni wadini wakristo wanao inyonya nchii hii

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 ปีที่แล้ว

      Kweli wewe taahira hata kiswahili hujui
      Eti waisram,kuerewa,ndio nini hii?

  • @princemahamba242
    @princemahamba242 ปีที่แล้ว

    Udini utaanzia kwenye utawala huu

  • @makungamapalala7982
    @makungamapalala7982 ปีที่แล้ว +1

    Mwl wangu thaqaafa upo?

    • @kanoa645
      @kanoa645 ปีที่แล้ว

      ALLAHUMMA ghafir lahu....Allah ampe Pepo shekh ilunga, ukweli ytabaki kuwa UKWELI, mchambuzi mbobezi

    • @MathewPagi
      @MathewPagi ปีที่แล้ว

      Huyu shekhe no mwehu hajui historia

    • @MathewPagi
      @MathewPagi ปีที่แล้ว

      Mbona jeshini mnavuwa kama kweli mnaweza

    • @gracemsalila7735
      @gracemsalila7735 ปีที่แล้ว

      Ukiwa na mwalimu kama huyu lazima ufeli 00000000

    • @mlawayusuph8842
      @mlawayusuph8842 ปีที่แล้ว

      ​@@gracemsalila7735Walimu wanaofaulisha ni wale wanaofundisha ushoga c ndio?

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 ปีที่แล้ว

    Huyu ni mjinga na mchochezi apuuzwe. Wakristo si kwelu kwamba wote Wana mawazo mamoja ndo maana unaona spika ni mkristo lakin anaunga mkono bandari ibinafaishwe. Kiufupi huyu Sheikh anaakili ndogo Sana ya kupambanua mambo 😂😂😂

    • @AshrafuJonny-sz4gs
      @AshrafuJonny-sz4gs ปีที่แล้ว

      Upo sahihi ila jambo labandali likopalepele hatumtaki dpwold

  • @gracemsalila7735
    @gracemsalila7735 ปีที่แล้ว

    Hovyoooo mtu mzima hovyoooooo

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 ปีที่แล้ว +1

    Waarabu waliacha magofu ya Watumwa Zanzibar.

    • @camilomassao8971
      @camilomassao8971 ปีที่แล้ว

      Sio zanzibar tu, nenda kilwa uone magofu na ujifunze walivyowanyanyasa Watanzania na kuwadhalilisha, kuwatumikisha, ni wakoloni tu kama wakoloni wengine. Nafikiri kuna haja ya kuacha kuangalia udini, tujifunze kwa Traore na Tanzania haichukui muda, time will tell!

    • @KhamisHaroub-uj5ci
      @KhamisHaroub-uj5ci 5 หลายเดือนก่อน

      Usisahau sio magofu tu peke yake na wao ndo sababu ya Uislam kwaio juwa tu sisi tunajivuniya UISLAM

  • @gulalakitinya7615
    @gulalakitinya7615 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo Waarabu nao waliacha uzalendo katika nchi zao.

  • @HildaPaul-hm4jk
    @HildaPaul-hm4jk 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tusamee shekhe inatosha

    • @Hudatztv
      @Hudatztv  9 หลายเดือนก่อน

      Mko vizuri kwa kweli

  • @camilomassao8971
    @camilomassao8971 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @uwezotv
    @uwezotv ปีที่แล้ว

    Na lazima mjue uchaguzi unaokuja utakuwa na udini sana kwani ndio mipangoyao na baada ya uchaguzi waislamu watateseka sanaa

  • @agnessangawe3844
    @agnessangawe3844 ปีที่แล้ว

    HAMWEZI KUHUBIRI MAFUNDISHO YA IMANI YAKO. BILA KUTUKANA AU KUKASHIFU UKIRISTO. MIDOMONI NA MIOYO YENU IMEJAA CHUKI NA FITINA. UNALETA UBAGUZI LIZEE LISILO NA HEKIMA.

  • @godsondeo7539
    @godsondeo7539 ปีที่แล้ว

    Kumbuka mwalimu alifuta ukabila na kwa sasa tuna amani wewe unatoa wapi hayo? Alafu wewe ni mtu wa umri tumia elimu saidizi . Udini usitegemee kwetu ila hio ipo kwako na hutatoboa uchichezi ...uelewe hakuna mungu wa kikrito na wa kiislam mungu akusaidie

  • @jafumnyupe5250
    @jafumnyupe5250 ปีที่แล้ว +1

    Allah Akbar!

  • @jamesbayo1910
    @jamesbayo1910 ปีที่แล้ว +1

    KWA MUNGU. HAKUNA. MADHEHEBU KUNA. IMANI. HIVYO. KILA. DHEHEBU IHESHIMU NYINGINE KINYUME. NA. HIVYO. NIDHAMBI. NA NI. UBATILI. MTUPU.

  • @praygodmawalla7884
    @praygodmawalla7884 ปีที่แล้ว +1

    We are not Arabs and never can we. Tumerogwa dini imefumba watu macho.

  • @samoskiyalo6095
    @samoskiyalo6095 ปีที่แล้ว

    Hawana uzalendo je nikweli au ni kupotosha kristo ataleta kiyama kwenu itakuwaje ?

  • @faustinbyendeye138
    @faustinbyendeye138 ปีที่แล้ว

    Hawa jamaa ni watu tuu walislimu
    Kama vile tuu wakristo na ukristo .

  • @ritchiemuta1092
    @ritchiemuta1092 ปีที่แล้ว

    Duuuyuhhhh

  • @leandryMmassy
    @leandryMmassy 16 วันที่ผ่านมา

    Ungekuwa huna fikra za udini ungeacha Fitina.

    • @Hudatztv
      @Hudatztv  16 วันที่ผ่านมา

      @@leandryMmassyUngetusaidia kuonesha fitina ikowapi na ukweli ni upi.
      Vinginevyo ni kweli waliozoea kudhulumu wakisemwa dhulma zao utawasikia wanajibu acha fitina, acha uchochezi, acha kuvunja amani, acha udini, n.k.

    • @Hudatztv
      @Hudatztv  16 วันที่ผ่านมา

      @@leandryMmassy Thibitisha Fitna

  • @happyjeremiahmhuli4043
    @happyjeremiahmhuli4043 ปีที่แล้ว

    Hadidu rejea

  • @barazamwaja3868
    @barazamwaja3868 ปีที่แล้ว

    Y

  • @judicatendengerio-ndossi1583
    @judicatendengerio-ndossi1583 ปีที่แล้ว

    Waarab wa UAE wana uzalendo na Tanzania kuliko Wamasai wa Ngorongoro na Tanganyika.

  • @ukweliunauma4570
    @ukweliunauma4570 ปีที่แล้ว

    Sheikh wetu ulikuwepo wapi mashallah❤
    Umepotea siku nyingi mkufuli alikuficha nini 😂

    • @tashone7884
      @tashone7884 ปีที่แล้ว

      Inalillah waina ilayh rajioun shekh amefariki miaka mingi imepita

    • @ukweliunauma4570
      @ukweliunauma4570 ปีที่แล้ว +1

      @@tashone7884 innallilah waina illaina rajoun, Allah ampe weoesi na amlinde na adhabu ya kaburi

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 ปีที่แล้ว

      ​@@ukweliunauma4570allauma aamini

  • @awadhially
    @awadhially 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mtu wa maana kabisa huyu

  • @PeterMwita-t6p
    @PeterMwita-t6p ปีที่แล้ว +1

    Wewe ndo mzalendo. Acha izo

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 ปีที่แล้ว +1

    Hawa wenye tabia za kutukana na kubeza watu inawezekana walishatukana hata wazee wao huko makwao. Kila mtu akiwa na mtazamo tofauti na wao wanamtusi. Sisi Waislamu tunakatazwa kuwatusi watu, hata wasiokuwa Waislamu majumbani mwetu na Misikitini. Ukiona Muislaimu katukana huyo amepinda kwa kukosa malezi.

    • @sundaymsuya1433
      @sundaymsuya1433 ปีที่แล้ว

      Kuna wa2 wabaguzi km waislam hum tz

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 ปีที่แล้ว

      @@sundaymsuya1433 Tamaa yetu sisi watu waielewe haki na kisha kuifuata. Sisi tunatambua vitabu vinne: 1.Zaburi, 2.Taurati,3.Injili na Quran. Na pia tunaviamini.

  • @ismaelgadiye4488
    @ismaelgadiye4488 ปีที่แล้ว +1

    Huna akili

    • @ussiussi3413
      @ussiussi3413 ปีที่แล้ว

      Ww unazo lakini zina ulemavu katika ufahamu.

  • @Jamalkishangu
    @Jamalkishangu ปีที่แล้ว +2

    Hutuba hii ina miaka mingi lakini inatafsiri hali ya wanayoendea kuishi nayo Waislamu nchini Tanzania dhidi ya ndugu zao Wakristo. Rejea kuhusu sakata la bandari ya Dar, kwa kuwa aliyesimamia mkataba kati ya Dubai na Tanzania ni Rais Muislamu ameelezwa katika hali inayo tisha.

    • @geofreyndambo8635
      @geofreyndambo8635 ปีที่แล้ว

      Yule aliyefunga mkataba ya migodi kule mwanza ni muislamu?yule aliyepigwa risasi ni muislamu?wale waliomkimbia nchi ni waislamu? acheni mambo ya kipuuzi

  • @cloudngoko.2679
    @cloudngoko.2679 ปีที่แล้ว +1

    Ukiwa na shekhe kama huyu ni tatizo na anazalisha matatizo huko kwenye vizazi angechunguzwa vizuri.
    2.Elimu hapa haipo
    3.Shehe ulikaria madrasa sana kuliko elimu ya mbinguni kupanga ni kuchagua. Ila wapo waislamu waliosoma hawawezi kukuunga mkono point huna mzee.
    4. Fatilia vizuri Mkapa na Magufuri walisemwa na wakristo hao hao wanaokosoa sasa.sijui hilo umejizima data.
    5.

    • @froma3732
      @froma3732 ปีที่แล้ว +1

      Tatizo lenu likisemwa ukweli inakuwa nongwa lkn ukweli utabaki ukweli

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 ปีที่แล้ว

    Ustaadhi Ilungu ovyoooo!

    • @songombingo108
      @songombingo108 ปีที่แล้ว

      Ovyo mama yako. Fala wewe. Kama humpendi usimsikilize. Nyambaffff

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 ปีที่แล้ว

    Hivi nikwanini viongozi mnaendeleza mjadala wakidini kwani Hawa wanao ongea nakulalamika katika nchi hii wameutaja wapi uislaamu ,tunaomba kueni makini choko choko hizi zaudini hazina maana yoyote kwakuwa Jambo Hilo halipo,lakini inavyoonesha mnalazimisha watu waanze kuzungumzia Jambo Hilo ambalo halipo ili mpatate mahali pakuanzia kuleta chuki,hamtaweza kwakuwa hata wafuasi wenu wanawashangaa

    • @adammj6258
      @adammj6258 ปีที่แล้ว

      Ungeanza na wa makanisa maana wao kwanza hawaitakii mema nchi wanalinda maslahi ya Wakoloni,huyo anajibu hoja

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 ปีที่แล้ว

    Mwehu pale kwenye kaaba huonagi ma raisi wanavyolindwa...hii nchi imeendelezwa na wakristo nchi zilizotawaliwa na waarabu kama maultinania mpaka leo ni watumwa wa waarabu Eritrea kadhalika somalia

    • @manrectorz
      @manrectorz ปีที่แล้ว +1

      WEWE NI MPUMBAVU, MWARABU HAJAWAHI KUTAWALA NCHI YOYOTE AFRICA. BAADA YA UKOLONI KUTANGAZWA AFRICA, BAADA YA BERLIN CONFERENCE 1884.

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 ปีที่แล้ว

      @@manrectorz sio kutawala tu amechukuwa kabisa amejimilikisha Egypt ni nchi ya kiarabu?? Libya Tunisia Morocco hizi ni nchi za kiarabu?? Alietawala znz na tanganyika kabla ya mjerumani alikuwa mchina?? Mbona history zenu mwaarabu aliuwa watu weusi Egypt ilikuichukuwa na sasa hiyo history hamuitaki na mwaarabu hataki muijuwe na mashekh hawezi kuwaambia.. kwasababu msimamo wao ni kuwa waarabu ni wema duniani hakuna

    • @presenterkabuma1646
      @presenterkabuma1646 ปีที่แล้ว

      Nyie kweli ndo wasenge mnaropoka tu wala hamjui lolote,kazi kudanganywa tu na wapumbavu wenu huko.

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 ปีที่แล้ว

      @@presenterkabuma1646 wewe huyo hakudanganyi??

  • @ambitiousholyspirit395
    @ambitiousholyspirit395 ปีที่แล้ว

    waliosaini miataba huu ndio wanaoleta haya!

  • @azizabdallah585
    @azizabdallah585 ปีที่แล้ว

    WAISLAMU WA TANZANIA TUNAONA AIBU KUWA NA SHEKH KAMA HUYU ANAETETEA UFISADI WA VIONGOZI WA JUU WA SERIKALI KWA KIVULI CHA DINI...!

    • @IbnuAlly-cg2gn
      @IbnuAlly-cg2gn ปีที่แล้ว +1

      Nenda uko na upuuzi wako
      Ww muislamu au msanii tu

    • @mohdkhamis1031
      @mohdkhamis1031 ปีที่แล้ว +1

      Ametetea nini kaa usome dini yako huyu amewazungumza wakristo kuwa si wazalendo wa nchi yao zaidi ya kanisa kwa taarifa yako huyu shekh amefariki miaka mitano iliyopita

    • @slymsameer5415
      @slymsameer5415 ปีที่แล้ว +1

      Wewe huna akili kabisa hata chembe

    • @alimaulid9543
      @alimaulid9543 ปีที่แล้ว +1

      Sheikh huyu ameshakufa miaka mingi hii ni ya zamani kwa hiyo hatetei ufisadi na hajatumwa na ccm

    • @princeshahulo2174
      @princeshahulo2174 ปีที่แล้ว

      Cyo kosa lako shida akili yako na malezi yakwenu bila shaka hutambui unaloongea!!?

  • @happyjeremiahmhuli4043
    @happyjeremiahmhuli4043 ปีที่แล้ว

    Uzalendo wa bandari haupo

  • @sabathmnubi5033
    @sabathmnubi5033 ปีที่แล้ว +1

    Uzalendo ni kuwaachia waarabu watwae mali zote?

  • @afropatriot7769
    @afropatriot7769 ปีที่แล้ว +2

    Hili gaidi ndio maana lilidanja

  • @happinessmwaipopo7426
    @happinessmwaipopo7426 ปีที่แล้ว +2

    Pumbavu kabisa watu kwenye familia tumechanganyika waislam na wakristo wewe mzee unatuletea unazi. Hebu tutokee huko

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 ปีที่แล้ว +2

      Kama ni upumbavu bila shaka utakua nao wewe nakama unabisha katizame katika kitabu alicho andika Padri wa kizungu missionary Dr Jhon Siyvalon
      KANISA KATOLIKI NA SERIKALI YA TANGANYIKA. hapo ndipo utafahamu mpumbavu ni nani kati ya wewe na yeye

    • @zuberiathumani4287
      @zuberiathumani4287 ปีที่แล้ว +1

      Ilunga katumia facts za marejeo ya vtabu ww unatumia mihemuko ya kiimani nan mpumbavu....?

  • @josephzacharia3116
    @josephzacharia3116 ปีที่แล้ว

    Hiyo vita unayoianzisha ianzie kwako iishie kwako we vuruga tu

  • @alumonkisinda4574
    @alumonkisinda4574 ปีที่แล้ว

    tusiachiane mzigo huu ni wa kwetu sote jamani tusiachiane

  • @camilomassao8971
    @camilomassao8971 ปีที่แล้ว

    Kunywa maji, kiu 🤣🤣🤣

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi ปีที่แล้ว

    Hawa jamaa tz msiangalia lwenu

  • @frank01tz
    @frank01tz ปีที่แล้ว +1

    Upimwe akili. Mtu mzima hovyo

    • @antonywilliama2868
      @antonywilliama2868 ปีที่แล้ว

      umepewa bahasha umezeka hadk akili

    • @mohdkhamis1031
      @mohdkhamis1031 ปีที่แล้ว

      Antony apewe bahasha kaburini nyny kwanza kila anaewaambia ukweli kapewa bahasha huyu shekh amefariki miaka mitano iliyopita na pia hajazungumzia bandar kazungumzia wakristo nchi hii hawana uzalendo na nchi yao zaidi ya kanisa kwanza sio kweli

  • @Asamtz360
    @Asamtz360 ปีที่แล้ว

    Daah ukiisoma dini ukaielewa kupitiliza haya ndo madhara yake ipo haja ya kutoa elimu ya kujitambua na kuyatambua mambo elim sifuri kabisa

  • @mwinjilistiaristidesmeja1834
    @mwinjilistiaristidesmeja1834 ปีที่แล้ว

    Hivi ni kweli kuwa hamwezi kuongelea dini yenu mpaka muutaje Ukristo? Na hii ni kuonyesha kuwa hoja za dini yenu ni dhaifu kwa hiyo hoja zenu zinakamilika kwa kuutaja Ukristo

    • @luchinguawadh3647
      @luchinguawadh3647 ปีที่แล้ว +1

      makafili hamna akili ndo maana mnauziwa hadi mchanga na mafuta ya alizeti na mwamposa

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 ปีที่แล้ว +3

    Makafiri wanatukana hawajibu hoja