MDAHALO WA MAULIDI KATI YA ANSWAR SUNNAH NA WATU WA BIDAA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 55

  • @alisharifsalim
    @alisharifsalim 4 วันที่ผ่านมา +2

    Ansaaru sunna ndio mbwa wa motoni

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 4 วันที่ผ่านมา +1

    Naya penda maulidi naamini mashekhe Waliotangulia kabla yetu Toka Karne ya 9 kwao ilikua ni Suna .na Hadith ipo wazi atakae kuja na jambo zuri katika dini yetu atapata thawabu Kwa alicho kuja nacho ,na atakae kuja na jambo baya nae atalipwa ubaya wake yaani atapata dhambi kiasi Cha alicho kuja nacho.na ninaamini maulidi ni jambo zuri na yamenifanya ni ujuwe ukoo wa mtume na ameletwa kwanini.

  • @seifmohd5357
    @seifmohd5357 7 วันที่ผ่านมา +1

    Nawapenda sana watu wa bidaa na nazipenda bidaa san kwel kwel

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 6 วันที่ผ่านมา +1

      Allah atuongoze katika njia ya hakki yani umepotea njia ya sawa arafu bado unafurahiya upotevu subuhana llah unajisifu kufanya bidaah subuhana llah uongoke na kama hutoongoka basi Allah akuangamize na atakao waangamiza katika kundi la mafasiki aamen

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 7 วันที่ผ่านมา +1

    ,Ansar waache dhulma warejeshe haki za marhum said janjira hao si watu haki hata kidogo

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 4 วันที่ผ่านมา

      Anaweza mtu akajinasibu na Haki lkn matatzo tu Hana kitu

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 7 วันที่ผ่านมา

    ,wamewadhulumu yatima na mjane hapa tanga hakuna asiyejua lakini hao kiongozi wao wanajua lakini wanamuogopa mungumtu

  • @hashimgola862
    @hashimgola862  8 วันที่ผ่านมา

    Kwani nani hapa ninae mchukia wote hawa masheikh wangu nawapenda sana

  • @jamalikatikiro6145
    @jamalikatikiro6145 4 วันที่ผ่านมา

    Mawahabi kwa matusitu ilim hakuna

  • @shafisaggaf1889
    @shafisaggaf1889 8 วันที่ผ่านมา +2

    Mawahabi chuki zitawauwa na fitna

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 6 วันที่ผ่านมา

      Chuki kuambiwa ukweli bidaah unazofanya mbona Jambo lipo wazi halikufanywa na mtume Lina umuhimu gani na uzuri gani ikiwa mtume wa mungu akufanya wala maswahaba na sisi dini tunachukuwa kwa mtume tumtafute aloanzisha hayo maulid alikuwa na wadhifa gani katika hii dini aliamriwa na nani?? Ikiwa Allah ametuamrisha ibada zote tuchukue kwa mtume yeye ndo kiigizo bora Sasa maulidi yameanzishwa na nani! ? Je ni ibada au ni Ada? Na ukitumbia ni ibada ibada tunauliza ibada hii mtume hakuijuwa ukijijbu tuu hakukuhuwa tayari utakufulu na ukisema ni Ada ada hii ya kina nani waaarabu au watu gani?? Kitu kwenye kitabu hakipo kwenye hadithi hakipo ww unafanya tuambie imetowa wapi na hali mtume wako hakufanya na sisi tuna hakki ya kuyapinga Sabu hayakufundishwa na mtume kwahiyo kukalia kusema wahaby chuki hizo ni propaganda uendelee na batwil manake watu wasikataze huu munkari siyo.lazima tukataze wapo wanakubali hakki wanawacha ww kama umeona kufa katika batwili ni sawa Allah aliongoze uzinduke na urongo huo.

  • @darajanida
    @darajanida 8 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe mjuinga ulieandika kichwa cha habari hichi Wacha chuki kuwa na inswafu

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 8 วันที่ผ่านมา +1

      Ni sahihi tuuh kwani ninyi so watu wa bidaah Hilo sahihi, ni watu wa bidaah insafu gani ssasa

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 8 วันที่ผ่านมา

      ​@@user-yj5on8cz3enyinyi masalafi ni pote la mayahudi huo ndiyo uhalisia ingawa nanyi mkiambiwa hivyo mnawaambia wenzeni hawana inswaf ktk dini

    • @darajanida
      @darajanida 8 วันที่ผ่านมา

      ​@@user-yj5on8cz3e sisi tuna bidaa kukushindeni nyinyi mawahabi au

    • @darajanida
      @darajanida 8 วันที่ผ่านมา

      ​@@user-yj5on8cz3e hemu taja iza unazo ziona kuwa nibidaa kwetu na sisi tutaja bidaa mlizo nazo uone

  • @shafisaggaf1889
    @shafisaggaf1889 8 วันที่ผ่านมา

    Watu wa fitna

  • @abubakaromar6101
    @abubakaromar6101 7 วันที่ผ่านมา +2

    Watu wote ni Bid'aa hakuna ambae hafanyi Bid'aa ni Sunna wala hakuna awezae kuikimbiya Bid'aa hapa sote tunao comments tayari tuna Bid'aa twaweza kuulizana hizi Simu tuzituyazo nani alotumia kutoka Nabii Adam A.S mpaka kwa Mtume SAW wetu au Maswahaba,kwa hivyo Bid'aa zipo na zitaendelea kuwepo ni kila mmoja amejitahidi kwa Qadri ya uwezo wake na misimamo yake

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 6 วันที่ผ่านมา

      W😂😂😂ww kweli ni jahli murakaba mtume alipokemea bidaa alikusudia simu au maspika au tv au 6:00 gari au ndege??? Elimika ww na tumfate mtume vinginevyo utaangamia bidaa ni Jambo lililozuliwa katika dini likapachikwa na kufanyia ni ibada mtume anasema man ahdatha fii amrina hadha Malaysa fahuwa rradi mwenye kuzuwa Jambo katika dini yetu atarejeshewa mwenyewe alikusudia simu?? Acha ufala na ujahli badilika na uitafute hakki utabaki hivyo hivyo unadanganywa wakati watu wanatetea maslahy yao na matamanio.

    • @RashidMkubwa
      @RashidMkubwa 5 วันที่ผ่านมา

      inaonesha hujui kwnn mtume muhammad (s.a.w) alike alikemea bid'aa maana usingea upuuzi huu

    • @RashidMkubwa
      @RashidMkubwa 5 วันที่ผ่านมา

      Bid'aa ni kila jambo jipya linaloingizwa ktk dini yaani ibada mpya ayo masuala ya simu sjui bodaboda viereje

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 5 วันที่ผ่านมา

      @@RashidMkubwa kusoma Quran au kumswalia Mtume SAW ni ktk mambo mapya?

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 4 วันที่ผ่านมา

      Kabisa, na wakt mwengin hao wanaojinasibu na Sunn inawezekan ndio Wanafanya bidaa mbaya zaidi