Allah awaongoze hawa masufi Jambo ambalo Allah alilonifahamisha Hawa masufi shk wetu Mohammad nassoro bachu Dawaa unazotoa zimewaingia Allah akuhifadhi Uendelee kuelimisha ummah Hizi chuki zao Wewe mziwanda ndoo umekwama Mtawadanganya hao wajonga ambao Hawataki kuitaguta haq Sisi tunamuomba Allah awaongoze kwenye haq
Hizo dawa anazotoa hivi unajua kubwa anasema kuna tawhid 3 ili hali kuwa hakuna sehem mungu mtume wala swahaba aliyewahi kusema kuna tawhid 3 soma acha kukalili masufi ni watu wa bidaa na mawahabi ni watu wa bidaaa pia
Daaah mziwanda nilikuwa nakukubali but kwa hili la kuacha uovu au jambo baya liendelee et kisa tu alifanya ni baba mzazi, hapo shekh c sawa, unaonaje uovu hilo alilosema marehem kuna watu ni wafuas wake wanaliendeleza, so unataka kutuambiwa hao waczinduliwe, hv unadhan utakuaje hali ya maiti wetu huko kaburin kwa hilo jambo lake alilowaachia watu, kipi bora shekh wangu, kati ya kuwaambiwa watu kuwa halikuw sahihi au watu waendelee kushika aliyoyasema mait ilhali maiti wetu awe na la kujibu mbele ya Allah siku ya siku. Tumche Allah jaman
Wallah nafurahi kuona wanatapatapa dalili ya kwamba kidogo kidogo wanaelewa reaction is just natural ones the truth is revealed and inshallah Haq will prevail, hawa watu wametupotosha siku nyingi mno hoja wameshindwa kujibu wameenda kumattack yeye personal
Shehe Kidogo Nikupe Nasaha xenye hekma Kwanza Tuwache na muwache na wenza wenu Chuki Binafsi au vijembe Shehe Bachu Alimkosoa Baba Yake mitandaoni Si kwa chuki wala Dharau alitaka Umma uelewe kwamba Mzee alikosea na akamuombea dua Pale Baba Yake na aliweka Sawa maneno kwa Elimu Ya Kiislam Dua ya mtoto uliemzaa ni nzuri kwa mzaz ambae tayar alitangulia mbele xa Hakki..... marehem Sheikh Nassor aliacha Sadaqatul Jaariya na Hiyo Sadaka Kubwa Kuliko Ni mtoto wake ambae ni Sheikh Muhammad Bacho aliweka Sawa kauli Ya Baba alietangulia... Kwa kuweka Sawa Kule Kutafananishwa ni Sawa na Sheikh Nassor sbb Sheikh Muhammad yy mwenyewe alisema aliemtoa tongo tongo za Ujinga na kumpa elimu ni Baba yake huyo aliemkosoa.... turud na Hadithi sahihi sema kwel japo kuwa Chungu .... Ni chungu sana Kusema Ukwel kwa kukosoa pale Baba alikosea...... Mashehe mnaelimu Kubwa sana Ila Hazijawaathiri mnasoma Vitabu na matabu ila Hamuelewi nini mnakisoma Msimuonee chuki Bacho Ukwel Upo wazi kabisa mchango wa Yule Kijana Ni Mkubwa sana Tafauti na Umri alioishi..... nakazia Kwa Kusema Rudi tena Darasani mjifunze Kitu Kimoja Maarifa Ya elimu mliosoma nimemamiliza
Mashallahu Maudhui safi kabisa hii ndio Faida ya kusoma zikasoma kwa lengo lakunufaisha sio matusi kelele na kutusi waliokutangulia kielimu almradi usifiwe nop Msomi hawi Fidhuli
Dini haijui baba wala mama hakki ni iliyo thubutu wanao dai elimu ni nyinyi akina yahe kila siku kubuni kwenye dini ya Allah wapi usomi hapo, jama hata firauni hakua mjinga wala shetani hakuwa mjinga ujinga ni kiburi pale unapo bainishiwa hakki na hakki wanaitambua lakini kwa kiburi na kufata vyama ,na kuogopa nyuso za watu mka ikana hakki basi msichomeke wakati ummah inabainishiwa hakki
@@FatmaHamid-uj7bj Qurani imetaja wafu wangapi wanatajwa kubainisha kosa sio kuthibitisha ukosaji wao illa kubainishia watu lipi la sawa tofautisha. Tena kwenye malengo ya dini sio kwa lengo la dunia
Kiufupi sheikh Mziwanda ulikuwa au mlikuwa na mambo yenu moyoni tu dhidi ya Sheikh Muhammad Bachu,ila M Mungu ndo ashamjaalia,kuna chuki tu na choyo vinawasumbuwa,kwasababu hayuko upande wenu wa ki khurafi wa kutetea mambo ya uzushi,mafumbo mingi..ila umeeleweka,M Mungu akutoeni huko kwenye mambo ya Husda,choyo,chuki na roho mbaya.wabillahi Tawfiq
mbona mnamtetea bachu ebu sikilizeni hoja na elimu anayotoa Mziwanda. huyo bachu naye anayo elimu lakini sisi hatutakiwi kubeua masheikh tuangalie pale alipomkosea baba yake je marehemu ni kweli alikosea?;tufungue vitabu na tusome
Sheikh Muhammad bachu Alichofanya ni haki Kwa baba ake.kwa sababu ana wafuasi wanaofuta na Ile kauli ya baba ake sio ya haki Kwa mujibu wa kitabu na sunna.Ikisha mziwanda ujielewe ukiwa na kosa kubali kosa
We nae kama senge amefanya Haq kwa maudhui gani hali ya kuwa hiyo Qur'an imekufundisha kuwa mwema juu ya wazazi hautakiwi hata kusema neno aah ww unamponda mbele za watu inamaanisha nini acha upimbi wewe
Hawa wapotoshaje wa dini bado wanatetea kuwenye kutetea uongo na ushirikina, hutamona anajibu hoja za nukta 19, ndio inayowaletea hawa wapotoshaje ukhurafi zao.
Mh yani huyu kila jambo hujifanya anaufundinalo kumbe anajidhalilisha2 tumechoka na maneno yako ya kujifanya unajuwa kumbe unaungua na jua unatia haibu sana muite kwenye niqashi tetea hoja sio vijembe
Wewe mziwanda nilikua nakuona mtu wa mana kumbe ni wale wale tu wakuendeshwa na matamanio, si uisikilize iyo video ya Al Akh Muhammad akimzungumzia Shk Nassor sio uhadithiwe tu kisha kukurupuka mitandaoni kutaka umaarufu na kiki, alizongumza ktk mzani wa haki kwamba Shk alikosea kama binadamu na kubainidha kua itikadi ile haikua sawa ili wengine wasije wakafata kwa madai kua Shk alisema kisha akawa na dhimma, kwaio yy alifanya jambo muhimu na kuonyesha mapenzi ya dhati kwa Sheikh Nassor Allah amrehemu kwa kuwabainishia watu ili kumvua baba yke ktk dhimma..... Nyinyi masufi akisema Sheikh ndio hapingwi yy hata kama alikosea mtatafuta njia msime yalikua majazi. ALLAH ATUONGOZE SISI MA NYINYI KTK NJIA YA SAWA
Hivi wewe Muislamu mwenzangu Kaka na dada unaye mkosoa Muislamu mwenzio mitandaoni hadharani awe yuko hai au amekufa....nauliza MAKUNDI YAKO 72 JE KUNDI GANI LIKO SAWA Kwa ALLAH? Maoni ni haya ukiona mapungufu ya alioko hai au mapungufu alioyatenda mwenda zake,, vyema tafuta wakaribu yake hata japo alo kua rafiki yake umuombe akukutanishe au mkutane mkumbushane kinidhamu koliko kuonesha umaarufu wa kodini mitandaoni,ikiwa hivi naona twampa nguvu shaithwani. ALLAH ATUPE SOTE MWISHO MWEMA NDUGU ZANGU.
Mziwanda jaafari kaacha uzushi na nyinyi mnaufanya huo uzushi ni dini lazima usemwe ,na kama baba yake alikosea kwenye dini na kafundisha watu hayo makosa ,kuyasema ndio usahihi ,kunyamazia makosa kisa baba yako ndio makosa,mziwanda unapoteaaa hiii dini si ya mtu ukikosea lazima uwambiwe ,usinye kupoteza watu
Mziwanda anatetea hawaa za nafsi yake tu! Sasa cjui kwa nn huwa anafanya kama kudokoa tu mambo haya. Kama kweli ana hoja za kutosha kwa nn asiandae mada kamili ajibu hoja zote kwa ukamilifu wake au afafanue maswala kwa kwa urefu zaidi!
MBONA MLISHINDWA KUPOST NIQASHI YA SHEKHE SABAS AL KUBRA KAMA KWELI BACHU KAKWAMA😂😂😂😂 MZIWANDA AOMBE NIQASHI TUONE ELIMU NA MAARIFA ITAVYO FANYA KAZI. AACHANE NA MAWAZIRI HAWAJUI KTU WAO NISIASA TU
Wajua usifanye dini ni siasa unaelekea pabaya mziwanda ameongea pont ila mnakasha ameitishwa na shekhe said wa mambrui bachu anapotea na qnapotosha watu
Hayo yote ni kwa sababu ya barzanji uwongo wa barzanji mumeshindwa kuutete sasa munamchafua bachu Kuna kosa gani kuhadharisha kilicho kosewa ili watu wasifate يستمعون القول فيتبعون أحسن...... Hii aya mziwanda haijui inakazi gani mbona watoto wadogo tu madrasa wanajua
BACHU KADANGANYA!! Bachu hana hoja, ila kwenye ule mjadala wa Tanga alimchezea rafu mwenzie kwa kumchomekea hoja ambazo Sheikh Barzanji ktk kitabu chake halisi maneno yale hakuyasema, Bachu asilimia kubwa ya hoja zake amemsingizia sheikh Barzanji hayakuwa maneno yake ila mchapishaji wa kitabu alikusanya vitabu vya watunzi wengine akaviweka kwenye kitabu cha barazanji na kukichapisha kama kitabu kimoja huku kichwa cha kitabu kikisomeka kama Mawlid Barzanji, jambo ambalo enadapo utakurupuka hautaelewa kama maneno mengine sio ya Barzanji mwenyewe. Kwa Bahati mbaya awali Bachu hakukisoma nukta kwa nukta na kulijua hilo, badala yake kuna hoja za jamaa alizofanya ghushi akijifanya kumkosoa Sheikh Barzanji kwa kunukuu maneno ya vile vitabu vyengine vilivyokusanywa ndani ya kitabu cha Barzanji akidanganya kuwa eti ni maneno ya Barznji ilihali sio kweli. Bachu alikurupuka akaziichukua zile hoja kama zilivyo na kuanza kumshambulia Barzanji, hata hivyo baada ya kukisoma na kujua ukweli kwa yaliyo ndani ya kitabu cha Barazanji alichokitupa kwa dharau na kubri ndani yake kuna maneno mengine ni aya za Qur'an ameomba radhi.
Huyu Mziwanda anahitaji nasaha za kielimu, vinginevyo atapoteza watu wajinga wasiojielewa kwa sababu huwa anachanganya mambo akidhani anapatia, نسأل الله أن يهديهم إلى التوحيد والسنة
Kaka, ilmu iloyojaa hapo kifuani kwa sheikh Mziwanda ni bahari, usiiogelee utazama. huyo Mohamned Bachu haingii hata theluthi ya ilmu aliyokuwa nayo sheikh Mziwanda..
Waambie ukwel maulid mashairi ya miaka 800 baada ya mtume kufarik kama kuna makosa yanayo pingana qurran nasuna wazi wafahamishe ujitoe dhima kwa mungu sababu unagroup kubwa ktk nchi hii
Ni kweli bachoro kakwama maana anaogopa hata majadiliano mombasa ndio maaana anatoa masharti yasio na msingi nenda kapambane na kijana mwenzio yule hajasoma google yule kasoma atamnyoosha bacoro
Sas unaamaan kitbu ndiocho chenye makosa lkn maulidii yafaa?? 2.mtot wa bachu akiandika chake atakubal maulid sas pale kwenye makosa arekebishe alfu ndio tuanze kusoma maulidii vzr na wasalafi
Uzuri ni kwamba anakiri kua Sheikh Barzanji alikosea! Kama ni hvo basi sio vibaya watu wakiyabainisha makosa yake ili umma uelewe kwa sababu madhara yake bado yanaendelea mpaka leo. Na pia hakuna ubaya wowote ikiwa baba yake kuna maswala fulani ya kielimu aliyaelewa tofauti akayaeleza tofauti labda kulingana na elimu yake kuwabainishia watu kwa sababu elimu ni bahari.
Sh. Mziwanda tunapenda sana daawa zako lakini usijewatetea wahuni wa Madufu na pia Maulidi maandiko elezea wazi kuwa mapungufu ktk barzanj yapo mengi ila labda tuyafumbie macho. Usijetetea batili utakuja shusha elimu yako chini. Pili Seculer education iangalie tena maana yake sio hiyo. Seculer education means education zio inayofundishwa mashuleni. Review Dr. Zakir Naik Genious katafsiri Nini Seculer education.
Yaani hawa masufi hapa ndipo walipo feli, katika mambo ya dini haijalishi nani ni yeyote yule akikosea mahali afaa awekwe sawa kielimu. Ndio nyie masufi ndio mulifeli mukaacha watu wajisemee watakavyo wajifanyie watakavyo kisa na maana haifai kukosoa sharifu
هؤلاء يسمون الصوفية، والتصوف الذي أحدثه هؤلاء بدعة في الدين، وكان أصل ذلك أنه وجد في المسلمين زهاد وأهل ورع وزهد يتعبدون ويحرصون على العبادات والقراءة والذكر في المساجد والبيوت حرصاً منهم على الخير، ثم تطورت الأحوال حتى حدث هؤلاء الذين أحدثوا بدعاً ومنكرات في الدين، منها هؤلاء الذين ذكرهم السائل، الذين يتعبدون بالطبول والدفوف والأناشيد والأغاني وآلات اللهو، هذا منكر من القول وبدعة. وقد أنكر ذلك العلماء، وأطال في ذلك العلامة ابن القيم رحمه الله وغيره من أهل العلم في كتابه إغاثة اللهفان، وأطال غيره فيها من أهل العلم وبينوا بطلان ذلك وأن هذا منكر عظيم يجب تركه، ولا يجب أن يسمى هؤلاء علماء ليسوا بعلماء هؤلاء، بل هؤلاء جهال في الحقيقة، وليسوا بعلماء بل أضلوا الناس ولبسوا على الناس، فلا يجوز اتباعهم في هذا الأمر، ولا تقليدهم في هذا الأمر بل يجب أن ينصحوا وأن يوجهوا إلى الخير، وأن يحذروا من هذه البدعة المنكرة. وأشنع من هذا وأكبر دعاؤهم الأموات والاستغاثة بالأموات، هذا شرك أكبر، هذا شرك الجاهلية شرك أبي جهل وأشباهه، دعاء الأموات كـالعيدروس أو الشيخ عبد القادر الجيلاني أو البدوي أو الحسين أو غيرهم من الناس هذا شرك أكبر، هذا مثل فعل المشركين الأولين مع اللات ومع العزى، ومثل فعل النصارى مع عيسى وغيرهم فهذا شرك أكبر. فإذا قال: يا سيدي فلان! اشف مريضي، أو رد علي غائبي، أو اقض حاجتي، أو أنا في حسبك، أو المدد المدد يا سيدي! سواء كان هذا مع النبي عليه الصلاة والسلام أو مع الحسين بن علي بن أبي طالب رضي الله عنه، أو مع الشيخ عبد القادر الجيلاني، أو مع العيدروس أو مع البدوي، أو مع الست نفيسة أو الست زينب أو غيرهم ممن اشتهروا في مصر وغيرها، وفي الجنوب العيدروس وناسا آخرين، وفي العراق الجيلاني وأناساً آخرين.
Makka na madinah hawasomi maulidi wala hitima na huko ndipo ilipo shuka qurani nyinyi mmetowa wapi mtume na maswahaba zake hawakufanya mlinacho fanya na mpaka Leo hawafanyi hivo mkiambiwa wenzenu hawaja Soma nyinyi ndio mmesoma wakati chuoo kikuu ni madina easijuwe mjuwe nyinyi Sasa hivi tumeshajuwa hamtuwambii chochote
Mm nqkuombaa mziwanda ukasikilize alichosemaa bachu hakusemaa hayuko sawaa amesemaa kunasehemu kwwnye dawaa zake alikosea nasio sawa nahiyoo alikuwaa anatakaa kumtoa baba yake katika dhambi hiyo kwasababu watu wakiendelea kufuataa baba yake atakuwa kwwnye shidaa sasa msitafute mambo ambayo hayanaa mashiko jaribuni kutete maana anazoleta bidaa kwenye maulidi jaribu kutetea hapo nassi tupate elimu
Sasa tunahukumiana kwa madh-heb na manhaji uislamu hausemwi tena! Ni huyu kujibu hoja ya yule na yule ya huyu! Rejeeni maneno ya Jibril alipomtokea Rasulullah na yale maswali aliyuuliza. Uislamu ni nini? Imani ni nini? Ihsani ni nini? Kama umeona mtu kakosea, aelimishwe kwa hekima. Kwani si tumefundiswa tuwasemee marehemu wetu vizuri!!!
Wewe sheikh mziwanda usilete mambo yakisiasa ktk dini nakutumia jina la mtume kwasababu unachanganya khabari kati ya dini naselikali mbona haueleweki point yako ama umetumwa na ccm
Nabii Sulayman alikosoa hukmu aliitoa baba yake na Allah katuelezea hili. Hapa naye mnasema hana adabu!! Wacheni siyasa akina Mziwanda na wenzake. Dini ni ya Allah wacheni chuki. Katika aya na hadithi kumkosoa mtu au kumrekebisha kwa watu wa sunnah sio kitu kibaya bali unamuokoa pale alipokosea kama binaadam na ili asibebe mzigo wa watakaopotea kupitia yeye maana hakuna binaadam mkamilifu hata kama kasoma, hajamtukana baba yake muogopeni Allah na ondoeni mafundo la sivyo ule muhadhara mngejibu hoja kielimu na sio maneno ya kisiyasa. Sheikh mziwanda naona sana siku hizi nimemuelewa siyasa na falsafa nyingi na dalili za kisunnah atazitumia pasipo mahal pake na mche Allah sheikh. Sijaona mahal ambapo ukimkosoa hata sheikh wako alotoa mawaidha akakosea bahti mbaya ukadai ati sio vizuri kukosoa maana kafa!!! Hii sio dini bali siyasa.
NLICHO JIFUNZA NIKUWA MZIWANDA KWENYE HII CLIP KABORONGA.TENA HUYU MTUMAJI NAHISI ANAONA HADI FEDHEHA MAANA NI AIBU CHANEL YAKO LKN KILAMTU YUPO KINYUME NA FIKRA ZAKO.ALLAH ATUONGOZE SOOTE.
Na da'waa nayo haitakii upotofuu na kutukanaaa watu bachu ni mpotofuu sanaaaa anatumiaaa manenoo mazitoo kutukanaa masheikh na bado ni kijanaaa mdogoo sanaaaa
SASA KAMA HADI BABAAKO USHAMKOSOA NAKUSEMA HAKUA SAWA TUTEGEMEE KUA UTATUSAPOTI SISI AMBAO SO BABAZAKO WALA UNDUGU HATUNA NAWATU TUNAJIFANYA HATUONI HATA HADITHI PIA KAMA HATUZISIKII VILE TUNAZIDI KUMPA KICHWA T WATU HATUJUI KUSOMA HATA QURAN VZR ILA KWENY UBISHI NDO TUMEGANDA DAH😭
Hahaa kwel Muhammad bachu amekua akiwapeleka vibaya hawa watu yani mtu anatumia muda wote huo kumjadili yeye haahaa.. kisha shekh Muhammad bachu hakusema baba yake hayup sawa ktk dini bali alisema ktk kauli ya kusema muislam akingia moton atakaa milele. zipo dalili nying tu zinaonesha kua muslam atazibiwa kutokana na makosa yake lkn hatokaa moton milele.
Yahaya,ivi umemtoa baba na Mama yaoko kwenye makafara ya Freemason na unaambiwa baada ya mzishi Mama yako ndo atakuwa mkeo ili Mali izidi,uyo nae vpi hakai motoni milele? Jamaniiiiiiii waislam
Jamani naomba ntajiwe bidaa 10 zilizopo ivi sas au hakuna bidaa asaa man nnavojua bidaa inazushwa katika dini au hakuna bidaa kuna maaswiyaa tuu na kam bidaa zipo tutajieni tuzijuwe au ndo izo izo zinazotajwa na mashekh zet mbon hamuzizungumzii bidaa nynyi au mnajijua mnahusika man sijamuona shekh dizain hii akaelezea kuhus bidaa tutajien bc.
mohd bach Allah akulind na mahasid
Ameen
@@nadyasalim7956 Allahumma Ameen
Jamani hizo nafasi nlizopewa na Bakwata zitendeeni haqi kwa kuelimisha Watu yaliyo ya kweli na si kutuma nguvu kuubwa Ku tete a bidaa.
Kuna bida zaidi ya tauhidi tatu bachu kazitoa wapi mtume hakuna nao wala maswahaba hawajagawanya tauhidi tatu
Mashaallah allah akupe umri wenye baraka
Sheikh muhmmad bachu allah akuhifadhi masufi kazi yao ni bidaa na hawaa za nafsi zao
Unaongea nn unamtetea mpumbv mtupa kitabu kibri na chuki zenu nd zitakaz kuingizen motoni ndmn nyny nd mnaorejesh nyuma uislam kW chuki zenu
Allah awaongoze hawa masufi
Jambo ambalo Allah alilonifahamisha
Hawa masufi shk wetu Mohammad nassoro bachu
Dawaa unazotoa zimewaingia
Allah akuhifadhi
Uendelee kuelimisha ummah
Hizi chuki zao
Wewe mziwanda ndoo umekwama
Mtawadanganya hao wajonga ambao
Hawataki kuitaguta haq
Sisi tunamuomba Allah awaongoze kwenye haq
Hizo dawa anazotoa hivi unajua kubwa anasema kuna tawhid 3 ili hali kuwa hakuna sehem mungu mtume wala swahaba aliyewahi kusema kuna tawhid 3 soma acha kukalili masufi ni watu wa bidaa na mawahabi ni watu wa bidaaa pia
Ma shaa allah maneno ya busara kwa kweli
Sheikh Mziwanda mtoto wa bacho hanaga weledi kesho atakuporomoshea nyundu nzito labda asiione hii clip yako
😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅
Wallahi Wasomi utawafahamu tu kupitia Maudhui yao Allah Akubariki Sheikh
Daaah mziwanda nilikuwa nakukubali but kwa hili la kuacha uovu au jambo baya liendelee et kisa tu alifanya ni baba mzazi, hapo shekh c sawa, unaonaje uovu hilo alilosema marehem kuna watu ni wafuas wake wanaliendeleza, so unataka kutuambiwa hao waczinduliwe, hv unadhan utakuaje hali ya maiti wetu huko kaburin kwa hilo jambo lake alilowaachia watu, kipi bora shekh wangu, kati ya kuwaambiwa watu kuwa halikuw sahihi au watu waendelee kushika aliyoyasema mait ilhali maiti wetu awe na la kujibu mbele ya Allah siku ya siku. Tumche Allah jaman
Amesha sahau hata Nabii Ibrahim as alimkosoa babake
Acha unafiki wewe
Acheni bachu aekwe sawa kama hauna elimu basi hata akilii
Yan kwenye hili yupo sahihi sn asaaaaa Bachu wala wacseme kitu, kwnz yy hajamkosoa bali amewaamsha watu ukwl n upi
Chawa mzee
Wallah nafurahi kuona wanatapatapa dalili ya kwamba kidogo kidogo wanaelewa reaction is just natural ones the truth is revealed and inshallah Haq will prevail, hawa watu wametupotosha siku nyingi mno hoja wameshindwa kujibu wameenda kumattack yeye personal
True
Shehe Kidogo Nikupe Nasaha xenye hekma Kwanza Tuwache na muwache na wenza wenu Chuki Binafsi au vijembe Shehe Bachu Alimkosoa Baba Yake mitandaoni Si kwa chuki wala Dharau alitaka Umma uelewe kwamba Mzee alikosea na akamuombea dua Pale Baba Yake na aliweka Sawa maneno kwa Elimu Ya Kiislam Dua ya mtoto uliemzaa ni nzuri kwa mzaz ambae tayar alitangulia mbele xa Hakki..... marehem Sheikh Nassor aliacha Sadaqatul Jaariya na Hiyo Sadaka Kubwa Kuliko Ni mtoto wake ambae ni Sheikh Muhammad Bacho aliweka Sawa kauli Ya Baba alietangulia... Kwa kuweka Sawa Kule Kutafananishwa ni Sawa na Sheikh Nassor sbb Sheikh Muhammad yy mwenyewe alisema aliemtoa tongo tongo za Ujinga na kumpa elimu ni Baba yake huyo aliemkosoa.... turud na Hadithi sahihi sema kwel japo kuwa Chungu .... Ni chungu sana Kusema Ukwel kwa kukosoa pale Baba alikosea...... Mashehe mnaelimu Kubwa sana Ila Hazijawaathiri mnasoma Vitabu na matabu ila Hamuelewi nini mnakisoma Msimuonee chuki Bacho Ukwel Upo wazi kabisa mchango wa Yule Kijana Ni Mkubwa sana Tafauti na Umri alioishi..... nakazia Kwa Kusema Rudi tena Darasani mjifunze Kitu Kimoja Maarifa Ya elimu mliosoma nimemamiliza
Bachu Hana elimu Ila anakiburi kikubwa,sisi tunasema ni debe tupu😂😂😂😂
Mashallah Allah akujaze kheir
Bachu mtupu anaelimu ya ubishi tuu
Masha Allah shukran
Shida ndungu zetu waislam acheni mazoea ktk mambo yabidaa zilizo anishwa na muulamaa na mazushi mengine niuongo ktk dini ya allah
Mashallahu Maudhui safi kabisa hii ndio Faida ya kusoma zikasoma kwa lengo lakunufaisha sio matusi kelele na kutusi waliokutangulia kielimu almradi usifiwe nop Msomi hawi Fidhuli
Huyu mziwanda anapotosha ummat Muhammad
Makosa ya Mzee mtatuaji mwana au mtoto wake sheikh Muhammad bachu Alichofanya huko sawa ili wafuasi wa baba ake wasije wakafuata kauli Ile.
Swadaqtaa hakika kakwama Allah atuongoze kwenye kheri
Mbona Kwenye Niqaash Haukuwepo Kwenda Kumtetea Mtume na Mawlid. Allaah Akuongoze.
Wanaojua nafasi zao ndio waliofuzu
C wote walozowea kujibizana wengine na Heshima zao Walisoma kuleta natija sio kufarikanisha Maudhui yake tu tosha mashallahu kuonyesha ni Msomi
Sheikh Mziwanda ayo ni matusi akifanya Sheikh Muhammad bachu mnasema anatukana wanachuoni
Shekhe maneno yako mazur Lakin kwaza tutafute msingi wa maneno yako
Dini haijui baba wala mama hakki ni iliyo thubutu wanao dai elimu ni nyinyi akina yahe kila siku kubuni kwenye dini ya Allah wapi usomi hapo, jama hata firauni hakua mjinga wala shetani hakuwa mjinga ujinga ni kiburi pale unapo bainishiwa hakki na hakki wanaitambua lakini kwa kiburi na kufata vyama ,na kuogopa nyuso za watu mka ikana hakki basi msichomeke wakati ummah inabainishiwa hakki
Kwaiyo ww unapingana na hadithi ya mtume kutoyasema mabaya ya ndugu zenu
@@FatmaHamid-uj7bj Qurani imetaja wafu wangapi wanatajwa kubainisha kosa sio kuthibitisha ukosaji wao illa kubainishia watu lipi la sawa tofautisha. Tena kwenye malengo ya dini sio kwa lengo la dunia
Hekma imekujaa sheikh ما شاء آلله
Mashallah
Kiufupi sheikh Mziwanda ulikuwa au mlikuwa na mambo yenu moyoni tu dhidi ya Sheikh Muhammad Bachu,ila M Mungu ndo ashamjaalia,kuna chuki tu na choyo vinawasumbuwa,kwasababu hayuko upande wenu wa ki khurafi wa kutetea mambo ya uzushi,mafumbo mingi..ila umeeleweka,M Mungu akutoeni huko kwenye mambo ya Husda,choyo,chuki na roho mbaya.wabillahi Tawfiq
mbona mnamtetea bachu ebu sikilizeni hoja na elimu anayotoa Mziwanda. huyo bachu naye anayo elimu lakini sisi hatutakiwi kubeua masheikh tuangalie pale alipomkosea baba yake je marehemu ni kweli alikosea?;tufungue vitabu na tusome
Kweli kabisa maneno ya masufi ubwabwa yamejaa husda nyingi.
@@azizihfarijala5307hajaongea lolote lenye manufaa
Mtume Muhammad. Alisema. إن ابي وابك في نر.
th-cam.com/video/iqQOYwNt8NY/w-d-xo.html&feature=share8
Ingia hapo ueleweshwe
MashaAllah mtoto wa Bachu amewatandika mashehena ubwabwa wote wamebaki na porojo tu.
Sheikh Muhammad bachu Alichofanya ni haki Kwa baba ake.kwa sababu ana wafuasi wanaofuta na Ile kauli ya baba ake sio ya haki Kwa mujibu wa kitabu na sunna.Ikisha mziwanda ujielewe ukiwa na kosa kubali kosa
Subhanallah saa Hivi dini imekua kama simba na yanga kumbe
We nae kama senge amefanya Haq kwa maudhui gani hali ya kuwa hiyo Qur'an imekufundisha kuwa mwema juu ya wazazi hautakiwi hata kusema neno aah ww unamponda mbele za watu inamaanisha nini acha upimbi wewe
MashAllah
Hawa wapotoshaje wa dini bado wanatetea kuwenye kutetea uongo na ushirikina, hutamona anajibu hoja za nukta 19, ndio inayowaletea hawa wapotoshaje ukhurafi zao.
ماشاءالله
Waislaam acheni kulumbana nchi makafiri wanaivamia hii.
MASHA ALLAH 🇰🇪💚💚💚
Jibuni hoja kuhusu Barzanj..... Acheni kututoa nje ya mada.... Kwenye hili shk mziwanda huna jipya... Kwenye kukosoa hakuchagui
Mh yani huyu kila jambo hujifanya anaufundinalo kumbe anajidhalilisha2 tumechoka na maneno yako ya kujifanya unajuwa kumbe unaungua na jua unatia haibu sana muite kwenye niqashi tetea hoja sio vijembe
Wewe pia Ni minafiki,ulitakiwa uanze wewe Kwanza.
Ndugu zangu tujifunze dini.Muhammad Bachu kajitahidi kusahihisha pale alipoteleza Sheikh wetu kama binadamu.
Wewe mziwanda nilikua nakuona mtu wa mana kumbe ni wale wale tu wakuendeshwa na matamanio, si uisikilize iyo video ya Al Akh Muhammad akimzungumzia Shk Nassor sio uhadithiwe tu kisha kukurupuka mitandaoni kutaka umaarufu na kiki, alizongumza ktk mzani wa haki kwamba Shk alikosea kama binadamu na kubainidha kua itikadi ile haikua sawa ili wengine wasije wakafata kwa madai kua Shk alisema kisha akawa na dhimma, kwaio yy alifanya jambo muhimu na kuonyesha mapenzi ya dhati kwa Sheikh Nassor Allah amrehemu kwa kuwabainishia watu ili kumvua baba yke ktk dhimma..... Nyinyi masufi akisema Sheikh ndio hapingwi yy hata kama alikosea mtatafuta njia msime yalikua majazi.
ALLAH ATUONGOZE SISI MA NYINYI KTK NJIA YA SAWA
Hivi wewe Muislamu mwenzangu Kaka na dada unaye mkosoa Muislamu mwenzio mitandaoni hadharani awe yuko hai au amekufa....nauliza MAKUNDI YAKO 72 JE KUNDI GANI LIKO SAWA Kwa ALLAH?
Maoni ni haya ukiona mapungufu ya alioko hai au mapungufu alioyatenda mwenda zake,, vyema tafuta wakaribu yake hata japo alo kua rafiki yake umuombe akukutanishe au mkutane mkumbushane kinidhamu koliko kuonesha umaarufu wa kodini mitandaoni,ikiwa hivi naona twampa nguvu shaithwani.
ALLAH ATUPE SOTE MWISHO MWEMA NDUGU ZANGU.
Amekurupuka apo Mziwanda yan wao walitaka Muhammad akae kimya, amesahau kua Nabii Ibrahim pia alimkosoa babake
We ni fyat kwel watetea nin kwamb akukosea au ajitia ujuaj
Waislam tunafel hapa tu,tunaangalia kweny makosa,,,ustadh huyu kasema point nyingi Sana nzur,,,waislam wengi wa Tanzania hatujielewi,,,,tusomeni
Mziwanda jaafari kaacha uzushi na nyinyi mnaufanya huo uzushi ni dini lazima usemwe ,na kama baba yake alikosea kwenye dini na kafundisha watu hayo makosa ,kuyasema ndio usahihi ,kunyamazia makosa kisa baba yako ndio makosa,mziwanda unapoteaaa hiii dini si ya mtu ukikosea lazima uwambiwe ,usinye kupoteza watu
Mziwanda anatetea hawaa za nafsi yake tu! Sasa cjui kwa nn huwa anafanya kama kudokoa tu mambo haya. Kama kweli ana hoja za kutosha kwa nn asiandae mada kamili ajibu hoja zote kwa ukamilifu wake au afafanue maswala kwa kwa urefu zaidi!
MBONA MLISHINDWA KUPOST NIQASHI YA SHEKHE SABAS AL KUBRA KAMA KWELI BACHU KAKWAMA😂😂😂😂 MZIWANDA AOMBE NIQASHI TUONE ELIMU NA MAARIFA ITAVYO FANYA KAZI. AACHANE NA MAWAZIRI HAWAJUI KTU WAO NISIASA TU
Wajua usifanye dini ni siasa unaelekea pabaya mziwanda ameongea pont ila mnakasha ameitishwa na shekhe said wa mambrui bachu anapotea na qnapotosha watu
Sasa una weza liganisha bachu na sheikh muharab kaka yangu mupenduwa
Yani ww ndo hamna kitu kabsaa yani unamlinganisha mziwanda na huyo bachurooo.....😂😂😂
Mziwanda unataka dogo akurekebishe
Hayo yote ni kwa sababu ya barzanji uwongo wa barzanji mumeshindwa kuutete sasa munamchafua bachu
Kuna kosa gani kuhadharisha kilicho kosewa ili watu wasifate
يستمعون القول فيتبعون أحسن......
Hii aya mziwanda haijui inakazi gani mbona watoto wadogo tu madrasa wanajua
Dawa imewaingia , fundisheni watu haqi na muache bidaa
Bidaa Nini
Kwaiyo na ww kumsema vibaya babayako wakati kashafariki unahisi ni sawawa
@@FatmaHamid-uj7bj nime tusi nani dada yangu mupenduwa
Tawhid 3 mlizo nazo mawahabi sio bidaaa
Hebu msikilizeni alichozungumza kuhusu baba ake kama kuna sehemu aliteleza asiweke sawa?
Mjibuni bwana mdogo Kwa hoja,
Hoja huna unabwabwaja bwabwaja tu.
Kawashinda mwenzenu yule
BACHU KADANGANYA!!
Bachu hana hoja, ila kwenye ule mjadala wa Tanga alimchezea rafu mwenzie kwa kumchomekea hoja ambazo Sheikh Barzanji ktk kitabu chake halisi maneno yale hakuyasema, Bachu asilimia kubwa ya hoja zake amemsingizia sheikh Barzanji hayakuwa maneno yake ila mchapishaji wa kitabu alikusanya vitabu vya watunzi wengine akaviweka kwenye kitabu cha barazanji na kukichapisha kama kitabu kimoja huku kichwa cha kitabu kikisomeka kama Mawlid Barzanji, jambo ambalo enadapo utakurupuka hautaelewa kama maneno mengine sio ya Barzanji mwenyewe. Kwa Bahati mbaya awali Bachu hakukisoma nukta kwa nukta na kulijua hilo, badala yake kuna hoja za jamaa alizofanya ghushi akijifanya kumkosoa Sheikh Barzanji kwa kunukuu maneno ya vile vitabu vyengine vilivyokusanywa ndani ya kitabu cha Barzanji akidanganya kuwa eti ni maneno ya Barznji ilihali sio kweli. Bachu alikurupuka akaziichukua zile hoja kama zilivyo na kuanza kumshambulia Barzanji, hata hivyo baada ya kukisoma na kujua ukweli kwa yaliyo ndani ya kitabu cha Barazanji alichokitupa kwa dharau na kubri ndani yake kuna maneno mengine ni aya za Qur'an ameomba radhi.
Nasaha mzr mashaallah
Babake Muhammad Bachu km alikosa mahali na ikaenea ulimwenguni, Je hafai kusahihshwa tena mtandaoni ndio marekebishi ifahamike.
Huyu Mziwanda anahitaji nasaha za kielimu, vinginevyo atapoteza watu wajinga wasiojielewa kwa sababu huwa anachanganya mambo akidhani anapatia, نسأل الله أن يهديهم إلى التوحيد والسنة
Acha ushabiki amekosea wap
Kaka, ilmu iloyojaa hapo kifuani kwa sheikh Mziwanda ni bahari, usiiogelee utazama. huyo Mohamned Bachu haingii hata theluthi ya ilmu aliyokuwa nayo sheikh Mziwanda..
Kwly wajinga kma ww ndo amewapoteza bi maana hujakua mfuasi wake sbbu ya ujinga wako yy hufuatwa na wenye akili zao na elimu sio watu km ww na bachu
Kweli huyu jamaaa mtupu mihemko ndo inamfanya aonekane kuwa ana elimu kumbe kitambaa cheupe
Hiki chuma tena chuma kweli mziwanda Allah akuzidishie kher.
Waambie ukwel maulid mashairi ya miaka 800 baada ya mtume kufarik kama kuna makosa yanayo pingana qurran nasuna wazi wafahamishe ujitoe dhima kwa mungu sababu unagroup kubwa ktk nchi hii
Iyo Ni juu yake,na wewe unayako zidisha ibada ukaishi firdaus
KWENYE DINI HAKUNA BABA WALA MJOMBA...ALIYESAHIHI KATIKA WANAADAM, PEKEE NI MTUME TU.
wewe mwndawazimu
Ndio ni uwahabi
Ni kweli bachoro kakwama maana anaogopa hata majadiliano mombasa ndio maaana anatoa masharti yasio na msingi nenda kapambane na kijana mwenzio yule hajasoma google yule kasoma atamnyoosha bacoro
Lazima kuwe na makubalino ili munaqash ifanyike. ILI IMESIPATE SABABU ITAKAPOSHINDWA AU KUMKANA TWARIQA MWEZENU.
Watupu sana Hawa watuu
wewe unaelemu gani kwanyi acha ujinga kuwatusi mashekhe zetu wajinga wakubwa
nikuuliza ww wahibi uliekuwa huna akilyi mtupu ninn?
Anaonekana alipewa nafasi kwa ajili ya kumshambulia Muhammad Bachu
Yaani huoni nasaha alizotoa unasema kamshambulia?
Mawazo yako ww ndio yameishia hapo
Haki na batili ikiwekwa haki itasimama batili itasambalatika
@@ummy-vo6sp batili kusema ukweli kuwa muislam hufai kusema wenzio ambao wameshakufa ndio batili hiyo….????
Tumuombee kwa Allah amuongoze
Nawewe jiombee kwani wewe ni msafi?
Makosa ya bharazanj watoto wake wameshindwa kumuweka sawa baba Yao ndo maana mpaka Leo baba Yao anaonekana hayupo sawa na majazi yake
Sas unaamaan kitbu ndiocho chenye makosa lkn maulidii yafaa??
2.mtot wa bachu akiandika chake atakubal maulid sas pale kwenye makosa arekebishe alfu ndio tuanze kusoma maulidii vzr na wasalafi
Uzuri ni kwamba anakiri kua Sheikh Barzanji alikosea! Kama ni hvo basi sio vibaya watu wakiyabainisha makosa yake ili umma uelewe kwa sababu madhara yake bado yanaendelea mpaka leo. Na pia hakuna ubaya wowote ikiwa baba yake kuna maswala fulani ya kielimu aliyaelewa tofauti akayaeleza tofauti labda kulingana na elimu yake kuwabainishia watu kwa sababu elimu ni bahari.
Huyu KIJANA huwa adabu yake kielimu huwa iko CHINI sana...anakosoa sheikh huyu kwa kunukuu kitabu Cha sheikh huyu anamkosoa huyu
Hii dini ya Allah si ya baba wa mtu wala mama wala mwana
Nyinyi hamuuogopi Allah Bali rais au watu ndio maana hamuwezi kuisimamisha haki
Sh. Mziwanda tunapenda sana daawa zako lakini usijewatetea wahuni wa Madufu na pia Maulidi maandiko elezea wazi kuwa mapungufu ktk barzanj yapo mengi ila labda tuyafumbie macho. Usijetetea batili utakuja shusha elimu yako chini. Pili Seculer education iangalie tena maana yake sio hiyo. Seculer education means education zio inayofundishwa mashuleni. Review Dr. Zakir Naik Genious katafsiri Nini Seculer education.
Hajamukosoa baba yake ila amesawazisha .Wacheni chuki kwa kipinga haki. BARZAJI IMEJAA USHIRIKINA NA UWONGO.
Hiyo ni maoni yako na wachabiki yako indiyo wame Nena lakin Wacha tu matusi tafadali
Yaani hawa masufi hapa ndipo walipo feli, katika mambo ya dini haijalishi nani ni yeyote yule akikosea mahali afaa awekwe sawa kielimu. Ndio nyie masufi ndio mulifeli mukaacha watu wajisemee watakavyo wajifanyie watakavyo kisa na maana haifai kukosoa sharifu
Mmefeli kwenye sauti mawimbi mengi sana
Kwahiyo uovu akiufanya baba tunyamaze kwakua nibaba subhannallah muogope mungu usizungumze ili mradi uzungumze2 hii nidini sio kabila ndugu yangu
Mzee wa kiki huyooooooooo
Waislamu tuacheni bidaa tusiwe kama wakristo kuongezaongeza vitu
SHUKRAN KWA WINGI SHEIKH WETU MZIWANDA NA HUYO KIJANA KA KWAMA KWELI LAZIMA DUA MTOTO WA BACHO ANAUMIA SANA TUMUOMBEENI MUNGU ALIPO FIKA PABAYA SANA
هؤلاء يسمون الصوفية، والتصوف الذي أحدثه هؤلاء بدعة في الدين، وكان أصل ذلك أنه وجد في المسلمين زهاد وأهل ورع وزهد يتعبدون ويحرصون على العبادات والقراءة والذكر في المساجد والبيوت حرصاً منهم على الخير، ثم تطورت الأحوال حتى حدث هؤلاء الذين أحدثوا بدعاً ومنكرات في الدين، منها هؤلاء الذين ذكرهم السائل، الذين يتعبدون بالطبول والدفوف والأناشيد والأغاني وآلات اللهو، هذا منكر من القول وبدعة.
وقد أنكر ذلك العلماء، وأطال في ذلك العلامة ابن القيم رحمه الله وغيره من أهل العلم في كتابه إغاثة اللهفان، وأطال غيره فيها من أهل العلم وبينوا بطلان ذلك وأن هذا منكر عظيم يجب تركه، ولا يجب أن يسمى هؤلاء علماء ليسوا بعلماء هؤلاء، بل هؤلاء جهال في الحقيقة، وليسوا بعلماء بل أضلوا الناس ولبسوا على الناس، فلا يجوز اتباعهم في هذا الأمر، ولا تقليدهم في هذا الأمر بل يجب أن ينصحوا وأن يوجهوا إلى الخير، وأن يحذروا من هذه البدعة المنكرة.
وأشنع من هذا وأكبر دعاؤهم الأموات والاستغاثة بالأموات، هذا شرك أكبر، هذا شرك الجاهلية شرك أبي جهل وأشباهه، دعاء الأموات كـالعيدروس أو الشيخ عبد القادر الجيلاني أو البدوي أو الحسين أو غيرهم من الناس هذا شرك أكبر، هذا مثل فعل المشركين الأولين مع اللات ومع العزى، ومثل فعل النصارى مع عيسى وغيرهم فهذا شرك أكبر.
فإذا قال: يا سيدي فلان! اشف مريضي، أو رد علي غائبي، أو اقض حاجتي، أو أنا في حسبك، أو المدد المدد يا سيدي! سواء كان هذا مع النبي عليه الصلاة والسلام أو مع الحسين بن علي بن أبي طالب رضي الله عنه، أو مع الشيخ عبد القادر الجيلاني، أو مع العيدروس أو مع البدوي، أو مع الست نفيسة أو الست زينب أو غيرهم ممن اشتهروا في مصر وغيرها، وفي الجنوب العيدروس وناسا آخرين، وفي العراق الجيلاني وأناساً آخرين.
Baba yake nabii ibrahim kasemwa katika Qur'an na bachu kaona makosa ya baba yake Allah amsameh
Kwani Hujui Kama Nabii Ibrahim alikuwa mtume na baba yake alikuwa kafiri mwenye kuabudia masanamu kwanini unawalinganisha watu wasiolingana
Makka na madinah hawasomi maulidi wala hitima na huko ndipo ilipo shuka qurani nyinyi mmetowa wapi mtume na maswahaba zake hawakufanya mlinacho fanya na mpaka Leo hawafanyi hivo mkiambiwa wenzenu hawaja Soma nyinyi ndio mmesoma wakati chuoo kikuu ni madina easijuwe mjuwe nyinyi Sasa hivi tumeshajuwa hamtuwambii chochote
We mgonjwa subiri mfungo sita ndio utajua kama kweli hawasomi
Mwaka Jana mfalme wa Saudia alipinga kusoma maulid na akafanya sherehe zake
Mm nqkuombaa mziwanda ukasikilize alichosemaa bachu hakusemaa hayuko sawaa amesemaa kunasehemu kwwnye dawaa zake alikosea nasio sawa nahiyoo alikuwaa anatakaa kumtoa baba yake katika dhambi hiyo kwasababu watu wakiendelea kufuataa baba yake atakuwa kwwnye shidaa sasa msitafute mambo ambayo hayanaa mashiko jaribuni kutete maana anazoleta bidaa kwenye maulidi jaribu kutetea hapo nassi tupate elimu
Sasa tunahukumiana kwa madh-heb na manhaji uislamu hausemwi tena! Ni huyu kujibu hoja ya yule na yule ya huyu! Rejeeni maneno ya Jibril alipomtokea Rasulullah na yale maswali aliyuuliza. Uislamu ni nini? Imani ni nini? Ihsani ni nini? Kama umeona mtu kakosea, aelimishwe kwa hekima. Kwani si tumefundiswa tuwasemee marehemu wetu vizuri!!!
Bachu kawanyoosha kisawasawa
Mziwanda baba ako akifa deni humlipii wewe.kwa ayo maneno Yako ya kisufi sufi
Mziwanda Hatakama anasema anayoyasema moyoni anasema Bacho yupo sahihi
Wanao ona bachu yuko sahihi ni wale wasio na akili kama yeye mwenyewe!!
Wewe sheikh mziwanda usilete mambo yakisiasa ktk dini nakutumia jina la mtume kwasababu unachanganya khabari kati ya dini naselikali mbona haueleweki point yako ama umetumwa na ccm
Sheikh Muhammad bachu piga nyundo hao masuf mpaka waelewe somo
Ndivo mulivo wajinga kwa kumkibali mjinga mwenzao huyo bachu ndio shekhe wa wajinga
Nabii Sulayman alikosoa hukmu aliitoa baba yake na Allah katuelezea hili. Hapa naye mnasema hana adabu!! Wacheni siyasa akina Mziwanda na wenzake. Dini ni ya Allah wacheni chuki. Katika aya na hadithi kumkosoa mtu au kumrekebisha kwa watu wa sunnah sio kitu kibaya bali unamuokoa pale alipokosea kama binaadam na ili asibebe mzigo wa watakaopotea kupitia yeye maana hakuna binaadam mkamilifu hata kama kasoma, hajamtukana baba yake muogopeni Allah na ondoeni mafundo la sivyo ule muhadhara mngejibu hoja kielimu na sio maneno ya kisiyasa. Sheikh mziwanda naona sana siku hizi nimemuelewa siyasa na falsafa nyingi na dalili za kisunnah atazitumia pasipo mahal pake na mche Allah sheikh. Sijaona mahal ambapo ukimkosoa hata sheikh wako alotoa mawaidha akakosea bahti mbaya ukadai ati sio vizuri kukosoa maana kafa!!! Hii sio dini bali siyasa.
Na yeye amemkosoa ndugu yetu katika imani wapi?
Annlah amekupa weled wakuogea ila amekunyima uadilifu nyoyo zenu zimebeba chuki na hasadi mmeziweka mbele mbona nyie hamyakemei mazushi yaliyomo katka saffu zenu
Makhurafi wanatapatapa sasa. Usiku no Bachu mchana ni Bachu. Anaejiamini asimame mjadala na Sheikh Bachu sio kujificha ficha ndani mukapiga kelele.
Nilichokiona kwa huyu mziwanda ni kukosa ufaham wa Hadith anatafsir kupitia kichwa chake siyo muhadithina walivyofahamu
kama yapi?
dini yq mungu na baba yako bora nini wewe kuku nini
NLICHO JIFUNZA NIKUWA MZIWANDA KWENYE HII CLIP KABORONGA.TENA HUYU MTUMAJI NAHISI ANAONA HADI FEDHEHA MAANA NI AIBU CHANEL YAKO LKN KILAMTU YUPO KINYUME NA FIKRA ZAKO.ALLAH ATUONGOZE SOOTE.
Bacho atamjibu tu mana mziwanda kuongea anajuwa bacho yeye elimu tu ndo ipo pale chuki zinaanza kwa mtoto hahaha
Mijitu ya bidaaaaa kama hiii inaudhi kweli
Na da'waa nayo haitakii upotofuu na kutukanaaa watu bachu ni mpotofuu sanaaaa anatumiaaa manenoo mazitoo kutukanaa masheikh na bado ni kijanaaa mdogoo sanaaaa
SASA KAMA HADI BABAAKO USHAMKOSOA NAKUSEMA HAKUA SAWA TUTEGEMEE KUA UTATUSAPOTI SISI AMBAO SO BABAZAKO WALA UNDUGU HATUNA NAWATU TUNAJIFANYA HATUONI HATA HADITHI PIA KAMA HATUZISIKII VILE TUNAZIDI KUMPA KICHWA T WATU HATUJUI KUSOMA HATA QURAN VZR ILA KWENY UBISHI NDO TUMEGANDA DAH😭
Kwa iyo bb yake akikosea! Kwakua ni bb yake aseme kapatiya.
Kuna kukisoa na kuweka sawa
Kikubwa ni kuwa nani kakosea baba ua mwana
Bachu UNASUMBUA watu huku!!
😅😅😅😅sanaaaaaaaa
Mohammad bacho hana ilimu ana wazimu
Wewe mwenye ilmu toka mbele utuelimishe
Bachu anajiweka midomoni mwa mashekhe. Anajisumu huyu mtoto
Mashia wamesha mlipa anajiita mziwanda choko
Mziwanda kiukweli acheni kumsakama bachu Hali ya kuwa Yuko sahihi
Bachu anausahihi kwa wale wasio na akili kama yeye!!
Masheikh mkae muisome barzanj kama kuna makosa muwatangazie watu msifate tu kua tumeikuta ubishi hauna faida
Siku hizi ukimkufuru mungu unaonekana kidume lkn ukimkosoa shekh unaonekana umemkosoa mungu sababu heshima yake cheo chake kispotee subhaanallahi
Hahaa kwel Muhammad bachu amekua akiwapeleka vibaya hawa watu yani mtu anatumia muda wote huo kumjadili yeye haahaa.. kisha shekh Muhammad bachu hakusema baba yake hayup sawa ktk dini bali alisema ktk kauli ya kusema muislam akingia moton atakaa milele. zipo dalili nying tu zinaonesha kua muslam atazibiwa kutokana na makosa yake lkn hatokaa moton milele.
Yahaya,ivi umemtoa baba na Mama yaoko kwenye makafara ya Freemason na unaambiwa baada ya mzishi Mama yako ndo atakuwa mkeo ili Mali izidi,uyo nae vpi hakai motoni milele? Jamaniiiiiiii waislam
@@SelemanMakau hata afany zambi vip akiwa na kalim ya la ilaha illallah bac atatoka tu moton badaa ya kuazibiwa kwa makosa yake
Maneno mazuri kwl ..SWALI JE niusahihi kueka mudhara mzima kumjadili mtu kimafumbo???
Omba niqash ilitukujuwe wewe ni nani.hakki ikija Batwili inaondoka acheni chuki Mashekh tuambieni ukweli.
jua kutofautisha benz na bajaj hata uyo mrehemu baba ake afufuke sasa hivi aweke nikash na mziwanda bachu na mwanae hawamuwez mziwanda
Shekhe wangu Hawa mawahabi wanaelewa sema wamesomeshwa ubishi hata uelezee vp furaha yao mbishane tu
Inamaana kama mtu alikosea na akafa
watu waendelee kufuata upotofu wake kwa kuhofia kumsema maiti?
Munamuogopa hamna lolote
Mziwanda pumbafu tapeli utafiya kwenyebida mukhamad anakusudia ilmu
Jamani naomba ntajiwe bidaa 10 zilizopo ivi sas au hakuna bidaa asaa man nnavojua bidaa inazushwa katika dini au hakuna bidaa kuna maaswiyaa tuu na kam bidaa zipo tutajieni tuzijuwe au ndo izo izo zinazotajwa na mashekh zet mbon hamuzizungumzii bidaa nynyi au mnajijua mnahusika man sijamuona shekh dizain hii akaelezea kuhus bidaa tutajien bc.
Akili za mashehe wa bakwata bana maneno ya sheik ilunga ALLAH amrehemu kweli bakwata htokei mwenye akili yani
Allah amraham shekh ilunga
Bachu atakikana atulie. Ataumia asipotulia
Mtoto wa Bachuu ni mwanaharamu wa kibulushi waliolaaniwa na mtume
Usitukane basi stara na staha muhim