th-cam.com/video/eTTHNIJH9W0/w-d-xo.html haya haya njooo uone miujiza ya QUR'AN kutoka karne ya 7 mpk leo karne 21 wanasayans wanashangaa namna yamchanganyiko wa mbegu yababa na mama
Napenda sana mtu jasiri asieogopa anaesimama na ukweli, mimi si mtu wa maulid lakini nimekupenda sana kwa ukweli wako, allah akulinde na fitna shari na husda za walimwengu
th-cam.com/video/eTTHNIJH9W0/w-d-xo.html njoo uone miujiza ya QUR'AN kutoka karne ya 7 mpk leo karne ya 21 wanasayans wanashangaa namna yamchanganyiko wa mbegu yababa na namama
Shekh mziwanda Allah akuhifadhi na kila baya hakika Allah anampenda mwenye kusema kweli na anamchukia mnafiki umesema ukweli mtupu utakaa na mtume peponi firdaus katika waumini kuna wanaume bwana!! Safi sana .Serikali siyo mbaya sisi ndiyo wabaya. mbwa mwitu humla mnya aliyejitenga na wenzake Tupendane kwa ajili ya Allah natuchukiane kwa ajili ya Allah.
th-cam.com/video/eTTHNIJH9W0/w-d-xo.html njoo uone miujiza ya QUR'AN kutoka karne ya 7 mpk leo karne ya 21 wanasayans wanashangaa namna yamchanganyiko wa mbegu yababa na mama
Walay nasema masheikh wote. Wangekuwa kama hivi hakika dini isingekuwa na wababaishaji,kiukweli sheikh mziwanda nakupenda toka moyoni mungu akuhifadhi duniani Hadi kesho ahera
Mwenyezi Mungu ni wa haki, mwenyezi Mungu ni kweli, wewe umesema kweli na haki, na ukitaka kuwa rafiki na dunia nikutafuta uadui na mwenyezi Mungu, na ukiwa adui na dunia ni kuwa rafiki na mwenyezi Mungu. Ndugu umechagua fungu jema la kuwa rafiki na mwenyezi Mungu. Akupe kheri zaidi .
Hawa ndo masheikh tunawataka, unafiq utaondoka tukiwa wawazi haina haja ya kuogopana.......mashaallah ...tumuombe Allah amjaalie umri mrefu wenye kheri zaidi......!
Maashallah shehe Shekh ataki dhambi ya kusengenya yaani anawachana live live bila chenga na ukweli umepenya wazi wazi hivi ndivyo Mungu anataka na ndio mana ya uislamu Kwa sababu pia hata dini inasema kitu likiwa kibaya basi zuia kwa nguvu yaani mkono wako na kama huwezi basi ata kwa mdomo yaani nena na vyote hivyo vikikushinda basi chukia yaani pingana na mabaya Qul haq wainkana murua
Mashaallah sheikh ALLAH akuifadhi na kila hasad husda chuki na roho mbaya za wanafk leo umezungumza kweli mbele ya jamii sio kona kona akika yakweli huwa aijifichi inshaallah watu kama weye ndio wanastail kuwa ktk hak
Nilitamani Siku Mmoja Nikuone Bayana Ila Leo Alhamdulilaah Nimefanikiwa Kukuona Na Kuongea Na Wewe @Muharaam Mziwanda Allah Akuwekee & Atujaliie Mwisho Mwema Sisi Sote AMIIN Shukran Kaka @Amiri kikwa 🙏
Yaan tungekuwa na mashekhe kama hawa 10 tu kuna baadhi ya tabia za mashekhe wanafiki zingepungua,wanatia huruma sana mashekhe wanao jifanya wako karibu na serikal wapumbavu sana wanaharibu dini yetu,Asante sana shekhe dawa imewaingia hao wanao jifanya mashekhe pesa
th-cam.com/video/eTTHNIJH9W0/w-d-xo.html haya njoo uone miujiza ya QUR'AN kutoka karne ya 7 mpk leo karne ya 21 wanasayans wanashangaa namna yamchanganyiko wa mbegu yababa naymama
Subhanallah yaani hao waliopewa Mamlaka juu kuwasimamia Waislam wenzao baadhi yao wanayatumia Mamlaka yao kwa Maslahi yao binafsi. Jamani tumche Allah siku ya Kiyama ni siku mzito sana .
EBHANA DAR SHEKHEE NIME MPENDA SANA AMEONGEA VZR SANA UNAFKI MBAYA ASALAM ALEYKUM WARAHMATULLAH TWALLAH WABALAKATU NAMPA LIVE NIKIWA SOUTH AFRICA CEP TOWN YANI KAMA YUPO KALIBU NIMTUNZE
Hayo mashekh tumbo yametoa macho Kama mjusi kabanwa na mlango manafiq makubwa tumbo la njaa linawasumbua wasipo tubu watakiona siku ya qiyama dakika moja tu swalaa swalaaa nyau....✍️✍️✍️✍️
SHEIKH MZIWANDA ALLAH ATAKULIPA KHERI DUNIANI KABURI NA KESHO AKHERA SIMAMA KWENYE UKWELII AKHERA KUNA RAHAA DUNIANI TUNAPITA
Amiin
th-cam.com/video/eTTHNIJH9W0/w-d-xo.html haya haya njooo uone miujiza ya QUR'AN kutoka karne ya 7 mpk leo karne 21 wanasayans wanashangaa namna yamchanganyiko wa mbegu yababa na mama
@@sharifumussaalaadabiy9001Miujiza ya Mungu siyo koran
Napenda sana mtu jasiri asieogopa anaesimama na ukweli, mimi si mtu wa maulid lakini nimekupenda sana kwa ukweli wako, allah akulinde na fitna shari na husda za walimwengu
Ukht umesea kweli kwamaneno haya mwenye akili atayatia akilini
Allahumma amiin🙏
th-cam.com/video/eTTHNIJH9W0/w-d-xo.html njoo uone miujiza ya QUR'AN kutoka karne ya 7 mpk leo karne ya 21 wanasayans wanashangaa namna yamchanganyiko wa mbegu yababa na namama
Owamae ago mazima
Pongezi ukhtinaa. Tuhimizaneni kufuata vyema mafundisho ya Uislamu kwa kuwa bila shaka tutaulizwa kuhusu tuliyokuwa tunayatenda.
Sheikh mziwanda umemaliza maneno wallahi hakika umezungumza ukweli
th-cam.com/video/eTTHNIJH9W0/w-d-xo.html njoo uone miujiza ya ya QUR'AN namna yamchanganyiko wa mbegu yababa na mama
Shekh Muharramu Mziwanda Allah akulipe kheri nimekuelewa vizur sana
Shekh mziwanda Allah akuhifadhi na kila baya hakika Allah anampenda mwenye kusema kweli na anamchukia mnafiki umesema ukweli mtupu utakaa na mtume peponi firdaus katika waumini kuna wanaume bwana!! Safi sana .Serikali siyo mbaya sisi ndiyo wabaya. mbwa mwitu humla mnya aliyejitenga na wenzake
Tupendane kwa ajili ya Allah natuchukiane kwa ajili ya Allah.
ASANTE SANAA SHEIKH MZIWANDAA ALLAH ANAKULINDA NA ATAZIDI KUKULINDAAA
Shida matumbo yanawatesa sanaa
th-cam.com/video/eTTHNIJH9W0/w-d-xo.html njoo uone miujiza ya QUR'AN kutoka karne ya 7 mpk leo karne ya 21 wanasayans wanashangaa namna yamchanganyiko wa mbegu yababa na mama
Maasha allaah .ahsanta sana sheikh mziwanda yani maneno haya umewawakilisha wengi
Shekh mziwanda umeongea pointi saana wallah sema Nini kuna wengine wanaogopa kusema ukweli japo wanayaona yanayo tendeka ilaweye umevaa ujasili hasaa Allah akuongoze naa akuepushie yooote mabaya yasasa nayajao
Alie sikia jamaa akisema zaidi ya mkwawa like hapa
MaashaaAllah sheikh mziwanda Jazaakallahu khaira mwenyezimungu akubaariki kwakuongea ukweli na allah akulinde na hila za wanaafiqi
Shekhe ALLAH akulipe umesema kweli mana zima hyo bora umeongea
Walay nasema masheikh wote. Wangekuwa kama hivi hakika dini isingekuwa na wababaishaji,kiukweli sheikh mziwanda nakupenda toka moyoni mungu akuhifadhi duniani Hadi kesho ahera
Kajitoa muhanga kusema ukweli Allah amlinde na maadui wa uislamu inshaaAllah ameen
Duuuh wallah nimekupenda we sheikh kwaajili ya Allah Mwenyez Mungu akuifadh zaid.
Nyie massun njoo kwa mashia mjifunze dini huo ujinga wenu mpaka lini
Swadaktaaaaaa,,,nimefurah Sana huo ujasiri ndio unaohitajka,,, kwa Tanzania upo mwenyewe mwenye ujasiri huo,,,, Allah akulipe kila lenye kheriiii,🙏🙏
th-cam.com/video/eTTHNIJH9W0/w-d-xo.html tazama maajabu namiujiza ya QUR'AN dhid ya mchanganyiko baina yababa na mama
Allah akulinde leo na kesho Akhera shekh Mziwanda
Mwenyezi Mungu ni wa haki, mwenyezi Mungu ni kweli, wewe umesema kweli na haki, na ukitaka kuwa rafiki na dunia nikutafuta uadui na mwenyezi Mungu, na ukiwa adui na dunia ni kuwa rafiki na mwenyezi Mungu. Ndugu umechagua fungu jema la kuwa rafiki na mwenyezi Mungu. Akupe kheri zaidi .
Sema kweli japo Chungu ! mafundisho kutoka kwa bwana Mtume Muhammad s.a.w ✅
Allah karimu mashaallah sheikh Muhram Mziwanda upo sahihi kabisa! Allah Akulinde
Hawa ndo masheikh tunawataka, unafiq utaondoka tukiwa wawazi haina haja ya kuogopana.......mashaallah ...tumuombe Allah amjaalie umri mrefu wenye kheri zaidi......!
Watakuchukia machoni mwao ila mioyo inawasuta kwa kweli, Shekhe umejitoa sana tena sana 🙏🙏🙏🙏🙏 , Mungu atazidi kukulinda mkuu
Nakupend sana mziwanda kwa ajili ya Allah ni kweli waliokaribu na viongozi wapunguze unafik
Waambie hao, Allah akupe hekima ktk kufikisha ujumbe kwa waislamu wote Duniani
Shekh Allah akuweke uislamu ndivyo unavyotaka tusiwe wanafki"
Allah ukulipe sheikh Kutoka Congo DRC, uyo ndo wislamu,' si kupapasana👏👏👏
Allah akupe muongozo mwema Insha'Allah sheihk wetu ❤️🇨🇩
Nimekupenda shekhe.kwa msimamo wako
Allah akujaalie kher kwa kila hatua
Mashaallah live long my uncle you are best of my favourite big up
Dini na nasaha mwambie mufti aache aache kuchanganya dini na ukafri
.
Shukran shekhe wetu muharram mziwanda Allah akupe hitaji LA moyo wako inshaallah
Kwer kabisa shekh wangu ujumbe umefika mashaallah
Maashallah shehe
Shekh ataki dhambi ya kusengenya yaani anawachana live live bila chenga na ukweli umepenya wazi wazi hivi ndivyo Mungu anataka na ndio mana ya uislamu
Kwa sababu pia hata dini inasema kitu likiwa kibaya basi zuia kwa nguvu yaani mkono wako na kama huwezi basi ata kwa mdomo yaani nena na vyote hivyo vikikushinda basi chukia yaani pingana na mabaya
Qul haq wainkana murua
Swala swala Bob deo
Shukrani pia Allah ampe afya sheikh
Allah Akbar Allah akuzdishie maalim
Nyie ndio tuna wategemea mashehe mwenyezi mungu azidi kukupa ujasir shehe wetu
Asante shekhe wangu allah akupe maisha marefu
Inshallah mungu akupe ujasiri lshaallah
Naomba msaada wa kumuona sheikhs mziwanda
Shukraan Sana sheikh wetu Allah akuhifadhi jazaka Allahu kher
Mashaallah sheikh ALLAH akuifadhi na kila hasad husda chuki na roho mbaya za wanafk leo umezungumza kweli mbele ya jamii sio kona kona akika yakweli huwa aijifichi inshaallah watu kama weye ndio wanastail kuwa ktk hak
Nilitamani Siku Mmoja Nikuone Bayana Ila Leo Alhamdulilaah Nimefanikiwa Kukuona Na Kuongea Na Wewe @Muharaam Mziwanda Allah Akuwekee & Atujaliie Mwisho Mwema Sisi Sote AMIIN Shukran Kaka @Amiri kikwa 🙏
🤲Allah azid kukuhifadh shekhe wetu..
Wallah wamebaki wachache sana hapa kwetu. Allah akulipe kher shekh wetu.
Wanafiki hawo wanatumika vibaya
Asante sn ushawafikishia ujumbe wa wanafiki mana kuna watu wambea kweli
Masha Allah sheikh mziwanda Sema kweli japo ni chungu, Allah akuepushie unafik
Sheikh mziwanda mashalwa M.mungu akubariki na akulinde kina shekh wa mkoa hao wanaotoa duwa zao hatujawahi kuzisikia
Shukran sheikh umewongeya kweli ndio dini Allah amuhifadhi Allah akulipe kheri
Yaan tungekuwa na mashekhe kama hawa 10 tu kuna baadhi ya tabia za mashekhe wanafiki zingepungua,wanatia huruma sana mashekhe wanao jifanya wako karibu na serikal wapumbavu sana wanaharibu dini yetu,Asante sana shekhe dawa imewaingia hao wanao jifanya mashekhe pesa
Mungu akuongezee umri Baba. Wameiga tabia za CCM Bara. Mcha MUNGU akiacha kusema ukweli anaugua.
Sheikh Allah akuhifadhi..msg SENT...Maneno yako machache na ujumbe unafika..Allah akuhifadhi
th-cam.com/video/eTTHNIJH9W0/w-d-xo.html haya njoo uone miujiza ya QUR'AN kutoka karne ya 7 mpk leo karne ya 21 wanasayans wanashangaa namna yamchanganyiko wa mbegu yababa naymama
Atali
Maaashaalwa kk ,waislamu tunaongoza kwakweli ,na hawapendi kuambiwa ukweli yaarab tustiri
MashaaAllah Allah akuhifadhi sheikh mziwanda sema ukweli japo unauma wakuogopewa ni Allah si viumbe .huo ndio uislam sio ubabaishaji.
Allah azidi kuwadhihirisha wengi wa mfano wa sheikh Mziwanda ameen.
Mashekhe wengi wanafiq sana hongera sana shekhe
ALHAMDULILLAH, pili shukrani sana mwamba wangu mwenyewe Sheikh Mziwanda. Uislam ni ukweli hivyo wakinuna kwa kuambiwa ukweli waache wanune
Subhanallah yaani hao waliopewa Mamlaka juu kuwasimamia Waislam wenzao baadhi yao wanayatumia Mamlaka yao kwa Maslahi yao binafsi.
Jamani tumche Allah siku ya Kiyama ni siku mzito sana .
Kazi Ya Dini Ngumu Sana - Sheikh Mziwanda
Sema shekh mungu atakulipa wapo wengi wanafiki kama hao
Ustadh Allah atakulinda InshaAllah ww na familia yako Allah akakulipe ujira wako siku yakima InshaAllah
th-cam.com/video/eTTHNIJH9W0/w-d-xo.html tazama maajabu namiujiza ya QUR'AN dhid ya mchanganyiko bain yababa na mama
Allah AQbar mwenyezimungu ape wepesi shekhe
Asante sana sheikh alhamdullillah kwa kusema ukweli hio ndio haki ipiganiwe kwa ukweli km hivo
SubhanaAllah. Masheik wote Mola awahifadhi. Ameen!
Aamin
Mwenyezi mungu atakulinda na hao wanafki wanaojipendekeza
MAASHAALLAH JAZAAKALLAH UJUMBE MURWA!
th-cam.com/video/eTTHNIJH9W0/w-d-xo.html tazama maajabu namiujiza ya QUR'AN dhid ya mchanganyiko baina yababa na mama
Mashekh kama hawa adimu sana mungu akusimamie kwenye ukweri unafki ndio unaifanya dini ionekane ngumu wakati nyepes
Shukran sana shekh wangu bora umesema kwa uwaz kuliko unafiki
Sheghe Mziwanda Allah Akulipe Akulinde Na Maadau Yani Umesema Kweli Kabisa Viongozi Walio Juu Ndo Wanawaangamiza Waisaala Wenzao
Allah Akbar Allah Akbar
Allah akuhifadhi sana na akupe hima zaidi
Ama Hakika Binafsi Nakuombea Duaa ! (ALLAH) Azidi kukupa Msimamo Thabiti, Uzidi Kuutetea Uislam, m/mungu akusimamie.
th-cam.com/video/eTTHNIJH9W0/w-d-xo.html tazama maajabu namiujiza ya QUR'AN dhid mchanganyiko baina yababa namama
Nakuombea dua (ALLAH) akujalie uwena msmamo huohuo utetee uislam
Kwa hili shekh ujira wako mbele ya Allah ni mkubwa umewapa ukweli roho yako ipo safi mashallah
Maashaallah Allah atakulinda sheikh Muharami Mziwanda 💥
Mashaallah. Shukrn sheikh. Allah akulinde na hasda za viumbe wa ALLAH (s.w)
Allah Ni shahidi. Umefikisha ujumbe....
th-cam.com/video/eTTHNIJH9W0/w-d-xo.html tazama maajabu namiujiza ya QUR'AN dhid ya mchanganyiko baina yababa na mama
Mashaallah hongera sheikh wangu uko sahihi kabisa sheikh
Sema kweli japokuwa changu shekhe Mziwanda
Shekhe Mziwanda Umenifurahisha sana
Allah akupe umri mrefu sheikh wenyr manufaa akuongozee vizazi vyako ktk khery
Mungu akubariki sheikh
Ibada toshaaaa nimependa
Shekhe,Allah akuhifadhi wabainishie hakki hata wakikuchukia potelea mbali utapendwa na allah atae kulipa mazuri allh so mwanadamu
Mashallah shekhe msema kweli yupamoja na mola
Mashaallah kama maneno yk yanaendana na moyo wako basi Inshaallah Allah atakulipa kwa msimamo wako huo ndio ukweli
Sema kwely japo kuwa chuguuu. Mashallah mashallah mashallah
th-cam.com/video/eTTHNIJH9W0/w-d-xo.html tazama maajabu namiujiza ya QUR'AN dhid ya mchanganyiko baina yababa na mama
Shekh walidi mungu anakuona unavo shangilia.
Allah akupandishe daraja hapa duniani na kesho akhellah inshallah
Safi sana kwa ujumbe wako shehe mimi mkristo ila huu ujumbe sawa na Safi sana
Pasua shekh wangu 🤸♂️🤸♂️🤸♂️gongelea kabsa
Allah amfanyie wepesi shekhe huyu maana asaiv kweli hatuzingatii mafundisho ya Quran
Uyo ndiyo uisilamu jasiri kabisa Allah awalipe duniyani na akheira
Umetisha sana Sheikh
Mashaallah hawa ndo masheikh achana na wanafki wa bakwata
Alhamndulillah, shekh ALLAH akulipe kheri na akukinge na fitna na shari za wenye vyeo
ALLAH AKUBARIKI SANA INSHAALLAH 🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲
Allah akuifadhii sheikh mziwanda kwa ujasili uwo
EBHANA DAR SHEKHEE NIME MPENDA SANA AMEONGEA VZR SANA UNAFKI MBAYA ASALAM ALEYKUM WARAHMATULLAH TWALLAH WABALAKATU NAMPA LIVE NIKIWA SOUTH AFRICA CEP TOWN YANI KAMA YUPO KALIBU NIMTUNZE
Maa shaa allah... Allah amlinde huyu Shekh
ALLAH akulipe kheri shekh na Inshaallah ujumbe umefikia.
th-cam.com/video/eTTHNIJH9W0/w-d-xo.html tazama maajabu namiujiza ya QUR'AN dhid ya mchanganyiko baina yababa na mama
WAPE KAZI ZAO BARAKA ALLAHU FIKI MUNGU ATAKUSAIDIA
Safi sana jazaka Allah..... Allah akupe nguvu kwa kuongea ukweli
Mashaallah miakahii pepo itakuwa rahisi sana maana watu wana pendana wanaambiana ukweli waziwazi.🧿🕌
Allah akupe kheri za dunia na zakabur pia,, daaah
Hayo mashekh tumbo yametoa macho Kama mjusi kabanwa na mlango manafiq makubwa tumbo la njaa linawasumbua wasipo tubu watakiona siku ya qiyama dakika moja tu swalaa swalaaa nyau....✍️✍️✍️✍️
Asante sheikh mziwanda
Allah akulipe
Manshaalllah hivi ndo ulimwengu unahitaji watu kama hawa