Majibu ya kielimu kwa Sheikh wa mkoa wa Dar es Salam||Muhammad Bachu.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024
  • Bonyeza neno SUBSCRIBE kisha bonyeza alama ya kengele ili uwe wamwanzo kupata video zetu mpya

ความคิดเห็น • 630

  • @ndalusanzekassim5902
    @ndalusanzekassim5902 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah Mwenyezimungu akuzidishie elimu shekh wetu mrithi wa shekh wetu Nassoro Bachu ameen!!

  • @zaitunialli1223
    @zaitunialli1223 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Allah ahsante kwa kituelimisha Allah akulipe na akuzidishie ilimu Amiina.

  • @mwanaishazain7985
    @mwanaishazain7985 3 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana kukusikiliza kwasababiu
    1). Huna jazba umetulia.
    2). Unajua unachokisema.
    3). Unafahamika.
    4). Umo katika kumi bora wangu.
    Maasha Allah. Mwenye Enzi Mungu akupe mwanga utuongoze vizuri tulia baba na Allah yu pamoja nawe. Tunakupenda kukusikiliza kwaajili ya Allah.

  • @hanifasilima900
    @hanifasilima900 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah allah akulipe kher kw kuwazindua waislam

  • @seanmurray6516
    @seanmurray6516 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuzidishie Elimu na akupandishe daraja kwa watu kama kina al hadi wapendao sifa na mapambio ya kidunia, الله يطول عمرك شيخ

  • @muhsininatv2092
    @muhsininatv2092 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu hujakosea kuumba moto na pepo

  • @kingkareemtz7991
    @kingkareemtz7991 3 ปีที่แล้ว +12

    Sub-hanallah wakati masheikh mlosimama sawa sawa mkipambana kuwalingania watu katika haqqi,
    Wapo wengine wanaojita masheikh mfano wa huyu alhad wakiwarudisha nyuma kwa kupotosha watu,
    Shukran alhabib sheikh muhammad bachu allah akuwafikishe kua macho na kutoyafumbia mambo yenye kupotosha kama haya na wapotoshaji pia,
    bila kujali nyadhifa zao

  • @abubakarothmanmbalamwezi3566
    @abubakarothmanmbalamwezi3566 2 ปีที่แล้ว

    Shekh allah akuzidishie elim na akupe istiqam

  • @seanmurray6516
    @seanmurray6516 3 ปีที่แล้ว +3

    Tunamuomba Allah Sheikh Muhammad akulinde na kila Shari

  • @abdulazizhabib4581
    @abdulazizhabib4581 3 ปีที่แล้ว

    Jazakallah kheir shekh Muhammad bachu kwa kuendeleza kuelimisha umma wa kiislam

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 3 ปีที่แล้ว +5

    Shukran shee wang nakupenda kwa ajili ya ALLAH kw kutufikishia hili , Mungu akilinde na akulipe kheir

    • @muhammadmjara6776
      @muhammadmjara6776 3 ปีที่แล้ว

      @@Burange666 usenge wake nini au kwajili yakusema hali

    • @mudysaid1651
      @mudysaid1651 3 ปีที่แล้ว +1

      Profesa lipumbu, wewe ndio mjinga lishekh lenu la mkoa linakufuru2 wataka aendelee kupotosha watu wevip, jitahidi jua uislam wako

    • @sophiaomar7034
      @sophiaomar7034 3 ปีที่แล้ว

      Ameen

    • @tandalesse4544
      @tandalesse4544 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwani huyu alotukana hapa ni MUISLAM ama ni #mwana_dini_mseto(#dini_zote ni #sawa)?

    • @tandalesse4544
      @tandalesse4544 3 ปีที่แล้ว

      Na #dini_mseto(#dini_zote ni #sawa) ni #ukafiri hata kama kuna baadhi ya watu #dini_mseto ni asbaab za riziki kwa baadhi ya watu.Mjuzi ni الله

  • @ahmedesmail4488
    @ahmedesmail4488 3 ปีที่แล้ว +4

    Subhannallah tatizo kuwapa vyeo watu wasio jijua kiakili kielimu ni msiba wallah mkubwa me naomba bakwata watenguliwe hawa viongozi wateuliwe wengine itasaidia mana ni msiba kwa hawa viongozi wa bakwata

    • @9119-r4t
      @9119-r4t 3 ปีที่แล้ว

      Kabisa

  • @aishaallahamsamehemakosaya598
    @aishaallahamsamehemakosaya598 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu shekhe mm cina Imani nae tangu aliposema bwana yesu mbele za watu Ila anazid kuendeleza

    • @alimakame9215
      @alimakame9215 2 ปีที่แล้ว +1

      Hili shehe angekuwepo mtume lishapigwa upanga

  • @ummesaniyah
    @ummesaniyah 3 ปีที่แล้ว +2

    SubhanAllah!. ..sheikh alhadiy strike again...Allah showed the consequences of his mistakes immediately on the spot...the mockery from the christians....he has to be responsible and accountable for this... Either he bring a concrete evidence or make tawbah in public....then he should never be given a chance to speak in public until further notice....
    Jazaakumullah khairan sheikh Bachu... May Allah increases your knowledge and sincerity....

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 3 ปีที่แล้ว +7

    Shukran jazakallahu lkhair

  • @kudrahalfan5767
    @kudrahalfan5767 3 ปีที่แล้ว

    Mtihani Sana yani Hawa bakwata Hawa.

  • @miirajmohamed6352
    @miirajmohamed6352 3 ปีที่แล้ว +6

    Huyu Alhady yupo kimaslahi ya tumbo lake anapotosha umma wazi wazi

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukraan Sana sheikh wetu kwa kutuelimisha maamuma Allah akulipe kila la kher Aamiin

  • @abuujureyj7219
    @abuujureyj7219 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani ya shekh kwa nasaha zako ila
    Samahani nikukumbushe kidogo
    Apo ulipo sema kwamba zambi la kusema au kumsingizia allah jambo la uzushi
    Sasa apo umesema kwamba akuna zambi kubwa zaid ya kumsingizia allah yani zambi ilo linashinda adi shirki apo ningeomba ukapitie tena icho kipande
    Mana hadithi ya bwana mtume(s.a.w) alisema mambi saba yakuangamiza lakwanza kabisa ni (shirki)
    Nakuomba shekh wetu ulipitie tena ilo somo

  • @halimasaid4977
    @halimasaid4977 3 ปีที่แล้ว +1

    Mohammad banchu Allah akuzidishie maarifa na elim kubwa kama ya baba yako Allah amrehem

  • @khadijasaid5065
    @khadijasaid5065 3 ปีที่แล้ว +3

    sawa sawa shekhe Muhammad bacho huyu shekhe wenu..atapoteza watu hivi... lahaula subanallah lahaula khatari kubwa. shekhe Muhammad endeleya hivo hivo umti akikoseya Mrakibishe na Mungu atakuhifadh inshaallah kutoka kenya khadija said Nahdi mld

  • @khamiskhamis5323
    @khamiskhamis5323 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah upo sahihi sheikh wetu Muhammad Allah akuhifadh...

  • @bagokashaidu5431
    @bagokashaidu5431 2 ปีที่แล้ว

    Shukran.Umefikisha kadri ya uwezo wako

  • @abdutv4636
    @abdutv4636 3 ปีที่แล้ว +5

    Sheikh wangu ukisikia mtu anajibiwa kielimu na sio kikahawa kahawa ndio huko bhana. Mw/mungu akujaalie kila la kheyr maalim nimekukubali✔👏

    • @saidaly9626
      @saidaly9626 3 ปีที่แล้ว

      Asalam alaykum nyinyi waislam wa siku hizi hsmna hikma sio umuite pembeni umfahamishe mpaka mufahamishene hivyo sio vizuru munataka sifa hayfay

    • @hasaniabdalah6148
      @hasaniabdalah6148 2 ปีที่แล้ว +1

      @@saidaly9626 walyikum Salam akhi unaambiwa ukitoa neno hazarani lisilo faa inatakiwa utubie kwa hazarani kwakua umeshapotosha umma inatakiwa uambiwe hazarani ili dini ya Allah usiichafue

    • @musabashiruhassani
      @musabashiruhassani ปีที่แล้ว

      @@hasaniabdalah6148 unakili

  • @mashakalukinda2350
    @mashakalukinda2350 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante shekh nimekuelewa vizuri huyu beans wamkoa inawezekana anajua ila jaa yake ikotumboni katika hayo maneno yake panakitu kidongo huenda dshekh

  • @moodyhassany8928
    @moodyhassany8928 3 ปีที่แล้ว

    Mtihani sana shekhe wa mkoa dini anaichukulia kma huyaudi

  • @kapondamsita476
    @kapondamsita476 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah Allah akulinde shekhe wetu maana kunaviongozi wadini wengine wapenda ubwabwa

    • @hassanidha3744
      @hassanidha3744 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/pstYZAfX2NY/w-d-xo.html

    • @kapondamsita476
      @kapondamsita476 3 ปีที่แล้ว +1

      @@adamhashim3352 wewe umeelewaje kwan

  • @maimyahkassim4299
    @maimyahkassim4299 3 ปีที่แล้ว +9

    Mashaalah nassoro bachu kaacha mtoto mwema,allah akujaalie elim zaid ameen,
    Umri mdogo ila busara uliyonayo ya khali ya juu

    • @shukurually8769
      @shukurually8769 3 ปีที่แล้ว

      Masha Allah kumbe nimtoto wa hayat shekhe bachu?

    • @ahmednurhussein8945
      @ahmednurhussein8945 3 ปีที่แล้ว +1

      Huyu shekhe tumemzoea kwahiyo hatupi shida

    • @ahmednurhussein8945
      @ahmednurhussein8945 3 ปีที่แล้ว

      Mara leo naomba dua yakipekee mara haleluya lengo kuwafurahisha waupande wapili

    • @fayeezomary6563
      @fayeezomary6563 3 ปีที่แล้ว

      @@shukurually8769 naam

    • @hasaniabdalah6148
      @hasaniabdalah6148 2 ปีที่แล้ว

      Akumbushwe kama ni wa kurejea atarejea na kama ni wa kupotea atapotea

  • @LinusMsimbano-uq1kg
    @LinusMsimbano-uq1kg 6 หลายเดือนก่อน

    Ila waraabu dahhhhhhh mungu mwenyewe ndio anajua ila ipo siku mpinga kristu atajihidhihilisha

  • @julietmusimbi4388
    @julietmusimbi4388 3 ปีที่แล้ว

    Samahani kwa upande wangu mm naona Wakristo na waislamic ni dini za dunia .inafaa tuangalia roho zetu penye zitaenda sisi sote ni wana wa mungu

    • @abditajir4048
      @abditajir4048 3 ปีที่แล้ว +1

      Mungu hana Mtoto..jiangalie

  • @hemedmedy693
    @hemedmedy693 3 ปีที่แล้ว +6

    A najipendekeza sana kwa wakristo

  • @alisonso4194
    @alisonso4194 3 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah Allah akulinde na husda za walimweng🙏🙏🙏

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 3 ปีที่แล้ว +1

    Subuhanallaaa ,ao wenyewe makafiri wanamshangaa

  • @kashaijakana7salum404
    @kashaijakana7salum404 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah akulinde na akuongoze kjana wetu (Bachu)

    • @ramygichero1016
      @ramygichero1016 3 ปีที่แล้ว

      Bachu anakurupuka

    • @kashaijakana7salum404
      @kashaijakana7salum404 3 ปีที่แล้ว +1

      @@ramygichero1016 ww ndouna kurupuka kwa kuwa hujui ulisemalo hta

    • @hasaniabdalah6148
      @hasaniabdalah6148 2 ปีที่แล้ว

      @@ramygichero1016 wewe tunajua unamaslahi na huyo unae msifu lakini kwetu waislamu tunajua kama hatotubia tutaelewa sio mwenzetu ktk dini bali kubwa anamalengo yake anayafanyia kazi

  • @tigersterling5417
    @tigersterling5417 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuhifadhi zidi ya watu waovu, tunashukr sana kwa kutupa muaangaza na muelekeyo sahihi. Huyu sheikh wa mkoa wa Dar anapotosha waumini.

    • @tahiyaahmed5330
      @tahiyaahmed5330 3 ปีที่แล้ว

      hii noma zaidi ati halleluya ina maanisha laa illaah illa llah. pesa hazina adabu.

  • @abuunajat4450
    @abuunajat4450 3 ปีที่แล้ว +7

    Sema kweli ijapokuwa chungu maashaallah sheikh Mohammad bachu

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว

    Jazakallah hailla.... Kwa kutuelimisha

  • @raymondsaliboko8435
    @raymondsaliboko8435 2 ปีที่แล้ว

    Shehe wew muongo, usichukie dini zingine,mungu nimmoja,, nisawa kwamba unatuma luga mbimbi,kiarabu na kiwahili ndokusema mungu usipoongea kialabu mungu hayupo,au apokei Dua?

  • @shabansadiki1321
    @shabansadiki1321 3 ปีที่แล้ว +1

    هل لايصح قول لاإله إلاالله إلا بالعربية فقط؟
    Hivi qauli laa ilaaha ila llah haitasihi ila mpaka itajwe kwa lugha ya kiarabu tu?

  • @mohamedjabirimrisho3587
    @mohamedjabirimrisho3587 3 ปีที่แล้ว +4

    Shukran kwa elmu hii. Allah akuhifadh

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 3 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh upon sawa kabisa, endelea na kazi yako nzuri ya kutuelimisha, hakuna mambo ya kubembelezana katika haki, anae kwenda kimakosa akiwa ni kioo kwa jamii ya ummah wa kiisilamu basi sheikh mporomoshee RADDI ya nguvu.

    • @njiasalamatv4794
      @njiasalamatv4794 3 ปีที่แล้ว

      MBONA IKO AYA INAWATAKA WAISLAM KUSEMA MUNGU WENU WAISLAM NA WETU NI MMOJA...
      HILO MBONA NI ZITO KULIKO LA HALLELUYA ? CHUNGUZA KWANZA ACHA CHUKI

    • @YahyaYahya-vp2pp
      @YahyaYahya-vp2pp 3 ปีที่แล้ว

      @@njiasalamatv4794 umetoa wap hiy Aya inayosema hivy

    • @lacroquetalacroqueta6813
      @lacroquetalacroqueta6813 3 ปีที่แล้ว

      @@njiasalamatv4794 je umesoma ulicho kiandika😄 elimu ni muangaza😍

  • @maisarahamisimadi2259
    @maisarahamisimadi2259 3 ปีที่แล้ว +3

    Shukran Allah awalipeni kwa elimu hi.

  • @alqurankareem5151
    @alqurankareem5151 3 ปีที่แล้ว +1

    SubhanaAllah SubhanaAllah

  • @gweh3144
    @gweh3144 3 ปีที่แล้ว +5

    جزاك الله خيراً أخي العزيز الله يحفظك ويبارك فيك وينفع بك
    نسأل الله لنا ولك الثبات

  • @faridabdulrahim84
    @faridabdulrahim84 3 ปีที่แล้ว +1

    Shekhe Mohammad bhachu umemuelewa VP huyo bwana!wajuwa huyo bwana amewasilimisha makafiri wangapi.nahakusema haleluya MAANA yake ni lailahailla ALLAH BT amesema wakisema haleluya wao watakiwa waseme lailahailla ALLAH.

  • @tahiyaahmed5330
    @tahiyaahmed5330 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah amuhifadhi mtoto wa bachu rahimahullaahu.

    • @ramathedon4001
      @ramathedon4001 3 ปีที่แล้ว +1

      ishalah Allah amuifadhi kwa kila jambo

  • @fathiyasalim3946
    @fathiyasalim3946 3 ปีที่แล้ว +9

    Alhamdulillah Allah amraham Sheikh Nassor Bachoo kutuachia mtoto mwema.

  • @tandalesse4544
    @tandalesse4544 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu #Mwana wa #Sheikh_Bachu(rahimahuLLAH) ni #Sheikh(#Mtu wa #elimu) na #si_mropokaji kama wanavyodai #Salafy_uchwara.

    • @thulaniduku3218
      @thulaniduku3218 2 ปีที่แล้ว

      masalafiya jadidah ni vipofu kama alivyo kuwa uyo munafiq anaejiita Sheikh wa mkowa

  • @Binahmed1234
    @Binahmed1234 3 ปีที่แล้ว +3

    Baraka Allahu fiik ammi

  • @makenakendi9014
    @makenakendi9014 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah ALLAH BARIIK always my brother

  • @yoramabubakar8012
    @yoramabubakar8012 2 ปีที่แล้ว

    Allah akuhifathi shekh

  • @asimirimubarackademba4624
    @asimirimubarackademba4624 2 ปีที่แล้ว

    Subuhana Allah
    😭😭😭 Uyu nimkosevu
    anafanya ivi iriawe karibuna manaswala
    Wakristo wakiwa kanisani wanaimba hareruya hareruya ukuwakipiga magoma yao kwaiyo sahii kumtaja Allah ukumagoma yakipigwa?
    Uyu shekhena afai atakurumagia

  • @sultansalehe4494
    @sultansalehe4494 3 ปีที่แล้ว

    Allah akujaze kila la kheri shekh muhamad bachu uendelee kubainisha haqq na batwil

  • @nassorbinfundi1196
    @nassorbinfundi1196 3 ปีที่แล้ว +1

    Apo anza kutufahamisha juu ya iyo neno halilu haliluu neno lamwenyezi mungu?

  • @abdulomar9776
    @abdulomar9776 3 ปีที่แล้ว

    شكر ىا شيخ.فتح الله عليك يا ابن باشو

  • @ahoh8345
    @ahoh8345 3 ปีที่แล้ว +1

    Hivi ulimfuata ulimpigia sim ukamuliza kaipata wapi

  • @yasertaleb4162
    @yasertaleb4162 3 ปีที่แล้ว

    Haleluya Ni Ki ibrania Maana Yake Ni (Yaaa Ilahii Au Laillah illah ) Sheikh unatutia Aibu sasa ujuaji uwoo ( Soma Sana sheikh kabla ya kuzungumza)

    • @MOMAIS_24
      @MOMAIS_24 2 ปีที่แล้ว

      Iyo sio maana yake usifate mkumbo haya mambo ya kielimu

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 3 ปีที่แล้ว +2

    Naomba profesa mazinge , hebu tuweke sawa haleluya maana yake nn? Huyu shehe wa bakwata anatuzingua. Tumbo bana hatari sana

  • @ywconline2817
    @ywconline2817 3 ปีที่แล้ว +3

    ninachojua mimi Aleluya ukiitafsiri kwa Lugha ya kiirabu ni "alhamd lilah" الحمد لله ayo mengine Mtihani sana penye haki shetwani upavizia saaana labda aojiwe yeye ili tujue alikuwa analenga nini

    • @ummunusaybah1496
      @ummunusaybah1496 3 ปีที่แล้ว +1

      Lete ushahid kuwa unalolisema kuwa (haleluya) - ni al hamdulillah

    • @ywconline2817
      @ywconline2817 3 ปีที่แล้ว +1

      @@ummunusaybah1496 Kwanza usijekuwa umenielewa vibaya nimesema hivi Aleluya ukiitafsiri kwa Lugha ya kiirabu ni "alhamd lilah" الحمد لله (Kilugha) Si kisheria katika dini ya Kiislam mfano mmoja nakupa katika Uislam Sheria zote zinafatwa kwa Lugha ya Kiarabu lakini ninachotaka ujue si katika Lugha ya kiarabu tu bali katika Lugha ya kiarabu cha Sheria ya Dini ya ALLAH (ndio maana wakati Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) ana telemshiwa Wayhi wapo walisema ni mwenda wazimu, kwa kuwa ALLAH anayajua wanayosema akawataka walete mfano wa kitabu hicho japo Aya 1 lakini walishindwa hali ya kuwa lugha ilikuwa kama yao ya kiarabu (Jibu ni kwamba walishindwa kwasababu maneno ya ALLAH yako katika Lugha ya Kisheria.. Ndio maana nisema Uenda yeye Aleluya aliitafsiri kilugha na si kisheria katika Lugha maana ikitafsiriwa kisheria basi woooote tunakubaliana kuwa anayetaili kuimidiwa ni ALLAH wala si mwinginewe.

    • @farheenmasoudchannel2495
      @farheenmasoudchannel2495 ปีที่แล้ว

      Acha kuketa ukafiri wako maneno yenu ya ukafiri msichanganye na dini yetu nyinyi na sisi n maji na mafuta ya taa kwanza hamna elimu ya lugha ya kiarabu mpaka mkaweza kufananisha ALHAMDULILLAH na neno la kumuasi ALLAH SUBHANAHU WATAALA

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 3 ปีที่แล้ว

    Allah anisamehe wallah uyu Shekhe Alhadi Musa anitia dhambi sana maana namchukia tangu siku ile ya uchanguzi mkuu 2020. Sijui nani kampa uongozi uyu baba.

  • @issakhams6995
    @issakhams6995 3 ปีที่แล้ว +2

    MASH ALLAH TUPO PAMOJ SHEH WANGU

  • @hansimassirhassan8154
    @hansimassirhassan8154 3 ปีที่แล้ว

    Allah akuzidishiye kila la kheiri bila shaka sheikh nasor bachu katuachiya copy yake nakupenda sana kwajili ya Allah sheikh Muhammad Allah akukinge na shari za wanafki amiin

  • @oman7710
    @oman7710 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sheikh kwa darsa

  • @AbuMuhammad
    @AbuMuhammad 3 ปีที่แล้ว +1

    Uchambuzi wa hali ya juu...safi kabisa...raadi yenye adhabu

  • @Alkaburu
    @Alkaburu 2 ปีที่แล้ว +1

    Hivi Hawa waislam wa bakwata ni nani aliewaroga.?

  • @mgondakisimbo9099
    @mgondakisimbo9099 3 ปีที่แล้ว +3

    Hapo tayari anawapa wenzeke mzigo mwingine tena inaa lilaah wainaylah rajiun

  • @yusufbaraka7762
    @yusufbaraka7762 2 ปีที่แล้ว

    Tutaskia mengi, yaaani munguanawaona nakeshotutarudikwake mtaulizwa mnavoidhalilisha diniyake

  • @zahorsuleyman3429
    @zahorsuleyman3429 3 ปีที่แล้ว +4

    Jazakallah khayran Akhy

    • @sheykhrocket8702
      @sheykhrocket8702 3 ปีที่แล้ว

      Sheykh ametumia hikma ya kutoa watu katika ukafiri .hajasema aleluya ni aya wala hadithi . tatizo liko wape chunga sana ktk ilmu yako .cdini ya ufakhari hii .wanayo sema masheykh nimengi kama una uchamngu katika ilimu yako mbona hupongezi mazuri wanayo yafanya?

    • @zahorsuleyman3429
      @zahorsuleyman3429 3 ปีที่แล้ว

      @@sheykhrocket8702 mtetee vizur ebu kaka kasema Mtume aliwakaribisha ktk msikiti wake kw mjadala wakasema halliluu halliluu ndio haleluya ambayo yeye kasema maana yake Laailaha illallah sasa hapo ndio penye maneno atakiwa athibitishe hayo maneno tuache ushabiki tusome haya mambo ya kielimu si mchezo leo mtu kuzuliwa mamaake mkewe au mtu wake wakarib atasema na atalalamika wakat mwengine atamuendea mzushi amtukane ila Mtu akimzulia Mtume Sala na salaam ziwe juu yake watu kimyaa na wakat mwengine wachangie ktk huo uzush tuwe makini

    • @hasaniabdalah6148
      @hasaniabdalah6148 2 ปีที่แล้ว

      @@sheykhrocket8702 usmtetee kabisa anamengi magumu yasiyo mafundishoni kwetu islam religion

  • @seremenikibwene8633
    @seremenikibwene8633 3 ปีที่แล้ว +6

    Huyu Alhad msa salum Tangu Cku Alipokurupuka ktk Mikutano ya Kampeni Akaomba Dua Kwa Jina la Yesu, Tangu hapo mie Nishamuona Hajitambui, Pamoja na Elimu Aliyonayo,, Ukisikia Wanachuoni Waovu Huyu Yumo.

    • @tahiyaahmed5330
      @tahiyaahmed5330 3 ปีที่แล้ว +1

      bro kibwene ni pesa hazina adabu.

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 3 ปีที่แล้ว

      Mmm hata kama sielewi hivyo Sasa acheni husuda za kujifitini kwani kwa kiisilam kuomba Katika Jina la Isa ni haramu? Uni jibu kwani Isa na Muhammad na Musa na wengine hawakutumiwa na mungu kwa mujibu wa Dini yenu ya ki Islam? Mbona mambo ya msingi ham HOJI mnaenda kuhoki kwanini shehe aliomba kwa Jina la yesu mbona hamuhoji huyo mama anaye funika nywele vizuri na kushika msahafu na kuapa kwamba hata toa siri za serkali Kisha Ana zitoa mbona lilo HAMUONI haramu?

    • @twahamohammed5135
      @twahamohammed5135 3 ปีที่แล้ว

      Haitakiwi kuomba kwa jina la kiumbe

    • @salehemustaph5487
      @salehemustaph5487 3 ปีที่แล้ว

      Uyo ni mfanya biashara na aombe msamaha

    • @hasaniabdalah6148
      @hasaniabdalah6148 2 ปีที่แล้ว

      @@jenyyusuph4973 usilete hoja isioingia hata akilini suala la dini ni Jambo kubwa Sana dini ni njia iko kwenye masharti yake na dini ya uisilam sio kama dini nyingine unazojua wewe kwamba ikionekana kipengele flani ima kama kinawabughuzi watu wanauwezo wa kubadilisha uisilam umekamilika huuhitaji shekh yeyote aongeze kitu au apunguze

  • @enuelabunimkali9529
    @enuelabunimkali9529 3 ปีที่แล้ว +2

    Halilu halilu jina la bwana mungu lihimidiwe!!!

  • @SHOLLAH804
    @SHOLLAH804 3 ปีที่แล้ว

    Fact sahihi صاحيح

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 3 ปีที่แล้ว +3

    Asalam Alaikum. MashaaAllah. Fajazakumullah khairan

  • @mwanaimaabdallah7825
    @mwanaimaabdallah7825 3 ปีที่แล้ว +4

    Innalillah wainna ilah rajiuun huyu sheikh ni mtihan sana

    • @9119-r4t
      @9119-r4t 3 ปีที่แล้ว

      @Abeid Ngomba wewe kafiri nini

  • @ahmedmalick2862
    @ahmedmalick2862 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah sheikh allah akuhifadhi uzidi kuitetea dini ya Allah

  • @minahadi2190
    @minahadi2190 3 ปีที่แล้ว

    barakAllahu fiyk sheykh

  • @khalifakatobo4184
    @khalifakatobo4184 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah, MUNGU akulinde, wew ni shekh mkubwaa saaanaaaa

  • @moasitymemo9894
    @moasitymemo9894 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaa Allah tabaraqllah uko sahihi shekhe nakupenda kwa ajili ya الله

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 2 ปีที่แล้ว

    Uyu shekhe wa mkoa kidudu mtu mgombanishi fitna mfitinishi, c zani ata kama Mwenyezi mungu mwingi wa Rehma ameeka pepo kwa mashekhe kama awa

  • @deathrow8004
    @deathrow8004 3 ปีที่แล้ว

    Baraka llahu fyikaa akhiyl kareem

  • @ramadhaninjoroge9569
    @ramadhaninjoroge9569 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah shekh umeleweka shekh wamkoa hana kitu

  • @mohameddossora3926
    @mohameddossora3926 3 ปีที่แล้ว +5

    sheikh wangu upo sahih kabisa na Allah atakulipa juu ya elim yako inshaallah lakn tatizo la viongoz wetu ni njaa na tamaa za kidunia mpaka wanajisahau kama kuna moto siku ya kiamah

  • @husseinkakanga4082
    @husseinkakanga4082 3 ปีที่แล้ว +1

    Hata Mimi si mjuzi saana lakini nilijua shekhe wetu wa mkoa alikosea.

  • @mussamc641
    @mussamc641 2 ปีที่แล้ว

    Yaaan mm toka hao bakwata walipo mftarsha magufuli ..kisha kuna siku ilikua uanja wa taifa uyo she wa mkoa alisema et naomba dua kwa jina la yesu na lamtume muhaamad ..bas mm nikajua mashekh wa mchongo tu masheh pesa .

  • @ramadhaniabdallah4265
    @ramadhaniabdallah4265 ปีที่แล้ว

    Una waradi bakwata shekhe apo unajua ?

  • @hemedmedy693
    @hemedmedy693 3 ปีที่แล้ว +1

    Anapenda kuonekana mwema kwa wakristo

  • @zubedasoud9204
    @zubedasoud9204 3 ปีที่แล้ว +5

    Uyo shekh wa mkoa ndo tabia yake imekuwa nakumbuka aliwahi kuapa kwa JINA LA YESU. Mie sina imani nae uyo shekh.

    • @thulaniduku3218
      @thulaniduku3218 2 ปีที่แล้ว

      Utakuwa na imani na murtad Kweli awezi kuwa na imani na murtad

  • @mukrimmohd8954
    @mukrimmohd8954 2 ปีที่แล้ว

    Duh sheikh ubwabwa mtihan sana uyu jamaa

  • @hasamjebe4685
    @hasamjebe4685 3 ปีที่แล้ว

    Njaaa a mbaya

  • @abuusuleym3676
    @abuusuleym3676 3 ปีที่แล้ว

    mashallah Allah akuzidishie elimu
    lakin ilo jina muhaddithi huko ni kujikweza hujafikia huko

    • @Muhammad_Nassor_Bachu_.
      @Muhammad_Nassor_Bachu_.  3 ปีที่แล้ว

      Ungeliuliza usingepata tabu, MUHADDITH ni jina la mtoto na Muhammad ni jina la baba. Usivamie tu

    • @abuusuleym3676
      @abuusuleym3676 3 ปีที่แล้ว

      @@Muhammad_Nassor_Bachu_. kheri jazakallahukhair

  • @hassanhamid4359
    @hassanhamid4359 3 ปีที่แล้ว

    Alla akuongoze shekh wangu

  • @salumkikambaa1767
    @salumkikambaa1767 3 ปีที่แล้ว

    Jazakallah khair

  • @aminadima5530
    @aminadima5530 3 ปีที่แล้ว +5

    Nakupenda kwa ajili ya allah allah akuhifadhi

  • @adamfundikira3554
    @adamfundikira3554 2 ปีที่แล้ว

    Tatizo waisilam mnajifanya mna mungu kuliko wengine kumbe ni shimo lisilo na mwisho

  • @suleimanmustapha101
    @suleimanmustapha101 3 ปีที่แล้ว +1

    Qiul udu3u Allah awi udu3u Arrahman ayya maa tad3u falahu al-asmaau al-husna.

  • @faridabdulrahim84
    @faridabdulrahim84 3 ปีที่แล้ว +2

    Basi Kwa ALLAH NDIYE MWENYE LUGHA.ALLAHA hachukui maneno BT lengo na niya ya Hilo NENO.wacha panga nga shekhe.ushapata za TH-cam tuliya

  • @shekheshabanipembe9564
    @shekheshabanipembe9564 3 ปีที่แล้ว

    Mdogo wangu Muhammad bachu umevamia ushekhe kwa pupa sana.kila darasa zako unazotoa unakosoa mashekhe na kutafuta wapi wanakosea.
    Wewe ni fresh from school kwaiyo wacha mihemko katika dini. Usitafute umaarufu kupitia makosa ya wengine. Makosa uliyonayo wewe kwenye elimu nimakubwa mno. Ukitaka watu waanze kukuchambua utakuwa umedhalilika .acha kuchafua brand za mashekhe

    • @mikidadihussein5152
      @mikidadihussein5152 3 ปีที่แล้ว

      Mtume alisha SEMA zitakuja zama ambazo mtu atakae simamia haqi katk elimu ataonekana hafai kwanin shekhe alhad Musa awaambie watu swala ambolo halijathiti kwamjibu wasuna wa aya ya Qur'an

    • @salmaiddi1527
      @salmaiddi1527 3 ปีที่แล้ว

      Yani wewe ndio walewale huna lolote haja kurupuka huyo amesoma na mtoto wa shehe ni shehe wewe unaona hapo ni sawa hamtuburuzi tena na kutudanganya allah amuweke na amlinde na husda za watu kama nyie amiin

  • @abdulmohd466
    @abdulmohd466 3 ปีที่แล้ว

    Radi radi radi
    Sheikh Raadi

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 3 ปีที่แล้ว

    Ajabu sana wallahi huyu Sheikh ywapnda sana kuwafurahisha manasara

  • @moanamohammed1406
    @moanamohammed1406 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah sheikh wetu jazakallahu khaiyra

  • @qorantukufu
    @qorantukufu 3 ปีที่แล้ว +2

    Shkh umezungumza vzr sana lkn mbona hujaja na maana ya haleluya tujue linamaana gani ili tuthibitishe alichomaanisha ni sawa au sio