Namna ya kukoga JANABA|Muhammad Bachu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024
  • Bonyeza neno SUBSCRIBE kisha bonyeza alama ya kengele ili uwe wamwanzo kupata video zetu mpya

ความคิดเห็น • 206

  • @chundesaalim6540
    @chundesaalim6540 2 ปีที่แล้ว +23

    Nakuomba Allah huyu mja waķo anaetuelimisha mlipe kheri duniani na Akhera Amina ya rabbi nakupenda shekh kwaajili ya ALLAH

  • @ShemsaKhamisi
    @ShemsaKhamisi ปีที่แล้ว +5

    MashaAllah uishi maisha marefuu mwalimu wetu🎉

  • @MwakaAbdillah
    @MwakaAbdillah 11 หลายเดือนก่อน +2

    allah akulipe sheikh allah ameondowa wasiwasi katika moyo wangu kupitia wewe

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 5 หลายเดือนก่อน

    Allah akuhifadhi na atujalie tupate mashekh kama wakina Muhammad bachu 10 nazaidi afrikanzima uislam utakua nanguvu na kuenea namasufi watapotea na uzushiwao

  • @PirfaImanipirfa
    @PirfaImanipirfa ปีที่แล้ว +2

    Allah akulipe kila la heri mwalimu wangu ❤❤

  • @fahmisaid7364
    @fahmisaid7364 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah shekh Mohamed bachu twakuomba uje kenya lamu kijiji cha mkunumbi japo siku moja mwezi waramadhan ututolee darsa na jaza yko utapata kwa Allah inshallah

  • @sulayhatkhamissuleiman1641
    @sulayhatkhamissuleiman1641 2 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah mungu akulipe ujira mwema 🙏❤

  • @salha2677
    @salha2677 ปีที่แล้ว +2

    Maashaallah yaarab mlipe kher huu shekhe wetu

  • @wazirimwanyoka7949
    @wazirimwanyoka7949 3 ปีที่แล้ว +6

    SHEIKH nakushauri maana nakuona uko vizuri sasa siivii yako itashuka IKIWA utadili sana na kuwakosoa watu lkn ukiwaacha na wanayoyasema ukaangalia mambo yako kama kufundisha ilmu kupitia vitabu mbalimbali itakua kheri kwako na pia siivii yako itakua juu inshaallah Shukran 🙏🙏

    • @alijabz1204
      @alijabz1204 ปีที่แล้ว

      Wamanisha wasimosolewe ili wazidi kudanganya ummah,tulia wachapwe vikoto mashekhe waongo

    • @selemanmartin
      @selemanmartin ปีที่แล้ว

      Anayefanya makosa yanayosababisha kupoteza watu mitandaoni lazima akosolewe mitandaoni ili kuonesha uongo na kuelekeza ukweli

    • @Jumahally
      @Jumahally 9 หลายเดือนก่อน

      Huwezi mwambia shekh asiwakosoe wanao potosh ummah anafany kaz mzry allah amlip khery🎉🎉🎉❤❤❤

  • @MuduVipaya
    @MuduVipaya 8 หลายเดือนก่อน

    Mashacllah❤mwalimu wetu kipenzi❤chetu nakupenda sana❤

  • @NanahKhamis
    @NanahKhamis ปีที่แล้ว

    Asantee San mungu akuzidishie inshallah kwa darasa

  • @fathimaishmail2768
    @fathimaishmail2768 ปีที่แล้ว +1

    Ma Sha Allah THABAARAKA ALLAH 🙏 shukran shekh

  • @manfugo
    @manfugo ปีที่แล้ว +1

    Mashallah uko sawa bachu

    • @manfugo
      @manfugo ปีที่แล้ว

      😊

  • @AweynaAbdallah
    @AweynaAbdallah ปีที่แล้ว

    Masha Allah Allah azidi kukuongoa nakukueka kwa ajili y kutupa elimu zaid

  • @ZainabAyoub-hv1zo
    @ZainabAyoub-hv1zo 7 หลายเดือนก่อน

    Alhamdullirah kwa kutuelimisha....pia unaongea kwa utulivu mashaAllah

  • @user-yassir695
    @user-yassir695 ปีที่แล้ว +1

    Jazkallah kheir

  • @HappyDikanto
    @HappyDikanto 11 วันที่ผ่านมา

    Mungu akujalie❤

  • @YassirmohdAli
    @YassirmohdAli 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah shekh muhammad bachu

  • @mariamkhamisi9162
    @mariamkhamisi9162 ปีที่แล้ว +1

    Maa Shaa Allah TabarakAllah Shukran Sheikh

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 ปีที่แล้ว +2

    JazzakaAllah khayra sheikh Muhammad

  • @chikuukwaju7183
    @chikuukwaju7183 ปีที่แล้ว +1

    Ewe mwenyezi mungu utuze huyu mjawako

  • @himnakhatib1050
    @himnakhatib1050 ปีที่แล้ว

    Shukrani shekh wangu umeongea ufasaha kabisa jazaka llahu Khaira kathiiraa.

  • @Lahiliuwiringie
    @Lahiliuwiringie ปีที่แล้ว

    Asante shieh mungu akupe mwisho mwema

  • @ramadhanihudhaifani4376
    @ramadhanihudhaifani4376 3 ปีที่แล้ว +5

    Shukran sana,Sheikh! Darasa lina mafunzo mazuri sana,lillah. Endelea kutufunza na,In Shaa Allah,Allah Atakulipa- Amiin!

  • @khadijakassim
    @khadijakassim ปีที่แล้ว

    Mashallah, shukraan sana shekh Mohammed kw darsa, jazakallah lkheyr

  • @tamimakhalfanikhani8403
    @tamimakhalfanikhani8403 ปีที่แล้ว

    Unafafanua mashaallah nimependa

  • @kuruthumually3786
    @kuruthumually3786 ปีที่แล้ว

    Alhamdullah.Allah akuweke inshaAllah nakuombea

  • @azgaraligulamhusseinnargis5949
    @azgaraligulamhusseinnargis5949 ปีที่แล้ว

    MashaAllah Allah atakupa kila la kher InshaAllah kw kutuilimisha

  • @alisaleh6615
    @alisaleh6615 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @mwanaishashante8888
    @mwanaishashante8888 ปีที่แล้ว

    Asanteeee sana ustadhi nimeelewa somo

  • @azizagwaipaulo5452
    @azizagwaipaulo5452 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah mwenyewe nzimungu aku jalie iendeleee kutufunzaa ishaallah 🤲

  • @AliZZYBOY-p7s
    @AliZZYBOY-p7s 6 หลายเดือนก่อน

    Amina labilahala amina 🙏

  • @abdallahhamid8270
    @abdallahhamid8270 3 ปีที่แล้ว +4

    ماشاءاللہ جزاكم الله خيرا و احسن الجزء

  • @maalimzhen9981
    @maalimzhen9981 7 หลายเดือนก่อน

    Maashaallah Maashaallah shekh❤

  • @DewshyRammey-gl9cy
    @DewshyRammey-gl9cy ปีที่แล้ว

    Jazakallah khairan 🙏

  • @MaizKhamis
    @MaizKhamis 8 หลายเดือนก่อน

    Allah akulipe wema

  • @NasiboIsack
    @NasiboIsack 6 หลายเดือนก่อน

    Shukran jaza

  • @khadijanjama8721
    @khadijanjama8721 2 ปีที่แล้ว

    Waalaykum Salam warahmatu llahi wabarakaatuh shukran jazaka ALLAHU Al kheyr

  • @DuliNho-h6x
    @DuliNho-h6x 7 หลายเดือนก่อน

    Jazzakkallah

  • @islamiczoneallytv2558
    @islamiczoneallytv2558 3 ปีที่แล้ว +6

    Shehe ukitoa nasaha inapendeza ila ile sijui kuradi sii katika akhrack za mtume nawaombeni muaache. Tafuta mada fikisha kwa watu kama hivyo Allah atuongoze inshaalah

    • @shikivokochabunu8011
      @shikivokochabunu8011 3 ปีที่แล้ว +1

      Radi ni lazma kwa masheikh waongo kwa sababu wasipofatilizwa wataupoteza ummah Na waislam WA ss hawataki kusoma kwaiyo lazma kwa masheikh waongo kwa sababu ili watu wazendunke Na uongo wao bila hivi hatitujua kama ni waongo

    • @islamiczoneallytv2558
      @islamiczoneallytv2558 3 ปีที่แล้ว +2

      @@shikivokochabunu8011 sema unaweza ukahisi wanakosolewa lkn Kuna hekma inabidi zifuatwe mfano kunyamaza kimya ukafundisha watu msimo wako ni Bora zaidi kuliko kosoana kwenye Mambo ambayo wanawazuoni wamehitalifiana lazima ujenge mshangao kwa wale wenye kumfuata mwanawazuoni yule kwani Kama mtu unadanganywa ndio nafasi ya kushika kitabu ukasome ile sehemu sahihi Allah atakuongoza kwasababu unasoma ujue.

    • @shikivokochabunu8011
      @shikivokochabunu8011 3 ปีที่แล้ว

      @@islamiczoneallytv2558 Sheikh hii ni dini ya Allah analazimisha itangazwe vile anavyotaka yy sio anavyotaka mtu yyte kwa matamanio yake pia kifo cha mtume Omar bin khatwab alisema mtume hajafa naatakaye sema amekufa nitamkata kitwa alitamka mbele za watu Abubakar alipoona mtume amekufa ukasema. Hii ni haki hatutokuogopa kukuambia kweli kama mtume amekufa sasa maskhehe wamezungumza mtandaoni lazma wakosolewe mtandaoni maana watu wengi wamesikiza masheikh waongo. Leo Mohammed bachu akirekebisha wale waliosikiza wakiona watafata haki Lakini wakifanya kwa Siri basi batwil itaendelea bila watu kujua wabillah taufiq

    • @swaumdodoma7591
      @swaumdodoma7591 2 ปีที่แล้ว

      @@shikivokochabunu8011 swadakta maneno yako

  • @omarsaid6744
    @omarsaid6744 3 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa Allah shukran kwa ukumbusho

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukraan Sana sheikh wetu jazakallah khaira

  • @tamimakhalfanikhani8403
    @tamimakhalfanikhani8403 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @lesedilekgetho8606
    @lesedilekgetho8606 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akulipe kheri inshaAllha

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 3 ปีที่แล้ว +4

    جزاك الله خيرا
    الله يوفقك
    ويحفظك
    من كل
    شر

    • @shikivokochabunu8011
      @shikivokochabunu8011 3 ปีที่แล้ว +1

      Wewe umempenda sana Sheikh Mohammed bachu Allah ajaliye umpende kwaajili ya Allah

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว

      Hizo herufi za kiarabu unazipataje

  • @wafaumelikolinji7151
    @wafaumelikolinji7151 3 ปีที่แล้ว +1

    Moja ktk majllisu nilifundishwa wakati wakukoga janaba usiposukutua kogo halijakamillika likoje hilli Al'akhi sheikh Muhammad Bch.

    • @abdiomar954
      @abdiomar954 3 ปีที่แล้ว

      Hapa na mmi sijajuwa

  • @mulhathassan8421
    @mulhathassan8421 ปีที่แล้ว

    Mashaallah jazakallahu khair

  • @فاطمةسعيد-ث2ق
    @فاطمةسعيد-ث2ق 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah Shukraan shekhe wetu

  • @bisadakhalidy7000
    @bisadakhalidy7000 ปีที่แล้ว

    Mashaallah shukurn

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 ปีที่แล้ว

    Jazzaka Allahu Khairan Ya Sheikh

  • @NagmaAlly-n4e
    @NagmaAlly-n4e ปีที่แล้ว

    Shkeh misija elewa

    • @hannahhassan8881
      @hannahhassan8881 หลายเดือนก่อน

      Wapy hujaekewa?
      Anaelezea namna ya kuoga janaba.
      1.Kuweka Nia
      2.Kuosha sehemu za Siri
      3.kuosha mikono
      4.Kutawadha
      5.kujimwagia maji upande wa kulia kuanzia kichwani Hadi miguuni
      6.Kujimwagia maji upande wa kushoto kuanzia kichwa Hadi chini mara tatu
      7.Unajimwagia mwili mzima na unahakikisha Kila sehemu imepata maji.

  • @amenamaashaallahyasheikh3457
    @amenamaashaallahyasheikh3457 3 ปีที่แล้ว

    Maa sha Allah shukran sana sheikh

  • @albusayyd3020
    @albusayyd3020 2 ปีที่แล้ว +1

    mashaAllah

  • @NawalHoumadi-d3s
    @NawalHoumadi-d3s ปีที่แล้ว

    Gid bless you

  • @musafirbaba2100
    @musafirbaba2100 3 ปีที่แล้ว +3

    Shukran jazakallahu kheir 🤝

    • @PpPp-io6rj
      @PpPp-io6rj 3 ปีที่แล้ว

      Jazzak Allah kheir

  • @hassanawale3576
    @hassanawale3576 3 ปีที่แล้ว +1

    Jazakallah kheir bro

  • @mussamalugu1793
    @mussamalugu1793 3 ปีที่แล้ว +3

    Safi shekh

  • @suleimanabdul-karim1212
    @suleimanabdul-karim1212 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah Jazaakallahul khayran Sheikh wangu

  • @mshengavuai5004
    @mshengavuai5004 3 ปีที่แล้ว

    Mashallha mwalim wetu

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 3 ปีที่แล้ว +1

    Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️

  • @feizaferouz2871
    @feizaferouz2871 3 ปีที่แล้ว +3

    Cheikh tusayidiye utufanyiye vidéo ukiwa unatawadha mana tumeona watu wakitawadha tofauti.asante

  • @aminangalunda8348
    @aminangalunda8348 2 ปีที่แล้ว

    alhamdulillah

  • @kosemraul3419
    @kosemraul3419 3 ปีที่แล้ว +1

    Barakallahu feek

  • @mwaramimwarami1479
    @mwaramimwarami1479 2 ปีที่แล้ว

    Baaraka llahu fik

  • @fatamb2187
    @fatamb2187 2 ปีที่แล้ว

    Shukurani shekhe

  • @alisaid5378
    @alisaid5378 3 ปีที่แล้ว

    Asnte jazaka llahukhayra amiin

  • @Abuassma360
    @Abuassma360 3 ปีที่แล้ว

    Mashallh Allhu bariq

  • @mudathirmkubwamselem5650
    @mudathirmkubwamselem5650 3 ปีที่แล้ว +2

    Allhamdulilah

  • @mwanamisidogo1985
    @mwanamisidogo1985 ปีที่แล้ว

    Shukran ❤

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 3 ปีที่แล้ว

    Shukran shekh wangu

  • @dullydullahsenior756
    @dullydullahsenior756 3 ปีที่แล้ว

    Shukran Jazeer

  • @abdulmwakubambanya9091
    @abdulmwakubambanya9091 3 ปีที่แล้ว +1

    Jazakh Allah

  • @mootelahamongus633
    @mootelahamongus633 3 ปีที่แล้ว

    Jazaaka Allaahu Khyra

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 3 ปีที่แล้ว +1

    Asalaam Alaikum...inshaaAllah...Fajazakumullah khairan

  • @fatumasimon1178
    @fatumasimon1178 ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye kutia wudhu ukiwa unaosha uso unatakiwa utamke ile nia au utaosha bila kusema chochote?

  • @kawaidachimweri5351
    @kawaidachimweri5351 2 ปีที่แล้ว

    Maashaallah

  • @tifaahkhamis3091
    @tifaahkhamis3091 2 ปีที่แล้ว

    Shukran

  • @oman6124
    @oman6124 3 ปีที่แล้ว

    بارك الله فيك

  • @ngundejkassim3252
    @ngundejkassim3252 3 ปีที่แล้ว

    "kwakuwa janaba mtu anakoga mara mbili au mara tatu"....

  • @rukiyahussein2008
    @rukiyahussein2008 ปีที่แล้ว

    Asalamualeikum, je janaba ya zinaa nayo waoga vp shukran

    • @suweidkhamis722
      @suweidkhamis722 ปีที่แล้ว

      Wapo wenyeswali hili mh

    • @hannahhassan8881
      @hannahhassan8881 หลายเดือนก่อน

      Waaleikum Salaam Janaba ni janaba tu unaoga kama alivyoelezea Ila zinaa ni Haraam

  • @salmabintuthman3243
    @salmabintuthman3243 3 ปีที่แล้ว +1

    Assalamu alaikum Sheikh. Nakuomba tafadhali utufafanulie Na kutueleza, JE INAFAA MWANAMKE KUA KADHI? TENA AWE ANAHUKUMU HASA NA MENGINEO?. JAZAKALLAHUL KHAIR

    • @aminaomar9675
      @aminaomar9675 3 ปีที่แล้ว

      Mwanmke hawezi kua kaadhi Allah ndoameshaeka ivo

  • @husseynhamad9790
    @husseynhamad9790 3 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh muhammad. Naomba kukuliza kuna baadhi ya wanawake wanapo oga janaba hawatii maji kichwani nn hkumu yke je inafaa au laa naomba unijibu.ahsante

    • @swaumdodoma7591
      @swaumdodoma7591 2 ปีที่แล้ว

      Subhanallah twahara ni lazima maji yaanzie kichwani uyo atakua hajatwaharika bado asipotia maji katika nywele Tena si kumwagia tu atakiwa kusugua kwa vitole maji yainguie adi kwenye ngozi

    • @hemedysaidy7020
      @hemedysaidy7020 ปีที่แล้ว

      Hukumu yake shekhe hapo hajakoga janaba maana mwili wake wote haujaenea maji ili ukamilike lazima mwili wake wote uwenee maji

    • @hemedysaidy7020
      @hemedysaidy7020 ปีที่แล้ว

      Hukumu yake shekhe hapo hajakoga janaba maana mwili wake wote haujaenea maji ili ukamilike lazima mwili wake wote uwenee maji

  • @ayishaayisha8053
    @ayishaayisha8053 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukran 🙏

  • @halimashabani30
    @halimashabani30 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubaliki Sana shehe

  • @maryamuomary2082
    @maryamuomary2082 ปีที่แล้ว

    asalaam alkym

  • @abasishaha1924
    @abasishaha1924 3 ปีที่แล้ว

    🙏

  • @allybobsaith
    @allybobsaith ปีที่แล้ว

    Wakati wa kustanji tunapaswa kutumia mkono upi wa kulia au kushoto? Shukraaan

  • @salmabintuthman3243
    @salmabintuthman3243 3 ปีที่แล้ว +1

    A.A. Sheikh Kuna Jambo hutokea kwa wanawake wengi. Mke amemaliza tendo la ndoa akataka kuoga janaba lakini wakati ajisafisha anaona Na hedhi imemfata NA bado hajamaliza josho lake. JE HAPO ATAOGA VIPI NA NIA ITAKUA VIPI? PLZ tusaidie hapo

    • @natafutamatatizo4382
      @natafutamatatizo4382 3 ปีที่แล้ว

      ACYA KULALA NA MWANAMME MAMBO HAYO HAYATAKUTOKEA😁😁😁

    • @salamasalimumwalimu9763
      @salamasalimumwalimu9763 3 ปีที่แล้ว

      Nadhani waeza tia nia pamoja maana uogaji ni uleule

    • @swaumdodoma7591
      @swaumdodoma7591 2 ปีที่แล้ว

      @@natafutamatatizo4382 🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄

    • @swaumdodoma7591
      @swaumdodoma7591 2 ปีที่แล้ว

      @@natafutamatatizo4382 Jina lenyewe tu linajieleza kwaiyo ngoja tu nikuache

  • @sophiabernard6406
    @sophiabernard6406 2 ปีที่แล้ว

    Naomba video ya jinsi ya kuswali kwa mwanamke, nimeingia kwenye uislam miez 2 sasa siwezi kuswali

  • @alisonso4194
    @alisonso4194 3 ปีที่แล้ว

    Maashaallah 💕💕

  • @msramadhan2810
    @msramadhan2810 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sana shekh lkn mbona mwatutatiza mana wengine wanasema ukimaliza kujitoharisha ndio unatia udhu na udhu huohuo unaweza kuswalia ikiwa mda wa swala umeingia na ww wasema watia udhu kwanza ndio waoga mbona hamna kauli za kufanana mnatutatiza sisi maamuma jmn

    • @allyyussufshuwari4508
      @allyyussufshuwari4508 3 ปีที่แล้ว

      Tizama tenna hii video nahisi hujafahamu

    • @nassirally4420
      @nassirally4420 ปีที่แล้ว

      Unaweza kuswalia

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @hannahhassan8881
      @hannahhassan8881 หลายเดือนก่อน

      Usitatizike vyote vimekubaliwa unaeza kutawadha ndio ukaoga na ukawa uko sawa na pia unaweza kutawadha kabla na baada ya kuoga na pia unaweza kutawadha baada ya kuoga😊

  • @fatmamohamed372
    @fatmamohamed372 3 ปีที่แล้ว

    Shukran sana sheikh kwa taaluma. Allah akujaze kheri . Mimi nilikuwa nina swali kidogo. jee akikugusa mwanamme kwa bahati mbaya hali ya kuwa una udhu .jee itakuwa udhu wako umetenguka?

    • @amranimjimbo3358
      @amranimjimbo3358 3 ปีที่แล้ว

      Najibu kwa ufup hilo la bahat mbaya hutaenda kushika tena udhu

  • @AhmedMohammed-de4ke
    @AhmedMohammed-de4ke 3 ปีที่แล้ว +1

    Shekhe udhu iko mingapi? Udhu wa swala ni upi na udhu wa kawaida ni upi.

    • @santossantos883
      @santossantos883 3 ปีที่แล้ว

      Udhu uwo uwo wa swala hukumfaham vzr

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 3 ปีที่แล้ว

    Nauliza suala kujichua kwa mawanamke ni sawa au

    • @santossantos883
      @santossantos883 3 ปีที่แล้ว

      So kwa mwanamk t ht kwa mwanamme haifai

    • @shikivokochabunu8011
      @shikivokochabunu8011 3 ปีที่แล้ว

      Ashajibu kwa darsa ya tatu fatiliza utasikia

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว

      ​@@shikivokochabunu8011 Sasa ukiwa na nyege na hujaolewa utafanyaje

  • @hajaniacharamadhani8074
    @hajaniacharamadhani8074 3 ปีที่แล้ว

    Shekh mi nina swali je katika hizi nyakati hizi mbili baada ya sala ya Subuhi eti hakuna sala eti baada ya sala ya Asri hakuna sala je hatakama sala imekupita mda huu huwezi kulipa hii sala katika huu muda mtume Alie ukataza?

    • @RashidalliyAli
      @RashidalliyAli 2 ปีที่แล้ว

      Ni kwa swala za Ziada tuh ila km umepata dharura unaswali kwa swala ya faradhi tuh

  • @muhammadmrmj6228
    @muhammadmrmj6228 3 ปีที่แล้ว

    Sasa kuhusu maji yale yakiruka yakiingia kwenye ndoa mule hayaja haribika au?

    • @santossantos883
      @santossantos883 3 ปีที่แล้ว

      Hayajaharibik man mtume (sw) alikua akiog pamoja na bi khadija na maji yakiingia kwny debe la maji

    • @abdiomar954
      @abdiomar954 3 ปีที่แล้ว

      Hapana

    • @muhammadmrmj6228
      @muhammadmrmj6228 3 ปีที่แล้ว

      @@abdiomar954 sasa inakuaje apo

  • @omarmwabege
    @omarmwabege 3 ปีที่แล้ว

    Icho kinyombo kwambali chakera.

  • @saidmfaumekombo8067
    @saidmfaumekombo8067 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah sheikh Allah akuhifadhi

  • @saluisilam219
    @saluisilam219 3 ปีที่แล้ว

    S. B. Y