MAJIBU KWA SHEKHE KISHIK JU YA MASWAHABA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 24

  • @mohdsaid342
    @mohdsaid342 ปีที่แล้ว +1

    Shekhe naomba kujua nitakupata wapi nahitaji kujifunza kwako

  • @abdillahmussa4813
    @abdillahmussa4813 ปีที่แล้ว

    Shia njaa inakupelekesha kuweni makin ikhwa nashia wahuni

  • @suleimankhatwib7830
    @suleimankhatwib7830 ปีที่แล้ว

    umecoment unataka kujifunza ila kwa ushauri wangu usijifunze kwa shia mashia sio waislam

  • @mohamedimcheni2068
    @mohamedimcheni2068 ปีที่แล้ว

    Shekhe piga hao

  • @hamdiabdi1420
    @hamdiabdi1420 ปีที่แล้ว

    Mfanyie Raddi Na huyu shkh lako Kama Ni dini kweli waitetea Kama SI ushabiki

  • @imranbanda3963
    @imranbanda3963 ปีที่แล้ว

    Deen yakutukanana

  • @graflow4714
    @graflow4714 ปีที่แล้ว

    Huyu kama hajalipwa na shia basi Allah amuongoze huyu kijana...tutakuja kuulizwa siku ya qiayama kwa mambo tuliyosema na tukaeneza

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว +1

      Wewe kama unaona kakosea jibu hoja usizungumze mambo ya kulipwa ambayo huna ushahidi nayo

    • @athumanimvula3718
      @athumanimvula3718 ปีที่แล้ว

      Ndiyo shida yenu,kwakuwa mmwzoe kusikia kutoka kwa Shekhe moja nakuamini anachosema ni sahihi,bila kufanya uchunguzi wa kielimu.

  • @halifaabdala5733
    @halifaabdala5733 ปีที่แล้ว

    Hakuna MTU ase kosea

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      Sasa endapo mtu amefanya madhambi makubwa yakudhulumu wwngine jee uadilifu wake uko wapi. Je rehema za Allah anazipataje

  • @ausatmwangi6464
    @ausatmwangi6464 ปีที่แล้ว

    Kumbe ni kizazi cha zinaa kinaongea hapa hivi!!!

    • @mohdsaid342
      @mohdsaid342 ปีที่แล้ว

      Shekh na kujua nitakupata nahitaji elimu yako unifunze

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      Kuna watu wenye dalili zote kuwa kizazi cha zinaa zaidi ya Mawahabi?

  • @abeidkhamis6130
    @abeidkhamis6130 ปีที่แล้ว

    Nyie hacheni upuhuzi Kila mtu amekua mwalimu Tena mwenye elimu hatoi matusi Sasa mnatuletea ukristo

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      Mawahabi ndo wenye itikadi za kiyahudi na kikristo

  • @abeidkhamis6130
    @abeidkhamis6130 ปีที่แล้ว

    Umetumwa? wewe ni msabato

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      Jibu hoja mtu wangu kama unaweza mambo ya usabato hayakuhusu

    • @abeidkhamis6130
      @abeidkhamis6130 ปีที่แล้ว

      @@abiabi9353 wewe ni msabato kwenye msafara wa Mamba kenge hijiingiza, wewe umejiingiza kuja kuvuriga uislam kwa sababu ni ushabiki wa ufasiki

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว +1

      @@abeidkhamis6130 tabia yenu yakupenda kuhukumu haitawasaidia.wewe kama huyo kijana kakosea lete hoja

    • @abeidkhamis6130
      @abeidkhamis6130 ปีที่แล้ว

      @@abiabi9353 hoja ni kwamba mwenye elimu hufafanua hoja na sio kwa mujibu wa uelewa wake na funzo alio yapokea na kama kejeli ubishi kukoseana adabu halafu hizi tabia za kurushiana radi badala ya mafunzo sahihi ndio umekua mtindo Tanzania ya huku hamwoni vijana wanavyoshabikia machafu ndoa za mkeka ,usanii ,jamii kukosa maadili kutupa swalat na mengineyo nyie na ma ustadh wenu kishabikiana tu KAMA Simba na yanga hayo yatakupelekeni wapi? Huyu kijana ni mshia

    • @athumanimvula3718
      @athumanimvula3718 ปีที่แล้ว

      Jibu hoja