Wimbo umebana kipaji cha belle... Belle ni mkali zaidi ya hapo,hyo style ya kuimba haikutoi belle afloat kwa corus nimekusoma kale ka sauti kako hataree.. Ur gud champ...
kazi nzuri belle usikate tamaa kijana .. nafasi yako inakuja mungu anasimama na wewe sasa.. naamini kuna siku atapatikana MENEJA au KAMPUNI inayojua THAMANI yako THUMB UP.....TUKO PAMOJA... nanunuaje album au nyimbo zako..?
Best director knows how to pick best locations and shots...congrats hanscana step by step I can see you conquering international video making industry...God bless you... ukikaza u can reach there
We here in 2024🔥🔥
Tunaosikiliza 2024 gonga like
Kk wakwanz kk
🤚
We nizaidia ya wimbo wacha nikuimbe, wacha nivimbe Nani anakataa, Malaika wa furaha amenishukia ndaani, ameomba nikuimbe leo, Malaika wa furaha amenishukia ndanii ameomba nikusifie mrembo.
Dah 2024 huu wimbo uliniapatia dem sinza but nilikuwa sijui kutongoza enz hizo namwekea nyimbo t nhoma mpaka akanielew
❤👍👍👍Oya Belle nago we mkali sana mwana
Belle 9.
Salute bro ktk Vipaji vya Muziki tulivojaaliwa Nchini mwetu Bac nawe umo.
But sijui nani kakuzimia Nyota yako.
Songs zako zitaishi milele.
Management yake haiko sawa...naumiaa Sana .kuona Hutu na bright wanakuwa WA kawaida
Tunaongalia 2023 tujuane kweny coments
😂😂
Kumbe tupo wengi huu wimbo unanikumbusha mbali sana
Malaika wa furaha amenishukia ndanii ameomba nikuimbie leo, Malaika....
Faida ya msanii ya R&B akipenda Hiphop.... ngoma full ujazo wa mashairi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nyimbo iko Bombaa!!! Ni kalii...♨️✌🏽️
Tunaoskiliza 2020 gonga like
Wachaa nivimbee 😍😍😍nic song Belle9
Belle9 My favorite East African artist, keep it up my brother Man.
Hapo hamna mwenye deni kwa msanii wala directar hansacna ......penda sana mziki wa bongo unavyokuwa zaidi kwenda international
uwiiiiiiiiiiiii! baho baho naupenda sana hu wimbo jaman
I have been listening to Belle 9's music since I was in elementary school, coming back and he's still him💚
Number 1 artist in Tanzania
Hii kitu lazima ikuchote tu too much feelings 2024
I enjoy it mwana🎉🎉
I loove this Belle 9 guy!! Toka enzi za sumu la penzi!! His lyrics are very deep! Pure Talent
2008 au sio, talent OG
We ni zaid ya wimbo👊👊👊👊👊
2024 gang!
acha waongee shauri zao belle 9 maneno yao hayavunji kaz yako
we nimkaliii balaaa napendaga sana kaz zako
be blessed my bro
The one and only, I will always Listen to your song more and more you got it n shikilia hapo Belle 9. waiting to see you ukivuka border
Best bongo mwandishi wa mashairi nakupenda belle9.
Wimbo umebana kipaji cha belle...
Belle ni mkali zaidi ya hapo,hyo style ya kuimba haikutoi belle afloat kwa corus nimekusoma kale ka sauti kako hataree..
Ur gud champ...
u r the beast among the best keep it real home bouy
kama unajua unajua tu
gonga like kama unajua
Siku ya Leo naangalia mzk wa mda mrefuu kwel rah😮😮😮😮
kazi nzuri belle usikate tamaa kijana .. nafasi yako inakuja mungu anasimama na wewe sasa.. naamini kuna siku atapatikana MENEJA au KAMPUNI inayojua THAMANI yako THUMB UP.....TUKO PAMOJA... nanunuaje album au nyimbo zako..?
This man is something else 🔥 🔥
very very nice 1keep it belle 9 good song bonge lavideo song zako huwa unapanga mistari brother mungu akufungulie milago.uzidi kupanda.
daaah hii nyimbo kila mwaka mpay inakuwa mpyaa❤😂😂
Huyu jamaa noma duh!!! Anajua mpk anakera sijui kafia wapi jamani
Kaka belle ni bonge la video heshima morogoro iende NA kazana kutoa ngoma Mara kwa Mara NA video Kali kama hizo wewe binge la muimbaji yani
mr belle nine wasanii hitajika always on top siezi wasahau hadi kiama my menters from 2007 to 2050
Hyu jamaaa anajuaa kuimba kuliko diamond mbali sanaaa...wachache wataelewa
one luv ngoma hii aijawai kuchuja ipo vizuri
Kazi nzuri 9 nimeupenda cn huu wimbo
waoooò bere wanikosha mieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
strong beat i say.itahit kama sumu ya penzi aisee...big up belly 9
Uyu ana juwa sana ku imaba, lakini kwa sababu tanzani kuna jaa wachawi ndo maana hamu ona kipaji ya belle 9.
The best song of Belle9
good song as well as the video, the location is amazing
kaza mzee,kideo kizuri,god bless yah
Best director knows how to pick best locations and shots...congrats hanscana step by step I can see you conquering international video making industry...God bless you... ukikaza u can reach there
Ulicoment miaka 6 ilopita Safii Leo Hanscana He is A Big Director🔥2022
hey....belle ni mkali, hata kwenye live perf!! big up Tanzanian Musician.......safari yenu ipo katikati, kazeni mwendo soon mtafika mbali.
Bado naangalia ngoma kali belle 9 salut sanaa mkal
Belle 9 yo blessed director hanscana salute
2023 this remains my Favourate song ever🔥
Bell 9 mzir kisula mpk saut tamu😍😍😍
Brooo we mkali sjui nan anakukwamisha blood
Naipendaga sana la song, kijana anaweza
Wimbo mzuri sanaa huu, hongera bell9 👏👏👏
I really like the song n message on it..good work belle9
Mkari xnaaaaa.
flow kali,
vocalz kali......yap yap shauri zao
Haichuji aisee🙌🏽 2021 na bado Goma ni moto
This will always be my favorite song❤
Huyu ndo musani nilianza kupenda 2009 wakati nilikuwa high school. SUMU YA PENZI ndo wimbo ilifanya nimujuwe. I am Burundian
Nice song from belle 9 big up brother
This seems to be a next level
Belle 9 unanifaa saana kbx! una kasauti kazuri saana acha nikoembee kwa Mola akulinde tena na wewe fanya kazi tu!
Adi 2019
namkubali sana bell9 (jux) mnatisha
Brother hanscana.. Nice job.. 1day tutafanya kazi..
Now this right here be the dopest video belle9 has ever done! props to hanscana this right here as for is the best uv ever directed! dope dope dope
first time I watched this song via East Africa Tv, I liked it there and then and now its on replay for the whole week. Nice Song
A new Belle9 is here. karibu sana. From Kenya, I love your music. Fanya kitu na @officialalikiba
Belle9-Hanscana ....job well done
Shikamoo hanscana..!!!
Wimbo mzuri na video mzuri pia... Kila la KHERI kijana katika kazi zako..
This song bado ni kali sanaa mazee
safi sana brother
hakika unaweza
Back here again 2023🇷🇺🇷🇺🇷🇺❤️❤️
Umekuwa bongee
La mtuuu
bellee umeshindaaaa nyimbo nzuri hii
Napenda huu wimbo sana.Belle9 we need you back. Too much silence
nice video belle9 hongera.
2021 nime kuja kuiskiliza tena 💪🏾💪🏾💪🏾🇺🇸🇺🇸🇹🇿
2022 bado tutazidi kusikiiza, Belle 9 alikua baba Lao ,wacha waongee shauri zao ,Rudi industry baba tumekumiss
Noma sana ulitisha kinoma noma
Maneno haya vunjiii....mfupaa
u nailed it bro,, luv the location though
Tunao tazama tena hii ngoma 2021 tujuane wacha waongee maneno hayavunji mfupa
One of the most talented being is 9 belez........a.k.a gaucho
Legend on fire 🔥
I like belly 9.he is my best artist.
Count me in love him too 😍 ❤ 💕 💗
Nice video B. Keep the vitamin music alive
I don't even understand the meaning of this song but I like the tune of it.
Bell9 ni mkubwa
#baba boss tv ep
kali mzee mor town.
ongeza juhudi kamanda dude umelitendea haki kwakweli
Mmbvp wmbowko mzr sana
2024 October 🎉🎉🎉
Kazi nzuri belle9
Ulitisha sana
One of my best song from Belle 9
Long time kinyama...nani iko na mm 2020
Pamoja sana bro @@@
one day yes belle9 u r nextlevel
Here on 2024❤
nice work nd video.keep it up