Huyu bele9 akipata management nzuri kweri watamkoma jamaa anajua sana love u bro Mimi shabiki wako toka sumu ya penzi gonga like kama mnakubariana nami
2024 and its on April 5th.I know most of you won't believe bt a've been coming here everyday after job to listen to this magical song🔥🔥🔥🔥and am not stopping coz honestly umefanana nae
Mr msogange anasataili kupewa heshima nyingi na tuzo pale TZ 🇹🇿 . Mimi nilimjuwa since 2008 kwetu congo kinshasa 🇨🇩 adi leo 2020 namusikiliza #belle9 kutoka marekani 🇺🇸 ajawai chuja kila ngoma ni hit 🔥
Belle 9 is my favourite TZ artiste.Toka enzi za Sumu la Penzi. Hiyo time walikuwa wakishindana na Diamond.Belle 9 lyrics always make so much sense and are very deep! With lots of love from Kenya.
tatizo wasanii muda mwingine uwa wanajifelisha wenyew...me naona msanii wa kuimba akiimba wimbo kwa feeling na passion hua inaleta maana zaidi 💯 hata chege alisema (kama muimbaji bas imba sana imba kwa isiaaa) we skiza wimbo kama masogange...skiza sumu ya penzi ....yan song unaimba mtu anaelewa zile feeling inakuaga poa sna...bele hii ngoma umeua sanaa 🔥
Kibongobongo labda alazimishe scandals kama za kiaibu au za kugombana na wasanii fulani ila kwa kawaida tu inakuwa ngumu sana kufatiliwa. Ni sisi watu wazima tulioanza kumkubali tangu zamani ndo tutamfatilia na kazi zake nzuri.
Masogange mwenyewe aka Belle9,yaani hizi ndio pure R&B,sio sijui kanyaga, babalao ushenzi tu wa hichi kizazi, watanzania enueni legends kama hawa, MWANA FA, AY, Z ANTO tena kwa game...
Unajua sana 9 mziki huu sio wa level ya afrika kaka....unaenda mbele Sana ndo maana wabongo hawakuelewi coz Wengi wetu ni common mass but wachache Kama sie critical mass ndo tunaelewa hatua zako
A friend was listening to this song today in my car as we were running errands after a bad heartbreak,bottom line it has been on repeat song the whole day and the next. Belle you going places,you are super talented hands down. This is among my most fave songs
Mependa idea ya vidio na audio,hii n creativity kubwa sana ukisikiliza vidio kunavitu vimeongezwa vionjo flan vya bendi na Gita kwa wingi gud Sana beleee
My all time best Rnb Artist kutoka Tz. mziki umetulia hauna kelele. Hakuna chuki but sielewagi kitu wasafi wanaimbaga. labda 1/10. All they have is media attention. One Love Bele9
belle 9 tangu enzi za Sumu ya penzi, nilipe nisepe, Wew ni wangu, Amerudi nanyingne nyiiiingi hadi leo umefanana nae tuko pmj kak, wew ni fundi tu na haujawahi kuni Let down.
michael anthony yaaan naonaa kwenye video audio yakee ndoo nitamu Sana'a yaaan mix imekaaa poaa mnooo yaaan inasikikaa kishujaaaaa kwakweli bell 9 your fire
Tnz kuna vipaki vikubwa sana sana tatizo sisi fans ndio hatujui wasanii wanaojua mziki wengi wetu tunapotezwa na promo zinazofanywa na media ndio sababu tunawapa Kiki wasani ambao hawajui mziki ndio wanapata mafanikio "Hivi myu kama huyu Bell 9 anafeliwapi kufanikiwa kwa kipaji cha pekee alichonacho kama si media zinazomfelisha huyu ni nini asee so fans tusaport kazi za watu kama hawa sio tunadanganyika na matapeli wasiojua kuimba hawana sauti ni computer tuu ndio zinawabeba na ujanja ujanja mwingine Big up Bell 9,Big up Mario Big up Konde,fans tutambue kunawatu wanajua mziki tusaport kazi zao tusiwapote zaidi kama walivyopote kina Kasimu,Madonna,Steve RnB dah tena wamepotea mapema bila kupata mafanikio waliyostahili daah wapi Rama D asee Bongo hii tuna assert kubwa sana ya musician ila wabongo wenyewe ndio tunafeli.
Msanii PEKEE whose song made me famous in school, kwa ku-uperform #talentDay (2010) Before I turned into being a RAPPER. *daima MIMI ni ShaBiki MKUBWA wa Belle9*
Bell 9 yaani ni msanii Mkubwa sana wa kazi broo anaimba vizuri sana melody kali maandishi makini na mazuri mpangilio wa nyimbo mkalii yaani broo anajua sanaa natamani sanaa uyu jamaa akae kwenye sehemu yake anayoistahili
Hii ni Rhythm & Blues sasa...huu mziki ni mkubwa sana my brother. Hongera sana , chemistry kuanzia audio production mpk video production iko beyond measure . Proud of you .....didnt expect this taste anytime soon . Wape pongezi wote waliofanikisha hii song pia na kwako kwa uandishi na uimbaji mahiri ndani ya hii track. Let me download it
Huyu bele9 akipata management nzuri kweri watamkoma jamaa anajua sana love u bro Mimi shabiki wako toka sumu ya penzi gonga like kama mnakubariana nami
Tuliorudi kuisikiliza hii ngoma 2024 tujuane apa weka like yako
2024 and its on April 5th.I know most of you won't believe bt a've been coming here everyday after job to listen to this magical song🔥🔥🔥🔥and am not stopping coz honestly umefanana nae
Huyu jamaa anatakiwa apewe heshima yake kwenye huu mziki sijui kwa nini wana mchukulia poa
My vocalist 🙏🙏
Denyo Entertainment Company true
Huyu jamaa hana nyimbo mbaya na hajawah kuchuja ila hawamuon wajinga wanashabikia mizik ya ajab
Sana
I swear huwa sielewi shida iko wapi this guy is da best
Mr msogange anasataili kupewa heshima nyingi na tuzo pale TZ 🇹🇿 . Mimi nilimjuwa since 2008 kwetu congo kinshasa 🇨🇩 adi leo 2020 namusikiliza #belle9 kutoka marekani 🇺🇸 ajawai chuja kila ngoma ni hit 🔥
Brother Wewe Ndiyo nakukubali Toka enzi hizooooooooh
Jamaaa anajua
Hivi huyu broo anakwama wapi mana anajua sana hadi anake nowra
@Asdan 4rever sanaaa
Verse 💯%
Corause💯%
Uimbaji💯%
Uandishi 💯%
Hakika huyu ndo belle9 tuliyemtambua siku zote hii ndo
Back up nzuri sana keep it up broo🙏👍♥️♥️💥
ile ambae ulisema corause , hai andikwi hivi . inaandikwa hivi --- CHORUS
Nooma sana
Jaman sijawahi kupata like hata 2 basi leo naomba hata 5 kama unamkubali belle 9@ 🙏🙏
Hzo like utazila au🙄🙄🙄
Daaaaah my best rnb record so far.. Ebu gonga like kama umetazama na kuickiliza zaidi ya mara moja hii ngoma... Belle wee mkal
Belle 9 is my favourite TZ artiste.Toka enzi za Sumu la Penzi. Hiyo time walikuwa wakishindana na Diamond.Belle 9 lyrics always make so much sense and are very deep! With lots of love from Kenya.
tatizo wasanii muda mwingine uwa wanajifelisha wenyew...me naona msanii wa kuimba akiimba wimbo kwa feeling na passion hua inaleta maana zaidi 💯 hata chege alisema (kama muimbaji bas imba sana imba kwa isiaaa) we skiza wimbo kama masogange...skiza sumu ya penzi ....yan song unaimba mtu anaelewa zile feeling inakuaga poa sna...bele hii ngoma umeua sanaa 🔥
1 Hakuna madawa au pombe
2 hakuna wadada walio uchi
3 hakuna watikisa matako
4 haujacopy nyimbo
5 150% kazi nzur sana
david daninga 1⃣ usher raymond, remind me
nyimbo Kama hii club kweli itachezeka muziki biashara ukiimba kimapambio utapokelewa kimapambio
Kama unapata shida sana kuinjoy katika hili dimbwi la burudani maana maneno yako nahis ni taaarbu flani,pole broo itabid uzoee
Hii ndy miziki tunayoitaka kusikia na kuona
@@sideboy1299 mbona hata ukipiga kwaya club wanacheza tuu, club watu hawachagui nyimbo
RnB yenye uzito wa mizani tunayotaka 🙌🙌🙌, You deserve the best Belle9+ The Magician Artist
Homeboy umetisha
Loved song. B9
the magician indeed..!
Bro I call that talent,umekitendea haki kipaji mwana.... from tz to the world..much love from +254🇰🇪
Hii nyimb adi leo aijafikisha view m.nyie kweli amzijui nyimbo hv mnaisklza hii nyimbo vzuri kbsaa
Na mm nashangaa yan
Belle this is a master piece ..i cant get it off my ears..
Idea ya huu wimbo cjawah skia tangu tanzania ipate uhuru.. yaan tangia nizaliwe never seen before.. much respect bro Belle9 #Umefanananae
Unless umezaliwa 2000s ila usher alishafanya you remind me mwaka 2001 same idea bt the rest ni tofaut nyimbo kal sana
Munao kubali vitu vya live kama mimi fanyeni vile vitu vyetu vya kupita na like sasa
👏👏👏👏
Hivi waTz mnajua uyu jamaa ndo king🔥🔥🔥of rnb bongo mbona hakuna eshima kwake na kumuhenzi.!!?
"Underrated artist" belle u r the king of ths mambo,killing it
l
No way
Nakukubali beel 9
❤️❤️❤️ Morogoro.. My Second Home.. What a 💞💕💓❤️❤️ from the City Without Ocean...hii ngoma inaniSafirisha kihisia mpaka Moro Town.. 😪😭
Enyewe mziki ni bahati tu..ingekua ni talanta belle nine angekua top five bongo
Best R&B Singer from Africa....najitahidi kuangalia Kila baada ya dakika 5 nachokitafuta Ni million views wanazopata wasanii wabovu
James Julius yaan kitu kinachoniumiza mim binafs kama nafas aliopo bell9 kweny game hii
@@anesansibert8896 yeah #belle9 Ni msanii ambaye anastahili kuwa mbali Sana....his underated.
Niwe mkweli naumiaa Sana kuona belle anakuaa average artist..and underated...yaan anatakiwa kuwa level za alikiba
We jamaa unakwamaga wap mzee, mbna Una mavocal makali Sana hv
Kibongobongo labda alazimishe scandals kama za kiaibu au za kugombana na wasanii fulani ila kwa kawaida tu inakuwa ngumu sana kufatiliwa. Ni sisi watu wazima tulioanza kumkubali tangu zamani ndo tutamfatilia na kazi zake nzuri.
@@shaibumandova6108 Namkubali Sana huyu jamaa
This is what we call Music!!! Mm nilikufatilia Sana mpaka nikajua Kuwa jina lako halisi unaitwa ABEDNEGO DAMIAN najua wengi hawajui!!! 🥰🥰🥰🥰
07.09.2023 kumbukizi Ya siku Yangu ya kuzaliwa ❤❤🎉Nimemkumbuka mpnz wang Marry alikua anaipenda hiii Ngoma Jaman ❤️❤️❤️🙏
Namshukuru Mungu kuzaliwa katika karne ya kushidia Kipaji chapo Belle 9..... Hatar sana...
The only problem of this song,just only it ends.... another hit keep it up bro....Umefanana nae🎵
Moja kati ya wanamuziki bora kuwahi kutokea kwenye ardhi ya Tanzania .... Stay blessed #Belle
Hajaimba lugha chafu ujumbe mzuri lak waja Mna dislike mkoje lakn sijapenda ninyi mliofanya hivo show love maisha ni mafupi
Kipaji,mziki Unawenyewe jmni...Sio mziki Biashara....Belle9 Since Sumu ya penzi Mpaka waleo.....#Umefanananaye.
Masogange mwenyewe aka Belle9,yaani hizi ndio pure R&B,sio sijui kanyaga, babalao ushenzi tu wa hichi kizazi, watanzania enueni legends kama hawa, MWANA FA, AY, Z ANTO tena kwa game...
Toka 2009 nakuamin na nymbo zako ni moja ya nyimbo za tbt yangu saut yako na mahudhui yananifanya nizid kukupenda daily # umefanana nae bell 9
Belle cjui shida iko wap broo ur the best of dis risk tunakudai badilika
Unajua sana 9 mziki huu sio wa level ya afrika kaka....unaenda mbele Sana ndo maana wabongo hawakuelewi coz Wengi wetu ni common mass but wachache Kama sie critical mass ndo tunaelewa hatua zako
A friend was listening to this song today in my car as we were running errands after a bad heartbreak,bottom line it has been on repeat song the whole day and the next. Belle you going places,you are super talented hands down. This is among my most fave songs
Since simu ya penzi ...UpTo here ..keep up bro ..wimbo mtamu...Kuna mstari hapa nishai tongozea dem❤
That’s international music 🎵
GOod xn
Umeua sana bro sina neno zuri lingine zaidi ya kukupongeza kwa song Kali kama hili
This guy never disappoints toka kitambo....
Nakukubali sn bell 9 sauti yako huwa inanikumbusha mbaaali sana 2009 big up bro
Everything about this song is just so perfect 😊😊 a masterpiece I can say.. they don't make these anymore in bongo..real music
❤ one love bell 9 nakupata fresh kutoka anga za Kenya 🇰🇪
Belly9 This is superflous, for real it is a true vibe and taste of a true R & B
Wimbo mkali sana Kama sumu yapenzi
Belle unatisha kaka maana si kwa hizo voko zako za ajabu sijui unaptaptaje umo ndani..,Bonge moja LA ngoma blood!
Mependa idea ya vidio na audio,hii n creativity kubwa sana ukisikiliza vidio kunavitu vimeongezwa vionjo flan vya bendi na Gita kwa wingi gud Sana beleee
Saut Kali Sana jamaa anajua Sana aise
My all time best Rnb Artist kutoka Tz. mziki umetulia hauna kelele. Hakuna chuki but sielewagi kitu wasafi wanaimbaga. labda 1/10. All they have is media attention. One Love Bele9
Moja ya wasanii ambao wako Underrated sana hapa bongo, lakini uwezo wake ni wa kiwango cha juu sana
Sana huyu jamaa ana kipaji cha ukoo lakn vyombo vya habari vinawasanii wao wanaowajua wenyewe
Nakubaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Hata kama hutaki kumwelewa bell9 nakuapia kwa Jina la Bongo flava utawemwelewa tu Amina
Been listening to Belle 9 for over a decade and he never disappoints🙌🏿
Nyimbo kali mzee pamoja na kelele zote za Korona lakini tumegundua Kuna mdundo mkali kutoka kwa bele 9 usifanye mchezo
Belle 9 Hii Ngoma Imenibamba sio Siri
Wasanii wachache mmebaki ambao mnaimba mikasa na maisha ya kweli.... 🎤
Keep it up, good music 🔥
Bravo: Genious of music.
Unyamwezi + creativity mingi.
You kill it dame 🙌
unajua sana home boy rnb imefika sehemu yake pita humuhumu belle9 utawanyosha sana
the king is finally back....we missed belle
belle 9 tangu enzi za Sumu ya penzi, nilipe nisepe, Wew ni wangu, Amerudi nanyingne nyiiiingi hadi leo umefanana nae tuko pmj kak, wew ni fundi tu na haujawahi kuni Let down.
I wish hujafanana naye😢😢
Belle9 we ni kipaj halisia ila media za bongo zinakubania sana bila ya hivyo wewe ungekuwa moja ya top artist in Tz
Daaaah HII NGOMA INANIGUSA NA KUNITOA MACHOZ KABISA DAAAH
haujawahi kufeli kwenye rnb tulikuwa tume miss mziki kama huu.... Your the best in rnb
Angekuwa Diamond Platnumz ingefikisha 1M in 1 day ila kwa muzik mzuri hujafikisha hata 100k
BELLE 9 Sauti Safiiiii!!!!! GET BACK UP THERE!!! MOBLOVE 254
Huu jamaa Abarikiwe Sana , mziki wake hapotezi Radha 2023 Bado naskiza wimbo huu. Wenye Bado wanauskiza lekes zetu zipatikane.
Sina zaidi ya machozi kwa Ngoma hii😭...Belle9 Still Rock
Shem ongera sana kipaji mwenyezi mungu kakujalia nyimbo nzuri ujumbe pia mungu hakaubariki Sana aiseeee
ivi umetambua kuwa audio version na video version iko na tofauti kwenye ki-instruments...video ni ikonanga instrumental zaidi..
michael anthony yaaan naonaa kwenye video audio yakee ndoo nitamu Sana'a yaaan mix imekaaa poaa mnooo yaaan inasikikaa kishujaaaaa kwakweli bell 9 your fire
@@kakengination6341 exactly buda...the gent is good all the time,uko na wazo ka yangu vile.
Fanya mziki wako bro wote wanajua we mkali endelea kugonga mioyo ya watu respect Belle9
shout out belle 9 for keeping the good music alive
Tnz kuna vipaki vikubwa sana sana tatizo sisi fans ndio hatujui wasanii wanaojua mziki wengi wetu tunapotezwa na promo zinazofanywa na media ndio sababu tunawapa Kiki wasani ambao hawajui mziki ndio wanapata mafanikio "Hivi myu kama huyu Bell 9 anafeliwapi kufanikiwa kwa kipaji cha pekee alichonacho kama si media zinazomfelisha huyu ni nini asee so fans tusaport kazi za watu kama hawa sio tunadanganyika na matapeli wasiojua kuimba hawana sauti ni computer tuu ndio zinawabeba na ujanja ujanja mwingine Big up Bell 9,Big up Mario Big up Konde,fans tutambue kunawatu wanajua mziki tusaport kazi zao tusiwapote zaidi kama walivyopote kina Kasimu,Madonna,Steve RnB dah tena wamepotea mapema bila kupata mafanikio waliyostahili daah wapi Rama D asee Bongo hii tuna assert kubwa sana ya musician ila wabongo wenyewe ndio tunafeli.
Msanii PEKEE whose song made me famous in school, kwa ku-uperform #talentDay (2010)
Before I turned into being a RAPPER.
*daima MIMI ni ShaBiki MKUBWA wa Belle9*
rnb my no 1 musician
Nampendaga bele nine why havumi jaman mbona anaweza kuimba😌😌
Utabakia kuwa star wa muzic mtamu king wangu nakubali sana #sound yako hakika unauelewa muziki🔥🔥🔥
Belle Asante kwa ujumbe Mzuri sana 😭🤝🇺🇬🇰🇪
I'm the first to watch this video in USA big up bro bell 9
Hii ndi R&B tunayo itaka tunao jua muziki sio jeje za Falz
KALI SANA BELLE TISA🔥💯 Yule dogo alotengenezwa akupoteze ataelewa kua we ndingi ake🔥🔥🔥🔥💯🔋
Ora hommie this is Belle wa sumu ya penzi, keep the good music Alive 🎶🎵🎧💪💪💪
wimbo wangu wa kila siku ,nahusikiliza kila siku,bell9 endelea kutoa vitu hadimu kama hii
Huu Unyamwezi sana Belle, Come onnnnnnnnnnnnnnn 🔥🔥🔥🔥
belle 9 wa enzi zetu ndo huyu sasa. VITAMIN MUSIC
This is now the real Belle 9 I used to love!! Zile vibes zake za kitambo ndio hizi.. 🔥 🔥 🔥 🔥
King of Rnb his back. Good music the Belle 9 ninae mjua enzinza Masongange na Sumu ya Penzi.
Hivi hii tabia yakusoma comments za wadau ntaacha Lin?? 😁😁 Nishaurin please🙈. Mziki mzuri❤😊😢
today
Munira
Mambo
Tabia mbaya
Binadamu!unajua kuimba mpaka unakera ,dah Mungu akuzidishieeee amen.
King Of Real RnB after Rama Dee
Sahihi kabisa
Kabisa
nyimbo za belle ndo nyimbo zenye idea tofauti na wasanii wote, ana mada za kipekee visa vikali from frst dayz
Usher: You Remind me
Belle: Umefanana nae
Me: Yesss
Hahaha a th-cam.com/video/qDH-C67Xl_o/w-d-xo.html
Aiseeeh umejua kunikosha wa ukaye Bell 9,very beautiful song
Alishaniforce nimpost na nimtag🙆
Big Rhyme
Bell 9 yaani ni msanii Mkubwa sana wa kazi broo anaimba vizuri sana melody kali maandishi makini na mazuri mpangilio wa nyimbo mkalii yaani broo anajua sanaa natamani sanaa uyu jamaa akae kwenye sehemu yake anayoistahili
Hii ni Rhythm & Blues sasa...huu mziki ni mkubwa sana my brother. Hongera sana , chemistry kuanzia audio production mpk video production iko beyond measure .
Proud of you .....didnt expect this taste anytime soon . Wape pongezi wote waliofanikisha hii song pia na kwako kwa uandishi na uimbaji mahiri ndani ya hii track. Let me download it
tangu siku ya sumu ya penz mpak leoo nakukubali sana bele9
Like za bell9 hapa 🙏🙏🙏🙏
Nice song
Umefana nae sura mwendooo #Belle 9 is best singer
the most underated artist 🎼🎧
Mmh
Yani bonge la beat hivi na 4 years down the line bado kufikisha hata 1M views,this guy is best
this is magic to my ears. from ZIM I understand a bit and i love it.
Fundi bhnaa nifundi tu .. brother Belle 9 unajua Sana brother nyimbo.kali Sanaa
watu kutoka morogoro na tz kwa ujumla naomba like mbili tu.
Belle 9 yaniiii hii ngoma ni kal 2020 hakuna ngoma nyingine ya kukushinda mwaka huu