niliskiza nikiwa bila mwana sasahivi nina wanangu wanne bado watauskiza mziki wako mr belle 9,bigup bro mimi pia msanii angalia miaka tuheshimu mziki mzuri
Such a beautiful music with 56 dislikes people are crazy. 2021 still Rockin, kila nikisikiliza vitamins music lazima nirudie mara kadhaa. Likes za 2021 zi wapi?
Huyu belle9 anajua sana kuliko hawa wachawi watatu ukimwondoa Vanny boy wanaovuma huku nyimbo zao hazina inspiration yyt ndo maana mziki what bongo haufiki kwani wanaojua huwekwa chini na wasiojua mtu km huyu angepewa promo nzuri angefikisha wapi muziki wetu?
niwaulize kwa nini huyu msanii hana 200m subscribers you cant be serious guys up to now gonga like zangu kama tuko pamoja
Vitamin Music 2024 here
Kuna nyimbo zilikuwa mbele ya muda! Hii moja wapo.
niliskiza nikiwa bila mwana sasahivi nina wanangu wanne bado watauskiza mziki wako mr belle 9,bigup bro mimi pia msanii angalia miaka tuheshimu mziki mzuri
Hii ngoma ni ya karne big up belle 9
Kila time VITAMIN MUSIC kunikosha ku my heart big up belle 9 08/07/2020 alhamis saa 13:33 e complex supermarket
Sijui ingekuweje kama mziki usingekuwepo duniani 🎧🎼🎵🎶
Hakika mziki unaishi Hadi Leo nikiuskiliza Kama vile umetoka Leo good work Belle 9🎉🎉
2023 I'm still enjoy this Melody
Watu wa bad ndani ya track moko, mziki mzuri hauzeeki🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉. Raha yake aisimuliki.....
Vitamin music makes people in abroad feel like there are at home,no loneliness kabisa.
Regards ;
Benevolent Gift Kai
Hii song tamu ,inanipa moyo l wil never give up
Such a beautiful music with 56 dislikes people are crazy.
2021 still Rockin, kila nikisikiliza vitamins music lazima nirudie mara kadhaa.
Likes za 2021 zi wapi?
Huyu belle9 anajua sana kuliko hawa wachawi watatu ukimwondoa Vanny boy wanaovuma huku nyimbo zao hazina inspiration yyt ndo maana mziki what bongo haufiki kwani wanaojua huwekwa chini na wasiojua mtu km huyu angepewa promo nzuri angefikisha wapi muziki wetu?
This is epic. Gives me good vibes and lot of vitamins.
Belle 9 is absolute legend
Yes
Absoluetlu guud Song My english Bad sorry abiot yhat
Belle 9 wew n mkali 🙌🙌
Hyu belle 9 anapoteaga Sana Kwa sababu,wabongo hatumpi airport,ila mwana namwelewa Sana kimziki
Makini Joe na hizi track Ni so, moreeee!!
huu ndioo mziki sio biashara much respect legends
the song is healthy! full of vitamins and minerals 🤗🤗
Nani yupo 2023 gud music still alive from kenya bozzen
Miamba imekutana ni🔥zilie
Never give up! Nyimbo konki
John ukopoa never give up wasanii wa dar nawapenda mnasrmanga ukweli
Belle9 my guy they never listen , you the best 🙌
June 2019 kwel hii ni vitamin music haichoshi utairudia mara dufu
Nakubal nyimbo zake zote huyu mwamba
5 years ago. .... @ Ruvu river with irrigation project
I love vitamin music for real
Joh went hard on this
Belle 9 mungu akulinde uishi miaka mingii kaka nakukubali sana
Acha watu tulete tu ila wewe bell ni hatari Mungu akubariki
Congo 🇨🇩🤍
Tumewafuata 100% 2024
🔥🔥🔥bado still Joh ni mwamba.
Anaekubali hii song ni noma anipe like hapa
Hi
wale wa 2024, kuanzia august gonga like ap
I'm enjoying a good
Belle9 the master of r&b in morogoro!!
Heshima kubwa bro
This is the best verse from Joh Makini IMO
Belle we mkali hawa kiba na mondi kiukweli bado kwako wewe unajua
Nyimbo Kali sna❤❤❤
🔥🔥🔥🔥😘 vitamin music kweli
Jamaa huyu anajua hatarii
Ngoma ipo makini Sana aise
2024 here Bonge la ngoma. Vitamin Music.
hatar
Am here 2020 listening vitamin music
Line za joh makini... ni deep mno
My all time fav song
iyi ngoma iko happy sana bro japo niyakitambo
MA GENIUS 2020 2ze2🧠👀👏💥
Mona Gangster Alinyonga Beat La Maana Sio Poa 4:20 Sikiliza Vinanda Vilivyopigwa
Kweli katiba ingekua music wngi tusingekua magerexa
2020 ngoma kali sana
Sanaa duh!
Yaani bado hii nyimbo ni tamu
Yeah yeah ma men 2024
2022 still enjoying the song
Underrated song .. Classic 🔥
2020 tuko pamoja
Katiba ingekuwa wimbo wengi wange ijua
My favorite song since I was in Africa
Belle 9, never disappointed 🔥🔥🔥🔥
Vitamine music mpaka unaona 🤣🤣🤣🤣
nakubali sana kazi bele 9
Mwamba joh makini wa muda wotee
Hiiii colas ya Joh ni fire
nyimbo kali sana kqka
Vitamin A 🔥🔥🔥🔥🔥
Still alive2023
2024 bado tunapata Vitamins
Talented belle 9 2023
unaweza
2023 mko wapi 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Raha yake kweli haisimliki
This song was to be produced and released in 2042 but it leaked.. Tunaishi siku zijazo 😘
Nymbo hii mpaka n tamu san
Yaan naenjoy kusikiliza hii song mara zote
iko powa san
Vitamin music na belle9
Napata mawazo mengi sana
Kama miti ni dawa na hata jua la Asubuh lina vitamin piah
back in 2018 to like this song
2024 on fire🎉
this song is fire and vitaminic
Vitamin music 2021 now gonga like twende sawa
Good music still am here guys..
Joh makin umeuawa
Masta ngugu
Belle ni fundi
2020 ni goma Kali tuu na halichuji
nimeikubali sana
Team Good Music Watagonga like 11/2019💥💥
2019 🔥🔥🔥
@@NitroTechYT 2021. I'm from Finland too
Kali song
Team Vitamin Music +254love live
kali sana
#Vitamin #Music
Claaaaasic
2024 vitamin music
Vitamin music up-to-date 2021
Belle9 ur the best forever
Hit hip-hop
ikopoa song
2024 here we go