Z Anto | Kisiwa Cha Malavidavi | Official Video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 มิ.ย. 2015
  • Buy it from iTunes: geo.itunes.apple.com/in/album...
    Song: Kisiwa Cha Malavidavi | Artist: Z Anto
    #ZAnto #KisiwaChaMalavidavi
    Digital promotion by Ziiki Media!!
    Subscribe us for unlimited entertainment
    / mziikitube
    Like us on Facebook
    / mziiki
    Follow us on Twitter
    / mziiki
    Follow us on Instagram
    / mziiki
  • เพลง

ความคิดเห็น • 2.6K

  • @hassangabriel5971
    @hassangabriel5971 5 หลายเดือนก่อน +244

    Ambao wana penda huu wimbo 2024 gongeni like hapa tujuwane❤❤❤

    • @mdqweqwe251
      @mdqweqwe251 3 หลายเดือนก่อน +2

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @elizalindah3175
      @elizalindah3175 3 หลายเดือนก่อน +1

      🎉🎉🎉

    • @fettsamri3835
      @fettsamri3835 2 หลายเดือนก่อน +1

      ❤❤❤ sauti ilikua balaaa

    • @user-xb9ju9qu8m
      @user-xb9ju9qu8m หลายเดือนก่อน +1

      ❤❤❤❤❤❤yaàaaaaw

    • @eunicemunene7713
      @eunicemunene7713 หลายเดือนก่อน +1

      🎉🎉🎉🎉nikoo😂😂enzi zile

  • @WINSLETOUMA-bd7lt
    @WINSLETOUMA-bd7lt 3 หลายเดือนก่อน +276

    Those who are are still listening to this song in 2024 February

  • @MosesKiruki
    @MosesKiruki 4 หลายเดือนก่อน +87

    Kama unasikiliza hii Ngoma 2024 like

  • @JumahPeter
    @JumahPeter 4 หลายเดือนก่อน +103

    Ambao wanasikiliza huu wimbo 2024 gonga like

  • @aileenlema2282
    @aileenlema2282 ปีที่แล้ว +483

    Ambao bado tunasikiliza huu Wimbo 2023 gonga like hapa tujuane💪💪💪

    • @JennyCharles-pn7si
      @JennyCharles-pn7si 8 หลายเดือนก่อน

      Nipo

    • @annanangu1832
      @annanangu1832 8 หลายเดือนก่อน

      Nice song

    • @user-qt1zd7vi9k
      @user-qt1zd7vi9k 8 หลายเดือนก่อน +2

      Hii hatuwezi iachilia bits ni noma joo

    • @FurahaJustine
      @FurahaJustine 8 หลายเดือนก่อน

      Tupo

    • @alvinedavid4680
      @alvinedavid4680 8 หลายเดือนก่อน +4

      Mimi Niko I really love the message kana flow ❤😊😊 sikuizi akuna wasanii wakutoa wimbo Kali kama awa Wana mziki wa TBT mko wapi🎤🎤🎤🎤

  • @PaschalAnitha-nv4oy
    @PaschalAnitha-nv4oy 3 หลายเดือนก่อน +54

    Wimbo wangu bora kila mwaka,like hapa 2024

  • @Mikez26
    @Mikez26 4 หลายเดือนก่อน +52

    2024 wakina nani Bado wapo hapa ???❤

  • @DavidDjuma-ni8vx
    @DavidDjuma-ni8vx 4 หลายเดือนก่อน +48

    Mimi hadi 2024 tujuane wengine kama bado mpo❤❤

  • @jray3456
    @jray3456 ปีที่แล้ว +373

    2023 & this song never gets old ❤️😍

    • @Mwema255
      @Mwema255 ปีที่แล้ว +6

      June 2023

    • @wekesanoel1080
      @wekesanoel1080 ปีที่แล้ว +4

      June 6

    • @amasa901
      @amasa901 ปีที่แล้ว +1

      ❤❤❤❤❤ kazaman 🔥

    • @BeingNdanu
      @BeingNdanu 11 หลายเดือนก่อน +1

      A concert maybe 😭😭

    • @zainabsalim5868
      @zainabsalim5868 11 หลายเดือนก่อน +3

      June 15 bado naiskiliza hii nyimbo yanikumbusha mbali❤

  • @Officialyoungking3k
    @Officialyoungking3k 3 หลายเดือนก่อน +27

    Who is stil listening to this song 2024

  • @officialteflon5971
    @officialteflon5971 3 หลายเดือนก่อน +33

    2024 and still jammin' to this hit song Z is legendary✅💯

    • @eunicemunene7713
      @eunicemunene7713 หลายเดือนก่อน +1

      🎉🎉🎉🎉enzi zile

  • @user-mq9kr8qp8j
    @user-mq9kr8qp8j 4 หลายเดือนก่อน +16

    2024 mwaka ukiwa mpya na bado twa skiza mnipe like☺️i love this song

  • @margaretmugo2235
    @margaretmugo2235 2 ปีที่แล้ว +513

    This song is on another level 🥰🥰🥰,,2022 January still listening to this great jam🔥⚡🔥⚡🔥

  • @anastasiairungu8768
    @anastasiairungu8768 2 ปีที่แล้ว +291

    Still in 2022...the song is still my vibe 💞💞.a like for anyone who feels and agrees with me 😍😊

  • @judymunyi6493
    @judymunyi6493 2 หลายเดือนก่อน +11

    March 2024 nani tuko hapa

  • @annejackline7352
    @annejackline7352 3 หลายเดือนก่อน +6

    2024 Feb 12 where did this magic voice go?

  • @happyritte5014
    @happyritte5014 4 ปีที่แล้ว +260

    Kama na ww ni muhenga gonga like twende zetu

  • @veeyfanny4955
    @veeyfanny4955 4 ปีที่แล้ว +351

    Z Ant!!!!!! Kama kuna mwenye ako pamoja Na Mimi 2019_2020 adondoshe like and comment hapa

  • @stevenbigabo5607
    @stevenbigabo5607 2 ปีที่แล้ว +130

    Dear future generations 2050.
    Am writing this in 2022 just to let you know that this was a hit song during our time back then in 2015 and up to now. We are still listening to it.💯

  • @Monixnyambuw
    @Monixnyambuw 4 หลายเดือนก่อน +6

    2024 na bado huu wimbo ni my favourite ❤❤❤.....long live kisiwa cha malavidavi❤❤❤

  • @elizabethmwanake8121
    @elizabethmwanake8121 5 ปีที่แล้ว +476

    Nyimbo za zaman ni tamu kuliko za kisasa ukweli +254

  • @juniormchaga1657
    @juniormchaga1657 4 ปีที่แล้ว +488

    2020 Bd iko vzr gnga like kama unaielewa pia

  • @Gideongiddy96
    @Gideongiddy96 6 วันที่ผ่านมา

    wangapi tunasikiliza huu wimbo hadi sasa, weka like tukisonga

  • @MahuriNguruweTakaTaka
    @MahuriNguruweTakaTaka ปีที่แล้ว +38

    April 2023 this song is still a vibe....Tanzanians you're great people. Watching from 254 🇰🇪

  • @MrSavage22
    @MrSavage22 5 ปีที่แล้ว +1264

    Daaah Kama Kuna anaecheki ngoma hii 2019 twende pamoja

  • @athmanali2377
    @athmanali2377 4 ปีที่แล้ว +943

    Asante Z Anton kwa mziki mzuri... Wapi likes za 2020

  • @perujumah1422
    @perujumah1422 3 หลายเดือนก่อน +2

    2024 mko wap🎉

  • @ababagfx
    @ababagfx 2 ปีที่แล้ว +146

    I feel blessed that i grew up in the era of good music. Love from 254🇰🇪

    • @bentaandeyo7966
      @bentaandeyo7966 2 ปีที่แล้ว +1

      This song hits so different,I love it 2022

  • @asmartissa120
    @asmartissa120 5 ปีที่แล้ว +946

    kama bado unaangalia iih ngoma mpaka now 2018 to 2019 angusha like and comment

    • @johakkpp8414
      @johakkpp8414 5 ปีที่แล้ว +2

      Number one

    • @iahaiamahamudo6608
      @iahaiamahamudo6608 5 ปีที่แล้ว +2

      Nimekupali sana

    • @nyambokomc1357
      @nyambokomc1357 5 ปีที่แล้ว +1

      Asmart Issa yasanaaaaaa nishidaaaaaa

    • @drbluelight153
      @drbluelight153 5 ปีที่แล้ว +2

      Asmart Issa i do

    • @aslamialphani8918
      @aslamialphani8918 5 ปีที่แล้ว

      Asmart Issa gsfhhzfkqgogdlkvzfbqgskfsfsjvvlczqfsufpnfhoaghdldhdgdgkgdhfwkvdkvckhkfsckcncsfjaczcsjf

  • @ndullubahati8112
    @ndullubahati8112 5 ปีที่แล้ว +126

    2019.....2020.....2021,nakuendelea

  • @mercynduta4614
    @mercynduta4614 2 ปีที่แล้ว +103

    Oh I loved this song, it reminds me of my 1st boyfriend, now the father of my son, when we used to dedicate songs through a letter,🤣🤣🤣, time flies, 2months to close 2021

    • @marris_kadi
      @marris_kadi 2 ปีที่แล้ว +6

      Oh I feel you. Same situation. Just not my babydaddy yet😂

  • @hodabakshibrahim9082
    @hodabakshibrahim9082 10 หลายเดือนก่อน +19

    This is not only a song , this is a lesson to all young generations out there. Starehe zinamaliza malengo

  • @eunicekwamboka9073
    @eunicekwamboka9073 3 ปีที่แล้ว +178

    Still listening to this song 2021
    Show Love to this amazing people walikua wanaimba vizuri🇰🇪🇰🇪

  • @shambakimweli8033
    @shambakimweli8033 4 ปีที่แล้ว +273

    2020 kama tupo pamoja gonga like yako hapa

  • @orestimgogo4382
    @orestimgogo4382 5 หลายเดือนก่อน +6

    Kama unaamini huu wimbo hauwezi kuchuja maskion mwako gonga like hapa 2023

  • @billyotieno7058
    @billyotieno7058 ปีที่แล้ว +78

    There's nothing in this world that's sweeter when you listen to music that creates that nostalgic mood. It hits differently 🤠

  • @jeraldjelemia4673
    @jeraldjelemia4673 4 ปีที่แล้ว +157

    Anaye icheki 2019 Kama mimi aache like Hapa aiseee❤❤❤❤😬

  • @gloryjoseph1981
    @gloryjoseph1981 4 ปีที่แล้ว +165

    Gonga like Kama unacheki 2020 hii song

  • @user-dx7pn9zc5k
    @user-dx7pn9zc5k 11 วันที่ผ่านมา

    Nani yuko hapa 2024?😅❤

  • @huromwangi6163
    @huromwangi6163 2 ปีที่แล้ว +15

    Reminds me the early days of Mzazi Willy M Tuva on radio citizen , when we didn't have electricity in most Kenyan villages, we used to re charge batteries 🔋 using Sun

    • @carolinederi5690
      @carolinederi5690 2 ปีที่แล้ว

      Kulikuwa na wale wa KETAU Express pia...guy nmewasahau majina haki ata Station nmeiwasahau

  • @davidwaiganjo5343
    @davidwaiganjo5343 6 ปีที่แล้ว +177

    Z anto twakuhitaji tena kwenye game kwa kuwa naamini bado unaweza

  • @flornce123oganda8
    @flornce123oganda8 5 ปีที่แล้ว +346

    Nani mwingine yuko hapa march 2019

  • @joshuakyalo5397
    @joshuakyalo5397 2 ปีที่แล้ว +44

    I remember that girl who used to sing this song for me during our KCSE exams . I miss you so much stellah 😪

  • @brothermo9343
    @brothermo9343 ปีที่แล้ว +26

    Mziki unaishi paka 2023 tunaluka nao to tuliopo tujuwane kwa like

  • @Africa_unite
    @Africa_unite 3 ปีที่แล้ว +27

    still listening to this even 2021, wen bongo was real,,, nipe likes za z anto za 2021 if you're listening to this too

  • @amour0072
    @amour0072 5 ปีที่แล้ว +283

    WHO'S HERE IN JANUARY 2023?

  • @eunifergee5910
    @eunifergee5910 ปีที่แล้ว +23

    Its amazing how I remember this song word by word even with the years... 2023

  • @user-eg7vs9ko4q
    @user-eg7vs9ko4q 2 หลายเดือนก่อน +2

    Still fresh ❤ 6 march 2024,,🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪 much 💕 z anton

  • @janewangui6318
    @janewangui6318 3 ปีที่แล้ว +214

    2021 and the song is still a hit from +254❣️❣️💕🇰🇪

  • @josephsiriwa718
    @josephsiriwa718 6 ปีที่แล้ว +267

    jamani nyimbo za zamani Kali sana kiukweli

  • @Lilmbunah
    @Lilmbunah 17 วันที่ผ่านมา +1

    We don't search for old song we search for old memories.
    What a masterpiece ❤

  • @kanyeshahigirimana5686
    @kanyeshahigirimana5686 ปีที่แล้ว +2

    Kila nikiusikiliza wimbo huu ninamkumbuka sana 😢 marehemu dada yangu Eunice
    kwa moments zote tulizokua tunazipitia pamoja kama familia
    huwa naumia sana ila ndio ivo tena mipango ya Mungu
    tangu 28.06.2016 till today 29.05.2023
    My dear lovely sister Eunice ❤
    continue resting in internal peace
    8years old without your presence in our family
    We miss you!

  • @yegondennis4824
    @yegondennis4824 4 ปีที่แล้ว +72

    Nani anafurahia hii ngoma tamu pia oct 2019...nipeni likes

  • @sammynjoroge8792
    @sammynjoroge8792 5 ปีที่แล้ว +36

    Nani Yuko hapa June 2019

  • @user-sy9kq5mt7o
    @user-sy9kq5mt7o 3 หลายเดือนก่อน +1

    My late grandma used to call me nje nkapepete Mahindi nami nimejifungia nikiuskiza huu wimbo jamani nyimbo za kitambo zilikuwa tamu aisee

  • @frezianaraymond9083
    @frezianaraymond9083 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani wako wapi hawa wanaume jamani maana Sio HAWA DIAMOND NA HARMONAIZA WANAWAZA CHUCHU NA MATAKO TU ✌️✌️✌️

  • @paulgadi406
    @paulgadi406 5 ปีที่แล้ว +72

    Bdo inatamba kama upo unaichek sai show love for only one👉👍

  • @mtungujaraj2174
    @mtungujaraj2174 3 ปีที่แล้ว +10

    Ngoma Bado ipo on fire gonga like Kama unamkubali z anto 2020

  • @moseswanjala7155
    @moseswanjala7155 ปีที่แล้ว +14

    My all time high school music till now 2023 still in my playlist...much love for Kenya like as we appreciate this big music 🔥🔥🔥🥰

  • @benjaminmwanga2244
    @benjaminmwanga2244 2 ปีที่แล้ว +83

    The lyrical prowess portrayed in this jam is on another level. The song never gets old....much respect 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @sherifaali7268
      @sherifaali7268 ปีที่แล้ว +1

      Much respect for who? This is Tanzanian music

    • @aminata3702
      @aminata3702 ปีที่แล้ว +4

      @@sherifaali7268 Calm down,Ameweka bendera ya kenya kuoyesha kwamba yy ni mkenya ila anaikubali ngoma Usimjie juu mkenya wawatu 😂

    • @bonifacemwangi8517
      @bonifacemwangi8517 ปีที่แล้ว

      ​@@sherifaali7268usikue mjinga

  • @demumajid8191
    @demumajid8191 5 ปีที่แล้ว +113

    Ngoma Kali sana 2019 mko

  • @bugumbadeus9174
    @bugumbadeus9174 4 ปีที่แล้ว +34

    Ambaye had mwez huu anaichek hii ngoma lyk chin

  • @paulchacha8611
    @paulchacha8611 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ngoma zenye mistari na jumbe tele tele..kama bado unaskia huu mziki n kali kwako nipe like plz❤

  • @eunicewaweru1606
    @eunicewaweru1606 ปีที่แล้ว +5

    This song always reminds me of my first lover tukiwa high school 😁😁😁😁 it's always a banger no matter what ANY ONE IN 2023✋✋✋✋✋✋

  • @marthaallan7652
    @marthaallan7652 3 ปีที่แล้ว +7

    Kwa kweli nilikuwa napenda sana
    Mechi za nje za ujana
    Aliyekuwa mke wangu
    Analia aah
    Kwa kweli nilikuwa napenda sana vibinti
    Nakuwahonga mpaka magari
    Waliyekuwa watoto wangu
    Wanateseka na njaa
    Mitungi kila saa
    Nyumbani sina time ya kukaa
    Marafiki nami
    Night club na mimi
    Sasa nimebaki lonely
    Track redioni hazichezwi
    Yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
    Hata bebi hunitaki tena
    Sasa nimebaki lonely
    Track redioni hazichezwi
    Yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
    Hata bebi hunitaki tena
    Nakupenda aiyaa
    Nakupenda sana bebi
    Nakuhitaji mama mama
    Njoo kisiwa cha malavidavi
    Nilikutenda aiyaa
    Nisamehe my baby
    Nakuhitaji mama mama
    Njoo kisiwa cha malavidavi
    Sielewi tena nisikize ma
    Kwani najua pombe ndiyo chanzo ah
    Kilichofanya nikutende dharau kibao
    Ndani ya nyumba hakuna raha
    Na kwangu ulikuwa dhaifu nisikize ma
    Kwani najua kweli ulinipenda ah
    Watoto wangu niliwatenga
    Nisamehe mpenzi we unasema
    Sitaki rudia tena
    Najuta kwa yote niliyofanya
    Nisamehe na goti napiga, nalia ahh
    Sasa nimebaki lonely
    Track redioni hazichezwi
    Yaani pesa hakuna marafiki hakuna
    Hata bebi hunitaki tena
    Sasa nimebaki lonely
    Track redioni hazichezwi
    Yaani pesa hakuna marafiki hakuna
    Hata bebi hunitaki tena
    Nakupenda aiyaa
    Nakupenda sana bebi
    Nakuhitaji mama mama
    Njoo kisiwa cha malavidavi
    Nilikutenda aiyaa
    Nisamehe my baby
    Nakuhitaji mama mama
    Njoo kisiwa cha malavidavi
    Uje kwenye kisiwa cha malavidavi
    Uje tupeane mapenzi
    Usisahau na wanangu
    Sahau yaliyopita na tugange yajayo

  • @francinekabwe1211
    @francinekabwe1211 5 ปีที่แล้ว +20

    Huyo kk alihendaga wapi jamani🤭🤭

  • @user-pd8cm4sz7m
    @user-pd8cm4sz7m 5 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo yangu pendwa tangu mtoto had saiv 2023 had 2024 hii navuka nayo🎉🎉🎉🎉🎉

  • @DennisTuwei-cc9jz
    @DennisTuwei-cc9jz 3 หลายเดือนก่อน +2

    254 all the way this song never fades🥰🥰😇😇

  • @kingandreemmanuel7908
    @kingandreemmanuel7908 4 ปีที่แล้ว +5

    Jmn ....daaaah amaniii sanaaa..
    2020.....20400000.....maishaa marefu Sana'a kama umezaliwaa upyaa flaniii nice

  • @syliviandagara5924
    @syliviandagara5924 4 ปีที่แล้ว +4

    Nani tupo naye August hii kusikiliza huu ujumbe enzi hizo mapenz matamu

  • @user-cb6hu8os2p
    @user-cb6hu8os2p 5 หลายเดือนก่อน

    Huu wimbo unanikumbusha siku nimeokota simu kule Kinondoni, nikakuta huu wimbo wa kipekee. But pia unanikumbusha vile nilianza ujana wangu in style. Sweet song all days. 2023 and more years to come.

  • @HusseinAllih-Arsenalke
    @HusseinAllih-Arsenalke ปีที่แล้ว +1

    Z antony namkubali 2023 still strong

  • @ptgproductions4173
    @ptgproductions4173 4 ปีที่แล้ว +72

    2020
    Piga like

  • @mussaamiry9823
    @mussaamiry9823 4 ปีที่แล้ว +37

    Who here 2020!!

  • @upendombise8113
    @upendombise8113 ปีที่แล้ว +1

    Atoe tena wimbo asiache 2023 ikapita

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk 4 หลายเดือนก่อน +3

    Turolud uku tena tujuane kw like za kutosha sisi wtz 2024 tia like kw z anto

  • @jacklinevalentine1649
    @jacklinevalentine1649 4 ปีที่แล้ว +7

    Zanto mkali kweli kama bado unaenjoy hii song this yr 2020 nipe like

  • @enocksichone6112
    @enocksichone6112 5 ปีที่แล้ว +9

    Kama unaamin single za kale bado zipo sokon like hapa👏

  • @TheeAfricanBoss
    @TheeAfricanBoss 3 หลายเดือนก่อน +2

    2024 tukusanyike hapa😅🥰

  • @elikanamure849
    @elikanamure849 ปีที่แล้ว +1

    Nko ndani bado 2023

  • @nasonkalonga8038
    @nasonkalonga8038 5 ปีที่แล้ว +59

    I feel swihili is mother language for Africa. Love language and music

  • @safinawincheslaus1392
    @safinawincheslaus1392 4 ปีที่แล้ว +8

    Naupenda huu wimbo ndio ujana umeanza daahh mtto mbichi duuuuu anayesikiliza huu wimb September 2019 like

  • @sihanga2830
    @sihanga2830 ปีที่แล้ว +2

    2023 am still here ,wapi likes jameni hii ngoma bado 🔥🔥🔥

  • @ashakijana1273
    @ashakijana1273 ปีที่แล้ว +2

    Hawa wasanii wa bongo walizama wapi jamani? Nyimbo za ujumbe mzuri kama hizi hazipo Tena.

  • @mwetamsada2139
    @mwetamsada2139 5 ปีที่แล้ว +55

    yani we acha tu nomaaa mko wp wasanii wa zamani

    • @hadijamagufuli2661
      @hadijamagufuli2661 3 ปีที่แล้ว +1

      Washakwenda na maji zimebaki nyimbo za laana to

  • @faustinekarabani7641
    @faustinekarabani7641 3 ปีที่แล้ว +10

    Naipenda sana hii ngoma siwezi kukaa siku tatu bila kuisikiliza....nani yuko na mimi 2021???

  • @user-yh7kz9gj3q
    @user-yh7kz9gj3q 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ninasikiliza huu wimbo 2024

  • @SilviaOmbogo-254
    @SilviaOmbogo-254 8 หลายเดือนก่อน +3

    To those of us wenye tunapenda hii ngoma tusanyike huku❤❤❤

  • @juweiriyamustafa2401
    @juweiriyamustafa2401 4 ปีที่แล้ว +21

    Aki ni nani anacheki hii ngoma 2019 tupa like chini

  • @AymiieG
    @AymiieG 7 ปีที่แล้ว +143

    Best song ever!
    Colombia present here ! ♥

  • @roodybs4530
    @roodybs4530 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hii imeenda nipe like

  • @wybzokizzy4416
    @wybzokizzy4416 ปีที่แล้ว +10

    It's still on another level 🔥🔥 2023 here we go 🔥

    • @upendombise8113
      @upendombise8113 ปีที่แล้ว +1

      Mimi siuchoki huu wimbo mpaka nazeeka

    • @wybzokizzy4416
      @wybzokizzy4416 11 หลายเดือนก่อน

      @@upendombise8113 Mimi pia

  • @deomushi4327
    @deomushi4327 4 ปีที่แล้ว +25

    Kama bado tupo tulio umizwa 2019 November like hapa

  • @jasnahmuhoza5447
    @jasnahmuhoza5447 4 ปีที่แล้ว +16

    Ngoma yenye ladha,kma yupo anae icheki mwezi huu wa 9-10 2019 agonge like

  • @Oldskul_arena
    @Oldskul_arena 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ngoma hizi bado zinahit mbaya🔥🔥🔥...Yani mambo shwari...

  • @seleharu5835
    @seleharu5835 3 ปีที่แล้ว +1

    Z Anto uko wapi mnyama mbn kmy Sana . Yaan nikisikiliza nyimbo yako kisiwa Cha malavda huwa najikia fulaha Sana hata Kama nime na msongo wa mawazo najikuta nafalijika t .rud Kaka kwenye muzk ufanye mambo

  • @gotad8810
    @gotad8810 5 ปีที่แล้ว +91

    Jaman walee wanao cheki hi ngoma mwenzi hu juni twnd xawa

  • @queentermuthoni3904
    @queentermuthoni3904 4 ปีที่แล้ว +141

    Just came here after my ex husband dedicated this to me today ..after 10yrs of separation...I dont know why am crying 😭😭😭😭

  • @iammarando2547
    @iammarando2547 4 หลายเดือนก่อน

    Somebody still loves this song 2024 nipe like

  • @maggyblee9266
    @maggyblee9266 ปีที่แล้ว +1

    Am still listening to this 2023 who else .