African culture kwa video..thats superb....Nmeipenda sana video, inaturudisha in our culture art and the music itself,,,haina ubishi ni KALI SANA....Hanscana is getting better every single time na hapa kaua kabisa...Nice one Belle and G plus the music producer...Good African music...keep it up..believe me, WE all love it...
Director Hanscana naelewa sana kazi za mikono yako, Mungu akufungulie milango na maujuzi zaidi mpaka wasaniii wa mbele waje kushoot video bongo, MUCH RESPECT DIRECTOR HANSCANA
Ngoma kaliiiii...Walioikubali wanyanyue miguu juuu 😂😂
Gnako warawara mzee wa kufunika duuh, nice brother
Nakumbuka 2017 kipindi hicho nilikuwa nakaa Bukavu DRC 🇨🇩❤
U kill me belle walahi!!! Wanaompenda belle like hapooo...
God
usiogope maadui masteringi hawauwawi,wacha na hii trela hahahahaaa bele we noma sana
2023 bado napata vibe ya hii nyimbo from Tanzania
Bonge ya video bonge ya melody..hanscana amefanya kazi nzuri...belle na g-nako salute sana guys..Jah Bless
kazi nzuri imetulia hongereni washiriki wote wa hii video you make it natural. Safi Belle9 & G
woooooooooh!!so great ebana nimeipenda sana hii nice melody bg up belle9 pia bg up gnako
Nakubal
African culture kwa video..thats superb....Nmeipenda sana video, inaturudisha in our culture art and the music itself,,,haina ubishi ni KALI SANA....Hanscana is getting better every single time na hapa kaua kabisa...Nice one Belle and G plus the music producer...Good African music...keep it up..believe me, WE all love it...
Hii ngoma, 😢 naikumbuka sana kwa sasa 04/07/2024❤
Siwezi kuchoka kusikiza hii ngomaa. 💥💥💥💥💥💥👏👏👏👏👏. Big up sana brothers
aiseee bonge la ngoma saluti kwenu belle 9 & G nako
nakukubali adi naumwa kama na wew unamkubali belle 9 gonga like show love mziki mzuri😂😂😂😂😂
huwa napenda kusikia mziki mzuli kweli belle9 g nk wanajua noma sana
katishaaaaa yan
JAKA ONLINE TV
JAKA ONLINE TV nice
Vaileth Ally
Lit 🔥🔥🔥 Ngoma kali sana kichupa mmekitendea haki Kiafrika kabisa bonge la video 🔥🔥🔥🎶
belle 9 is killing it and G nako...aki wanastahili kuwa rated high kabisa..ngoma tamu
Director Hanscana naelewa sana kazi za mikono yako, Mungu akufungulie milango na maujuzi zaidi mpaka wasaniii wa mbele waje kushoot video bongo, MUCH RESPECT DIRECTOR HANSCANA
💃🙋🙌.sichoki kusikiliza hii ngoma kweli
dah belle 9 nimependa jinci ulivotangaza ma culture nafurah xana
bonge la kideo
much lv 2 u brthr
Jamaa Unique sana huyu, anabadilika kama Kinyonga aisee. Big UP Belle 9. Mzee G-Nako Warawara ahahaha umeua we ni noumaaaaaaaaaaa
wooooow.this is what we call good music + good video..mmeua kama sio kunyonga..
Ngoma ikosawa asilimia mia fahali yangu Africa tisha sana belle na G. Wamatusi waige kwenu muziki mzuli. like japo 100 nione kama tunajua muziki mzuri
video nzuri sema kuna kasoro moja tu kwenye hii video nakasoro yenyewe hata haipo😂😂VIDEO KALI...
Oi oi oi oi Nimekuelewa ze baba
Hamis Malimungu we chalii ni mkaliiii
Iko poa
@@vianeyminja575 baada ya miaka miwili
U crazy🤣🤣🤣😔😂😂😂
Big up Belle 9....
nice song and video clip.
Love from Doha
Belle Fanya Utoe Ngoma Nyngne Na G Nako
Nakubal.Sana Mkiwa Pamoja
daaaah kiukweli belle9 brother unatisha kinomaaaah nakuelewa miaka buku
Huyu msenge aliegonga instruments akashtakiwe The Hague kwa kuua kinoma nomaaaaa
Haven't anything tell u Belle9
more than say....
UAR the Greater... Much love uar song...u knw wht u do.bro
on 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 .
belle na g nako nyie n waxiiii ,hii ndio ngoma yang ya mwaka toen nyngne bhan ma-ole
tishaaa sana belle 9 afu kawaida ya gnako warawara huwaga hakosei....dope love track..
My favourite artist of all time..
hahaha wee jamaa nakukubali sana br #belle9 hautabiriki na moja kati wasanii watakaodumu miaka buku cz ni mbunifu sana.... respect kwako Mzee Baba
bell 9 unajua mpaka naumwa sema nn vile wanakubania matuzo tu ila your a real musician from zero to hero
haaahaaaa....
mtoto tobo apa kati,
vinabo.......
....
sana bell 9
una maole nipe nione ma one en only... daaaah! ngoma kaliii sanaaa hadi rahaa
ebwana video asilia bomba kinoma brothers big up sana kwenu
Ngomaa kali cnaa nimeikubaliiii nyccc combination brooohhhhh
I can't understand Swahili language but hii bell 9 umenibamba vilivyo uko vizuri
your ma ole
G nako umeifanyia hii track mambo mbayaa👆
Dah mmetisha, yani nyie mmefanya ngoma sio Ya nchi hii..... dah mmetisha🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
star kaishiwa mbinu,,kiki akatafe pengine ila si kwenye hii ngoma,,this ole is from ma one and only
mziki mtamu,video quality,melody tamu,yaani jamaa wanajua kiukweli,big up
bonge la music,go go go go Belle,G nako kama kawaaaa
bell 9 ni fireeeeeeeeee anajua sana.hadi anaboa
Gink noma sana lm from rwanda Kigali 🇷🇼 ilave
Sichokii kuangali ngomaa kali cnaa nimeikubaliiiii usiogopee maaduiii masteriing awauwiii
Belle ujawai kinifelisha miaaaa bob
naku bariii mzee mwenyewe. BELLE9.
Belle 9 hapa umepita na biti kama hauna akili nzuri kmmake hili jingo sikinai nalo ✌
Natural is beautiful. I like such a superb video coz it sounds natural. Keep it up B9 & GWalla
Bonge moja ya ngoa mmeumiza sn ivyo ndo tunataka sema G nakusubir Green Mountain Hotel nikupe pongez zako bro Kankara the finest from AR
kwa nn uyu msanii hawampi nafasi kubwa.bel9 mama ako hajakupa baraka zake .ngoma Zako lkn ...?
Sada Kilona belle9 nyota imefifia
nyimbo kubwa sana video amazing hongera belle tisa...
Hujawahi kuniangusha bell9 bonge la chupa bonge la msanii big up
very good music and video,belle tisa namkubali sanaaaa
Iyo mazingira ni Claaaaaaaaasic
Big up
Mainstream kukichafuka tunarud huku sikiliza mziki wa akili na uhakika wa kipaji🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
MUNGU azidi kuwafUngulia njia.
jamaani hii Nyimbo KALI SANA
G nakoooo noumaaaaa its so hot b9
g ukiamuaga kwenye verse we n mbayaaa big up belle
Big up big up brother bonge la ngoma yaan
Nawakubali sana ngoma yenu kali g wara wara ft bell9 kama kunamwingine anawakubali kama me gonga like twende sawa
asanten kwa kutukumbusha na sisi kwenda kutembelea vijijini kwetu.Wanaopendwa waja.Nimechacha siwadinaaa@G9
G.original huna mambo mengi mzee!!!
mungu kakupa ruksa mzee piga kazi blessing
belle9 umetishaaaaaaa nataka kichupa na g warawara
this is dope ...good music bell 9 ma home boy and kankaraa g warawara africa finest
aasee huu wimbo ni🔥🔥🔥🔥🔥nausikilza adi bas tena big up guys
timiyanga
sna shaka na uwezo wenu hamjawah niangusha. uspagawe na maadui masteling hawauwaw......🎵🎶🎶🎤
The intro though 🔥🎶
Iyi song balaaaa aisee yani kama auna mauno hatareeee
Kenya's mark your register..🙋
Beauty Queen of your a
daah belle 9 so wakua hapa had leo huyu jamaa alitakiwa azidi alipo mondi kbsaaa
bonge moja ya ngoma bonge ya kichupa vichwa vimekutana ni shidaaaa
Salute kwako Belle 9 uko vizuri sana
G nako akoseag... Machalii wa kaskazn gonga like 2sepe
Who is here 2025..enjoying good music ☺️
🎉🎉🎉🎉
kaka umetishana mzee ngoma kali sana kaka
My all time favorite song💞 ata kama haiku hit
huyo MTU GNacko ni noma!
belle 9 unajua sana kaka
MA Ole bonge L ngoma yaniiiiii
Yaan video kaliiii kama hii sitaacha kuangalia mpka ifikshe 1 Million views..... ntaendelea kuwatch kila siku.
ngoma kali sana brother ,
G unajua kuniuaa kwa maves yakoo😘😘😘😘
Ngoma kaliiiii kichupa baraaaaaaaaaa
ngoma ya kikubwa sana aseeee hujawahi ni let down belle
hii nyimbo sikuwah kuitilia maanani ila leo nimeskiza ni noma...the beat is nouuuwwwmeeeerrr.....
✌✌👌 u made t bro
I tend to cal t perfct combo......stay attached
Jamn hayup mtu 2020
Niko alone amaa 😋
Good music a live, BELLE 9 BIG UP MY BEST MUSICIAN IN TANZANIA KAZA BRO HII NGOMA NI KIBOKO
Hii ngoma hii 🔥💯
Dah hii kitu level nyengine kabisa
nakukubali xana bell 9 kwa ngoma LA ma ole
This is the best video ever, excellent song too.
ngoma imekaa vizuri wew mkali big up
video kaaaaaali xana, Ma ole I really appreciate
Aseeee bonge kichupaaaaaaaa
wameua sana ngoma Kali sana na kichupa cha maana
hii nimeielewa....gnako big up
Nyimbo nzuri na video kali bro