Munaqasha Jee Maulidi ni Ibada au ni Uzushi Part-1 | Ustadh Fadhil Ashirazy

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 124

  • @AbdallahShamte-mp1iu
    @AbdallahShamte-mp1iu หลายเดือนก่อน

    Allah akuhifadhi shekhe letu Ustadh Faadhwil

    • @NuurulHudaa
      @NuurulHudaa หลายเดือนก่อน

      Amiin na kutoke vizazi mbavo wataendeleza da'wah yake

  • @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
    @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh ปีที่แล้ว +1

    Kheri inshallah

  • @AbdulhamidSuleiman-dh5er
    @AbdulhamidSuleiman-dh5er ปีที่แล้ว +10

    Mashallah watu wa maulid hawana hoja za kielmu ni wababaishaji tuh

    • @mbaroukkhalfani9244
      @mbaroukkhalfani9244 ปีที่แล้ว +1

      Hujaelimika mpaka kutoa fatwa hiyo

    • @ahmadabdalla619
      @ahmadabdalla619 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @salimrajab592
      @salimrajab592 ปีที่แล้ว

      Bro wewe uko na hoja ya maulid bidha

    • @kimrudiger4454
      @kimrudiger4454 ปีที่แล้ว

      Kabisa. Ameulizwa kama ni ibada mbona hayajaandikwa katka vitabu vya fiki'i ......anasema ata watoto wadogo wanajua mazazi ya mtume yapo katka vitabu vya Sira.
      Bora salama

    • @hadiabdallah1567
      @hadiabdallah1567 ปีที่แล้ว

      @@kimrudiger4454yaani bado hamujaelewa hapo ikiwa kaida ndogo ndogo hamuwezi kutafsiri sawa sawa mutayaeza hayo makubwa?

  • @AbdulMutta
    @AbdulMutta 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wallah ustadh fadhil hakuna shekh wahabi am fika ilimu huyu bwana anaelimu

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 8 วันที่ผ่านมา

      Mtetezi wa maulidi sio kichwa maji lkn uyo wahabi ni mtihani 😂😂😂

  • @zeitunMohammed
    @zeitunMohammed ปีที่แล้ว +6

    Kkkkkk mawahabi wataka kuelezewa kuzaliwa kwa mtume katika fiqhi. Inaaa lillahi wainnaailaihi Raajiun.

  • @saidalmarjibi6112
    @saidalmarjibi6112 ปีที่แล้ว +3

    Ebu waacheni waislamu washehekee siku ya kuzaliwa mtume wao ( SAW) ,, msijiingize fikra zenu katika kila kitu

  • @kugotwa004
    @kugotwa004 ปีที่แล้ว +2

    TUELEWENI IKHTILAFU HAO WANAOFANYA MUNAAQASHA HAWAGOMBANI WANATUELIMISHA TUJUE IKHTILAFU ILA SSI WAFUASI MAPENZI YANATUHARIBU

  • @kassimiddi5294
    @kassimiddi5294 หลายเดือนก่อน

    HUYU SHEKH AHMED HASSAN HAKUTAFUTIWA SHEKH WA KISUFI MWENYE KULINGANA ELIMU NAE. AMETAFTIWA MSHABIKI ASIEJUA ATA KUVUNJA HOJA ALIEKARIRI MAULID NI IBADA TU ASIEJUA LOLOTE. LKN KIUKWELI MASUFI WAPO MBALI MNO SANA HAWATAKI KUSHINDWA LKN JAMBO LIPO WAZI MAULIDDI NI UZUSHI.

  • @AllyIddi-i6u
    @AllyIddi-i6u 10 วันที่ผ่านมา

    Unachokitetea hukijui jifunze aqiida acha uzushi

  • @abuidifundi2016
    @abuidifundi2016 ปีที่แล้ว

    Maashaallah

  • @AbeidJuma-i2k
    @AbeidJuma-i2k ปีที่แล้ว

    Onyesha munagasha wote sio unaonyesha nusunusu

  • @walidiferuz3736
    @walidiferuz3736 ปีที่แล้ว +1

    Ukijadiliana na asiokua na ushahidi katika Quran ao Hadith sahih, jadiliana nae kwahekma yajuzaiidi yaani asiokua na Quran ao Hadith usimjibu usimjibu kwavitabu asivyo vijua

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv ปีที่แล้ว +2

    Tatizo ni jina maulidi ama tatizo ni kumswaliya mtume MOHAMMAD (S.A.W)

  • @abuyusuf-it5rm
    @abuyusuf-it5rm ปีที่แล้ว +2

    Hio qaida يقدم المثبت على النافي au المثبت مقدم على النافي sio unavo ieleza ww sufi acha machachari yko

  • @KhalfanSuleyman-q9d
    @KhalfanSuleyman-q9d ปีที่แล้ว +2

    Watu wa bidaa hawana hoja ubishi tu na ujeuli na kibuli

  • @abdullahiabdallah551
    @abdullahiabdallah551 ปีที่แล้ว

    Shidaikowapo

  • @mwanakomboabdala-bt4po
    @mwanakomboabdala-bt4po ปีที่แล้ว

    Kiukweli sheikh wa maulidi ameshindwa kutetea hoja

  • @fatumaramadhani1283
    @fatumaramadhani1283 ปีที่แล้ว

    Subhanallah huyu sufi hata anavoongea anaonekana hayupo sawa anaropoka tuu

  • @Zsdaughter
    @Zsdaughter ปีที่แล้ว +1

    Je unafkiri Mtume wa Allah aliacha mambo hewani hakuelezea au kuclarify to us na au mengine aliyaacha tu hakuyafanya yakawa ni kitendawili na kutuachia wenyewe tujitaftie majibu?

    • @abdiabdu7179
      @abdiabdu7179 ปีที่แล้ว

      soma sera ya mtume uta elewa kila kitu kama huja soma sera ya mtume Uta ji tatiza mimi likua mbishi sana .. uki anglia maisha ya mtume na sasa ni copy paste uta elewa rahisi Mpaka uisilamu unvayo pijwa ni sera hii

  • @WaladinMwatawala
    @WaladinMwatawala 8 หลายเดือนก่อน

    Mawahabi, wao kanakwamba walimuona Mtume na Dini walifindishwa moja kwa moja na Mtume.Sijui wenzetu,mambo ya mazuria msikitini,mic, misahafu,mnatoa wapi, maana hivi vimekuja baada ya Mtume. Mja mwema akiandika,sifa za mtume vzuri ktk kitabu na zikasomwa,mnataka angeandika yeye. Hiyo Quran tu hakuiandika, sasa aandike kitabu vipi.Wewe kama Maulid huiwez,waachie wanaoiweza,.Sasa kwa sabbu we hutaki na wengine,wasifanye?

  • @Auf-uh3jq
    @Auf-uh3jq ปีที่แล้ว

    Mimi nawashangaa wanao Pinga kwani haya Maulidi Huwa wanamtukana Mtume ?
    Mpaka wengine inawauma sanaaaa

    • @MakaroBakari
      @MakaroBakari ปีที่แล้ว

      Tatizo ni haramu kuzusha Jambo katika dini mtume kasema tufate qur an na Sunnah zake je maulid nini na imeletwa na nan

  • @saltoninsein9138
    @saltoninsein9138 11 หลายเดือนก่อน

    Izo kombora zina bomoa vile inafaa

  • @NasirJussa
    @NasirJussa ปีที่แล้ว +2

    Masuufi hawana jambo

  • @abuuruwaydatvTz
    @abuuruwaydatvTz ปีที่แล้ว +2

    WAPUUZI KABISA HAHAHAHAH SHEIKH HASSAN ANATOA DALILI NYIE WALETA MZAHA HUU NI UJINGA KABISA

  • @sheikhismaelramadhankenya8928
    @sheikhismaelramadhankenya8928 ปีที่แล้ว +1

    Kumsifu haijamaanisha piga matari imba nyimbo cheza maulid. Njoo tupatene unitolee hata aya moja au hadith imesema pigeni matari cheza fanya maulid

    • @sheikhismaelramadhankenya8928
      @sheikhismaelramadhankenya8928 ปีที่แล้ว

      Katika maulidi kuna uzinifu mwingi hasa wanafunzi wa madrasa wasichana na wavuluna hupata nafasi ya kupatana na kuburudhika

    • @sheikhismaelramadhankenya8928
      @sheikhismaelramadhankenya8928 ปีที่แล้ว

      Nitafute na uje kama umejipanga na aya au hadith. mwenyezi mungu akaamrisha maulid.

  • @kitosio
    @kitosio ปีที่แล้ว +2

    Na nyny Ma Bidaa pia kumbe mnajiita Ahlu Suuna. Na Maulidi nani aliwafundisha. Nyny na masahaba nani ana akili zaidi. Upuuzi Na ujinga. Yapeni jina jengine muendelee na mashaka yenu ila msiseme kuwa ni Sunna

  • @UstaziMwenjuma
    @UstaziMwenjuma ปีที่แล้ว

    : Mawahabi acheni upotofu zungumzeni vitu vingine haya maulidi kama nyinyi mnachuki nayo kaeni kimya ufahamu wenu ni mbovu

  • @salimalharrasi3943
    @salimalharrasi3943 ปีที่แล้ว +4

    HAYA MAULIDI YAMELETWA NA MASHIA NA UPANDE MWENGINE MNAKASIRIKA NA MASHIA KWA KUWATUKANA MASAHABA LAKINI KWA MAULIDI MNAYATETEA WAKATI MASHIA NDIO WALIYOYALETA AMA NYIE MBONA MASHEIKH WAAJABU..

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 8 วันที่ผ่านมา

      Mpumbavu, sisi waislam tutaangalia hukmu ya jambo hatumuangalii mtu, ata km jambo kasema sheikh mkubwa sana km si Haki tuna achana nalo na km kasema shia km ni Haki tunachukua mjingaa ww, eti wameanzsha mashia ndio.
      hoja hiyo ?

  • @saidburuji9984
    @saidburuji9984 ปีที่แล้ว +1

    Tuleteeni no 2 ya munaaqasha

    • @issakilimanjaromountaingui6132
      @issakilimanjaromountaingui6132 ปีที่แล้ว

      Asili ya swaumu ya Jumatatu ni Maulidi mtume alikuwa akifunga siku yake ya kuzaliwa. Sasa kama swaumu siyo ibada poleni saana. Someni dini kwa vitabu siyo clip. Kuwa ahalulkitaab usiwe ahalulclip.

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 ปีที่แล้ว +2

    😂Hapo kwenye Fiqhi ndio alipo feli kabisaaa wanazuon hawajaelezea hii ibada hat kidogo na niwote jamani huu ni mtihani . Ibada zilizo sahihi wamezichambua zote kuanzia Sala,funga,zaka hija swadaka na adhkary mbalimbali kasoro maulid mmmh sijui waliisahau au mikkno ilichoka kuandika😂😂😂

  • @DotoSimbe-de6ir
    @DotoSimbe-de6ir ปีที่แล้ว

    Sasa maulidi bidaaa uzushi

  • @hutiswalehe2444
    @hutiswalehe2444 ปีที่แล้ว +2

    Yaaani kila wanavyoyapinga maulid ndo kwanza yanazidi wala hayajawahi kupinga maulid

    • @AllyAhmad-zg2yp
      @AllyAhmad-zg2yp ปีที่แล้ว

      Hata zinaa zinazidi ila sio dalili kua ni ibada au sio kua inafaa

    • @noorululaatv8973
      @noorululaatv8973 ปีที่แล้ว +1

      Tena huzidi sana wallah ... Hawa mawahabi ufahamu wao ni mbovu

    • @hutiswalehe2444
      @hutiswalehe2444 ปีที่แล้ว

      Hakuna hoja ya msingi hata moja kwa mwenye akili salama inayosema maulid hayafai....na kila ukimwangalia mpingaji wa maulid unakuta anasumbuliwa na maradhi ya hasad tu

  • @saidabdurahman9631
    @saidabdurahman9631 11 หลายเดือนก่อน

    Huyu shekh wa kisuf hana elim ya usuuli 😂😂😂

  • @ramadhaniomary7083
    @ramadhaniomary7083 ปีที่แล้ว +2

    Kumsifu mtume muhammad kwani dhambi tuendelee kumsifu mtume muhammad (s.a .w) tunabishana vitu vidogo vidogo baada ya kwenda kuutangaza uislam tuna bishana wenyewe kwa wenyewe

    • @asalafiyahhussein7767
      @asalafiyahhussein7767 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna aliyesema kumsifu mtume ni dhambi , hata hapo ulipo waeza msifu mtume Kwa qalb ndani ya moyo . Na Kila amali ya kumkaribia Mola imefundishwa kisheria atakae ongeza lake litarudishwa haliwezi kuwa dini

    • @pavillioncry5241
      @pavillioncry5241 ปีที่แล้ว +1

      We chizi acha bidaaaaaa

    • @khamiisabubakar412
      @khamiisabubakar412 ปีที่แล้ว

      Hakuna ibaada katika uislamu mimi na wewe tunaijua ambayo mtume swallaahu alaihi wassalam hajui. Kwa sababu yeye ndiye mwalimu wa kwanza wa dini hii. Kila ibaada alipokea yeye ndiposa akawafundisha maswahaba namna ya kuitekeleza. Makhalifa hao wanne waongofu kwani hawakujua kuwa kuna ibaada kubwa sans yenye kheri ambayo ni mauli au khitiima? Au walijua tu kisha wakaificha?ambapo haizekani$$ ...

  • @ramadhanitwahili6837
    @ramadhanitwahili6837 ปีที่แล้ว +1

    mumeikata kata sna clip kwaiyo hapa nachokiona mimi kila mtu anavutia upande wake
    tu, ila inshaAllah mungu atupatanishe kwa kheri mzuri kila mtu amwamini Allah na mtume na kitu chake Allah.

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 ปีที่แล้ว +1

      Mimi ndio husema minakasha ni kupoteza muda tu na haina tija sababu kila upande unasimamia msimamo wake wala hakuna aliye tayari kumkubali mwenzake

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 ปีที่แล้ว

      Mie naona masuali na majibu yapo wazi hapo. Labda iwe unamapenzi ya uovu wako ili ujifanye hujaelewa. Masuali na majibu ni mjadala kamili kwa ufupi.

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      ​@@mzeerajab9154wewe inaonekana hujui maana ya niqash. Niqash haina lengo lakubadilishana mosimamo.lengo la niqash nifursa kila mtu kutetea au kueleza msimamamo wake kihoja na dalili za kielimu. Alafu msikilizaji ndo ataamua hoja gani ilikuwa na nguvu na dalili zinazo kubalika zaidi. Kimtazamo wango niwazi kuwa huyo mpinga maulidi hana ajuacho na amegeuzwa kuwa mwanafunzi darasani. Ndivyo atakavyofanywa mohamed bachu

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty ปีที่แล้ว

      @@mzeerajab9154
      Kwa hiyo iachwe?. Haimaanishi kufanya munaqasha watu wabadilike apoapo. Wanaolengwa hasa ni wasikilizaji ujue hilo.

    • @hamidaawadh9024
      @hamidaawadh9024 ปีที่แล้ว

      Hizo ibada zote unasema za kula za kazi na maisha yote kwa jumla, ametufundisha Mtume alayhi salaam, wapi, kafundisha maulid?

  • @zainulabidiendhulfikar7398
    @zainulabidiendhulfikar7398 ปีที่แล้ว

    Jamaa hawa elimu yao yawap manen madogo tu hajaelewaa duh

  • @BinSwaleh
    @BinSwaleh ปีที่แล้ว

    Hiyo ayya ni ya mwisho katika ahkaam hakuna ayya ya ahkaam ilishuka baada ya hiyo

    • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
      @sanoureyaliwadoakaroyo1696 ปีที่แล้ว

      Kwel wewe ni Zuzu weee Endelea na upotevu wko wa Bidaa

    • @BinSwaleh
      @BinSwaleh ปีที่แล้ว

      Habib mimi narekebisha madai ya Sheikh aliposema kwa alyaum akmaltu lakum dinakum kwa si aya ya mwisho . Hiyo ni ayya ya mwisho ya Ahkaam baada ya hapo hakukuja aya nyengine ya kuharamisha wala kuhalalisha Hivyo kama wadai Maulid ni sunna thubitisha kwa akili ela aya ya mwisho ya Ahkaam ilifunga hukmu zote .
      Hata kama ni zuzu ela nina elmu nalo kabisa. NAJUA Makhurafi muko na mitihani

  • @ShabaniJumbe
    @ShabaniJumbe 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa maneno mengi tu Hana hoja Sufi huyuuu

  • @abubakarbakari9372
    @abubakarbakari9372 ปีที่แล้ว +1

    Hawa mawahabi simba wao ni ustadh fadhil tu

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 19 วันที่ผ่านมา

    لمن الدعي.....
    Lami hii sio Laamul Milki masufi bhna ni wajanja wajanja sana.
    Hapa hakuna Lamul Milki.

  • @kufulanikufulanibacar-uj4tf
    @kufulanikufulanibacar-uj4tf ปีที่แล้ว

    MUNATI CHANGANHA

  • @mafiatv5479
    @mafiatv5479 ปีที่แล้ว +1

    ufafanuzi wa kutosha

  • @abdallahjuma4397
    @abdallahjuma4397 ปีที่แล้ว +1

    Huyu sheikh ya wa Mauld mbona hatoi Hoja? Anazunguka tu? Kaulizwa wewe unayesem kitu fulani ni ibada tupe dalili... sisi tunaswali, tunafunga, tunahiji, tunafanya adhkar, tunahiji , tunatoa zaka ukiuliza dalili maulid zipo? je, na wapo wema waliotangulia ima swahaba, tabiina nani kafanya? Je, mtume wetu swalla na salamu ziwe juu yake hakutufundisha vipi tumsifu au tumswalie au alisema tumfanyie Maulid.. kwann Maswahaba, Atbiina hawakufanya maulid? Allah awaongoze

    • @dullahsaleh8507
      @dullahsaleh8507 18 วันที่ผ่านมา

      Una uhakika? Sema wapi yamekatazwa..

  • @hasanisaidishabani3879
    @hasanisaidishabani3879 ปีที่แล้ว +1

    Wallah shekh unaetetea maulid upo sawa sana kwaweny akili

    • @kitosio
      @kitosio ปีที่แล้ว

      Hiiiiii?????
      Kwahiyo Talent Prophet SAW kalifanya ndio

    • @khamiisabubakar412
      @khamiisabubakar412 ปีที่แล้ว

      Huyu mwenye kutetea maulidi hata aya zenyewe hajui kusoma hata kuvaa kwake kwaashiria tu hayumo

  • @binabeidsalim6380
    @binabeidsalim6380 ปีที่แล้ว

    Hawa wana laana mawahabi

  • @ShuraymIshaq
    @ShuraymIshaq ปีที่แล้ว

    Allah atujaaliye tuwe wakweli th-cam.com/video/gl8lVl7WNSw/w-d-xo.html

  • @MohaMody-jf1zh
    @MohaMody-jf1zh ปีที่แล้ว

    Kuna vita zaidi zatukabili kama ushoga na usagaji lakini akili fupi hatuyaoni hana tunkazana maulidi maulidi hivi ndivo Qur'an inavosema wa'atwasimuu bihabli Llahi jami'an walaa tafarraquu? Tuzindukeni!

    • @khamiisabubakar412
      @khamiisabubakar412 ปีที่แล้ว

      Wajua maana ya hyo aya au unlmesema ju watu husoma hivo

  • @faridsalummaulid4681
    @faridsalummaulid4681 ปีที่แล้ว

    Hawatak tusherekee Maulid sjui tusherekee Chriatmas😅

  • @مبغضالبدع-ع9ص
    @مبغضالبدع-ع9ص ปีที่แล้ว

    Kwa hiyo dini haikukamilika kulingana na huyu shekhe mtele? Sura zake aonekana ni mjinga huyu!!! Yani dini haijakamilika nyinyi makhurafi??? Hivi kikweli hawa ni waislamu wa aina gani??? Duh dini haijakamilika mpaka sasa!!!! Wacha tu!!!

  • @omarally6819
    @omarally6819 ปีที่แล้ว

    هذا مبلغهم من العلم، الصوفية لا تحسن العبادة ولا أي شيء من أمور الدين إلا وتراها منحرفة أو منقصة أو منغص في البدع والشرك......

  • @binabeidsalim6380
    @binabeidsalim6380 ปีที่แล้ว

    Hawamawahabi Ni mashetwani haswaaaaa

    • @rashidibrahim8316
      @rashidibrahim8316 ปีที่แล้ว

      Asalam Aleikum naomba kujuwa nini maana ya wahabi

    • @khamiisabubakar412
      @khamiisabubakar412 ปีที่แล้ว

      Ebu eleza chchote unacho jua kuhusu neno wahaabi

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 ปีที่แล้ว

      Wanajijua hamna haja ya maelezo

  • @AhmadLijodi
    @AhmadLijodi ปีที่แล้ว +1

    Ikiwa maulid inatetewa hivi basi iko shida. Inatetewa bila hoja yoyote jamani!

    • @pablooo4197
      @pablooo4197 ปีที่แล้ว

      Tena shida kubwa sana akhi hawaeleweii kabisa hawa jamaa

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj ปีที่แล้ว +1

    Kwanza huyu sheikhe wa wahabi afahamu kuwa Qur'an yote ni SIFA za mtume,maana bila mtume hataiyo Qur'an isinge kuwepo.kumjua mtume mwenendo na nasabu yake ni Ibada.ibada zipo namna mbalimbali,kumtaja mtume na kimswalia ni thawabu tunapata ,wanaokosoa maulidi mbona hawakosowi kumsifu na kumtangaza sheikh Mohammed ibn abdulwahab?saudia Ina hamasisha haswa watu wamjuwe ninani!lkn hawataki kusikia maulidi ya mtume s.a.w.huu ni mpango wa wasiokuwa waislaamu kutugawanya ,alafu chunguzeni vizuri hawa wahabi wanapinga Kila jambo jema lilowekwa na wanazuoni.

    • @abdinoormohameddido4950
      @abdinoormohameddido4950 ปีที่แล้ว

      Ni sawa lakini wafaa kumsifu katika seira ama kufundisha darsa lakini c kukusanyika mahali moja na kupiga matwari haifai hilo mtume mwenywe hajafanya

    • @yusufsingano6202
      @yusufsingano6202 ปีที่แล้ว

      mwanazuon nani?

    • @AbdallaMwagora-sm1rj
      @AbdallaMwagora-sm1rj ปีที่แล้ว

      @@abdinoormohameddido4950 ni wapi ktk Quran au hadithi imekataliwa watu kukusanyika na kusoma Qur'an na kumsifu mtume,mbona tunapo swali swala za jamaa pamoja na hutba zaijumaa inapo somwa imamu humsifu mtume mbele ya mkusanyiko wa watu.tafuteni hoja hakuna Aya Wala hadithi inayo kataza kujua mtume ni nani, twari si haramu.bali twari lilikua Toka enzi za mtume .na hakuliharamisha ,na kama una ushahidi nitumie hicho kitabu.

  • @selasboy3966
    @selasboy3966 ปีที่แล้ว +1

    Swali moja😂😂😂 shekh wa bidaa amelanda kutwa hajatoa dalili ktk quran wala sunnah za mtume namafundisho yake...bidaa mbaya sana jaman tuache hazina ishu kwanza zinafanya dini inakua ngumu sana kwakweli kama mtu hujui kunemua mabega 😂

    • @AbdallaMwagora-sm1rj
      @AbdallaMwagora-sm1rj ปีที่แล้ว

      Wapata dhambi kumuita muislamu mwenzio shekhe wa bidaa usijisahau hata ww nimtu wa bidaa,na huwezi ikwepa sitaki kuingilia amali zako lkn ukumbuke hata simu unayo tumia ni bidaa,na ww hapo ulipo ulipoenda madrasa sura ya kwanza uliofundishwa qaida ni aleif ambayo mtume hakuisoma,mtume sura yake ya kwanza ni iqraa,bismirabika lladhi.kwa hiyo wahabi waelewe sote ni watu wa Suna na sote niwatu wa bidaa,

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 ปีที่แล้ว +1

    Misufi inakera we dahh
    Kazi yao talbisi tuuu
    Ubabaishaji tuuuu
    Ukiwapa dalili
    Wanakimbilia lugha

  • @khalifaahmed5232
    @khalifaahmed5232 ปีที่แล้ว +6

    🤣🤣🤣🤣Boraswalama yaani mawahabi kila mjadala lazma kwanza waekwe sawa kauli zao Kwa fahamu potofu Zao Kisha ndio wanajibiwa ilivyo mijadala yote lazma kuwe ivo mpk tunamkumbuka sheikh mmoja akisema tatizo LA wahabi ni matatu 1.ufahamu potofu 2. Ukazia msimamo upande wake pekee ndio sawa 3.kusoma nusu nusu kila ashakua mwanachuoni niyy na wengn motoni walai iyo nimeamini kabsaa 100%ht ka baadh ya masheikh zng ni mawahabi lkn ilo tatizo lipo Sanaaa

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 ปีที่แล้ว

      100%

    • @rashidibrahim8316
      @rashidibrahim8316 ปีที่แล้ว

      Asalam Aleikum nini maana ya wahabi

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 ปีที่แล้ว +1

      @@rashidibrahim8316 wahabi ni wafuasi wa Muhammad ibn Abdul wahabi

    • @BinSwaleh
      @BinSwaleh ปีที่แล้ว

      Vibonzo ni haramu

    • @WaladinMwatawala
      @WaladinMwatawala 8 หลายเดือนก่อน

      Ni wajinga tu, viarabu viingi .kuna vtu hata siyo vya kupotezeana muda.dini nzima ikaonekane haifai,kwa hadithi moja,kwa kuitafsiri watakavyo wao. Tuwaulize mawahabi,Mtume aliacha msahafu upi? Je hawasomi msahafu? Ah mbona nalo hatubishani na hilo

  • @Zsdaughter
    @Zsdaughter ปีที่แล้ว +1

    He watu wa maulid wanatisha hata hoja hawana maneno mengii. Mtume hakufanya hayo wala waliomuona mtume hawakufanya hayo makusanyiko na hakukuepo na hizo vitu enzi za mtume. Sasa wee unaujasiri gani wa kufanya vitu ambavyo masahaba wala Mwenyewe Mtume hakufanya. Inamaana wee ndo unaakili sana na unajua sana mipango.
    Ushaambiwa uzushi utakupeleka Motoni bado umekazana na unajiona kabisa unaporojo na huna reference. Kha hapa tu duniani joto naliskia umeme ukikatika hewa haitoshi je kaburini ambako hakuna hata dirisha itakuaje. Fear Allah.

  • @MohaMody-jf1zh
    @MohaMody-jf1zh ปีที่แล้ว +1

    Kwani chuki yote au uchungu wanini? Maulid ndani yake Kuna fawaid nyingi zinapatikana mwanzo kufungua kwa kusomwa Qur'an pili kumswalia mtume Tatu kutoa seira ya mtume na mlango wake na pia mitume aaliotangulia Haya yote yawachukiza mawahabi? Ndio maana waislamu twajidhalilisha na twadhalilishwa kila upande

    • @khamiisabubakar412
      @khamiisabubakar412 ปีที่แล้ว

      Ingalikuwa ni hivo....bas mtume swallaahu alaihi wassalam angetutangulia kwa hilo kusherehekea mazazi yake. Yaani nyie watu mwashangaza sana yaani mtume swallaahu alaihi wassalam aishi miaka 63 bila kusherehekea mazazi yake wewe uje leo usherehekee mazazi yake siyo duh....

  • @hutiswalehe2444
    @hutiswalehe2444 ปีที่แล้ว +1

    UWAHABI NI UVUNDO

    • @khamiisabubakar412
      @khamiisabubakar412 ปีที่แล้ว

      Twakuomba tueleze maana ya Uwahaabi

    • @hutiswalehe2444
      @hutiswalehe2444 ปีที่แล้ว +1

      Uwahabi maana yke ni kichaa kinachompelekea mtu akili zake kuganda

    • @aljahuur
      @aljahuur ปีที่แล้ว

      Ujassima ni ukafiri kila alie nusurika na ushenzi huu Amshukuru Allah sana

    • @aljahuur
      @aljahuur ปีที่แล้ว

      Tena ni uvundo zaidi ya mzoga wa nguruwe

    • @BinSwaleh
      @BinSwaleh ปีที่แล้ว

      Wabaabu ni jina la Allah wazungu ndio walianza tumia Wahabuzim

  • @kipineonline302
    @kipineonline302 ปีที่แล้ว

    Sasa maulidi mana yake Ku msifu mtume??
    Ao ndo hatuelewi lugha ili mzidi kutuweka Sawa!
    Yaaan nyie dah Hongera zenu!