Huu munaqasha hauko kamili Bali umekatakata ili kutimiza malengo ya matamanio ya nafsi yako,,,mche Allah na kuwa mkweli. Huu munaqasha tuliufuatilia kwanzia mwanzo Hadi mwisho. Na watu wa maulidi walishindwa kihoja
Aya inayosema اليوم أكملت لكم دينكم.... Atazame Ufahamu wa Al imaam maalik Ktk kitab Al iitwiswaam. Anasema:atakayezusha Bidaa yyte ktk Uislam Na akaiona Ni nzuri,Basi atakuwa amedai mtu huyo kuwa Mtume mohammad Amefanya Khiyana ktk kufikisha Ujumbe wa mola wake,kwan Hakika Allah anasem leo hii nimekukamilishia Dini yenu.....
@@ShamimWanjiru-bm6ve mawahab ni nn??Naomba Tafsir ya neno hilo Ni kitu gan Au ni Madheheb au nn kwa Mujib wa vitabu vyao.Utuoneshe kundi hilo kama lipo ama. Halafu kwa nn wachukia Kudaiwa Dalili.
Nyinyi makhurafi ndio mnachukia mtume swallallahu alaihi wasallam kwakuwa hamtaki kumfuata mwenendo wake ,,,na mawahabi alhamdulillah ndio watu wenye mahaba na mtume swallallahu alaihi wasallam kwakuwa mwenendo wao ni kumfuata mtume swallallahu alaihi wasallam
Shida kuzozana na malimbukeni, utafananishaje ustadh Fadhil na hao wengine kielimu...? Ukikosolewa lugha, ambayo ni mojawapo ya fani muhimu sana za kuelewa na kufiti masaala, hao wasema si muhimu... na ibara nyingi walorekebishwa walizileta kwa ufahamu sio kwa kutojua lugha... kama Mohamed bachu aliposema hadithun munkar akafasiri makosa, akapotosha hukmu na misingi ya hadith... mifano mingi... kama dini ilikuwa simple kiasi wanachodai hawa majamaa, ulamaa hawangepewa nafasi kubwa kama kuwa warithi wa manabii...
@@asa9268 si kweli ,, mawahabi Wana ilmu si waona hapo mathwariqa walivyoshindwa kihoja,,,alafu mwategemea sheikh mmoja tu hii dalili kuwa hamna wasomi,,, kwahio mathwariqa ndio hamna ilmu
Huyu nimwamba wao hawamuwezi hata theluthi huyu Sheikh Faadhili nimsomi wa twariqa Afrika nzima ikiwa mwanafunzi wake Ustadh nivile yeye yukoje?Allah amrefushe umri wake
Kwetu Sisi hatuna ck maalum iliyowekwa special kumsifu mtume (s.a.w) hii haina tofauti na kufuata mila za kinaswara na mayahud mfano maulid day twambieni muliko itowa km ni kumsifu mtume (s. a. w) kila siku tunamsifu na kumtaja kumbe nyie munasubiri kila kipindi cha maulid ndio kumsifu iko kitu hakipo tusomeni ili kujua zaid
NIMEGUNDUWA MAWAHABI WENGI WANAMATATIZO YA UBONGO NA AKILI ZAO NI FINYU SANA DUU HATA WANAAMBIWA NENO MAULIDI NI JINA TU KATIKA MAULIDI NI SIRA NDANI YA MAULIDI KUNA KUSOMWA QRAAN NDANI YA MAULIDI KUNA MAWAIDHA NDANI YA MAULIDI KUNA IKRAM HAYA YOTE NDIYO YANAITWA MAULIDI ACHENI AKILI MBOVU MAWAHABI
@@mohammedmataucar66 kw maana hyo neno maulid c haramu na Wala neno konyagi sio haramu,na kitahukumiwa kilichokuwa ndani ya maulid au ndani ya konyagi kw uhalali wake au uharam wake,ssa ww lete kilichokuwa Ndn y maulid kipi ni haramu?
@@taurehassan7399 mtume alisema yoyote mwenye kufanya matendo kma yetu na ndani yake hilo tendo hamna sheria zetu.. basi litarudishwa kwa ivo ibada ya maulid inaingia uharamu sababu hmna ndan wala nje yake sheria ya Allah kwenda kwa mtume wake...
Watu wanapinga maulidi wewe umebadilisha wasema wanapinga asisifiwe mtume ,,,,mbona mawahabi mahaba yao kwa mtume swallallahu alaihi wasallam yako juu Sana tu ,,,Sasa nyinyi watu wa bidaa uzushi vipi mtakuwa watu kumsifu mtume ,,, nyinyi makhurafi infact ndinyi ambao mwamdharau mtume ndio Mana mnazua katika dini na Wala hamjali ,,,mwafanya bidaa alafu mwajificha kwa kisingizio Cha kumpenda mtume ,,,, mtume hapendwi kwa uzushi Bali apendwa na kusifiwa kwa kufuatwa mienendo yake ,,,na mawahabi tu ndio waliofaulu katika hili.
@@أبوفيصل-د3ش Sasa si nyinyi mnatuita ivo Sasa tufanyeje,,,nyie makhurafi mnashida ,,,Jana la wahabi mlikuja nalo nyinyi mkitunasibisha na sheikh Muhammad bn Abdul wahhab ,,,,ama huelewi?
HUYU WAHABI ANATOWA SIMULIZI NYINGI ZA MIFANO YA STORI LAKINI STORI ZAKE HAZIPO POPOTE KWENYE VITABU VYA HADITHI INAMANA NAYEYE ANAZUWA NA STORI ZAKE ZA KUSISIMUA?
We ndo akili yako imejaa matope,,,kinachokatazwa ni maulidi na si kumsifu mtume ,,,,, Maulidi na kumsifu mtume swallallahu alaihi wasallam ni vitu viwili tofauti ,,, Na mtihani hasifiwi kwa maulidi ndugu ,,,Bali huku ni kumzulia tu ,,iblisi aliwapambia uovu huu ata mkinasihiwa vipi hamnazo ,,msifu mtume kwa njia za haki lkn si maulid bidaa uzushi ,,
Ushabiki ni kitu kibaya ukipenda batil Allah atakuwacha upotee nanhuku ukiwa wajiona uko sahihi na tazama jamaa anavyofanya talbiis za kiiblis kutetea bidaa, wallaahi hata wasio waislam wanajiona wapo sawa na hata hawa masufi mashia n.k kila mmoja anajiona yupo sawa, kila makundi hayo sabin na kitu yajiona yapo sawa, baki kubwa ni kuwa walikuwa waonbe Allah awaongoze na waache kupenda kufuata tamaa na hata video wameikata kata kuficha ushahid kuwafanya wajinga wa comment waloya comment wakiona usufi ndio upo sawa.
Udtadh faadhil kiboko ya mwahabi allah akuhifadhi
Shukran Sheikh kwa kututetea sisi tunaompenda Mtume saw kwa kufanza Maulidi,na tutayasoma sana bas!!Allah akuhifadhi InshaAllah......
Kwavo weye wampenda Mtume kuliko maswahaba wa mtume ambao hawajafnya Maulidi!
Huu munaqasha hauko kamili Bali umekatakata ili kutimiza malengo ya matamanio ya nafsi yako,,,mche Allah na kuwa mkweli.
Huu munaqasha tuliufuatilia kwanzia mwanzo Hadi mwisho.
Na watu wa maulidi walishindwa kihoja
Watu wa taarab na disco mupo ?
Aya inayosema
اليوم أكملت لكم دينكم....
Atazame Ufahamu wa Al imaam maalik Ktk kitab Al iitwiswaam.
Anasema:atakayezusha Bidaa yyte ktk Uislam Na akaiona Ni nzuri,Basi atakuwa amedai mtu huyo kuwa Mtume mohammad Amefanya Khiyana ktk kufikisha Ujumbe wa mola wake,kwan Hakika Allah anasem leo hii nimekukamilishia Dini yenu.....
SIJUWI KWANINI MAWAHABI WANAKUWA WANA HASIRA KIBURI JEURI NA KEJELI SIJUWI KWANINI?
Mawahabi ndo nn ??Nahitaj dalili
Mawahabi kwao kila kitu,lete dalili hata kula tutaambiwa tutoe hadithi ipi yasema tule,,,,Sikizeni mawahabi siwapendi!!!
@@ShamimWanjiru-bm6ve mawahab ni nn??Naomba Tafsir ya neno hilo Ni kitu gan Au ni Madheheb au nn kwa Mujib wa vitabu vyao.Utuoneshe kundi hilo kama lipo ama.
Halafu kwa nn wachukia Kudaiwa Dalili.
Huyu Msufi analeta ni kuvuruga maneno na Talbisaati.
Shekhe ally Faza naomba kuulizia kuwa yule ust muhammadi shekhe yuko wapi ? Yuko hai au Mana hatumuoni kabisa samahani lakini Mana nampenda sana
Shekhe kafariki miaka takriban kumi na moja saa hii..Mungu amrahamu
@@asa9268
😭 INNAALILLAAHI WAINNAAILAYHI RRAAJIUUN
ALLAH AMREHEM ALIKUA NI MWEPESI SANA KWENYE HOJA KAMA UST FADHLI ASHIRAAZY
MAWAHABI WOTE HAWANA NURU KATIKA VIPAJI VYAO KWA CHUKI ZA KUMCHUKIA MTUME MOHAMAD SALALAHU ALAYHI WASALAM
Nyinyi makhurafi ndio mnachukia mtume swallallahu alaihi wasallam kwakuwa hamtaki kumfuata mwenendo wake ,,,na mawahabi alhamdulillah ndio watu wenye mahaba na mtume swallallahu alaihi wasallam kwakuwa mwenendo wao ni kumfuata mtume swallallahu alaihi wasallam
Shida kuzozana na malimbukeni, utafananishaje ustadh Fadhil na hao wengine kielimu...? Ukikosolewa lugha, ambayo ni mojawapo ya fani muhimu sana za kuelewa na kufiti masaala, hao wasema si muhimu... na ibara nyingi walorekebishwa walizileta kwa ufahamu sio kwa kutojua lugha... kama Mohamed bachu aliposema hadithun munkar akafasiri makosa, akapotosha hukmu na misingi ya hadith... mifano mingi... kama dini ilikuwa simple kiasi wanachodai hawa majamaa, ulamaa hawangepewa nafasi kubwa kama kuwa warithi wa manabii...
Awanadalili wanazingukatu watu wabidaa
HAPO MAWAHABI WANGAPI KWA MTU MOJA MWENYE ELIMU MUZUBUTI.
Warudi wakasome hawa 😂 weh! Wamekula mbati😂
Kina Nani warudi wakasome na wamekula bati?
@@ABUUJAAFAR92 mawahabi😂
@@asa9268 si kweli ,, mawahabi Wana ilmu si waona hapo mathwariqa walivyoshindwa kihoja,,,alafu mwategemea sheikh mmoja tu hii dalili kuwa hamna wasomi,,, kwahio mathwariqa ndio hamna ilmu
Huyu nimwamba wao hawamuwezi hata theluthi huyu Sheikh Faadhili nimsomi wa twariqa Afrika nzima ikiwa mwanafunzi wake Ustadh nivile yeye yukoje?Allah amrefushe umri wake
Jamaa zko wakirekebishwa huleta chuki nakiburi
Sasa mbona nyinyi hamutoi hadithi kua maulidi hayafai?😂😂😂😊
Kwetu Sisi hatuna ck maalum iliyowekwa special kumsifu mtume (s.a.w) hii haina tofauti na kufuata mila za kinaswara na mayahud mfano maulid day twambieni muliko itowa km ni kumsifu mtume (s. a. w) kila siku tunamsifu na kumtaja kumbe nyie munasubiri kila kipindi cha maulid ndio kumsifu iko kitu hakipo tusomeni ili kujua zaid
Jaman waisilam tuifuat e haki Wala s mazoea tubadilike dini hii imekamilika Haina ubabaishaji tuwe makin
DUU SHEKH MMOJA TU WAKISUFI ANAWATOWA JASHO MAWAHABI POVU LA MDOMO LINAWATOKA MAWAHABI
Anaongea sheikh mmoja kwakua mathwariqa hawana wasomi ,,,lkn watu wa Sunnah wasomi ni wengi ,,,
NIMEGUNDUWA MAWAHABI WENGI WANAMATATIZO YA UBONGO NA AKILI ZAO NI FINYU SANA
DUU HATA WANAAMBIWA NENO MAULIDI NI JINA TU
KATIKA MAULIDI NI SIRA
NDANI YA MAULIDI KUNA KUSOMWA QRAAN
NDANI YA MAULIDI KUNA MAWAIDHA
NDANI YA MAULIDI KUNA IKRAM
HAYA YOTE NDIYO YANAITWA MAULIDI
ACHENI AKILI MBOVU MAWAHABI
Haya maneno we umepata wapi ,,,kwa maana dini ni sheria na yataka dalili
Kwahio hii ni akili yao Wala sio dalili,,
Usufi ujinga sana kwaiyo mtu aje aseme niletee dalili wapi konyagi imesemwa haramu au lete dalili wapi inasemwa castle lager tusinywe 🤣🤣🤣🤣 usufi mtihan sanaa 🤣
Ww unatkiwa utuambie konyagi ni nin?konyagi ni jina kwhyo haiwezi kuwa haramu neno konyagi utuambie ww wapi kumeambiwa konyagi haramu?
@@taurehassan7399 ndio kma maulid au sio jina? 😃😃
@@mohammedmataucar66 kw maana hyo neno maulid c haramu na Wala neno konyagi sio haramu,na kitahukumiwa kilichokuwa ndani ya maulid au ndani ya konyagi kw uhalali wake au uharam wake,ssa ww lete kilichokuwa Ndn y maulid kipi ni haramu?
Na me ntakultea Dali ya uharam kw kilichomo ndan ya konyagi
@@taurehassan7399 mtume alisema yoyote mwenye kufanya matendo kma yetu na ndani yake hilo tendo hamna sheria zetu.. basi litarudishwa kwa ivo ibada ya maulid inaingia uharamu sababu hmna ndan wala nje yake sheria ya Allah kwenda kwa mtume wake...
Tizama wote wanaopinga asisifiw mtume saw angalia nyuso zao hazina Nuru wallhy
Nuru kwa camera.Sijui umetumia wizani gan huu Ww.
Jitu la bidaa haliwez kuwa ktk Nuru
Watu wanapinga maulidi wewe umebadilisha wasema wanapinga asisifiwe mtume ,,,,mbona mawahabi mahaba yao kwa mtume swallallahu alaihi wasallam yako juu Sana tu ,,,Sasa nyinyi watu wa bidaa uzushi vipi mtakuwa watu kumsifu mtume ,,, nyinyi makhurafi infact ndinyi ambao mwamdharau mtume ndio Mana mnazua katika dini na Wala hamjali ,,,mwafanya bidaa alafu mwajificha kwa kisingizio Cha kumpenda mtume ,,,, mtume hapendwi kwa uzushi Bali apendwa na kusifiwa kwa kufuatwa mienendo yake ,,,na mawahabi tu ndio waliofaulu katika hili.
@@ABUUJAAFAR92 mawahabi ni nani apo??je,uwahabi upo wap tuoneshwe kweny vtabu na je,ni madheheb au nnn icho ??
@@أبوفيصل-د3ش Sasa si nyinyi mnatuita ivo Sasa tufanyeje,,,nyie makhurafi mnashida ,,,Jana la wahabi mlikuja nalo nyinyi mkitunasibisha na sheikh Muhammad bn Abdul wahhab ,,,,ama huelewi?
Umeskia wp wahabi kafa katoa shahada ?Waislam mnawabagua waislam wenzenu kisa maulid wakt nyny ndo wapotevu utakuwaj walii wa Allah wakt unapinga asisifiw rasul saw tutamsifu mtume saw mpk kufa kwetu tumeish na mawalii na wanazuon wote wakubwa na walikuw wakifany maulid na vifo vyao shahada tizamen nyny mawahabi mnaskitisha sn aisee uwalii mtausikia t
Kumpenda Mtume ni VIPI wacheni ubishani maulidi si ktk ibada na ibada inaeleweka tumieni elimu zenu vizuri ilete manufaa
MAWAHABI KATAFUTENI MAJIKO MUWASAIDIE WAKE ZENU KUKUNA NAZI. HAYA MAMBO YA ELIMU SIO YENU KABISAAA
Sunnah itabaki kuwa sunnah
HUYU WAHABI ANATOWA SIMULIZI NYINGI ZA MIFANO YA STORI LAKINI STORI ZAKE HAZIPO POPOTE KWENYE VITABU VYA HADITHI INAMANA NAYEYE ANAZUWA NA STORI ZAKE ZA KUSISIMUA?
Hivi kuna sehemu watu wameambiwa fanyeni mashindano ya qurian hi tawheed tatu mtume anaijua au maswahaba
Mimi huwa nashangaa sn ww ukakataze asisifiw mtume utakuw una akili au matope mtukufu wa darja inataka tochi kwl duh
We ndo akili yako imejaa matope,,,kinachokatazwa ni maulidi na si kumsifu mtume ,,,,,
Maulidi na kumsifu mtume swallallahu alaihi wasallam ni vitu viwili tofauti ,,,
Na mtihani hasifiwi kwa maulidi ndugu ,,,Bali huku ni kumzulia tu ,,iblisi aliwapambia uovu huu ata mkinasihiwa vipi hamnazo ,,msifu mtume kwa njia za haki lkn si maulid bidaa uzushi ,,
Huyu sufi anarukaruk tu hajibu anachoulizwa
Mwamba hyu anawarekebisha jamaa zako kwa faida
Ushabiki ni kitu kibaya ukipenda batil Allah atakuwacha upotee nanhuku ukiwa wajiona uko sahihi na tazama jamaa anavyofanya talbiis za kiiblis kutetea bidaa, wallaahi hata wasio waislam wanajiona wapo sawa na hata hawa masufi mashia n.k kila mmoja anajiona yupo sawa, kila makundi hayo sabin na kitu yajiona yapo sawa, baki kubwa ni kuwa walikuwa waonbe Allah awaongoze na waache kupenda kufuata tamaa na hata video wameikata kata kuficha ushahid kuwafanya wajinga wa comment waloya comment wakiona usufi ndio upo sawa.
Huyu nimsomi hao jamaa zako hufyeta vinywa vyao
Hujielewi ndio maana vurugu gani kafanya jamaa zako wanasema pole pole kwakuogopa alfadh maana wakiteleza tu watarekebishwa