Munaqasha Jee Maulidi ni Ibada au ni Uzushi Part-3 | Ustadh Fadhil Ashirazy

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 มิ.ย. 2023

ความคิดเห็น • 107

  • @ahmadmadaai1357
    @ahmadmadaai1357 9 หลายเดือนก่อน

    Mwahab wote elimu hawan na wanalipwa naa mayahudi hawa wanaharrib diini tu ht nyuso zao haazin nauru shekh Fadhil upo vzr walllaahy una nuruu kubwa

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah mawahabi hawana jambo wanatokwa na mapovu hawana jambo.

  • @foodcook3626
    @foodcook3626 10 หลายเดือนก่อน +1

    nilikuwa na wasiwasi juu ya sheikh wangu hassan ninayempenda nikijiuliza je na yeye ni mtu wamaulidi basi leo nimewekwa wazi si mtu wa maulidi leo mapenzi yangu yameongezeka kwako ya sheikh na mawaidha yako yatakuwa yanapenya kifuani mwangu mara pili kawaida yake masha Allah

  • @Ibn.Ba3alawy_007
    @Ibn.Ba3alawy_007 ปีที่แล้ว +4

    شيخ شيوخنا أستاذ فاضل عمر الشيرازي حفظه الله ورعاه 🤲

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 ปีที่แล้ว +5

    Huyu sheikh ni jeshi la mtu mmoja wallahi yuko vizuri

    • @nassirmohammed9381
      @nassirmohammed9381 11 หลายเดือนก่อน

      Huyu mwamba yupo peke yake anawatoa jashoo😂😂😂😂😂

    • @princefeisla3692
      @princefeisla3692 9 หลายเดือนก่อน

      Alhamdulillah alipiga goti na wakamkubali

  • @aljahuur
    @aljahuur ปีที่แล้ว +1

    Nyie mujjassima ni weupe kwenye elmu kumbe hamna mjuacho zaid ya kuvaa kanzu juu ya magoti kibri na jeuri hamna ata nuru Allah kawanyima ufahamu

  • @user-ti6tn7bs9q
    @user-ti6tn7bs9q หลายเดือนก่อน

    Shirazi kweupeeee hana jambo anadodosaa tuuu anazunguka tuuu hayateteki maulid hatta siku moja

  • @hassanalhussein3982
    @hassanalhussein3982 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuhifadhi sheikh Fadhil. Hawakuwezi wala hawatokuweza. Endelea kuwafundisha Nahau maana hata matamshi ya maneno ya kiarabu wanayapotoa.

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 ปีที่แล้ว +1

    Hungera sana sheikh, tunajadili matendo ya maulidi nasio neno "maulid"

  • @mpasuajiali8710
    @mpasuajiali8710 ปีที่แล้ว +1

    Mawahabi izo sura zao Allah amewafuwa nuru

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman ปีที่แล้ว

    Uzushi haufai

  • @abubakarahyan9515
    @abubakarahyan9515 ปีที่แล้ว

    Kw hyo mtume katunyima jmbo hlii tusisome maulid au mungu kamficha a sisem maulid mbn maswahaba hwajasoma Na mwenye mtum hjsem afanyiwe maulid

    • @dulaabdallah6127
      @dulaabdallah6127 10 หลายเดือนก่อน

      Au Kuna wahyi wa maulidi? 😂😂😂

  • @irshadabuhafsi6585
    @irshadabuhafsi6585 8 หลายเดือนก่อน

    Wanijfanya kukosoa lugha ili kukwepa mada ya uzushi wa maulid na waonekane wao ni mahodari wa lugha

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm ปีที่แล้ว +4

    Wakati anazaliwa mtume (sw) , hakuna anaejua kama huyu atakua mtume sasa watoe hoja je maswahaba walisherehekea maulid au tabiina , jibu hakuna

  • @user-kq8pk1qd2m
    @user-kq8pk1qd2m 10 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi mawahabi ikiwa sheikh wenu bachu ameshindwa na amesarenda na kukubali Sasa nyinyi wengine mnakauli gan?

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 ปีที่แล้ว +1

    Tunaomba ule mjadala wa Sakina pia kuhusu kujengewa kwa makaburi.

  • @user-lg1pc3gy6w
    @user-lg1pc3gy6w 10 หลายเดือนก่อน

    Wanaotetea mawulid wote majitu yalokua yanafel darsan yanarudisha din nyuma saana

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman ปีที่แล้ว

    Na ww mwenye hii channel kumbuka kuwa unadhimma unaibeba kufarakanisha umma sabb unadokoa kosa pahal fulani unaunganisha na pahala fulani. Ulipaswa uweke ujumbe wote kisha km ni kulinganisha ujumbe mwengin utume, hivi munavyofany munafarakanisha waislam ci wewe tu na wenzio ktk dini hii, awe answar, salaf, sufi, twarika, n.k mutaulizwa mlivyokuwa mkifanya mcheni Allah mtukufu.

  • @rashidsaid9409
    @rashidsaid9409 ปีที่แล้ว

    Mm niseme tu ndugu zangu Mtume anasema wacha linalotia wasiwasi yaani usilifanye lenye utata(halina uhakika ambalo Mtume wako hakuliamrisha wala yeye mwenyewe hakulifanya)na ufanye lenye uhakika (ambalo lililothibiti kwa Mtume wako amelo umesikia amelifanya)ndugu yangu huku ndiko kwenye usalama wa dini yako.Allah atuongoze.

  • @HaidarOmar-tx7cc
    @HaidarOmar-tx7cc ปีที่แล้ว +1

    Ingekuwa pilau hailiwi

  • @saidpolish1988
    @saidpolish1988 ปีที่แล้ว

    Duh hadi nacheka sasa

  • @banihashim5347
    @banihashim5347 ปีที่แล้ว

    Nilicho gundua hii clip imeeditiwa kwa maslahi ya kutetea upande mmoja tu, na mwenye chanel maskini wa mungu na uchache wa waangaliji wa chanel yake, anatafuta wafwasi kwa nguvu

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 ปีที่แล้ว +1

    Maulidi
    Huchukuliwa n kama ibada ndio maaana ina
    1- mda maalum
    2- mammbo maalum kama kuimba kupıga ngoma kukusanyika .....
    Kwa hiyo ,ni lazma liwe na mafunzo kutoka kwa mwalimu mkuu Mtume SAW
    au mas'haba na watabiina wote!.
    Ndıo maana kila mgungo sita ni Lazmaaa watu wa Twarija kulifanya jambo hiliii
    4- Ilı dalili ya kutokuwepo kwa kıtu lazma kiwepo ndıo mtume akataze au akubaliane nacho.
    Sasa maulid hayakufanywa kipind chote cha Mtume , viputapata dalili ya kukatazwa kwake????????
    Tukubaliane tu kuwa Maulid n uzush wala hakuna ktk magunzo ya dını
    watu wa Twariqa n kuhanya hanyahanya tu
    .…;
    Ukımprnda mtu hufanya mambo anayoyafanya
    - kuvaa kwake
    -miendo yake
    - kula kwake
    -tembeaa kwake
    - sema yake
    - kula kwake
    -kulala kwake
    -
    Hapo ndıo kumsıfu au kumtangaza mtu
    Sasa unakusanyıka mahala mnaımba mnapiga ngoma wake kwa ume tena ucku
    ndıomtume alıfanya hivi?????

  • @twahirburhan3726
    @twahirburhan3726 10 หลายเดือนก่อน

    Watu wa Twarika acheni uzushi? Hakuna jambo la dini ambalo halikuainishwa ktk Quran,

  • @iddikayombe166
    @iddikayombe166 ปีที่แล้ว

    Je Ni ibada au Ni mini?

  • @twahirburhan3726
    @twahirburhan3726 10 หลายเดือนก่อน

    Matwarika bado mnaruka hoja mnababaisha tu,SHEREHE YA MAZAZI YA MTUME KTK UISLAM HAKUNA,

  • @user-qp8sm6st7r
    @user-qp8sm6st7r ปีที่แล้ว

    Huyo mzushi hana hoja mfundisheni polepole ataelewa huyo ni mzushi

  • @saidpolish1988
    @saidpolish1988 ปีที่แล้ว

    Duh msipande jazba mashehe wengine mimi siyakubali maulidi lakini kwahii mada inayotolewa maulidi hayana tatizo

    • @aljahuur
      @aljahuur ปีที่แล้ว

      Wamebanwa vibaya wako wengi lakini hawana hoja kabisa mujassima

  • @ummy-vo6sp
    @ummy-vo6sp ปีที่แล้ว +1

    Maulidi au umekuja kusawazisha matamsh 😂😂😂

  • @yasirshee3152
    @yasirshee3152 ปีที่แล้ว +1

    Chakunishangaza mtume alikua akifunga saum siku yakuzaliwa kwake na sisi twamfwate kwa sherehe na nyimbo na kula sijui kulikua na hekma gani mtume afunge sisi tukicheza dansi

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 ปีที่แล้ว

      Na kusoma quran mashindano yalikuweko

  • @hassanambarakmbarak8759
    @hassanambarakmbarak8759 ปีที่แล้ว

    Thibitisha

  • @aljahuur
    @aljahuur ปีที่แล้ว

    Kwa hio we ukisoma hio seira ndo umesema uwahabi au huna kitu we wahabi hata swarfa hujui tulia ufundishwe

  • @fikafikan8484
    @fikafikan8484 ปีที่แล้ว

    Hawa mawahabi hawajui hata kutamka hajui lugha

    • @aljahuur
      @aljahuur ปีที่แล้ว

      Weupe hawana kitu katika elmu yq swarfa wala nahau hawana wajuacho zaid ya kitabu chao cha assunna cha misimamo ya kiyahudi baci

  • @user-kc5pf1kg3u
    @user-kc5pf1kg3u ปีที่แล้ว +2

    Wateteaji wa maulid ni kwamb hawana hoja ya msingi wallah, wabillah, watallah,.. Mm labda niwaulize Hawa watu wa bidaa kwani sisi na maswaba nani wenye kumpenda mtume zaidi????

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 ปีที่แล้ว

      Sisi ndio twampenda mtume qlisema kuna vipenzi zangu maswahaba wakamuliza sisi sio wapenzi wako mtume s a w alisema nyinyi ni maswahaba zangu ndio mana sisi twamsifu mtume na kumswalia mawahabi hamuna ilimu ndio mana hata misikiti yenu watu wakimaliza kuswali hakuna hata dua kama mazimwi

  • @twahirburhan3726
    @twahirburhan3726 10 หลายเดือนก่อน

    Hayo mafunzo mmetoa wapi? Mtume kafundisha wapi? Nyie ndio mnampenda Mtume kuliko Maswahaba? Wake zake au watoto wake?!

  • @mohamedlamimu
    @mohamedlamimu ปีที่แล้ว

    Kumbe ishu ni jina Maulid na kufanya kwa tarehe za kufanya hayo maulid? Kumbe watu hawataki contents?

  • @saidpolish1988
    @saidpolish1988 ปีที่แล้ว

    Jamaa kawasokota

    • @aljahuur
      @aljahuur ปีที่แล้ว

      Mashallah vibaya mno

  • @thulaniduku3218
    @thulaniduku3218 ปีที่แล้ว +1

    Nimefatiliya hoja za pande zote mbili
    Hakuna ushahidi wowote wa hizo bidah ya maulid

  • @mwassamwassa7264
    @mwassamwassa7264 11 หลายเดือนก่อน

    Mtume pekee aliyerogwa

  • @moneymaker461
    @moneymaker461 ปีที่แล้ว

    Wazushi wote motoooooooni

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 ปีที่แล้ว

      Uliumba ww huo moto ama Allah

    • @moneymaker461
      @moneymaker461 ปีที่แล้ว

      @@fikafikan8484 mtumi saw mdio kasema kama ww ni mmoja wao pia utaenda tu motoni

    • @ramadhantajiri6924
      @ramadhantajiri6924 11 หลายเดือนก่อน

      Jamani ndugu zangu tumuogope Alla dini ni kufuata tuliofundshwa,na sio rai zetu

  • @user-gg1zh6oe2w
    @user-gg1zh6oe2w ปีที่แล้ว

    Basi maulid hata hayapo ivyo na kuna sherehe za maulidi na sherehe za kuitukuza ilimu jee pia ni haramu

  • @allylassuh4947
    @allylassuh4947 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sana habeeb hawana hoja za kupinga maulid eti hujitetea kusema hakufanya mtume kwaio kila ambalo hakufanya mtume kma ndo litupwe bc yatatupwa mengi sana

    • @ahmadlitwe7190
      @ahmadlitwe7190 ปีที่แล้ว

      Kama yapi hayo tupe faida

    • @allylassuh4947
      @allylassuh4947 ปีที่แล้ว

      @@ahmadlitwe7190 mashindano ya qur'an kaka wa waweza kunambia mtume lini kakusanya maswahaba wakafanya au walikua hawaipendi qur'an ama cc ndo twajua zaid

    • @dulaabdallah6127
      @dulaabdallah6127 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@allylassuh4947hivi ni kweli ktk barzanji ilivyomo wanyama waliongea mimba ya mtume ilipoingia ? Dini inasemaje kuhusu Ngoma ( matwari) na vinanda ( vivoti au vinai/ vivoti)?

  • @arrisalastriker9813
    @arrisalastriker9813 ปีที่แล้ว

    Hawa waabudu makaburi Mungu awaongoze maulidi ni moto..

  • @mgazamhina840
    @mgazamhina840 ปีที่แล้ว

    Mbona shekhe wa maulidi yuko peke yake,

    • @aljahuur
      @aljahuur ปีที่แล้ว

      Kigogo kipo kimoja kinawaburuza mawahabi 100

  • @muslimqueen5314
    @muslimqueen5314 ปีที่แล้ว

    5 vs 1🦁

  • @fikafikan8484
    @fikafikan8484 ปีที่แล้ว

    Asalam alekum warahmatullah wabarakatu nyinyi mutakwenda kuchomwa maustadh badili kuipeleka dini mbele sisi tuko kwa maulidi atakae kusoma maulidi soma wamsifu mtume na ww hutaki kusoma usisome tupelekeni dini mbele anae soma atapata thawabu na asie soma hapati dhambi

  • @babinhoelninho5416
    @babinhoelninho5416 ปีที่แล้ว

    Kwa hivo maswaba walisoma maulidi 😅😅😅

  • @twahirburhan3726
    @twahirburhan3726 10 หลายเดือนก่อน

    Rasuulu llaah s.w.a kialisia siku ya kuzaliwa kwake ALIFUNGA SIKU HIYO! sasa nyie kwann hamfnyi hiyo Sunna?

    • @karimkassam571
      @karimkassam571 10 หลายเดือนก่อน

      Umeshasema suna

  • @user-lg1pc3gy6w
    @user-lg1pc3gy6w 10 หลายเดือนก่อน

    Masufi ni mashia tatizo nyie masunni feki kuna ibada mwaipinga io ingeondoa huu usoro chap mngeshangaa apo mnafanya ushabik kama wa mipira

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv ปีที่แล้ว +1

    Chuki kubwa ni kumsifiya mtume tu hila kumsheerekeya mohamad ibnu wahab sitatizo jamani tuwacha kumchukiya anae soma mulid

    • @AbuuAhmad-pd3ow
      @AbuuAhmad-pd3ow 10 หลายเดือนก่อน

      Kwani Kuna sherehe za kumsherehekea ibn Abdul wahhabi

    • @jimjam-xg7rv
      @jimjam-xg7rv 10 หลายเดือนก่อน

      @@AbuuAhmad-pd3ow herehe za abdulwahab ufanyika saudi

    • @AbuuAhmad-pd3ow
      @AbuuAhmad-pd3ow 10 หลายเดือนก่อน

      Sasa kama watakuwa wanafanya wasaudi si ni wao, wenyewe kusherekea wao sio hoja kwamba Ahal Sunnah wanamsherekea ibn Abdul wahhaabi, Tunakubali kuwa sheikh Muhammad IBN Abdul wahhabi ni katika wanavyuoni wa Ahal sunnat waljamaa, na Kutokana na juhudi yake katika, kutahadharisha shirk na bida'a wamesingiziwa kashfa nyingi, ambazo sio sahihi Lau kama utasema walete ushahidi juu ya Yale wanayodai kutoka kwenye vitabu vyake huwezi kupata katika wao hoja yoyote

    • @AbuuAhmad-pd3ow
      @AbuuAhmad-pd3ow 10 หลายเดือนก่อน

      Na hilo unalodai kuwa anasherehekewa huko suu'dia sio kweli kama ni kweli tuthibishie Kwa hoja zilizokuwa wazi..

    • @jimjam-xg7rv
      @jimjam-xg7rv 10 หลายเดือนก่อน

      Kupinga mazazi ya mtume MOHAMMAD (S.A.W) ni Moja wapo ya mtu mjinga wa elimu na ufahamu wake.

  • @MulhatOmar-dx7ry
    @MulhatOmar-dx7ry 11 หลายเดือนก่อน

    Kuna watu haijuw dini ya Allah na wanataka kuijiwa nyingi mumekaa hapo mwafanya mambo yasiyo na maana Wala faida ktk dini yenu hapa Duniani Wala kesho akhera

    • @AbuuAhmad-pd3ow
      @AbuuAhmad-pd3ow 10 หลายเดือนก่อน

      Katika khutba za mtume Kila alipokuwa akipanda mimbari alikuwa akisema " hakika mazungzo yaliyo ya kweli ni kitabu Cha Allah, na Bora ya uongofu na ule alipokuja nao mtume Muhammad, na katika mambo mabaya ni kuzua katika dini, nakila lilizuliwa katika dini ni bid'aa, na Kila bida'a ni upotevu na Kila upotevu ni motoni"
      Sasa ndugu yangu kama sio kuwafundisha watu kutahadhari na shirki na bida'a kama alivofanya mtume unataka wafundishwe Nini ndugu yangu, maana huo ndo uislamu aliofundisha mtume Tawhiid kwanza, watu wamjue Allah na kumfuata mtume

  • @omaryjumas6327
    @omaryjumas6327 ปีที่แล้ว

    Mawahabi ni kielelezo tosha cha watu wenye upungufu wa fahamu.
    Swali kwa Mawahabi.
    Jee! Sherehe ya Mawlid inasherehekewa vipi hata iwe kharamu?

    • @HemedSerious
      @HemedSerious ปีที่แล้ว

      Unajua mkuu nilikiona mm Kwa mawahabi wanahangaika na jina lkn km ni wakweli wangefanya kitu kidogo tu
      Wangeangalia matendo yanayofanywa kwenye maulidi alafu watutajie matendo ambayo maswahaba hawakuyafanya au matendo yasiokubalika kwenye dini.
      Ikiwa matendo yasiokubalika kwenye dini yamo mm nitakua wa kwanza kujitoa kwenye maulidi.
      Ninahitaji ni kuoneshwa uzushi wa matendo nasio jinaa

    • @omaryjumas6327
      @omaryjumas6327 ปีที่แล้ว

      @@HemedSerious Hao ni majahil tu, utamkatazaje mtu asisherehekee kuzaliwa kwa Mtume?
      Basi wao nawasherehekee kuumbwa kwa Ibilisi ili kila mmoja awe na sherehe yake. Sisi hatutowasumbua.

  • @karimkassam571
    @karimkassam571 10 หลายเดือนก่อน

    Mbona mtume hakutumia simu ...wahabi mnatumia ....je kuna dalili kwenye qur.an au Hadith...juu ya simu

  • @user-bu6ez3hn7m
    @user-bu6ez3hn7m 10 หลายเดือนก่อน

    Ahaaaa waombwa dalili niwap pameandikwa wap ima katika Quran ama ktk hadith towa dalili wewe

  • @saidahmada9118
    @saidahmada9118 ปีที่แล้ว +1

    Huyu MTU wa maulidi kaishiwa hoja

    • @abubakarymaulidy5681
      @abubakarymaulidy5681 11 หลายเดือนก่อน

      Huna akili wewe au umekuja huku kiushabiki yani hoja zote hizo unasema hana hoja

    • @saidahmada9118
      @saidahmada9118 11 หลายเดือนก่อน

      @@abubakarymaulidy5681 weeyaonekana ndohama kitu kichwa maji sana wee sasa apo hoja gani ya kielimu aliotoa nipe angalau hoja 1 iliokua ya kielimu naukaweza kutoa eka number yako nikutumie vocha

  • @jakuabdull34
    @jakuabdull34 ปีที่แล้ว +15

    nimezifuatilia hoja za pande zote mbili nilichokibaini kigezo kikubwa kinachotumika kupinga maulidi ni chuki tu si hoja wala dalili bali ni utashi wa kikundi furana kwa maslah yao binafsi ambayo hayafungamani na ustawi wa uislam

    • @AbdillahSOthman
      @AbdillahSOthman ปีที่แล้ว

      Wameuliza kuhusu hayo maulidi, yapo ktk sunnah?
      Pia wakauliza ni ktk kilafa gani walioamuru kusomwa maulidi, je Mtume wetu alijisomea.. au kuwasomea watoto na wajukuu zake. Jambo liso ktk dini hukmu yake ni ipi.?

    • @aljahuur
      @aljahuur ปีที่แล้ว

      Yani mawahabi weupe kwenye swarfa na nahau weupe hawana kitu msiba mtupu

    • @user-fb7xt4kr1s
      @user-fb7xt4kr1s 11 หลายเดือนก่อน +1

      Hao wapenda maulidi hawana hoja za kielimu kabsaa wanakwepakwepa tu hawana majibu ya maaana na leo ndo nimejua kabsa kweli maulidi ni uzushi mtupu

    • @swaffaa12020
      @swaffaa12020 11 หลายเดือนก่อน +1

      Uharamu wake Ni Nini kama hukuelewa hapa bila Shaka utakuwa una chuki juu ya wanaosoma maulid Kisha kwenye elimu hapo Bahri imetembea Sana Watu wa maulid wako vizuri saanaa

    • @Dr-ubaida965
      @Dr-ubaida965 5 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa🎉

  • @ismaailabuughariyb313
    @ismaailabuughariyb313 10 หลายเดือนก่อน

    Wafanya maulidi wanaupungufu wa akili

  • @hamzayusuf1894
    @hamzayusuf1894 ปีที่แล้ว

    Nyinyi mawahabi hamuna mungu wala mtume afadhali wakkiristo wana mungu wawo yesu

    • @saidpolish1988
      @saidpolish1988 ปีที่แล้ว

      Acha ujinga wote waislamu awo usifanye ujinga wote tuwapende kila mtu anadalili zake

    • @saidyusuf9245
      @saidyusuf9245 ปีที่แล้ว

      كلمة تخرج من أفواههم ان يقولون الا كذبا

  • @muftiahmadimahmudulemba1918
    @muftiahmadimahmudulemba1918 11 หลายเดือนก่อน

    Mfundishe Shekh wahabi nimtihani kwenye uislamu kusoma hatakagi na hua hawaelewi ubishi tu

  • @MulhatOmar-dx7ry
    @MulhatOmar-dx7ry 11 หลายเดือนก่อน

    Achen mambo ya siyo na maana nyie waislam tumuogooe allah na siku ya mwisho

  • @user-ws7fb8ph9q
    @user-ws7fb8ph9q 10 หลายเดือนก่อน

    Maulid bidaa

  • @shabaniumande
    @shabaniumande 10 หลายเดือนก่อน

    Umezi kuzuzisha maulid bila dalili

  • @saidahmada9118
    @saidahmada9118 ปีที่แล้ว

    Maulidi manaake mazazi ya mtume sio kumsifu mtume MAULIDI HARAM

    • @jakuabdull34
      @jakuabdull34 ปีที่แล้ว

      hahaha unauwezo wa kuharamisha kusifiwa ww sahihi ila kusifiwa mtume haram pumbav

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 ปีที่แล้ว

    Hungera sana sheikh, tunajadili matendo ya maulidi nasio neno "maulid"

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman ปีที่แล้ว

    Uzushi haufai