Dr Muhammad islam / Asema Maulidi Haramu / Je Yupo Sahihi? Toa Maoni yako Kwenye Comment

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 194

  • @DarsaTV.
    @DarsaTV.  4 ปีที่แล้ว +4

    A.A Wewe unaonaje hapo? toa comment yako tuifanyie kazi
    Subscribe
    comment
    like
    Share
    thanks

    • @mlolikamonja6492
      @mlolikamonja6492 4 ปีที่แล้ว +2

      Au darsa za Sh Walid hazipo tena?

    • @MataniKomedi
      @MataniKomedi 4 ปีที่แล้ว +2

      Mloli Kamonja zipo nyingi tuu

    • @kulwankoja7416
      @kulwankoja7416 4 ปีที่แล้ว +1

      Innalillah

    • @abuually-ol2xc
      @abuually-ol2xc ปีที่แล้ว

      Hakuna jambo hata Moja la maana munaloliongeleaa tatizo lenu nyinyi tu ndio mupo katika hakii ! Wasio kuwa nyie wote motoni !me ninawasiwasi kuwa munatumiliwa nyinyi na makafiri muje kuuchafua usilamu ! Kazi yenu kuvaa vikanzu vifupi mpka magotini na tasbihi refuuu hamuna chengine kama kweli nyinyi mpo katika hakii basi acheni kiburii na kujionaa Kwa sababu hakuna anaejuaa jupo katka haki ispokuwa Allah mwenyewe ndie anaejuaa ! Musikae mukahukumu watu ! Si watu wa maulid tu wenye itikadi mbovu hata nyinyi pia munaitikadi mbovu tena potofu kabisa ,kumpachika mungu viungoo na mengineo ila hamuyasemi na munajionaa mpo sahihi ! Munatukana maulamaa wa kubwa wanazuoni wa kubwa Kwa maslahi yenu ya kibinafsi

    • @mahdy011
      @mahdy011 ปีที่แล้ว

      Hakuna salafu swaalih aliefanyiakazi aya hiyo. Kwaiyo watu wema walokuja baada yao hawana haki kuifanyiakazi kama inavyoeleza?😮

  • @khamisalimohamad8308
    @khamisalimohamad8308 ปีที่แล้ว +4

    Allah bariq anta maneno ya hekma na yaliyoyooka katika dini dhalili tosha iyo kuwa mailidi ni uzushi........

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du ปีที่แล้ว +1

    Short and clear. Shukran shaykh

  • @abusalam7774
    @abusalam7774 2 ปีที่แล้ว +4

    Ahsantum shk Islam tupe faida kubwa kweli ummah huu wetu umepotea kwa uzushi mwingi na Allah akuzidishie kwa elimu ya dini uko sawa

  • @ramadhanabdallah9476
    @ramadhanabdallah9476 ปีที่แล้ว +1

    Naam naam naam Allaah akulipe kheri Islam muhammad salim

  • @kombobezos5921
    @kombobezos5921 3 หลายเดือนก่อน

    ustadh mashaallah wabaarakallahu fiik

  • @subulus_salaam2023
    @subulus_salaam2023 3 ปีที่แล้ว +6

    yupo sahihi kabisa Sheikh

  • @Chiefdomain
    @Chiefdomain 3 ปีที่แล้ว +10

    Sasa mwenye kupost hii video anauliza watazamaji maoni yao kama shekhe alivoongea ni sahihi, swali wanaoulizwa wana ilmu gani kujibu hoja za msomi katika dini
    Je , majibu yaliomo hapa kwa comments ni kutokana na hoja gani za kielimu au ni maoni ya watu kwa akili zao tu na hawaa zao?
    Mbona mwafitinisha watu na kuwatia katika dhambi

    • @jumannemuhammad6827
      @jumannemuhammad6827 2 ปีที่แล้ว +1

      Yeye anataka watu wamsapot hali yaku yeye ajatoa dalili shekh islam yupo sahihi amesema kwa hoja

  • @ibrahimabdillah5729
    @ibrahimabdillah5729 4 ปีที่แล้ว +10

    Msijitoe ufahamu
    Yeye hajakataa kumswalia Mtume wetu Sala na salamu ziwe juu yake
    Bali huu mfumo tulio nao,je!ni mfumo sahihi kwa mujibu wa Sheria.....!!!
    Mtume wetu hakuacha kitu katika Ibaadaat,Je!hili tunalolifanya..tumefundishwa nani?!
    Je!Mtume sala na salamu ziwe juu yake,hakufundisha namna ya kumswalia yeye....?!!!
    Haya ndio ya kujiuliza na kujifunza....na si vinginevyo Ikhwah

    • @mahadjamaatilkhayr8853
      @mahadjamaatilkhayr8853 4 ปีที่แล้ว +1

      Weye pia huelewi unachokitetea

    • @ibrahimabdillah5729
      @ibrahimabdillah5729 4 ปีที่แล้ว +1

      Mahad@naomba unieleweshe Akhy,ikiwa tunataka Dini na si ushabiki

    • @mohameddhahabu8788
      @mohameddhahabu8788 4 ปีที่แล้ว +1

      wewe unaswali swala taraweh siku 29 msikitini tena kwa jamaa, je mtume muhammadi alifanya hivyo au umepata wapi? hayatueleweshe tupate faida

    • @ibrahimabdillah5729
      @ibrahimabdillah5729 4 ปีที่แล้ว +1

      @@mohameddhahabu8788
      Kumbe hujui kama Mtume wa Allah صلى الله عليه وسلم aliswali Taraweeh siku 3 kwa Hadithi ya Mama Aisha ipo katika Sahihi Bukhar
      akawacha kuendelea kuswali Jamaa Msikitiki,akiogopea isije kufaradhishwa(Rehma kwetu)

    • @subulus_salaam2023
      @subulus_salaam2023 3 ปีที่แล้ว +1

      Inabidi kwa kweli wasome kwa bidii mtume hakufanya maulidi wala maswahaba hawakufanya ila kafundish namna ya kumswalia

  • @MuhammedBalkiss
    @MuhammedBalkiss ปีที่แล้ว

    Barakallah fik sheikh

  • @habibummakota
    @habibummakota 4 ปีที่แล้ว +4

    Allah amuhifadhii Yey pamoja na Sis. Kisha tumuombee Allah atuongozee katk Njia yake ilyo sahih kwan ulimwengu wa sasa wazungumzaji wamekua Wengii na wanauchanganyaa Umma. Lililo Bora Kwetu Sotee nikukaa Darasan na kusoma Dini Yetu kam ilvyokua kwa Maswahaba(Radhiza Allah ziwejuYao) Natusifanyee Ushabiki kwa vtu tusivyokua na Elimu navyoo.

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  4 ปีที่แล้ว +1

      kabisa

    • @matendupiterngoge8707
      @matendupiterngoge8707 4 ปีที่แล้ว

      Ulikua wapi kusoma mpaka wakuchanganye

    • @habibummakota
      @habibummakota 4 ปีที่แล้ว +1

      @@matendupiterngoge8707 Kusoma Dini hakuna mwishoo. Ndo maan maswahaba walisoma umri wao wotee. Na Mtume swallah alyewasalm alikua anaombaa dua ya kuongezewa Elimu. Tujitahidi ktk kusoma wotee kam walivyokua Maswahaba. Ila ukisema ulipo soma panakutoshaa bas kunamengii Utakingiukwa Nao kapitie ktk maneno ya Al-imma Uthaimin RahamzaAllah ziweJuu yake au Fauzani au Al-Bany utapata faida ya kusoma mpaka kufa kwako.

  • @noahmaina1415
    @noahmaina1415 ปีที่แล้ว

    Baraka Allah humafik

  • @nassorochura7838
    @nassorochura7838 4 หลายเดือนก่อน

    muhammadi islamu na saidi bafana mungu awahifadhi sana na awape umri mrefu jiwekeeni hazina kwa allah kwa kuwafundisha watu njia sahihi

  • @Abdulrahmaniluhumba-kf6sd
    @Abdulrahmaniluhumba-kf6sd ปีที่แล้ว

    Masha allah nimeelewa shekh wangu

  • @jaafarjacka9272
    @jaafarjacka9272 4 ปีที่แล้ว +3

    Anaitwa Dr Muhammad Islam

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  4 ปีที่แล้ว +1

      Shukraan habib nitamueka jina lake

  • @CHADUMAPRODUCTS
    @CHADUMAPRODUCTS ปีที่แล้ว

    Shukrani

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 ปีที่แล้ว +2

    IBADA ZA DINI YA UISILAM HAKUNA MAONI!!
    ETI TOA MAONI YAKO!!
    DINI NI DALILI ,KASEMA ALLAH KAFUNDISHA رسول الله صلى الله عليه وسلم NA WAMEFANYA MASWAHABA,NA WEMA WALIOFUATIA MASWAHABA !!

  • @alisaid9024
    @alisaid9024 3 ปีที่แล้ว +13

    Haya mambo hayahitaji maoni ila haki ni haki na anayosema Sheikh ni haki na sahih na wenye kutaka mambo ya maulid wao wakiri hawana dalili ila wafuata nafs zao ,,,pili ktk hayo maulid kuna shirki na uongo mkubwa wa kumzulia Mtume na hiyo ndio khatari zaidi ,,,mambo yako wazi fuata au kaidi khiari ni yako ,,,,utalipwa kama utakavyotenda ila wana zuoni wameweka wazi ....dini ni dalili sio fikra au maoni au kutunga yalokua hayapo kia nia nzuri hapo ni makosa ,,,weka nia nzuri katika mambo yote lakini ikifika katika masaala ya dini ni dalili sahih tu sio jingine ,,,Dini ni nasaha

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 3 ปีที่แล้ว +1

      Shirki katika maulidi iko wapi? Ma madhambi ya kumsifu mtume adhabu yake ni nini haswa. Na wale kina imam Al ghazali na As suyuti pamoja na kina ibnHajar Askalani ambao walitunga vitabu vya sifa ya mtume watakwenda motoni? Hebu tueleze vizuri hapa kama hao wanazuoni wakubwa hawakujuwa anae juwa ni huyo alokwenda kusoma akapewa shahada ya rangi rangi?

    • @AshrafAKhan-ql1tb
      @AshrafAKhan-ql1tb 2 ปีที่แล้ว +2

      @@hassanalhussein3982Achana hawa wanazuoni wanaopewa shahada ya rangi rangi......kuna wanazuoni wakubwa zaidi ya maswahaba?
      Zaidi ya taabi'?
      Zaidi ya taabi' taabiin?
      Zaidi ya maimaam wanne?

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 2 ปีที่แล้ว +2

      @@AshrafAKhan-ql1tb Madhambi ya msomaji maulidi ni yapi ? Au adhabu yake itakuwa ni kitu gani? Na imam Ghazali unamueka katika daraja ipi? Suala la pili Tawheed tatu ziliwekwa na Masahaba au tabiina au Tabi wa tabiina au maimamu wa 4 wanao julikana? Musabak quraan uliletwa na Nani? Masahaba au tabiina au Tabi wa tabiina? Nataka majibu kutoka kwako

    • @AshrafAKhan-ql1tb
      @AshrafAKhan-ql1tb 2 ปีที่แล้ว

      @@hassanalhussein3982 ndugu yangu quran alishushiwa mtume Muhammad (s.a w) na hadith zote zimetoka kwake LAKINI zimepokelewa na kukusanywa na maswahaba (r a).na baadhi yao walihukumiwa pepo wakiwa bado hai
      Tunakubaliana?

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 2 ปีที่แล้ว

      @@AshrafAKhan-ql1tb Matatizo yako hasa ni Nini? Kama unazungumza kuhusu bidaah basi nimekutajia bidaah zenu Ambazo haziko kwenye Hadith hata maudhui Wala Masahaba au matabiina na Tabi wa tabiina au maimamu wane wanao julikana. Kwa hivyo ndugu yangu hakuna haja ya ushindani maana huna hoja za kimisingi hata Moja ya kupinga tunaofanya.

  • @MoNdete
    @MoNdete 6 หลายเดือนก่อน +1

    Itafsiri vizuri hiyo aya

  • @hassansalat619
    @hassansalat619 3 ปีที่แล้ว +6

    Ajabu imamu swutu ni mufasir wa Qur'an na amekubalika katika mjatamaa wa kiisilamu sasa tuchukue maneno ya nani jamani ya imamu ama ya huyo mtu tu wa kawaida kma sisi mungu akuongoze dr kuweni wakueli maulid imesomwa kabla hujazaliwa na itaendlea kusomwa umezaliwa na utakufa bado maulid inasomwa

    • @mazaofoodgeneralsupply5054
      @mazaofoodgeneralsupply5054 7 หลายเดือนก่อน

      Sio kudharau kila wazo ila nibora kudharau maneno kwani maneno mengi hutoa mdomoni na sio mayoni.
      Hiyo katika hili anayesema maulidi ni haramu.
      Nimaneno ya mdomoni lakini moyoni anajua ukweli.

    • @mazaofoodgeneralsupply5054
      @mazaofoodgeneralsupply5054 7 หลายเดือนก่อน

      Kuadhimisha mazazi ya mtume mtukufu nijambo la kiungwana na nimoja katika kuuhami uislaam.
      Maana hatajwi mtume ispokuwa atatajwa mungu.
      Na watu hawataabiwa mungu ispokuwa wameelezwa sifs za uislaam.
      Sasa kwanini maisha haya ya kimchongo yatufanye kuua dini?

  • @saidchimera9831
    @saidchimera9831 ปีที่แล้ว

    mashallah

  • @Jamalkishangu
    @Jamalkishangu 2 ปีที่แล้ว +1

    Uislamu ulijuja mgeni utarudi kuwa mgeni. Tatizo Waislamu tumeiacha Quran na wameipoteza dini ya kiislanu na kukumbatia dini na mifumo ya watu wengine, wapo Waislamu lakini dini yao ni ukomonisti, na wapo Waislamu lakini dini yao ni ubepari. Mifumo hiyo miwili imepenya katika ubongo wa wale wanaojiita wafuasi wa mtume Muhammad s.aw.
    Mengi yatasemwa kama Waislamu hatujarudi katika dini ya uislamu na kikamilifu na kujiondoa kwa waasisi wa mifumo mingine, Bado tutaendelea kutangatanga.
    Masheikh nao wamekuwa kikwazo cha kufikia umoja wa kiislanu, na usahihi wa mafundisho ya dini yetu.

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 10 หลายเดือนก่อน

    Sheikh Islam yupo sahihi,ukitengeneza ibada yako halafu ukawamvbia watu waifanye watapata dhawabu ,umechukuwa nafasi ya mtume,maana aliyetumwa kutufundisha ibada anayoitaka ALLAH!!
    UTAPATA MADHAMBI!!

  • @Isakhiayusuph-jb3yx
    @Isakhiayusuph-jb3yx 10 หลายเดือนก่อน

    Mimi siwez comment chochote sitaki dhima kwa allah

  • @AbdulkarimChalela
    @AbdulkarimChalela 7 หลายเดือนก่อน

    ❤️💯🎖️🏅🎁🤲☝️

    • @AbdulkarimChalela
      @AbdulkarimChalela 7 หลายเดือนก่อน

      hakika nimeona kwa macho yangu ahlul maulid kule znz maulid za harusini au kwenye hauli dufu zinachanganywa na kidumbak panakua hapatoshi ni vitu vya aibu kubwa sasa vp hapa itakua sheria gani hapa ya kukatazana mabaya na kuamrishana mema tutakua tumetoka nje sheria

    • @AbdulkarimChalela
      @AbdulkarimChalela 7 หลายเดือนก่อน

      au ikachukuliwa mike wakaambiwa haya sasa wanawake mje kutunza na wanaume wapo hapo hapo na wakaacha mambo aliyoyamrisha mtume s a w ) na wakachukua yakiyojua na hayana maana utimamu hapo utakuwepo

  • @hassanmatano3567
    @hassanmatano3567 4 ปีที่แล้ว +5

    Nani kasema watu wakisimama katika maulidi mtume ndio hua azaliwa we mnafiki sana kama hujui uliza uwache ujahili na kama waweza ita mjadala na wanao soma maulidi, itikadi zenu za tawhidi 3 shirki kubwa kupita kiasi ondoa shirki katika kifua chako ndio utoa mawaidha

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  4 ปีที่แล้ว

      yani mhh hata sisi tumeshangaa kweli eti watu wakisimama mtume ndo anazaliwa

    • @salahmbarouk3526
      @salahmbarouk3526 4 ปีที่แล้ว +1

      Kwa kweli allah ndio mjuz zaid yy ndio anaelewa ukwel upo wap kuhusu maulid kla mmoja afate kle anachohisi ni sahihi kwake kulaumiana hakuna faida kwsbb makundi ni 73 lkn kundi moja tu ndio litakalokuwa sahihi sku hiyo allah atusamehe makosa ytu na atuongoze njia iliosahihi

    • @kudrawanguvu5923
      @kudrawanguvu5923 3 ปีที่แล้ว +1

      Mnabisha huku mkiwa hamna dalil

    • @jamalmohamed2559
      @jamalmohamed2559 ปีที่แล้ว

      Hapo ndio nimeshangaa akisema watu wakisimama ndio mtume anazaliwa hapo kanishangaza

    • @yunusali5728
      @yunusali5728 ปีที่แล้ว

      Utajuaje wakati huisomi dini yako? Usipanik . Dini husomwa na sio kufuata watu tu

  • @arrisalastriker9813
    @arrisalastriker9813 3 ปีที่แล้ว +1

    Bidaa mahali pake ni motoni..Ibliis amewaghuri Mungu akuhifadhi yaa sheikh

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 3 ปีที่แล้ว

      Mwenye ezi mungu akuhifadhi na wewe na moto maana muna bidaa ya Tawheed 3 . Hakuwepo wakati wa mtume wala karne bora .

  • @mlolikamonja6492
    @mlolikamonja6492 4 ปีที่แล้ว +2

    Nadhani wahusika wa darsa haifai kuweka hoja zenye itikadi tofauti humu, labda kama nanyi mnakubaliana nazo

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  4 ปีที่แล้ว +1

      Maalim kwa kweli hapo siyo kwani huyo si muislamu mwenzetu na huyu ni sheikh kwa hiyo tusimuweke watu wasipate elimu kutoka kwakwe kuna watakao muelewa na wasiyo muelewa sisi hatubagui uwe unakubaliana na jambo au hukubaliani sisi tutaweka madhali ni darasa

  • @omarmwabege
    @omarmwabege 4 หลายเดือนก่อน

    Maa Shaa Allah, maneno mafupi yalio Jaa Elimu tele

  • @ABUUALLY-j7k
    @ABUUALLY-j7k ปีที่แล้ว

    Ukitaka lazima jambo litajwe kwenye qur ani au kwenye sunna basi vitabu vya fatwa tuvitupee maana kuna baadhi ya maswali kila siku huzuka maswali mapyaa je nayo yasijibiwe kisingizio kwnye qur ani hakuna wala kwenye hadithi?

  • @MoizAbasi-w6g
    @MoizAbasi-w6g 3 หลายเดือนก่อน

    Yupo sahihi

  • @matataoneproduction5355
    @matataoneproduction5355 4 ปีที่แล้ว +3

    Hamna mtu humo huo udhu wake tu unamshinda kuukamilisha ataweza kuzungumzia maulid kama anataka kiki bac ajue ajue atangamia maana washamba wengi wanataka kiki kwa kuyazungumzia maulid kama bidaa tunafanya sisi yeye kinamuuma nini?

    • @kudrawanguvu5923
      @kudrawanguvu5923 3 ปีที่แล้ว +1

      uwe na nidham Shekh ametoa dalil ww unalets maneno yako na msimamo wako bakia nayo mnafaa mishwa mnaleta ubishi

  • @ridhiwaanimlula1040
    @ridhiwaanimlula1040 4 ปีที่แล้ว +2

    Uhasidi wenu haukomi ?? Mwayapinga lkn hamuoni kila uchao huzidi?? Mtafura n kupasuka na roho zenu mbya ila sie tutamtukuza kwa cheo na sifa zake hata siku ya mwisho was pumz zetu;:! Hawa huwapumbaza wafuas wao kutokuomba hata dua kwa pamoja and maana imam akitoa ssalaam huchukua malapa yao mbiombio msiba huu duh Allah atuongoze sote jamiian

  • @chimbaboytv2937
    @chimbaboytv2937 3 ปีที่แล้ว

    Good

  • @zamaiyayoub9639
    @zamaiyayoub9639 2 ปีที่แล้ว +2

    hii ni shida tu angetoa hoja za maimamu wanao teteamaulidi nawanao pinga watu wangemuelewa vizuri hauwezi kuwatia makosa akina السيوطي na mfano wake wanao kubali maulidi

  • @mohamedabubakar7397
    @mohamedabubakar7397 4 ปีที่แล้ว +3

    HATUJASIKIA MASHEKHE ZETU WAKISEMA KUA TUNAPOSOMAMA MTUME SAW ANAHUDHURIA
    HAYO NI MANENO UNAYAZUA WEWE
    PILI NA HIYO HADITHI YA ABU MUSA AL ASH ARIY NA IBNU MAS-UD MPOKEZI NI AL IMAM AL BUKHARIY NA AMESEMA HADITHI HIYO NI MAUDHUI HAIKUBALIKI KWA AYA YA QURANI INAYOSEMA
    وَمَنْ أَظْلَمُ مِمَّن مَّنَعَ مَسَاجِدَ اللَّهِ أَن يُذْكَرَ فِيهَا اسْمُهُ
    114. Na ni nani dhaalimu mkubwa kuliko yule anaye zuia misikiti ya Mwenyezi Mungu kutajwa ndani yake jina lake na akajitahidi kuiharibu?
    tatu -- NYIE PIA MUNA BIDAA NYINGI TU NA CHA AJABU HATUWASIKII MUKISEMA KWA VILE MZUWAJI NI SHEKHE WENU.
    YANI NYIE NI KAMA QAWMU THAMUD
    HAMUJAPATIKANA VIUMBE MFANO WENU DUNIA HII
    MUKIZUA NYIA BIDAA INAKUWA YAFAA NA WAKIZUA WENGINE MUNAKATAA NA MUNAIPIGIA DEBE KWA MIDOMO MIREFU KAMA NDIMI ZA YURU
    🤣🤣🤣🤣🤣🤣
    KATIKA BIDAA ZENU
    NI TAWHEED YA UTATU
    TAWHEED HII HAIJUWI MTUME SAW WALA MASWAHABA WALA KARNE BORA HADI ALIKUJA IBNU TAYMIYAH KARNE YA SABA AKAITENGEZA NA KUIANZISHA.
    CHA AJABU VIPI MUNAITANGAZA TAWHEED YA UTATU KUA NDIO TAWHEED YA AHLU SUNNA WAL JAMAA NA ILHALI IBNU TAYMIYA KAIANZISHA KARNE YA SABA????
    🤣🤣🤣😂😂😂😁😁😁
    HAMUONI KUA HUU UDANGANYIFU MKUBWA TENA UWONGO WAKUPANGA ULIO WAZI ILA TUNAWAHURUMIA WAFUASI AMBAO NI WANAFUNZI HAWAFAHAMU KUA TAWHEED HII IMEANZA QARNE YA SABA !!!
    HAIKUWEPO QARNE ZA MWANZO .
    NA KATIKA UZUSHI IMANI ZAO HAWA KINA DR ISLAM YANI MASALAFII WANADAI IMANI YAKUWA MUISLAMU KAMILI HAITIMII MPAKA UZIKUBALI TAWHEED ZA UTATU??
    MANENO HAYO WALLAHI HAKUNA KATIKA VITABU VYOTE ALIVOVITEREMSHA ALLAH
    PEKUA TAURATI INJILI ZABURI NA QURANI NA VITABU VYOTE VILIVOANDIKWA NA WANAZUONI HADI KARNE YA SITA HUWEZI KUONA
    JEE HUU ZI UZUSHI NA BIDAA MBOVU KATIKA MISINGI YA DINI??
    NI SAWA NA MASHIA WANADAI NAO IMANI YAO HAIKAMILIKI MPAKA UWAKUBALI MAIMAMU KUMI NA MBILI
    TOFAUTI YENU MASALAFI NA MASHIA KUITENGEZEA SHERIA UISLAMU NA KULETA NGUZO MPYA YA IMANI AMBAYO ALLAH NA MTUME WAKE HAWAKUONGELEA KATIKA DINI
    TUWAITE NANI ??
    JE HII SI BIDAA NA UZUSHI KATIKA DINI??
    KUWENI WAADILIFU
    ACHENI PARA PARA NYINGI
    KWA UFUPI SOTE NI WAZUSHI ILA YULE ALLAH ATAMTIA KATIKA REHMA ZAKE

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 3 ปีที่แล้ว +1

      Swadaqta ya Habib.

    • @sirajimsuya6226
      @sirajimsuya6226 2 ปีที่แล้ว

      Yaaan wallah ungekua karbu yangu kwa jinsi ninavowachukia hawa mawahabi ningekupa kile ambacho Allah amenijaalia nakuomba usichoke kuwaelimisha hawa majuhaaa

  • @mwansitizayumba5293
    @mwansitizayumba5293 4 ปีที่แล้ว +9

    Hii ndo tabu ya kusoma sana na usielewe ulichokisoma

  • @ambakisyengelela2900
    @ambakisyengelela2900 4 ปีที่แล้ว +9

    aaah kumbe huyo salafi ndo maana msipate nae tabu xx kama kumxwalia mtume haramu anataka tumswalie yy au

    • @sirajimsuya6226
      @sirajimsuya6226 2 ปีที่แล้ว

      Ww ndo m2 axwaliwe bwana mtume

    • @ThuatraSalim-bc4se
      @ThuatraSalim-bc4se ปีที่แล้ว

      Hujamuelewa na hutak kumuelewa hajakataz kumswalia mtume

  • @matitutvonline4184
    @matitutvonline4184 4 ปีที่แล้ว +2

    As,alaykum,
    Skh tunaweza kufanya munaaqasha mubaashara?

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  4 ปีที่แล้ว +1

      w.salaam ustadh mungu akitujaalia mbeleni tutaifanya

    • @matitutvonline4184
      @matitutvonline4184 4 ปีที่แล้ว +1

      @@DarsaTV. inshaallaah katika waalikwa na mimi nawepo ili tufahamishane ili upande mmoja uone unapokosea na sio kukufurishana kila watu wakisema wanadalili zao

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  4 ปีที่แล้ว +1

      @@matitutvonline4184 Sahihi mwalimu na sisi hatujaweka hiyo ili watuwatukanane wote sisi ni waislamu tuna haki ya kumsikiliza sheikh yeyote yule

    • @allylassuh4947
      @allylassuh4947 4 ปีที่แล้ว +1

      Hahahahaha akhui hawa mawahabi hawawezi kbsaaaa tena wanakimbia kbsaaa mijadala sababu hasana elimu kazi zao ni kusema tu wengine wanajificha mpk sura hawataki kujulikana

    • @yusufathman2478
      @yusufathman2478 ปีที่แล้ว

      Sheikh Bachu aliwashinda mtawezana na Dr islam

  • @mrjagenmuuz5704
    @mrjagenmuuz5704 4 ปีที่แล้ว +4

    Aaaa yanı watu wengıne kazı yao ımekua nı kumsaıdıa kazı ıbılısı mana ıblıs anaumıa kuona watu wanamtukutuza mtume wetu na kumtangaza na kumfurahıkıa kukumbushana kupıa mkusanyıko wa maulıdı jınsı tunavotakıwa tumfuate mtume sasa watu kama hawa maskını ya mungu hawajıjuı kama nı mawakala waıblısı wanamsaıdıa kukataza watu wasıfanye kherı nasıo wanakataza maulıdı tuu wao kıla tunachofanya saıvı utaskıa bıdaa ıla wao pıa bıdaa wanazo kwenye majumba yao mıılı yao ns sehemu zakufanyıa ıbada vıp nawao watasalımıka na madhambı ya bıdaa kwele?

    • @jasminmohamed6145
      @jasminmohamed6145 4 ปีที่แล้ว

      Assalam aleikum warahmatullahi wabarakatu Akhi
      Ilikuwa ni nasaha kama ndugu Muislamu usi mtukane Muislamu mwenzio kama waona huja ridhika na fatwa yake basi mpe udhuru ama msamehe sote Waislamu twa mpenda Mtume Mohammed Swallallahu Alaiyhi Wasallim Wabarik Alaiyhi afanyae Maulid ampenda Mtume Mohammed Swallallahu Alaiyhi Wasallim Wabarik Alaiyhi na asie fanya Maulid Pia ampenda Mtume Mohammed Swallallahu Alaiyhi Wasallim Wabarik Alaiyhi mwisho wa siku sote ni Waislam tupendane kwa ajili ya Allah Jalla Jalallu na Mtume Mohammed Swallallahu Alaiyhi Wasallim Wabarik Alaiyhi.
      Allahu Aalam

    • @mrjagenmuuz5704
      @mrjagenmuuz5704 2 ปีที่แล้ว

      @@jasminmohamed6145 sasa ıweje aseme haramu sıkama hayakubalı yeye akae kımya tuu

  • @MohammediMohammedi-m9q
    @MohammediMohammedi-m9q ปีที่แล้ว

    Huo sio Dr wa Elim Hana uwezo wakuizungumzia Maulid, awaulize wenzake aliokataa watu wasimswalie Mtume (s)Mwisho wao ulikuaje jiangalien sn Mawahabi

  • @ZUHURAKHALFAN-mc8nd
    @ZUHURAKHALFAN-mc8nd ปีที่แล้ว

    Acheni kuwatukana na kuwadhalilisha Mashekh namna hii sio vizuri jamani vibaya

  • @mohamedhamismagoraonlinetv459
    @mohamedhamismagoraonlinetv459 4 ปีที่แล้ว +7

    Zitashindwa njama zao za kumshusha Mtume watashuka wao

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  4 ปีที่แล้ว +1

      twayyib

  • @hamisisalum4434
    @hamisisalum4434 3 ปีที่แล้ว +2

    Mana watu wengi tumekua waongo sana kpitia cm sasa kama cm inakua ni chanzo ata mtu kpata madhara kwann isikatazwe afu mtu akataze MAULID wakati apao apo ita somwa qur ani yata tolewa mawaidha pia ata mafndisho mengine yanapatikana kpitea MAULID

  • @AbubaqaryMwinyiheri
    @AbubaqaryMwinyiheri ปีที่แล้ว

    mama Aisha Allah amridhie aliishi miaka 40 baada yakufa mtume Muhammad alaihi ssalmu nahakusherekea kuzaliwa Kwa mtume mumewe . swali dogo je nyinyi mnamapenzi namtume kuliko mama Aisha????!!!!!!!

  • @nassorochura7838
    @nassorochura7838 4 หลายเดือนก่อน

    japo sisi hatuna elimu ya dini lakini kwa yale ninayo wasikia nyie inatosha kuwa ilimu inaniingia ewe allah uwape umri mrefu dk muhammadi na said bafana wa kenya tunatamani tuwaite kwetu mje mtoe elimu watu wanaangamia sana katika bidaa hiyo

  • @nassorochura7838
    @nassorochura7838 4 หลายเดือนก่อน

    ndiyo uzuri wa kusoma kuna mashekhe tunaona wanazuru kaburi la mzee imraan na nabii adamu a.s lakini bado wako katika uzushi sasa huwa wanaenda bila kupata athali na wanaenda hija hawatuonyeshi sehemu ilipofanyika maulidi ya mtume na wala hadithi ya maulidi hawana

  • @KhamisKhamis-go1fx
    @KhamisKhamis-go1fx ปีที่แล้ว

    Sahihi

  • @ramxom2babu562
    @ramxom2babu562 4 ปีที่แล้ว +1

    Tunaomb kufaham swala la Neno MAULID.ndio Bidaa?Maana ndani ya Maulidi Tutamswalia Mtume Muhammad S.A.W hiyo ni bidaa?itasomwa Qur'an tutasikiliza kwa pamoja na Pia tutakumbushana Kherr Mawaidha ni bidaa hiyo? Au bidaa ipo kwenye Barzanji ambayo baadh ya watu wanasema Nasaba ya Mtume iliiahia Kwa Adnani ? Allah ayhlam

    • @maalimhamad1297
      @maalimhamad1297 2 ปีที่แล้ว

      Hicho kitendo cha kukusanyika ndio badaa sio kumswalia mtume s.a.w wala kusoma quran nahatahio quran pia mkiipangia muda na miezi maalum pia hicho kitendo kitakua ni bidaa

    • @OmaryTambi
      @OmaryTambi ปีที่แล้ว

      Kusoma qur an thawabu ila sio choonii

  • @mariamhassan5497
    @mariamhassan5497 3 ปีที่แล้ว +1

    Tafuta kitabu cha imamu suyutwiy alieandika kitabu cha sababunuzuli aya na anavitabu vingi vya usuli yeye alimladi alie kataa maulidi kwakusema maneno mazito

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 3 หลายเดือนก่อน

    Kanuni ya kuanzisha jambo ipo ktk hadithi sasa tukuulize vingapi havikuepo wakati wa mtume wala swahaba vinafanywa sasa mbona hujaviita haramu kwa kule kukosekana kwa mtume na masahaba sasa kama kuna mambo yana fanywa na mtume wala sahaba Haku fanya basi na maulid si haramu kama mnavyo futu hili swala

  • @Abdallah-i1d
    @Abdallah-i1d ปีที่แล้ว

    Huyu ni doctor wa agriculture na wengi wanajua hivyo!! Sio doctor wa HADITHI

  • @MahijalugundiMwinjuma
    @MahijalugundiMwinjuma 5 หลายเดือนก่อน

    we hatukuelewi mbona

  • @mahadjamaatilkhayr8853
    @mahadjamaatilkhayr8853 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa haelewi anachokisema ni mpumbavu ambae anajiona amebeba kiroba cha elimu kumbe kabeba kiroba cha taka taka elimu yake imekua ni uchafu kama uchafu mwengine haelewi anachoxema na amekamata Bango KUJIITA kua ni mjinga anaeongea

    • @ibrahimabdillah5729
      @ibrahimabdillah5729 4 ปีที่แล้ว +1

      Jamii haitaki mipasho,kebehi,dharau na matusi
      Ilafaa useme kwa busara au kukosoa kwa busara na si kinyume......

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  4 ปีที่แล้ว +1

      sahihi kabisa

  • @isaliisu3408
    @isaliisu3408 ปีที่แล้ว

    Dk Islam ni bidaa ya karibu kuliko maaulidi kwasababuhamuna swahaba wa mtume wala waliyotanguliya wamwanzo yaani tabii tabiina aliyeitwa Dk na hili hakuna hata dalili ya kubishaniwa

  • @ABUUALLY-j7k
    @ABUUALLY-j7k ปีที่แล้ว

    Yaani me nawashangaa uharamu wa maulid upoo wapii? Mtume kufanya au kutokufanya iyoo sio hojaaa hoja jee inapingana na sheria au haipinganii! Yaani wallah mawahabi wanahoja za kitoto kabisa ata akilini haziingii

  • @jumazunguzungu3627
    @jumazunguzungu3627 4 ปีที่แล้ว +1

    y

  • @salehal-oufy5380
    @salehal-oufy5380 ปีที่แล้ว

    Linganieni kuungana jinsi gani utapata dola ya kiislam halafu tuanze kufahamishana dini lipi ndilo lipi silo

  • @OmaryTambi
    @OmaryTambi ปีที่แล้ว

    Dr ni d

  • @nassorochura7838
    @nassorochura7838 4 หลายเดือนก่อน

    kuna baadhi ya mashekhe kazi yao ni kuupeleka umma muhammadi katika bidaaa tu eti kwa kuwa wamesoma basi nyinyi ndo dhima sasa

  • @abuuaisha6110
    @abuuaisha6110 3 ปีที่แล้ว +1

    Wanafaa kutoa maoni hapa ni wasomi wala sio majaahili(wasiosoma) na maoni ya hapa ni yafuatane na dalili sio propaganda

  • @ThuatraSalim-bc4se
    @ThuatraSalim-bc4se ปีที่แล้ว

    Mtume ndo kigezo na maswahaba zake maulidi hayakufanywa na swahaba yoyote bila shaka hayafai

  • @MinakiPazi
    @MinakiPazi หลายเดือนก่อน

    Mi.nauliza.swali..kwani.kitabu.cha.maulidi..kimeandikwa.kwa.lugha.gani.na.qur.ani.imeandikwa.lugha.gani.tusisumbuane.kila.mtu.afanye.analoona.kwake.ni.sahihi

  • @abuually-ol2xc
    @abuually-ol2xc ปีที่แล้ว

    Nyinyi wenyenu mawahabi mpo katika bidaa hamujijui tu

  • @mwanaimaabdallah7825
    @mwanaimaabdallah7825 4 ปีที่แล้ว +2

    Nampenda sana huyuu Sheikh wallah yupo sahihi sana

  • @radisafaa6676
    @radisafaa6676 4 ปีที่แล้ว +1

    Ah kumbe ndio hao mtume asiitwe sayid aitwe yy tu na mkewe sayid hatuumizi kichwa

  • @ABUUALLY-tv8rl
    @ABUUALLY-tv8rl ปีที่แล้ว

    😂😂😂 kuharamisha kitu ambachu hakuna hadithi inayokataza kusoma maulidi wala hakuna ayaa inayokataza kusoma maulidi huo ni upunguvu wa akili na elimu ! Utaharamishaje kitu ambacho Allah s.w na mtume wake hawajaharamiisha ? 😂😂 Yaani unachekesha sana yaani hoja zenu zakitoto kabisa alafu unasifia unaitwa doktuur 😂😂😂

  • @GadafiRashidi
    @GadafiRashidi 11 หลายเดือนก่อน

    Mambo ya kidini unaitaji maoni ya watu?
    Hauoni kama unaruhusu mlango wa hawaa, watu kuongea vitu kwa Mujibu wa matamanio yao

  • @matitutvonline4184
    @matitutvonline4184 4 ปีที่แล้ว +2

    dah nachoka na maskh wa leo yaani hajona ile y Abdurrahman bin swakhar ambae hadithi zake ni aswahu zaidi kuliko hiyo hadithi halafu huyo ni Ibnu mas uud na sio mtume s.a.w na pia kwa kauli nitazamo hdiithi ni nyingi sana

  • @musabadawi9950
    @musabadawi9950 3 ปีที่แล้ว +1

    Uwo nioelewa wako na wanachuoni wakiwahabi ivo akuna wanachuoni waliohandika vitabu vamaulid na hakuna wanachuoni waliyokubali mauled naswala lakusema maulidi igikua jambozuli maswahaba wagifany iyo siyo dalili ni madai

  • @MohammediMohammedi-m9q
    @MohammediMohammedi-m9q ปีที่แล้ว

    Tatiz hamuna uelewa ,mnasoma maneno t lakn hamjui makusudio yake ndio tatizo t

  • @ABUUALLY-j7k
    @ABUUALLY-j7k ปีที่แล้ว

    😂😂😂 wallahi hoja zako za kitoto kabisaa alafu unajiita doctuur? 😂😂😂 labda duktuur uchwaraaa 😂😂

  • @SaidAli-rb2tp
    @SaidAli-rb2tp 4 ปีที่แล้ว +1

    Imamu Rahil Al habib al alim Al alama al dai mohammad bin Shariff said bedh rahima hu Allah asema kwanza angalia huyo asemae maulid haifai yy yuwafaa hakika yy hafai

  • @OmarAbrahman-t4u
    @OmarAbrahman-t4u หลายเดือนก่อน

    Kama mauled ni bidaa ni sawa jee mahindano ya kuran sio bidaa

  • @fikafikan8484
    @fikafikan8484 ปีที่แล้ว

    Ni mrongo tena sana kumsifu mtume haramu wacha tumswalie na tumsifu kama ni haramu ww baki na halali yako

  • @mustafahkapopwa5239
    @mustafahkapopwa5239 10 หลายเดือนก่อน

    Una ona mda unapo funguwa macho yako kwa kuzungumza upotoshaji wako. Ole wako mtume sio mwenzio.

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 ปีที่แล้ว

    Wapi MTUME alikula mtee na maziwa malla...

  • @shadyaaboud2405
    @shadyaaboud2405 2 ปีที่แล้ว

    Islam mengi yakuongea hamuongei,nyinyi wenyewe mashekhe vigeu geu,wewe mwenyewe mrongo,huongea ukifunga macho kutafuta lakutudanganya

  • @hamzayusuf1894
    @hamzayusuf1894 ปีที่แล้ว

    Basi we kama hutaki tafuta mtuu akufiree vizuuri atakuwa si bidaa shoga mkubwa

  • @KhadidjaNziavake
    @KhadidjaNziavake 12 วันที่ผ่านมา

    Shkieh tunachukuru saaana shida watu wamaulidi hawaelewe tafsiri ya coran

  • @fadhilimusa9732
    @fadhilimusa9732 ปีที่แล้ว

    Wahabi anapinga kituanachofanya mfano picha wasema nibidaa haramu ilihali amechukuliwa picha anaonekana kwenye skirin.shahada za mchongo

  • @MbiteBuraimo
    @MbiteBuraimo ปีที่แล้ว

    Waliyo kununua wamekupoteza

  • @ibrahimismael1933
    @ibrahimismael1933 4 ปีที่แล้ว +1

    Mawahabi wana taabu

    • @mahadjamaatilkhayr8853
      @mahadjamaatilkhayr8853 4 ปีที่แล้ว +1

      Mawahabi eti masalafy hawajui hata hiyo definition ya salafy duhhh maskini wamejinyima kupata barka za Mtume kwa kufurahihika nae
      قل بفضل الله وبرحمته فبذلك فليفرحوا هو خير مما يجمعون
      Sema kwa fadhila za Allaah na kwa rehma yake( ambayo ni Mtume Muhammad xwallallahu alayhi waxallam) haya na wafurahi na ndio bora zaidi kuliko wanayoyakusanya katika Dunia yao
      Mawahabi wanakanuxhana wao kwa wao
      Elimu na ufaham wake
      By True AHLISUNNA waljamaa
      0773771340
      Imamu suyuuti kaeleza maulidi. ...ni sahihi
      Shekh Muhammad Najiib kaeleza pia.......
      Hata huyo mwalimu wao wanaomfata Ibnu TAYMIYA kasema Maulid ni HALALI Na hulipwa kheri mfanyaji wake kwa nia yake ya kumtukuza Mtume Muhammad xwallallahu alayhi waxallam.
      Na wengine wengi

    • @matendupiterngoge8707
      @matendupiterngoge8707 4 ปีที่แล้ว

      @@mahadjamaatilkhayr8853 مامعنى الفضل ومامعنى الرحمة في هذه الآية

    • @nassirhamad9407
      @nassirhamad9407 3 ปีที่แล้ว

      @@mahadjamaatilkhayr8853 Toa ushahid wa Ibnu taymiyyat km kasem Maulid yafaaaa..

  • @jamalsaid5409
    @jamalsaid5409 3 ปีที่แล้ว

    Dini si mamabo ya maoni Bali ni wewe utoa Dalili katika.Qura'an na Sunna kumpinga

  • @hamisisalum4434
    @hamisisalum4434 3 ปีที่แล้ว +1

    Asalamwalaikum jaman mm Naomba sabab 3 za onesha kuwa maulidi ni bidaa na kwenye izo sabab 3 Naomba mtu asitumie kauli yakusema kwamba mtume hakfanya kingine Naomba ushahdi wakutuma izi cm

    • @alhajjwaziri
      @alhajjwaziri ปีที่แล้ว

      Shekh mie nataka kujua haramu ni nini

    • @alhajjwaziri
      @alhajjwaziri ปีที่แล้ว

      Maulidi sio haramu

  • @OmaryTambi
    @OmaryTambi ปีที่แล้ว

    Tatizo ubwabwa mtam

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg 4 หลายเดือนก่อน

    Huu uzushi unakwenda ukipungua,

  • @alikutsetsera9387
    @alikutsetsera9387 ปีที่แล้ว

    Hizi zote ni fitna

  • @omarulfarouq3578
    @omarulfarouq3578 4 ปีที่แล้ว +1

    Hawa jamaa hawana hoja Angeleta dalili kua mtumi amekataza asifiwe aswaliwe asijitetee na hoja zengine

  • @hajisebeko4145
    @hajisebeko4145 3 ปีที่แล้ว +2

    Maulidi yatazidi na nyuma hayatarudi

    • @barwani890
      @barwani890 ปีที่แล้ว

      Umenifurahisha kwa maneo ulosema na tutamtukuza kipenzi chetu mpk mwisho wetu

    • @barwani890
      @barwani890 ปีที่แล้ว

      Msipoteze time kwa kumshutumu shekh. Yeye na elim yake na sie yetu tulivyofundishwa tunampenda kipenzi chetu

  • @sheikhfadhilaljahdhamy6751
    @sheikhfadhilaljahdhamy6751 ปีที่แล้ว

    Si maswahaba walimsifu mtume

  • @hamadatahir9307
    @hamadatahir9307 4 ปีที่แล้ว +2

    IBNU TAIMIYYAH NA ALBANI WANAKUBALI MAULIDI SASA SIJUWI HAWA WANAFUNZI WAO WANASHIDA GANI NA WANAMFUATA NANI JAMANI..

    • @adamjutto5849
      @adamjutto5849 4 ปีที่แล้ว

      Hhhhhhhhhh muongo mkubwa wee

    • @nassirhamad9407
      @nassirhamad9407 3 ปีที่แล้ว

      Lete ushahidi wao usiseme tuu kwaa matashi

  • @sirajimsuya6226
    @sirajimsuya6226 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu jamaa n wa moton

  • @sheelali6558
    @sheelali6558 3 ปีที่แล้ว

    Huyu Kuna mengi ya kujadiliwa lakini ajab mumekazana na maulid àmbao hutajwa mtume na mawedha tofauti .. tafteni munkar mukataze

  • @omarulfarouq3578
    @omarulfarouq3578 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama kumswalia mtume na kumsifu ni dhambi Niko tayari kuadhibiwa na Mola mwataka musifiwe nyie mtume asisifiwe....

  • @mazruybaruti7158
    @mazruybaruti7158 3 ปีที่แล้ว +1

    Shekh naomba munadhwara na wewe uko tayari?

    • @AbdulkarimChalela
      @AbdulkarimChalela 7 หลายเดือนก่อน

      wewe mganga utaweka muhadhara nani

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 ปีที่แล้ว

    Sh.atupe ushahidi wa spika hio alitumia MTUME

  • @akramdinn7
    @akramdinn7 4 ปีที่แล้ว +2

    Na pia tushakujua kama ni dr katibu wagonjwa wa kichwa humdanganyi mtu

  • @hamadatahir9307
    @hamadatahir9307 4 ปีที่แล้ว +1

    NA TATIZO JENGINE NI KWAMBA HAWA WANA DINI ZA AJABU. LEO SALAFI WAKATI ALIKUA MUWAHABBI,KESHO IKIJA FISALA PIA WATAGEUKA

    • @sadaprince9342
      @sadaprince9342 3 ปีที่แล้ว

      Jamani tusiwatukane mashekhe
      Kama hukupenda usimtukane
      Wewe msikilize
      Ukipenda mfuwate
      Hukupenda basi.

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 ปีที่แล้ว

    Hakuna uharamu mkusanyiko wote WA umma usio na maasi sio haramu hebu lete ni Aya gani inayo kataza kama wewe ndio profesa hujawa na elimu hii au unafurajisha kundi lako kwa ufupi maulidi si haramu unatumia akili yako kuliko dalili