RAIS MWINYI AVUNJA UKIMYA "NIMESHTUKA KIDOGO" ATOA TAHADHARI NZITO KWA VIONGOZI WA UMMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2023
  • Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 717 619 834
    Ktv Tz Online Journalists
    cc: Sadia Rashid
    cc: Sauti Byego
    Camera Department"
    Dadi Ali
    Omar (OJ)
    Nassor Shaibu
    Abdallah Juma
    Editors:
    Juma Maulid
    Dadi Ali
    Video Zingine:
    Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
    - Ali Kiba akiwa Oman
    • ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
    • NI KWELI ALI KIBA AMNU...

ความคิดเห็น • 21

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 7 หลายเดือนก่อน +2

    Pia Tunaomba Ziara za kushtukiza ktk vituo vya police kuna watu wanawekwa pasina kesi kwa mda mref bila ya kufikishwa mahakamani

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 7 หลายเดือนก่อน +2

    Maneno mazuri sana, sijui Zanzibar tuna shida gani? Mpaka Masheha wanatumia madaraka vibaya.

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 7 หลายเดือนก่อน +2

    Dhulma hailet maendeleo😅

  • @isaliisu3408
    @isaliisu3408 7 หลายเดือนก่อน

    Sawa

  • @jituakilimali15
    @jituakilimali15 7 หลายเดือนก่อน +2

    Msitudanganye sisi sio watoto miaka miwili tu mmeingia madarakani kila mmoja wenu amenunua majumba na kujilimbikizia mipesa sasa maadili gani hasa mnaozungumzia

  • @user-gn8ls8ji5x
    @user-gn8ls8ji5x 7 หลายเดือนก่อน +2

    Unyanyasaji mkubwa upo kwa ao makamishna wasaidizi wao yaani manaibu wana wapuza malalamiko ya askari wadogo

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mh!! Usipochukua maamuzi ya haraka uajibikaji utausikia tu

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hhhhhhhhhhhh musiatafute kutiana aibu munajuwana

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 7 หลายเดือนก่อน

    Pia ajira zinatoka kwa watoto wa viongozi tu

  • @user-nb5nv9sx3k
    @user-nb5nv9sx3k 7 หลายเดือนก่อน +1

    Iongozi wake alowateua sio waadilifu haki zetu wafanyakazi hatupewi mimi nimekuwa Mkuu wa Idara kwa miezi 7 sijawah kupewa haki yangu ya posho hata mwezi 1 mpaka nikaamua kuacha kazi kufanya biashara sitaki kupotezewa mida

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 7 หลายเดือนก่อน +3

    Maadili hamna katka sirekali yako hio tume ya Maadili Bimani kairipua Tatizo unalo wewe ndio wa kwanza kuingia madarakani kwa dhulma kwa kuuua roho za watu

    • @Asilimedia
      @Asilimedia 7 หลายเดือนก่อน

      Tumia Hekma katika kufikisha ujumbe wako katika hili haihitajiki chuki ya siasa uliyoionesha

    • @user-nb5nv9sx3k
      @user-nb5nv9sx3k 7 หลายเดือนก่อน

      Maadili hamna kweli viongoz dhulumati hawajali ila RAIS anajitahid anaangushws na wanaomsaidia

    • @nassorseif7907
      @nassorseif7907 7 หลายเดือนก่อน

      @@Asilimedia Hekima gani unayotaka ya kusifia watu walodhulumu roho za watu bila ya hatia huo utakua ni unafiq

    • @Asilimedia
      @Asilimedia 7 หลายเดือนก่อน

      @@nassorseif7907 achana na izo fikra usiishe kwa kukaririshwa mambo,

  • @yasminjuma9146
    @yasminjuma9146 7 หลายเดือนก่อน

    Raisi anajitahid kusema. Ila hao wanaoambia yanaingia kulia na kutoka kushoto. . Viongozi jitahidini kuwa waadilifu. Na ALLAH atakusaidieni. Ila kumbukeni hizo ni kodi zetu.

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 7 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa huku mwanyanya walio fukia mabomba ya maji wameziba barabara za ndani kwa kuweka viungio na mashimo yasiyo fukiwa je tukiwa na mgonjwa au ajali ya moto gari hazifiki masheha tukiwambia hawachukuwi hatua tusaidie hili

  • @user-gb6nk7ys7m
    @user-gb6nk7ys7m 7 หลายเดือนก่อน

    Utawalabora si maneno Bali ni vitendo tumeyako ya uchaguzi na masheha wako umewaelekeza wawanyime wazanzibar Haki yao ya kuandikishwa kupiga Kura halafu utajigamba unataka Hali na utawala bora

    • @user-nb5nv9sx3k
      @user-nb5nv9sx3k 7 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli kaka hakuna utawala bora RAIS hata ajitahid vipi ila anaowateua hawamsaidiii wanakandamiza watu

  • @user-gn8ls8ji5x
    @user-gn8ls8ji5x 7 หลายเดือนก่อน

    Ao makamishna na vibaraka vyao

  • @user-gn8ls8ji5x
    @user-gn8ls8ji5x 7 หลายเดือนก่อน

    Ajira yajuzi jumamosi Demba kuna majina yamekatwa nakutiawatoto wao