MANARA - "MIMI BADO NI MSEMAJI WA YANGA, BADO NALIPWA, ILA NINAYOFANYIWA..."

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2022
  • MANARA - "MIMI BADO NI MSEMAJI WA YANGA, BADO NALIPWA, ILA NINAYOFANYIWA..."
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 65

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 ปีที่แล้ว +3

    Mwenyezi Mungu atende kazi yake njema kulingana na mapenzi yake mema yatimize hapa duniani na kama huko mbinguni ameeeen Hallelujah ameeeen

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 ปีที่แล้ว

    Wana roho mbayaaaa Sana ucjali manara karbu wasafi

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 ปีที่แล้ว +1

    Manara ni wapekeee sana ..

  • @tinabapemacho8650
    @tinabapemacho8650 ปีที่แล้ว +3

    Haji Allah atakushimamia litapit naili

  • @barakamasai2397
    @barakamasai2397 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atakusaidia tuu karia muache tuu akunyanyase tu

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 8 หลายเดือนก่อน

    Kwelii wee noma

  • @brunostephan5864
    @brunostephan5864 10 หลายเดือนก่อน

    Tunakuamini msemaj wetu usjal pamoja sana walijuwa tutakwama wamechemka hawakujua kuwa yanga tupo ful Aly
    kamwe anawakilisha

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 ปีที่แล้ว +1

    Msijali very soon haki inaenda tendeka, kuna watu wanaenda kulia na kijutia kwa mabaya yao

  • @peterphilipo4152
    @peterphilipo4152 ปีที่แล้ว +5

    Na bila manara uwanja haujai so hiyo ni hasala kwa Tff na club kwa ujumla manara ana ushawishi mkubwa sana kwenye soka la bongo nakumbuka hata boss wa wasafi aliwahi kusema manara na ndo aliyemfanya afatilie mpira ila saiv naona yuko busy na zuchu

    • @yasinrashid985
      @yasinrashid985 ปีที่แล้ว +1

      Nyie kama utopolo akilizenu ndo zimeishia hapo

    • @peterphilipo4152
      @peterphilipo4152 ปีที่แล้ว +1

      @@yasinrashid985 afu huwezi amini mi sio Simba wala yanga ila napambana niwe kama manala ili nipige ela za maboya kama wewe

  • @henrykanyengarubha8319
    @henrykanyengarubha8319 ปีที่แล้ว +4

    Manara upo pekeyako

  • @damianjacobsulley6794
    @damianjacobsulley6794 ปีที่แล้ว

    aliekuwa msemaji wa yanga ndg haji manara aongea kwa unyenyekevu usingegombana na rasi wako usingesimamishwa we nando chazo Cha ugomvi

  • @seiflugendo7141
    @seiflugendo7141 ปีที่แล้ว

    Wewe ulikua afisa wa Yanga acha kubadilisha maneno.

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 ปีที่แล้ว

    Unayowafanyia wengine unayajua au mkuki kwa nguruwe

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 ปีที่แล้ว

    Hujawahi kuwa Msemaji wa Utopolo, Wewe ulikuwa mhamasishaji tu,
    Km wanakulipa utakuwa umewaibia.
    Wakishutuka watakudai.

  • @guccij6236
    @guccij6236 ปีที่แล้ว +6

    Nikiwa mkubwa nataka niwe Kama Manara

    • @ahmednoor1412
      @ahmednoor1412 ปีที่แล้ว

      Wewe unafaa ukagombee umiss hilo jina linakufaa

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 ปีที่แล้ว

      Nikweli utakuwa, mwenzako ujue Mwisho wao huwa wanatoweka hawa masope.

  • @mohamedhamsini9106
    @mohamedhamsini9106 ปีที่แล้ว

    HAWAKUTAKI YANGA WAMESHAPATA MSEMAJI NA AFISA HABARI WATOTO WADOGO WAMEFIT 100 NA WANATUMIE WELEDI WEWE HUNA WELEDI.......
    HAUTAKIWI BANHAAAAAA

  • @selemanisabihi5994
    @selemanisabihi5994 9 หลายเดือนก่อน

    Mm yanga jamaa awezi kueka akiba yamaneno ana tukana paka watu wadini

  • @suleimanrajab717
    @suleimanrajab717 ปีที่แล้ว

    Simba haikuhusu umegombana na dewji unaichukia Simba akiondoka dewji ndo utaipenda Simba we mnafiki

  • @israelkisserei524
    @israelkisserei524 ปีที่แล้ว

    HIVI HAWA MBOGO MAJI NDIYO WALIOWAFUNGA MAMA ZAO NA MANYWELI AKIWEPO... AU NI WENGINE?

  • @aminata3702
    @aminata3702 ปีที่แล้ว

    ManaraUnaropoka

  • @matashobyajosia2109
    @matashobyajosia2109 ปีที่แล้ว

    tunakukubari manara mugu yuko pamoja nawewe tunakupenda

  • @shubemponda5470
    @shubemponda5470 ปีที่แล้ว

    Hao ndio Walimwengu kaka, hakuna kurudi nyuma

  • @georgemweli6064
    @georgemweli6064 ปีที่แล้ว

    Anafanyiwa nn au wameanza kumpeleka buza kwa nani yule sijui mpange nahisi hivyo

  • @user-dz4ob1xj8g
    @user-dz4ob1xj8g ปีที่แล้ว

    Sasa hayo ndio yanayowauma ... Google hahhaaaaaa haaaaa unatisha

  • @omarymwigula9826
    @omarymwigula9826 ปีที่แล้ว

    Hujui ulicho kosa

  • @ahmednoor1412
    @ahmednoor1412 ปีที่แล้ว +1

    Manara acha ujinga sasa unasema sheikh kwahio diva no sheikh au?

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 ปีที่แล้ว

    Hasa Jemedari anatamani ufe kabisA ili afurai

  • @happynesslnc2044
    @happynesslnc2044 ปีที่แล้ว

    Haji usiache kabisa kujiusisha nasoka kwani wao nikinann wataondoka tu usiwaze kupakichwa kwani wao ndio mungu muachie mungu atakulipia

  • @rogersiddy8975
    @rogersiddy8975 ปีที่แล้ว +1

    Hilo ndo lengo lao kukupoteza usisikike kbs majahili wakubwa kbs

  • @raphaelkaswahili323
    @raphaelkaswahili323 ปีที่แล้ว +1

    Nimefatilia clip zote 96% ya mazungumzo yake kazitumia kulalamika anaonewa.......

    • @saidjumasaid3924
      @saidjumasaid3924 ปีที่แล้ว

      Anaonewa kwwli kwani uongo
      Hata macho yako huoni
      Uchoko tuu

    • @raphaelkaswahili323
      @raphaelkaswahili323 ปีที่แล้ว +1

      @@saidjumasaid3924 maisha hayo aliyatengeneza mwenyewe kwa kuhisi yeye ni mkubwa kuliko mtu yeyote .......Na si kwamba anaonewa ni vile tu anauwezo wakujitilisha huluma kwa midia ........toka akiwa simba hadi leo ni kulalama tu

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 9 หลายเดือนก่อน

    sss mtu umesimamishwa kazi hiyo nafasi yako ya utendaji iko wapi hapo

  • @omarihamadumetishasanalava4725
    @omarihamadumetishasanalava4725 ปีที่แล้ว

    Bugati hajimanara ape ulinzi

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo unafiki unakuponza sana aise

  • @fimboonlinetv5282
    @fimboonlinetv5282 ปีที่แล้ว

    Dah maneno mengi

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 ปีที่แล้ว

    Umeshaanza kujijuwa kuwa umeshapotea sasa hayo maneno yamkosaji kwani ndio leo unajuwa mama yako mgonjwa baada kujuwa Babra kawa kiongozi wa mpira Africa ndio umeona kumbe nayoyafanya na kiongozi wa mpira Africa atayaona sasa bora ukimbie, na shizo sms unazosema umetumiwa ni baada ya kusikia Babra ni Caf na yupo hapahapa Tz. Bye bye manara Tz unapotea.

  • @godfreysudi7264
    @godfreysudi7264 ปีที่แล้ว

    Manara unamatatizo cyo siri duuuh

  • @mwanzashinyanga8060
    @mwanzashinyanga8060 ปีที่แล้ว

    maisha ni kuchagua wewe umechagua maisha ya kulalamika,,endelea na mfumo huo 🤣🤣🤣🤣

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 ปีที่แล้ว

    Mwongo huyo albino mbwa koko!

  • @yusuphjilala846
    @yusuphjilala846 ปีที่แล้ว

    Mizengwe ya wachambuzi wamichongo wanaotumiwa na maklofc🐱🐱🐱

  • @rebeccasechuma4746
    @rebeccasechuma4746 ปีที่แล้ว

    Bugati kama bugati wewe ni kichwa acha roho ziwaume aliyepewa kapewa watapata tabuuu sana hawakupati sisi tuko nyuma yako tunakuombea

  • @hamadeddymaclayz
    @hamadeddymaclayz ปีที่แล้ว +1

    Buggat watu wanamuogopa mno aiseee

  • @kapondamsita476
    @kapondamsita476 ปีที่แล้ว

    Elbugat

  • @husein.hilaly
    @husein.hilaly ปีที่แล้ว

    Hhh

  • @haruniathumani3420
    @haruniathumani3420 ปีที่แล้ว

    Upo pekeako

  • @TheKaramanid
    @TheKaramanid ปีที่แล้ว

    Kwanini kipindi cha mama samia vitu vengine vinakuwa ovyo? Diamond afungiwa mtasubiri sana manara apigwa ban dahh mtathminini huyo mama ni undercover hater wa maendeleo ya kisasa

  • @gracewiliam8872
    @gracewiliam8872 ปีที่แล้ว

    Umeisha mzungu pori kibali yaishe

  • @bakarimkunyulya6569
    @bakarimkunyulya6569 ปีที่แล้ว +1

    Bugat

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 ปีที่แล้ว

    Fitna fitna Tanzania imeota mizizi

  • @rashidaiddy6316
    @rashidaiddy6316 ปีที่แล้ว

    Badaee utakuja kulia apa Mara nilikua nalipwa laki mbilii uanze kutia huruma

  • @samwelhiinyamhangahiileosi1060
    @samwelhiinyamhangahiileosi1060 ปีที่แล้ว

    Pisha njia sasaivi tunahitaji wasomi babra wa Simba kakuumiza xn kisa kapata kapata nafasi huko shirikisho

  • @loner_wolf
    @loner_wolf ปีที่แล้ว

    Unajua lkn maana ya Officer ...? Au ukiwa unalipwa tu mshahara basi ww ni afisa ? Na habar za mama yko zinakujaje hapa au nayeye analipwa na Young africans ....? Fuck off ......

  • @davidmwamanda6473
    @davidmwamanda6473 ปีที่แล้ว

    Wewe ni Zero content, ongelea vitu vikubwa vyenye maono, sio kujifananisha na GOOGLE, wewe ni (cheap propagandist)

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf ปีที่แล้ว

      Ukiviongelea ww inatosha

  • @mandyfitnesstv6738
    @mandyfitnesstv6738 ปีที่แล้ว

    Wapenzi wa Mazoezi pita hapa subscribe channel yetu Kwa video za Mazoezi