Kifungo cha Manara Kuisha ni Ngumu | Vita ya Karia na Manara Yafikia Pabaya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 485

  • @personpeter2221
    @personpeter2221 10 หลายเดือนก่อน +13

    Fungien miaka Mia bt hamwez fungia liziki yake

  • @is-hakayussuf9981
    @is-hakayussuf9981 10 หลายเดือนก่อน +6

    Mo nimemuelewa vizuri karia hujamaa kichwa sana asee

  • @Kanyawela
    @Kanyawela 10 หลายเดือนก่อน +7

    Chuki za karia ni mbaya sana maana uyo kwa kuwa ni Simba na kupigwa kwenye timu yake ya mang

  • @VictorBugobola
    @VictorBugobola 10 หลายเดือนก่อน +13

    😂😂😂 bongo wivu Sana et alifungiwa miaka 7 ila bongo Rahaa Sana ila karia una roho mbya Sana tena ya chuki za wazi😂😂 lkn tutaishi tu

    • @Zainab-sq1tc
      @Zainab-sq1tc 10 หลายเดือนก่อน

      Yaaan waz kabsa

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 10 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu awe voted out!

  • @MohamedKongoroka
    @MohamedKongoroka 3 หลายเดือนก่อน +1

    Karia we ni mnafiki tu na unachuki na manara acha roho mbaya kwa kiuwezo wa kipesa humfikiii embu acha ubaya na manara Mungu atakuhumu vby sana we subiri tu

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa lina roho mbaya sanaa hilo jamaaaa. au lina asili ya Somalia nini.

  • @beatricetenywa4367
    @beatricetenywa4367 10 หลายเดือนก่อน +2

    Haji ni zee la kukera na ni kama maji usipokunywa utaoga😂😂😂😂

  • @user-sm3zb3ee1t
    @user-sm3zb3ee1t 10 หลายเดือนก่อน +2

    He couldn’t hide it anymore
    The hate he showed kama vile hatakufa yani

  • @joycekaishozi1177
    @joycekaishozi1177 10 หลายเดือนก่อน +4

    "hata nilipomfungia pia dk 0:12"😂😅

  • @benayasamson1270
    @benayasamson1270 10 หลายเดือนก่อน +13

    Haji mtu wa watu wew ngoj tyu utoke kweny hicho kiti

    • @festovenas502
      @festovenas502 10 หลายเดือนก่อน

      Mtu wako au 😅😅

  • @timetravellor5367
    @timetravellor5367 10 หลายเดือนก่อน +18

    Huyu anajiona Mungu mtu

    • @shadyahamad3724
      @shadyahamad3724 10 หลายเดือนก่อน +2

      Hakuna lisilo na mwisho walokuepo wangapi na leo wako wapi ha hilo litapita

    • @SalimAbdallah-tg1yo
      @SalimAbdallah-tg1yo 10 หลายเดือนก่อน

      Nikulize swali tu karia anaingia madarakan akakuta haji kafungiwa miaka 7 akawambia kamati huyu haji anarufaa yake mbona amuiskilizi kuskizwa haji katoka baada ya hapo kasahau ubinadamu enda mfokea rais wa tff mbele ya adhara mbele ya waheshimiwa wabunge wakuu wa mikoa nk bado mwasema kaonewa na upande wa kutumikia adhabu kweli haji hatumikii adhabu mpaka leo anajiusisha na yanga hakuna mtu asojua kwaio akitaka adhabu ishe akalipe faini anze kutumikia adhabu

    • @sonicaghendewa9886
      @sonicaghendewa9886 10 หลายเดือนก่อน

      ,lijinga

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 10 หลายเดือนก่อน

      Miaka 2 ndo ishakwisha...tafuta jingine rahisi😂😂😂

    • @SalimAbdallah-tg1yo
      @SalimAbdallah-tg1yo 10 หลายเดือนก่อน

      @@mamboshepea8888 hujamuelewa rais haji hajatumikia hukumu yake bado

  • @samweljoseph1454
    @samweljoseph1454 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mnamuona haji anahaki sio

  • @cracemwenda
    @cracemwenda 2 หลายเดือนก่อน

    Ww kalia unaroho mbaya haijifichi ila tambua Dunia ni duara

  • @rasvegas8991
    @rasvegas8991 10 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu dada anaongea kitu hjuh

  • @eliyamichael7310
    @eliyamichael7310 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hili jinga sana

  • @nashonmwinuka1758
    @nashonmwinuka1758 10 หลายเดือนก่อน +2

    Watu wanaroho mbaya sana

  • @GODFREYKIPALILE
    @GODFREYKIPALILE 2 หลายเดือนก่อน

    huna dini ungemsamehe mungu anakuona,na una mkono mtahukumiwa kwa mungu ,unamtaja mungu unachuki na watu huna pepo hapo

  • @khadijahussein5298
    @khadijahussein5298 9 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana karia👍

  • @yustochitema-iq8zo
    @yustochitema-iq8zo 10 หลายเดือนก่อน

    Pole sana ndugu yangu Haji Manara...kwa hiki kinachoonekana hapa na maelezo ya Rais wa tff endelea tu na majukumu mengine riziki popote bro.

  • @emillwakatare7192
    @emillwakatare7192 10 หลายเดือนก่อน +4

    Mavazi tu ya raisi napata majibu.. #freehajimanara#kwataifalijalo

    • @Aziz-p6s
      @Aziz-p6s 9 หลายเดือนก่อน

      Unataka avae kanga

    • @emillwakatare7192
      @emillwakatare7192 9 หลายเดือนก่อน

      @@Aziz-p6s kwani kanga ndio nini ? Kumbe mko wengi

  • @EnockKombolela-f7x
    @EnockKombolela-f7x 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu nikiongozi asie jua mpira na mungu ata mhukumu anawafungia sana watu kujihusisha na mpira kama eye ndie aliye wafanya waupende mpira mungu anakuona

  • @FredymaswiMwita-oj6gv
    @FredymaswiMwita-oj6gv 10 หลายเดือนก่อน +3

    U as a Muslim u have to forgive,,cheo ni Cha mda tu,,acha chuki binafsi na watu wa mpira

    • @enockbange77
      @enockbange77 10 หลายเดือนก่อน

      Kwan yey kakosea nin

  • @cloudngoko.2679
    @cloudngoko.2679 10 หลายเดือนก่อน +6

    Safi kalia Nidhamu iwepo

  • @ferezaisaack9836
    @ferezaisaack9836 10 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mzee anaonekana anaroho mbaya sanaaa

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no 10 หลายเดือนก่อน

      Balaa

  • @Heismasai
    @Heismasai 10 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu Dada ajielewi!!

    • @kingungeii6520
      @kingungeii6520 10 หลายเดือนก่อน +1

      Sijamfurahia kabisa hajielewi kabisa kakosa kujua mipaka ya kazi yake, yeye anatetea kitu asicho kijua hapo kaniacha hoi

    • @Heismasai
      @Heismasai 10 หลายเดือนก่อน

      Miyemko ya kike inamtesa 😅😅

    • @chosen1.
      @chosen1. 10 หลายเดือนก่อน

      We huoni Raisi ana matatizo ya ki akili?

    • @kingungeii6520
      @kingungeii6520 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@chosen1.Tusaidie kujua dalili alizo onesha kuwa ana matatizo ya akili, kumbuka Manara hajawaji hata siku moja kuwa mtiifu kwenye mamlaka yoyote. Rejea ugomvi wake na EX-CEO wa Simba Sports Club

  • @waziriwaziri115
    @waziriwaziri115 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo dada anakela sana yeye anasema hajui Nini Sasa unauliuliza kaa kimya

  • @nasramohd9924
    @nasramohd9924 10 หลายเดือนก่อน +4

    Ipo siku utajibu hoja kw mungu kama aliomba razi kw nini mshindwe kumsamehe wew unajifanya mungu mtu ila kuna kifo shehe wangu tubu zambi zako kazi nisehem ya mtihni uo ni mtihn kwko

    • @gabrielsanga5313
      @gabrielsanga5313 10 หลายเดือนก่อน +1

      ukifanya kosa mahakama ikiamua kukufunga maisha unataka kusema ukiomba msamaha inakuacchia huru?

    • @ElizabetEvance
      @ElizabetEvance 10 หลายเดือนก่อน

      Uyo hajui mcheza picha chafu wa nn

    • @raymondshuma7421
      @raymondshuma7421 10 หลายเดือนก่อน +1

      Mh kwel elimu muhimu, ukiomba msamaha kutokan na kosa kisheria ndo unaachwa huru duh 🙌🙌🙌

  • @ahmadally5554
    @ahmadally5554 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa yanga niwajinga sana mbona hawa wengine walio fungiwa hawawatetei kwan uyo manara ninani katika inchihii

  • @khadijahussein5298
    @khadijahussein5298 9 หลายเดือนก่อน

    Kweni uyo mtu anamaajabu gn mpaka mnang ang ania mchezaji au kocha😂😂😂

  • @abujumanne7570
    @abujumanne7570 2 หลายเดือนก่อน

    Ukweli mtupu haji ni choko sana..wandishi nae wanafki sana

  • @FATUMABACARCADANGE
    @FATUMABACARCADANGE 2 หลายเดือนก่อน

    kwaiyo.unamfungulia au umfungulii acha kujikombakomba ww kenge

  • @AgustinoJoseph-jq7or
    @AgustinoJoseph-jq7or 10 หลายเดือนก่อน

    Unarohoo mbayaa kmaa sura yakoo

  • @eisryhamad5662
    @eisryhamad5662 10 หลายเดือนก่อน

    Huyo dada mtangazaji hata hajielewi maskini, hajui anauliza kitu gani...

    • @kilianmeja4277
      @kilianmeja4277 10 หลายเดือนก่อน

      Amengiza ushabiki

  • @petrochikawe1797
    @petrochikawe1797 10 หลายเดือนก่อน +3

    Karia kichwa kibovu

  • @SimonPaul-w9c
    @SimonPaul-w9c 9 หลายเดือนก่อน

    We mama embu kausha kama haujui chochote et me naogpa kusema chochote why unaulza maswali 😂😂😂

  • @rasvegas8991
    @rasvegas8991 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nidham nimhmu kwa kazi

    • @jumakibasame3210
      @jumakibasame3210 10 หลายเดือนก่อน

      Wewe unaifanya tff ni Mali yako.ngao ya ufunguzi umefanya timu 4 Sheria hiyo umeipanga wewe ili matakwa yako.hukai milele hapo.

  • @Kulindwa
    @Kulindwa 8 หลายเดือนก่อน

    Chuki ipo wazi kabisa dhidi ya Haji...

  • @nicksonkinyaga3638
    @nicksonkinyaga3638 10 หลายเดือนก่อน +1

    kària hii nchii sio yako kumbuka hilooo

  • @EdwardSimon-zl4qm
    @EdwardSimon-zl4qm 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ni tako kama tako lingine

  • @ThomasJulius-rj8rq
    @ThomasJulius-rj8rq 4 หลายเดือนก่อน

    Fara wew karia

  • @michaeljohn9070
    @michaeljohn9070 10 หลายเดือนก่อน +6

    kamati hiyo ilikuwa yakipuuzi sana,,kwamaana tuliona wote mkitoleana maneno,na ata kutaka kupigana,sasa iweje akaliwe kikao mtu mmoja,,ata ww ulikosa heshima na adabu kama raisi huwezi taka pigana na mtu unae muongoza,,nawe ulipaswa uadabishwe na kamati ya maadili,ikiwa ni pamoja na kuachia kiti cha uraisi wa TFF

    • @bonifacemwakifwamba1760
      @bonifacemwakifwamba1760 10 หลายเดือนก่อน +1

      Mpumbavu huyu Hana akili na Na rais mama Samia haoni uonevu huu ,,,msomali mmoja kakimbia vita kwao anakuja kinyanyasa watanzani kwenye ardhi Yao huu niupuuzi

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 10 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@bonifacemwakifwamba1760HATA MJALUWO OBAMA AMERICA SIO KWAO NA KAWA RAISI WACHA UKABILA NA UBAGUZI WASOMALI NI WA AFRICA WENZETU WEWE.

    • @michaeljohn9070
      @michaeljohn9070 10 หลายเดือนก่อน

      @@bonifacemwakifwamba1760 ndomana ni mbinafsi sanaa,,hana asili ya kwetu kumbe

  • @Eliacharless-f3z
    @Eliacharless-f3z 2 หลายเดือนก่อน

    Ipo siku Atakuwa huru riziki ya mtu ipo kwa mungu kalia itakuwa ni shetan bas tufungie wote ngoja yukufanye ndondocha ndo utajua tekuchoka tutakuachia simba yako

  • @FadhiliBakula
    @FadhiliBakula 2 หลายเดือนก่อน

    Ndugu yangu karia usiendelee kuwa na chuki na haji, ukiendeleza chuki hata muda wake umeisha itakugharimu, wenye mpira wao hawatakubali, alafu angalia hata kauli zako, unasema umemfungia, alafu unasema kamati Yako umemfungia, kamati inayopokea maelekezo

  • @ramadhanbigirimana2617
    @ramadhanbigirimana2617 9 หลายเดือนก่อน

    Huyo Karia anaroho mbaya, mumchunguze labda sio mtanzania halisi labda nimugeni roho mbaya sana nachuki kwa Manara

  • @GasperKitomary
    @GasperKitomary 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe karia ACHA uchonga utakufa Aya ni maisha

  • @ufugajiwetu7782
    @ufugajiwetu7782 10 หลายเดือนก่อน

    My opinions kwanini asifungiwe tu maisha it will sound more good

    • @IbrahDeDonny-lv2lo
      @IbrahDeDonny-lv2lo 10 หลายเดือนก่อน

      Ungeongea tu kiswahili maana kizungu hujui, Shubasted 😂😂

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 9 หลายเดือนก่อน

    Kamanda upo sahihi sheria ifuatwe twende sawa

  • @JumaSalehe-q7z
    @JumaSalehe-q7z 9 หลายเดือนก่อน

    tena huyu haji hajaanza azabu yake mbona anaenda mpaka kwenye mtamasha ya nganga huyo haji afungiwe maisha

  • @MultiKelvin1994
    @MultiKelvin1994 10 หลายเดือนก่อน

    Ulimsaidia alivyokuwa kolo mwenzio... Kahamia kwa mabingwa umeonesha rangi zako za kweli.... 😂😂😂

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 10 หลายเดือนก่อน +1

    mnaona kua huyo ni dictetar wa kisomali anapambana na mtz haji manara

  • @abdiidi2494
    @abdiidi2494 10 หลายเดือนก่อน

    Awa waandish ni wehu kweli Yani unata hatakama mtu kafanya makosa aachiwe kisa anamchango ndani ya nnchi.ivi mnaelewa nyinyi

  • @EmanuelMzulla
    @EmanuelMzulla 2 หลายเดือนก่อน

    Ukweli haufichiki maneno yanatafsiri uhalisia mwenye upeo mkubwa wakufikiri anaelewa 😂😂

  • @Aidansimwanza
    @Aidansimwanza 9 หลายเดือนก่อน

    Safi kaliaa umepigajee hapooo

  • @nembibenard8440
    @nembibenard8440 10 หลายเดือนก่อน

    Saa mtangazaji anamuita muheshimiwa raisi mbona mnakosea makusudi huyu nae Mheshimiwa na mama samia ni nani wekeni mipaka muheshimiwa iko sahihi kumuita karia mheshimiwa raisi?

  • @drmohammed-di4nt
    @drmohammed-di4nt 10 หลายเดือนก่อน

    Acha roho mbaya

  • @samwelgeho2602
    @samwelgeho2602 10 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo kamati ya maadili na hayo magoli ya mchongo je hiyo kamati ipo?

  • @romimwalu
    @romimwalu 10 หลายเดือนก่อน

    Mbona mnaojua mpo kimya mnamwachia huyo tu kuuliza

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 10 หลายเดือนก่อน

    Kama Hana Nidhamu ni lazima Afungiwe tuu kwani yeye ni Nani bwana Acheni kutetea ujinga

    • @IbrahDeDonny-lv2lo
      @IbrahDeDonny-lv2lo 10 หลายเดือนก่อน

      ipo siku wakwanza atageuka wa Mwisho, huyu ipo siku kma sio yeye mwenyewe basi Mtoto wake

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 10 หลายเดือนก่อน

      LAZIMA ATIWE ADABU AWE NA NIDHAMU KWA VIONGOZI MPENDA SIFA YULE.

  • @mussamtupa
    @mussamtupa 10 หลายเดือนก่อน

    Jamaa ana roho mbaya kama ngozi ya Futi
    Kama anapewa Uraisi wa Nchi
    Wapinzani wote ndani.
    Maana hakuna mtu anasemwa vibaya kama Raisi wa nchi.
    Siku azigandi atakuja kujua baadae thulma haidumu.

  • @abisaimwakalukwa7959
    @abisaimwakalukwa7959 9 หลายเดือนก่อน

    Tena ww ukiisha muda wako utakoma huchaguliwi Tena Tena utakiona Cha Moto muamiaji ww.

  • @abisaimwakalukwa7959
    @abisaimwakalukwa7959 9 หลายเดือนก่อน

    Karia acha unafki ulishawai onja jera ww ni mshabiki wa Simba unachuki na haji ww unaniogopa mungu ww ulaisi ni wa muda tu utabaki kenge tu.

  • @fotunatusiMsongole
    @fotunatusiMsongole 3 หลายเดือนก่อน

    Mwanasimba huyuu,

  • @HakiKaisy
    @HakiKaisy 10 หลายเดือนก่อน

    Kwaio kumbe ni vita binafsi sio kanuni?

  • @geraldgogadi7054
    @geraldgogadi7054 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hata nilipomfungia

    • @choggysly3541
      @choggysly3541 10 หลายเดือนก่อน

      Kauli ya umimi Wakat yy yupo chini ya taasis

  • @melickmbengele817
    @melickmbengele817 2 หลายเดือนก่อน

    mzee acha vijana watangaze mpira wetu wa tz hivyo nikudhofisha soka letu

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 10 หลายเดือนก่อน

    Wewe choko tu kama manara amekutombea mkeo siuseme tu

  • @emmanuellazaro1848
    @emmanuellazaro1848 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe karia acha visasa ,jmani serikali tumsaidie manara huyu jamaa hafai kabisa anajikosha tu

  • @KapondaZenaida-g3z
    @KapondaZenaida-g3z 10 หลายเดือนก่อน +1

    Chiziwewe kalie

  • @omarymwenebatu
    @omarymwenebatu 2 หลายเดือนก่อน

    Hajatekeleza mana bado anajiusisha na soka

  • @Boaz22
    @Boaz22 10 หลายเดือนก่อน

    Karia anaroho mbaya sana

  • @relaxtube1362
    @relaxtube1362 9 หลายเดือนก่อน

    Principles are principles. Watanzania tunapeleka mambo kwa hisia na kwa mazoea sana. Hili sio swala binafsi, ni swala la Haji kuikosea heshima TFF kama taasisi.

  • @JamesChuhila-z9w
    @JamesChuhila-z9w 10 หลายเดือนก่อน

    Raisi tumekuelewa sanaa kwan asigungiwe kwani yeye ni nani mbona kuna watu wamefungiwa lkn awajasema kitu

  • @abuumohamed7090
    @abuumohamed7090 9 หลายเดือนก่อน

    Una roho mbaya saana we jamaa

  • @RichardMbise-gs9kx
    @RichardMbise-gs9kx 10 หลายเดือนก่อน

    Afungiwe kabsa

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee ana kisasi na moyo mweusi sana.

  • @sadickmagono189
    @sadickmagono189 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu Mzee kalia anabifu na haji ambalo lipo nje na soka letu

  • @davidtriphon3676
    @davidtriphon3676 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mzee amesema yeye ndiyo aliyemfungia manara sasa iweje Tff nitaasisi na aliyemfungia nikalia

  • @ChausikuSaid-f6f
    @ChausikuSaid-f6f 2 หลายเดือนก่อน

    Mpuuz ana chuki binanfs haji

  • @victornyese9009
    @victornyese9009 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe nenda kwenu somalia huko

  • @NgengeMkeni-uo5hq
    @NgengeMkeni-uo5hq 10 หลายเดือนก่อน

    Dada anaongea kishabiki maandazi, yaani hajui chochote ila anashupaza shingo tu

  • @janeemmanuel3615
    @janeemmanuel3615 10 หลายเดือนก่อน

    Huna busara kama kiongozi. Uraisi waTFF utaisha tu.

  • @piterasifa3757
    @piterasifa3757 10 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu dem nae anampenda haji

  • @AgustinoJoseph-jq7or
    @AgustinoJoseph-jq7or 10 หลายเดือนก่อน

    Kariaa unarohoo mbayaa ww

  • @Tiffany340
    @Tiffany340 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hilo domo lake lilivyo jeusi na roho yake lipo hivyo hvyo .. cjalitaja jina apo msinifungie bulee 😏 hekima hana ,🤗

  • @CheerfulFallingLeaves-iq1yb
    @CheerfulFallingLeaves-iq1yb 10 หลายเดือนก่อน

    Halafu lina hasira hili (KARIA)

  • @ommybrain9607
    @ommybrain9607 10 หลายเดือนก่อน

    Zingatia sheria

  • @suleimanjuma1872
    @suleimanjuma1872 10 หลายเดือนก่อน

    Kwak hy rais hana sauti katik kamati zake

  • @IssaAthuman-ur7zp
    @IssaAthuman-ur7zp 2 หลายเดือนก่อน

    ila karia huo mdomo kama niniliiuu

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 10 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaaa hana sifa ya kuwa kiongozi
    Kwa hapo tu
    Kaonesha madhaifu kibao

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s 10 หลายเดือนก่อน

    Ndo maana simba inaandamwa mikosi kila kukicha manara alipo kuwa simba mara mangapi alishambulia hadi wanahabari lakini hakuwahi kupewa adhabu kubwa kiasi hiki?? Chuki tu sinafanya kaz hapo kisa alihamia yanga je kiko wapi simba ilicho kivuna ndani ya misim hii miwili alyo toka simba?? Dhambi itawatafuna yaani mpaka mseme

  • @annamarry2033
    @annamarry2033 10 หลายเดือนก่อน +1

    Tumbo hilo kama tikiti wewe sio Mungu

  • @frezamapunda4273
    @frezamapunda4273 9 หลายเดือนก่อน

    Hii shenzi chukiii tuuu mdomo mkubwa kama bakuli la uji

  • @ananiamwatebela3159
    @ananiamwatebela3159 10 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mzee ni mbwa kama mbwa wengine ila utalipa kwa ubaya unaomfanyia manara kuku wew au unadhan utakaa miaka yote hapo ulipo afu ujue unakashifa kibao subil mulize malinzi mpaka sasa kapotea kwenye ulimwengu wa mpira

  • @amisamaurid1882
    @amisamaurid1882 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu alitakiwa apewe hata uraisi wa kusimamia mifugo kule anaonekana ni mtu wa chuki tabasam zinaonyesha tumm binafsi sijutaki kabisa

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee zungumza zungumza zake tu unajua kuwa jamaa ana chuki na roho mbaya kwa Manara,yaani ana roho ya kwanini ,ety kwa nini Haji ,Haji ana thamani yake katika mpira wa Tanganyika

  • @SaidSalim-bg1hh
    @SaidSalim-bg1hh 10 หลายเดือนก่อน

    Mbona alipokua simb akitukana yanga hukumfungiaa mbwa ww

  • @EmmanuelMwanza-ef9bf
    @EmmanuelMwanza-ef9bf 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu demu hajui kitu et kwahyo Haji Hana akili imagine umefunguwa Leo kila siku kuongerea watu

  • @alfredbowa9677
    @alfredbowa9677 9 หลายเดือนก่อน

    Uyu jamaa sio kiongozi wa mpira mchumia tumbo

  • @OscarMhagama-f4k
    @OscarMhagama-f4k 9 หลายเดือนก่อน

    Hovyooooooooo sana tff

  • @fredmbossa-kc3qn
    @fredmbossa-kc3qn 10 หลายเดือนก่อน

    mama samia kama aliingilia kati suala la fei naomba na suala la haji pia rais asaidie kulimaliza