Nimependa sana positive energy ya Babuu wa kitaa hasa kwenye kuupokea ugonjwa na kukubaliana na hali aliyonayo. Ametufundisha kitu hapo kwenye kuupokea ugonjwa wowote ule.
Exactly, Mimi pia nimepona aisee wauguzi na ndugu baadhi yao wanakukatisha tamaa kwamba cansa hawaponi. Weee mimi pia nilipata mizunguko sita ya Chemotherapy na mionzi mara moja. Jamii wanatakiwa kupata Elimu juu ya uginjwa huu na matibabu yake.♥️♥️♥️
@@aisharamadhan5257 Gharama ni kubwa asikudanganye mtu, ingawa serikalininasema matibabu ni bure but ni pesa labda mionzi sasa foleni yake mpaka ukaingie utasota
God.is.good big up dear bro ww.ni.mshindi umeshindaa na umeponaa❤ polee.sana jamani nimekupenda.sana umeponya wengi kwa.shuhuda yko.hukunhupo.kwenye furaha
Apewe hata kuwa ambassador wa cancer sababu yeye mwenyewe yuko open wagonjwa wachache sana ambao huwa open kwenye diagnosis zao. Wizara husika ama taasisi zinazodeal na haya mambo. Naomba kuwasilisha!!
@@jrm9448mbona ameeleza doctor inawezekana ukarithi au kutumia vilev na sigara… halaf babuu akasema yy vyote inawezekana kwa sabab baba yake amekufa kwa canser na pia inawezekana ikawa ni pombe au sigara kwa sabab alikua anatumia!
Allah azidi kukupa shifaa mm nipohoi hapa nawaza siwaziikuambiwa huwo ungonjwa maana dalilinyingi ninazo Allah tu aamue kuninusuru. Mawazoyanakuja kwenye pesa nitaanzakujitibu vipi kamapesa sina mm ndiye mama na ndiye baba wa familia. Napambana na familia ilitupate liziki sasa nilikaachini inakuaje hapo 😭😭😭yarabi nipeshifaa kwa hurumawako🤲😭😭 Sijui nikaetu mpakasikuyamwisho sijuinifanyenini watotowangu wataishivipi yaninachanganyikiwa kwa mawazo
Nenda kajicheki TU. Mungu atafungua njia yake usiwaze sana utazidi kuumia. Pia usisahau kuomba kwa Imani yako. Mume wangu alifanyiwa operation mara nne na sasa hana kansa kabisa. Usiogope❤
Anza water fasting, funga siku tatu au tano mfululizo kwa kunywa maji tu kila baada mwezi Alafu uendelee kula Ila punguza wanga na sukari, pendelea kula protein kwa wingi ndio utakaa mda mrefu bila kula....seli za kansa zinapenda sukari...ratiba yako ya kula iwe 16:8 au 18:6, yaani unashinda njaa masaa 16 au 18 Ila unaweza kunywa maji tu Alafu unakula ndani ya masaa nane au sita Milo miwili au mmoja tu. Ingependeza Kama ungeweza kula protein pekee Alafu ule mara moja kwa siku kilichobaki unakunywa maji kwa miezi sita mpaka mwaka Ila usisahau kufunga siku tatu au tano mfululizo kila mwezi kwa kunywa maji pekee!!!! Baada ya miezi sita kapime afya.
Ujasiri wa Babu wa Kitaa katika kupambana na kuhamasisha kuhusu kuikabili kansa ni wa kipekee. Mungu azidi kumpa nguvu na uzima. Baada ya kuugua kwake heshima yangu kwake imekuwa kubwa mno. Ameonyesha ujasiri ambao ni wa kipekee. Mungu azidi kumsimamia.
This has to go Viral… Babuu ana kitu soo special, kinatia sana moyo! I pray ufikie cancer free zone!
Babuu is a very good story teller. Congrats for being positive….
Nimependa sana positive energy ya Babuu wa kitaa hasa kwenye kuupokea ugonjwa na kukubaliana na hali aliyonayo. Ametufundisha kitu hapo kwenye kuupokea ugonjwa wowote ule.
Babu Wa Kitaa one of my best Rappers toka Tzee. Salute!!
Mungu Ambariki sana dr Ruta mama angu alikuwa akimpenda sana huyu dr kipind tunamuuguza hapo ocean raod😢..Mungu aendelee kukupa afya Babuu
Thanks to God for your healing. You are very positive.
Exactly, Mimi pia nimepona aisee wauguzi na ndugu baadhi yao wanakukatisha tamaa kwamba cansa hawaponi. Weee mimi pia nilipata mizunguko sita ya Chemotherapy na mionzi mara moja. Jamii wanatakiwa kupata Elimu juu ya uginjwa huu na matibabu yake.♥️♥️♥️
Mashaallah na pole kwa kuumwa garama nikakuaga kubwa naomba kufahamu ndugu yangu
@@aisharamadhan5257 Gharama ni kubwa asikudanganye mtu, ingawa serikalininasema matibabu ni bure but ni pesa labda mionzi sasa foleni yake mpaka ukaingie utasota
@@aisharamadhan5257 Foleni ni kubwa mno wagonjwa ni wengi mno
Acha kulaumu wauguzi
Pole sana na hongera sanaaaaa kwa Dr kwa kazi kubwa aliyoifanya na moyo wa ujasiri aliokupa Mungu mkubwa
Natamani hii ingesikiwa na jamii kubwa, kuongeza ufahamu juu ya ugonjwa huu...
Glory to God
Yaani pole sana na hongera maana huo ni ushindi.Barikiwa kwa ujasiri wa kuwatia moyo wengine
Masha Allah mwenyewe anavyoelezea unaweza cheka kama mazur lkn yote iman anayo ameridhia Alhamdulillah allah atutie nguvu wagonjwa wote
Amin
Nashangaa watu wote kwenye comment as if hamjamwona mwijaku...alivotulia ka maji ya mtungini....haya nipeni likes
kaizer sosa mitaani tunakuita BABUU WA KITAA , JAHBLESS YOU MAN
Pole mwnangu wa kitaa, na hongera kwa kupambana na kuja na hii movement
God.is.good big up dear bro ww.ni.mshindi umeshindaa na umeponaa❤ polee.sana jamani nimekupenda.sana umeponya wengi kwa.shuhuda yko.hukunhupo.kwenye furaha
Chukua mau yako,🎉🎉 kaka, God bless more health,,,unatia moyo sana,
Duu mungu wangu kuna Ali najisikia sijui mungu mwenyewe ndo anajua
Bi zena hongera sana
Bablai kinyamwezi sana sema sir god ni mwema siku zote
Pole kwachangamoto ulizopitia Mungu nimwema ata sasa yeye niEbenezer
Daah bonge la insperation ila hongera kwa kukubali hali yako mpka amepona ila ni huzuni nilimpoteza mama kwa kansa🥲🥲
Pole Allah ndo mweza wa yote
Apewe hata kuwa ambassador wa cancer sababu yeye mwenyewe yuko open wagonjwa wachache sana ambao huwa open kwenye diagnosis zao.
Wizara husika ama taasisi zinazodeal na haya mambo.
Naomba kuwasilisha!!
Aiseeeh pole sana kak
kaizer sosar.....nakubal sana bro
Duh pole sn Mwana wa hip hop
Duu pole kaka cku ya Leo nimekaa natafakari mungu azidi kukupa nguvu inshaallah
Brother ni shujaaaa Sana kweli kabisa yaaaaani
Daah ushuhuda mzuri sana
Dak ya 17-18.....mwijaku hapo
😂😂😂😂 hivi mmemuona Jose mara anavyomtazama babuu😂😂😂😂😂.....
Polee sanaaa
Nawagea hype wenzangu@ Babu wa Kitaa
Babuu ndomana mpaka leo ukabaki kwene game japo wengi walipotea uloanza nao kwene game because we ni mjanja na akili ya kuzaliwa uko nayo
My brother pole sana
Mungu akutunze
Killer na lunya wanakubali una moyo safy bro
Mwenyezi Mungu atunusuru 😢😢
Pole sana babu
Naogopa mimi😢
Duu mwangu sjui nismeje kna Ali najiona mhhh
Pole brother
Mwijaku kakaa mbali😅😅😅😅mtoto wa mjini amekalia kiti
Babuu wa Kitaa 🫶
Kansa ya ngozi afu uvimbe utokee ndani ya mbavu, dah! Hii sio kamba hii? Bado Hajasema Mpaka aseme ni kansa gani iliyokuwa inamsumbua.
Sababu ya Kansas ya Ngozi Ni ipi wandugu au inatokea tuu!?
Doctor ruta
Kumbe country boy na Babu ni nduguuu
Pole sana
Mm ndugu yangu anatatizo ya Kansa ini anaweza kumsaidia
Kuna siku nilikuwa pale nyuma ya shopers mikocheni, dada mmoja akawa anasema nimetoka kumcheck Babuu ila matumaini hamna tena.
Dah Ila kwa uwezo wa mungu,mwamba huyu hapa Tena
mlipaswa kuuliza maswali ya msingi nini chanzo ya hiyo kansa alivyoambiwa na madaktari na nini kinatakiwa kufanyika kuepukana na aina hiyo ya kansa.
Bongo kuwa wana udaku tu hakuna waandishi wa habari.
Hakuna binaadam anae kumbuka kila kitu
Acha ujuaji
@@jrm9448mbona ameeleza doctor inawezekana ukarithi au kutumia vilev na sigara… halaf babuu akasema yy vyote inawezekana kwa sabab baba yake amekufa kwa canser na pia inawezekana ikawa ni pombe au sigara kwa sabab alikua anatumia!
Jifunze kuwa msikivu mpaka mwisho.
Asee babuu, Mungu azidi kukuimarisha
God is good
Champion
Nataman ujumbe huu ungmfikia baba yngu may be angepona 😔😔
Pole sana
Pole Sana ndugu
pole sana.. Allah atamjalia atapoa inshaallah
Pole sana!
Pole sana unaweza kumtumia link itamfikia na ataiyona inshallah 🙏
Mbona mwijaku hana raha😂😂😂
Duu bigup
Huu ugonjwa ninavyo uogopa😢. Ila kwa ushuhuda huu, nawaombea wagonjwa wapone insha Allah
Acha tu yaan naogopa kuliko Ukimwi Mungu anisamehe kwa kweli
@@eveliynejoseph7944 mi sasa hivi nimiumwa mwili nawaza isije kuwa ndiyo Kansa, Mwenyezi Mungu tuepushe na gonjwa hili
Mimi soon ntatoa pesa ya watu 15-10 watibiwe . Apo Ocean road
anza n mim jmn nkupe no ykupokea pesa
Inshallah
Naitaji namba za huyo doctor
Mjanja huyuu
Husna anavyojifantaga anajua kuhoji leo kashindwa kabisaa kuuliza maswali ya msingi😢
mwamba anaongea san asee
Allah azidi kukupa shifaa mm nipohoi hapa nawaza siwaziikuambiwa huwo ungonjwa maana dalilinyingi ninazo Allah tu aamue kuninusuru. Mawazoyanakuja kwenye pesa nitaanzakujitibu vipi kamapesa sina mm ndiye mama na ndiye baba wa familia. Napambana na familia ilitupate liziki sasa nilikaachini inakuaje hapo 😭😭😭yarabi nipeshifaa kwa hurumawako🤲😭😭 Sijui nikaetu mpakasikuyamwisho sijuinifanyenini watotowangu wataishivipi yaninachanganyikiwa kwa mawazo
Nenda kajicheki TU. Mungu atafungua njia yake usiwaze sana utazidi kuumia. Pia usisahau kuomba kwa Imani yako. Mume wangu alifanyiwa operation mara nne na sasa hana kansa kabisa. Usiogope❤
Anza water fasting, funga siku tatu au tano mfululizo kwa kunywa maji tu kila baada mwezi Alafu uendelee kula Ila punguza wanga na sukari, pendelea kula protein kwa wingi ndio utakaa mda mrefu bila kula....seli za kansa zinapenda sukari...ratiba yako ya kula iwe 16:8 au 18:6, yaani unashinda njaa masaa 16 au 18 Ila unaweza kunywa maji tu Alafu unakula ndani ya masaa nane au sita Milo miwili au mmoja tu. Ingependeza Kama ungeweza kula protein pekee Alafu ule mara moja kwa siku kilichobaki unakunywa maji kwa miezi sita mpaka mwaka Ila usisahau kufunga siku tatu au tano mfululizo kila mwezi kwa kunywa maji pekee!!!! Baada ya miezi sita kapime afya.
@@rogath_silayo habari
Habari. Nakupataje kwa maelezo zaidi. Nauguliwa na mama yangu
@@ireneinnocent4128 Allhamdulillah. Amepona Mungu mwema Asante kwaushauli wako Mungu akulipe heri
Mnazingua mtu anaongea mnaeka sauti ya mziki kumbwa
Pole san
Ujasiri wa Babu wa Kitaa katika kupambana na kuhamasisha kuhusu kuikabili kansa ni wa kipekee. Mungu azidi kumpa nguvu na uzima.
Baada ya kuugua kwake heshima yangu kwake imekuwa kubwa mno. Ameonyesha ujasiri ambao ni wa kipekee. Mungu azidi kumsimamia.
Nilikuwaga nacheza goma lako kimbia fasita wewe na langa na mchiz mox.
Pole sana