Vyama vyote vya siasa lengo lake kuu ni kushika dola. Wakisha shika dola, kinachofuata ni kuongoza hiyo dola kuelekea maendeleo. Kwa hiyo, ilani za vyama vyote lengo lake ni kuleta maendeleo. Wanachopishana ni (priorities)vipaumbele, na namna (methodologies) ya kufikia vipaumbele hivyo. Hayo yanaweza kujadiliwa na vyama na wakakubaliana.
Mimi naomba kutofautiana na ninyi hapo kuhusu ccm kuchaguliwa na wananchi. Hebu anagalieni 2020 je walichaguliwa? Walitumia dhulma na ubabe. Walipitishwa bila kupingwa wagombea wote wa upinzani hasa wa Chadema.
Inawezekana kila chama kuenda na ilani ya chama chake. Ni tofauti na wale waliokuwa kuingia CCM kwani wale wamekwenda CCM bila ridhaa ya chake cha upinzani ndio maana wanatekeleza ilani ya CCM.
Ili kuwatoa majambazi walio iteka ccm, ni katiba mpya. Tuwe na tume huru. Kingine, tuwe na wapinzani wengi Bungeni. Mnakumbula kipindi cha Bunge la akina Wenje, Kafulila, Halima na wengineo wengi wa upinzani? Tulikua na ham ya kuchek Bunge! Sio saiz kila kitu ndio!
MPIGIE DR.JJ.MWAKA SASA KUPITIA 0758 100 100 na 0785 100 100 UPATE MSAADA WA KITABIBU KWA GHARAMA NAFUU.
Vyama vyote vya siasa lengo lake kuu ni kushika dola. Wakisha shika dola, kinachofuata ni kuongoza hiyo dola kuelekea maendeleo. Kwa hiyo, ilani za vyama vyote lengo lake ni kuleta maendeleo. Wanachopishana ni (priorities)vipaumbele, na namna (methodologies) ya kufikia vipaumbele hivyo. Hayo yanaweza kujadiliwa na vyama na wakakubaliana.
1st to comment... yaleyale kila siku,hamna jipya
Mwenyekiti Pumba Mmbwa Na Mavi Ya Chooni Ni Ng'ombe Kabisa Hauna Maana Wewe Ni Chawa Wa Nguoni
Mimi naona mama samia hanampinza mpenda maendeleyo asie nachama
𝙼𝚖 𝚗𝚊𝚠𝚊𝚘𝚖𝚋𝚊 𝚠𝚊𝚝𝚊𝚣𝚊𝚗𝚒𝚊 𝚖𝚞𝚖𝚞𝚞𝚗𝚐𝚎 𝚖𝚔𝚘𝚘 𝚖𝚊𝚖𝚊 𝚑𝚊𝚠𝚊 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚘𝚝𝚊𝚔𝚊 𝚒 𝚖𝚎𝚊𝚖 𝚌𝚑𝚊𝚍𝚎𝚖𝚊 𝚗𝚒 𝚔𝚊𝚖𝚊 𝚁𝚞𝚝𝚘 𝚖𝚞𝚝𝚊𝚓𝚞𝚝𝚊
Ccm wanatakiwa kujitasimin mwelekeo wa utawala siyo mzuri
Hivi mkiweka kichwa cha habari kinachowahusu mnadhani hatutawatazama!
Mimi naomba kutofautiana na ninyi hapo kuhusu ccm kuchaguliwa na wananchi. Hebu anagalieni 2020 je walichaguliwa? Walitumia dhulma na ubabe. Walipitishwa bila kupingwa wagombea wote wa upinzani hasa wa Chadema.
Kwani ccm huwa wanaongoza kwa hoja... Kwani ninyi mwenyewe,, mliona uchaguzi ulio pita.. Wanainchi,, siku zote tunachagua chedema Ila wanapora....
Katiba mpya pia kuungana ni sahihi Kwa maendeleo ya wananchi
Watu wanawapigia kura vyama vya upinzani lakini wanaibiwa kura kupitia serikali kwa kuipendelea ccm
Inawezekana kila chama kuenda na ilani ya chama chake. Ni tofauti na wale waliokuwa kuingia CCM kwani wale wamekwenda CCM bila ridhaa ya chake cha upinzani ndio maana wanatekeleza ilani ya CCM.
Ccm inatawala kwa nguvu. Ndo maana hawataki hata tume huru
Ili kuwatoa majambazi walio iteka ccm, ni katiba mpya. Tuwe na tume huru. Kingine, tuwe na wapinzani wengi Bungeni. Mnakumbula kipindi cha Bunge la akina Wenje, Kafulila, Halima na wengineo wengi wa upinzani? Tulikua na ham ya kuchek Bunge! Sio saiz kila kitu ndio!
CCM INACHAGULIWA NA TUME SIO WANANCHI
Watanzania ovyo sana ivi kwanini mnasema ni mbunge mmoja tu wa jimbo wa upinzani wakati wapo wawili?
𝙽𝚒𝚔𝚘 𝚔𝚎𝚗𝚢𝚊 𝚜𝚒𝚘𝚗𝚒 𝚗𝚊𝚏𝚊𝚜𝚒 𝚢𝚊 𝚌𝚑𝚊𝚍𝚎𝚖𝚊 𝚔𝚞𝚔𝚊𝚛𝚒𝚋𝚒𝚊 𝙲𝚌𝚖 𝚔𝚊𝚖𝚠𝚎
Endelea kulala
We inakuhusu nini Tanzania fanya yanayo kuhusu kwenu
Hatujakuuliza uliko na makende yako, .. eti niko nyoko, uwe kenya wewe kwa wenye akili ulivyo boya hivo na umekamatwa makende
𝙷𝚊𝚔𝚞𝚗𝚊 𝚑𝚊𝚝𝚊 𝚖𝚖𝚘𝚓𝚊 𝚖𝚠𝚎𝚗𝚢𝚎 𝚗𝚒𝚊 𝚢𝚊 𝚖𝚊𝚎𝚗𝚍𝚎𝚕𝚎𝚘 𝚗𝚓𝚊𝚊 𝚢𝚊𝚘 𝚗𝚒 𝚑𝚊𝚝𝚊𝚛𝚒 𝚠𝚊𝚝𝚊𝚗𝚣𝚊𝚗𝚒𝚊 𝚖𝚞𝚝𝚊𝚓𝚞𝚝𝚊
𝙽𝚊𝚘𝚖𝚋𝚊 𝚔𝚞𝚓𝚞𝚊 𝚌𝚑𝚊𝚖𝚊 𝚌𝚑𝚊𝚞𝚙𝚒𝚗𝚣𝚊𝚗𝚒 𝚋𝚊𝚛𝚊𝚗𝚒 𝙰𝚏𝚛𝚒𝚌𝚊 𝚔𝚒𝚕𝚒𝚌𝚑𝚘 𝚋𝚘𝚛𝚎𝚜𝚑𝚊 𝚖𝚊𝚒𝚜𝚑𝚊 𝚢𝚊 𝚠𝚊𝚗𝚒𝚗𝚌𝚑𝚒 𝚠𝚊𝚘
Menda Malawi
𝚠𝚊𝚞𝚕𝚒𝚣𝚎 𝚠𝚊𝚔𝚎𝚗𝚢𝚊 𝚠𝚊𝚕𝚒𝚟𝚢𝚘 𝚔𝚊𝚛𝚊𝚗𝚐𝚠𝚊 𝚗𝚊 𝚁𝚞𝚝𝚘 𝚋𝚊𝚊𝚍𝚊 𝚢𝚊 𝚊𝚑𝚊𝚒 𝚔𝚒𝚋𝚊𝚘 𝚠𝚊𝚌𝚑𝚎𝚗𝚒 𝚖𝚊𝚖𝚊 𝚊𝚎𝚗𝚍𝚕𝚎𝚎