QABOOS ALETA MELI YAKE ZANZIBAR KWA ZIARA YA SIKU 5

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Mfalme Qaboos wa nchini Oman aleta meli yake mpya, ambayo hii ndio mara ya kwanza kufanya safari na kuileta ZANZIBAR. #hakikahiinifahariyetu #hakikahiinifahariyetu

ความคิดเห็น • 204

  • @bakarihamisi5638
    @bakarihamisi5638 4 ปีที่แล้ว +7

    Amesha Fariki lakini tumuombeee inshaaAllah Allah amrehemu na amlaze mahalapema peponi alllahumma amiin

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 7 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah our father Qaboos Mungu akupe umri na afya mfalme wetu mwenye sifa kubwa na heshma kubwa duniani.! waomani tunakupenda saana kwa uongozi na mapenzi yako kwa watu wote.! we are proud for evething.! Alhamdulillah

  • @tifasharjy8220
    @tifasharjy8220 7 ปีที่แล้ว +6

    Masha Allah. M/Mungu azidi kumpa Afya njema na umri mrefu Babaetu Qabous. ALLAH akuhifadhi baba, akupe umri mrefu wenye kheri nawewe akuzidishie Afya njema na akujaalie mwisho mwema na Qilma ya LAILAHAILLA LLAH MUHAMMAD RASULULLAH. I love My Father Sultan Qabous n all.

    • @brombo-ly4xz
      @brombo-ly4xz 7 ปีที่แล้ว +1

      Ameen yarrab he is the leader of all time. The best of the rest. Long live our sultan

    • @charitycherish6656
      @charitycherish6656 7 ปีที่แล้ว +1

      Amina yarabi

  • @fatmaalrashdi1577
    @fatmaalrashdi1577 7 ปีที่แล้ว +3

    achenu matusi au masimango mfalume wetu katufundisha upende na heshima kwa kila mtu na kila kabila akiwa mweusi au mwekundu ni binadam kama sisi mfalume wetu hana ubanguz allahmdu llah mungu ampe umri atole maradhii aminee

    • @mohmedalabre8104
      @mohmedalabre8104 7 ปีที่แล้ว

      Fatma Alrashdi ila nyinyi munakua na ubaguzi laiti engekua muna roho kama huyo kabusi twengekua na amani

    • @mohmedalabre8104
      @mohmedalabre8104 7 ปีที่แล้ว

      Fatma Alrashdi wengi wakuja tunajua kwamba kabusi mshlla ila asilimia nyingi wanaubaguzi MTU salamu kukupa aona kma unataka kumrukisha weusi

    • @oopsm3574
      @oopsm3574 7 ปีที่แล้ว

      Mohmed Alabre : kasumba hiyo😂😂

    • @mzuvendi
      @mzuvendi 7 ปีที่แล้ว

      Hebu tuondoshee huo ukakasi! Popote ukijiheshimu utaheshimiwa na kinyume chake sahihi!

    • @mohmedalabre8104
      @mohmedalabre8104 7 ปีที่แล้ว

      Fatma Alrashdi kafundisha ila hamufuati mtume amekataaa kujifaharisha kwa MTU alichojaliwa kwa chochote kile laiti twengeambiwa tujifaharishe basi omni yengekua ya kwanza kujifaharisha tumekatazwa na bado kujifaharisha hamuachi ninachosema site njia yetu ni moja tu

  • @muddaththirhamoud1240
    @muddaththirhamoud1240 7 ปีที่แล้ว +11

    Shukran zenu Wa Zanzibar kwani Zanzibar ni mjii mkuu wa kwanza wa Oman.
    Ingekua mbali sana saivi Zanzibar lakin Mapinduzi ndo yameharibu kila kitu Ila bado tupo Pamoja ❤️🇴🇲

  • @user-ri7ei8zj1g
    @user-ri7ei8zj1g 7 ปีที่แล้ว +6

    ونعم بالشيخ شعبان البطاشي
    الله يحفظ زنجبار

  • @nohatredbutlove5786
    @nohatredbutlove5786 7 ปีที่แล้ว +3

    Alhamdulillah, namshkuru Allah kuwa raia wa Oman. Naipenda sana Oman na watu wake na zaidi His Majesty Sultan Qabuos bin Said. Lakini pia naipenda sana Zanzibar ardhi niliyokulia na kulelewa, na halkadhalika nawapenda sana Wazanzibari. Lakini nachukia sana unafki wa watawala wa Zanzibar hasa pale wanapojifanya wema mbele ya waarabu wenyewe na pindi wanapopewa migongo hupanda kwenye viriri na kuanza kuwatukana Waarabu. Huwa najiuliza hivi ni nani mwenye haki zaidi ya kuwachukia wenzake kati ya Waarabu na watawala wa Zanzibar kwa mambo yaliyotokea 1964? Mbona waarabu wamesahau na kusamehe lakini dhambi zinawatafuna watawala kila kukicha wanawatukana waarabu pasi na kosa lolote. Badilikeni.

    • @brombo-ly4xz
      @brombo-ly4xz 7 ปีที่แล้ว +1

      Seif Abdullah Tv tatizo wanadanganywa na siasa na historia ya utumwa. But ukiisoma deep down hakuna ukweli wowote. Mm ni mwana historia mkubwa na mpaka leo sijapata prove ya kuonyesha watumwa walifungwa minyororo ni unafiki na uzandiki mtupu. Hii ni vita ya west against islam.

    • @nohatredbutlove5786
      @nohatredbutlove5786 7 ปีที่แล้ว

      Juri Hamed yet kuna majuha yamekuwa brainwashed na yanaamini

    • @Kijana-wa-Tanzania
      @Kijana-wa-Tanzania 7 ปีที่แล้ว

      Juri Hamed Mwanahistoria wa wapi wewe?
      Where did you ever stand to argue for what you’ve proven to be correct? Platform yako ni ipi kama mwanahistoria?
      Leta link ya document uliyopublish urguing for hicho unachosema ama hata tittle ya utafiti wako tuutafute!

    • @Kijana-wa-Tanzania
      @Kijana-wa-Tanzania 7 ปีที่แล้ว

      Seif Abdullah Tv Sasa nimeelewa kwa nini domo kuubwa kutetea!
      Baki huko huko huku kuna wenyewe mnafiki wewe!

    • @nohatredbutlove5786
      @nohatredbutlove5786 7 ปีที่แล้ว

      Kijana Wa Tanzania haunipi shida nishajua kiwango cha elimu yako na wala sio size yako mimi. As a matter of fact najishusha hadhi kuargue na wewe.

  • @burham6666
    @burham6666 7 ปีที่แล้ว +12

    السلام ورحمة الله وبركاته على اهل زنجبار الكرام

  • @mamafranjovlog72
    @mamafranjovlog72 7 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri sana na asante ktz kwa kutuabarisha .

  • @zuweinajuma468
    @zuweinajuma468 7 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah tupendane Kwa ajili ya Allah Allah atawalipa mema in shaa Allah

  • @salimalnassri2558
    @salimalnassri2558 7 ปีที่แล้ว +3

    لفته طيبه من لدن حضرة صاحب الجلالة، لتقوية أواصل المحبه والسلام، تحيه للشعب التنزاني العزيز

  • @saidomar6806
    @saidomar6806 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallaah Oman Mashaallaah Zanzibar ...rest peace Sultan Qaboos

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 7 ปีที่แล้ว

    Mashallah, Allah akupe mwisho mwema Qaboos Said

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 7 ปีที่แล้ว

    Waaawww v'beautiful ni ya3 ktk dunia kwa ukubwa Mashaallah.!! mwenye mawivu na mahusda hapo sasa akajinyonge.!

  • @user-eg1dr6so4c
    @user-eg1dr6so4c 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah amrehemu Qaboos amuweke pema peponi Ameen

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 7 ปีที่แล้ว +1

    Wala hamna mwarabu mbaguzi huo ni ubaya wa roho kuwachukia watu na kuwapakazia mabaya ya uongo tu!! lakini Mungu haambiwi tizama na anampa amtakae.. basi waarabu utawaona ivoivoo.!! na wamekuja kwenu kwa amani na kuleta misaada yao na mapenzi yao kwa wenzao.! na mwenye macho haambiwi tazama.!

  • @hongerakkachawasemewwkzbut4996
    @hongerakkachawasemewwkzbut4996 7 ปีที่แล้ว +2

    masha Allah.

  • @FaridKhalfan-br1zf
    @FaridKhalfan-br1zf 11 หลายเดือนก่อน

    Mashallh

  • @user-wi8hr5zt4y
    @user-wi8hr5zt4y 7 ปีที่แล้ว +1

    Love from Oman

  • @RidhwanAmar
    @RidhwanAmar 7 ปีที่แล้ว +7

    Mcheza kwao Hutunzwa

  • @خديجهالبيماني-ن9ح
    @خديجهالبيماني-ن9ح 7 ปีที่แล้ว +10

    wazanzibari mujue kua sisi na oman ni ndugu wa asili na leo mmehakikisha kwa walivopokelewa na serikali ya smz ,wale walioku wakisema hawataki waarabu kumbe ilikua ni danganya toto tu ukweli mshaujua sasa

  • @iddirajab5924
    @iddirajab5924 7 ปีที่แล้ว +1

    njaaa mtihani kweli eti hii ni meli yetu.mtangazaji anachekesha sana .meli yeni si mapinduzi 2

  • @UmmyilhamUmmyilham
    @UmmyilhamUmmyilham 4 ปีที่แล้ว +1

    Wanatuita mahizbu lkn wao ndoo vibaraka mbona wapo pembeni nipo oman na wanatujali sana na kutupenda allah ajaalie irudi tena oman ktk kisiwa chetu tuongozwe na ukoloni wetu na ni asli yetu

  • @wyclefali2976
    @wyclefali2976 7 ปีที่แล้ว

    Weldone good job........

  • @zanzibarsmzenji
    @zanzibarsmzenji 7 ปีที่แล้ว +5

    Seif idi ungevaa ile kanzu alokupa maalim seif.

  • @binalawi95
    @binalawi95 7 ปีที่แล้ว

    mashaallah nice

  • @emmanuelalphaxard9276
    @emmanuelalphaxard9276 5 ปีที่แล้ว +1

    Haiwez kuwa ya tatu hata top 100 haipo but ni kubwa

  • @ramadhaniathumanimlenge6641
    @ramadhaniathumanimlenge6641 7 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @ahmedalabry5969
    @ahmedalabry5969 4 ปีที่แล้ว

    Nimeshawahi kupanda

  • @mimial9739
    @mimial9739 7 ปีที่แล้ว

    ما شاء الله

  • @rashidsuleiman2663
    @rashidsuleiman2663 7 ปีที่แล้ว +2

    Meli ya oman imefanana na mv mapinduzi 2 kwa uzuri wake

    • @oopsm3574
      @oopsm3574 7 ปีที่แล้ว

      rashid suleiman :ndio😂😂😂

    • @mzuvendi
      @mzuvendi 7 ปีที่แล้ว

      Nadhani wee kipofu!

    • @bimkubwaali1605
      @bimkubwaali1605 7 ปีที่แล้ว

      rashid suleiman kwahisani yako kapime malaria haraka au una mayuyu chidy nimecheka sanna mapinduzi 🤣🤣🤣

    • @hamadisuleman4858
      @hamadisuleman4858 4 ปีที่แล้ว

      Mapinduz hata haingii ndan

  • @hassanboi5906
    @hassanboi5906 7 ปีที่แล้ว

    maashaallah

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 7 ปีที่แล้ว

    Nani anashida ya pesa zenu na mnapesa gani hasa watu wana kila kitu chao.. hiyo roho mbaya na choyo tu.? ndio mana hmn maendeleo.!!

  • @alsharji89
    @alsharji89 7 ปีที่แล้ว +7

    وين اللي متابع ومخلي نفسه فاهم؟؟؟

  • @simbadume3126
    @simbadume3126 7 ปีที่แล้ว

    Watumwa wametembelewa na bwana wao!

    • @inuyashasgirlsmao5084
      @inuyashasgirlsmao5084 7 ปีที่แล้ว

      Simba Dume we ni mbra acha fitna.hamna utumwa kwenye uislam...

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 7 ปีที่แล้ว

    Na hamtaendelea mpaka mjisafishe kwa Mungu akiwasameh mtakuwa kama nchi za wenzenu.!

  • @mundhirhamad6595
    @mundhirhamad6595 7 ปีที่แล้ว +5

    mnatukana warabu kilasiku leo wamekua ndugu wacheni unafik

    • @zenasalumu2560
      @zenasalumu2560 7 ปีที่แล้ว

      Mundhir Hamad Kila siku mnatanga waarab wanawauwa leo wanajifanya fahari yao

    • @allymassudi4705
      @allymassudi4705 3 ปีที่แล้ว

      ujinga ndio ulio waja cjengine

  • @asiakheir3846
    @asiakheir3846 7 ปีที่แล้ว +1

    Abu masoud, unaweza kuitengeneza au dharau na kejelindio tabiayakombaya?pole.

  • @mrdonewhite3724
    @mrdonewhite3724 7 ปีที่แล้ว

    karibuni zanzibar

  • @rashidseif6103
    @rashidseif6103 7 ปีที่แล้ว

    Wao viongozi wa ccm mejino yote nje kisha wakikaa ktk majukwaa wawatukane waarabu,na kupandikza chuki kwa raia wa Zanzibar juu ya Waarabu. CCM wacheni fitna hzo.

  • @zanzibarsmzenji
    @zanzibarsmzenji 7 ปีที่แล้ว +7

    BANIAN MBAYA KIATU CHAKE DAWA

    • @blacknature7637
      @blacknature7637 7 ปีที่แล้ว +1

      mlakapolo mzenji09😂😂😂😂😂😂

    • @nassraramadhans1074
      @nassraramadhans1074 7 ปีที่แล้ว +1

      ila angefika kabos sema tuu ndo anaumwa

    • @zenasalumu2560
      @zenasalumu2560 7 ปีที่แล้ว

      mlakapolo mzenji09 Umeona eeee

  • @sheebqpsheebqp8314
    @sheebqpsheebqp8314 7 ปีที่แล้ว +1

    Safi sanaaaaaaaaa

  • @عايشهسعيد-ض5ذ
    @عايشهسعيد-ض5ذ 7 ปีที่แล้ว +9

    viongozi wa ccm ndo muache unafki wa kuwatukana waarabu majukwaani munapotoa watu chuki nin wakati waislaam ni ndugu

    • @nasseralbutrani435
      @nasseralbutrani435 7 ปีที่แล้ว +1

      Waislam ni ndugu Oman wanalingania udugu pamoja na kuonyesha kua hawana shida ya uchumi wa Zanzibar lakini wanashida na udugu wa karne nyingi zilizopita

    • @nohatredbutlove5786
      @nohatredbutlove5786 7 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna umaskini mbaya kama kuwa maskini wa akili na maarifa. Ujinga ndio tatizo tu hapo.

    • @nohatredbutlove5786
      @nohatredbutlove5786 7 ปีที่แล้ว

      Hakuna umaskini mbaya kama kuwa maskini wa akili na maarifa. Ujinga ndio tatizo tu hapo.

    • @Kijana-wa-Tanzania
      @Kijana-wa-Tanzania 7 ปีที่แล้ว

      Nasser Al Butrani Hivi waliyoyafanya Waarabu kwa mtu mweusi mnayaelewa ama mna kumbukumbu ya nyakati za kueneza dini pekee?
      Hatujiulizi hata kwa nini sio wanaume wa Africa waliozaliana na wanawake wa kiarabu bali ni Wanaume wa kiarabu walizaliana na wanawake wa kiAfrica!
      Hebu acheni ujuha!

    • @nohatredbutlove5786
      @nohatredbutlove5786 7 ปีที่แล้ว

      Kijana Wa Tanzania wewe ni zaidi ya Juha. Sasa ndoa si ni makubaliano ya pande mbili? Ukiona walizaa ujue walioana kwa ridhaa na kuzaa. Sasa nikuulize wewe, hivi Raisi wa awamu ya kwanza alikua mwarabu? Na jee yupo mke wake yoyote aliekuwa mswahili? Ninaowajua mimi wote walikua waarabu. Na kibaya zaidi wengi katika wanawake wa kiarabu waliolewa kwa nguvu baada ya Mavamizi ya 1964 bila ya ridhaa yao wala ya wazee wao na mifano tunayo kwenye familia zetu. Jee! Wewe unaweza kututajia mfano wa mwanamke wa kiswahili alieolewa kwa nguvu na mwarabu pasi na ridhaa yake wala wazazi wake? Hivi mwenye haki ya kumchukia mwenzake hasa kati ya mwarabu na watawala wa nchi hii ni nani? Unaongea tu usilolijua. Kuna maelfu au malaki ya waarabu yaliuwawa kikatili 1964 na wengine kupoteza viungo vyao. Unayajua hayo? Mbona waarabu wamenyamaza na wanaendeleza udugu wao? Mfano wa karibu baba yangu alifungwa na mwana mapinduzi ambae ameshafariki sasa (Allah amrehemu) lakini hivi sasa kijana wa huyo mwanamapinduzi anaishi vizuri na baba, na mpaka mke kamtaftia na kumuozesha. Basi kama huna unalojua ni bora ukafunga bakuli lako.

  • @el_chilubi7458
    @el_chilubi7458 7 ปีที่แล้ว

    Hivi hii channel yenu inaitwa KOTV au KTV? naona nasikia KTV kutoka kwa watagazaji wenu

  • @charinareambonanza63
    @charinareambonanza63 7 ปีที่แล้ว +1

    Allah awaswameh nyote mnaotoa matuc sisisote ni wakupita tu na kilakitu tutakiwacha hapahapa duiani hatakiwe cha fahar vp

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 6 ปีที่แล้ว

    Meli ya ghorofa 11,bila shaka ni meli refu zaidi kuelekea hewani kuliko jengo lolote ndani Zanzibar

  • @fahmysalumal-gheyth2574
    @fahmysalumal-gheyth2574 7 ปีที่แล้ว

    hatar warab heshima

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 7 ปีที่แล้ว

    Fadhili..
    Hata wazungu na wareno waliuza watumwa mbona hamuwasemi au munawaogopa mabwana zenu? ni machifu wenu ndio wakiwauzeni kwa wazungu kwa ushanga..

  • @nabilamaashaallahmaashaall6977
    @nabilamaashaallahmaashaall6977 7 ปีที่แล้ว

    Si mnasema seif sharif akipata ataleta warabu wenzake ndio mmekuja kuoneshwa kama waarabu hawanashida na nchi yenu wanamaisha yao na mapesa yao na waarabu asili yao niwapembaaa kwataarifa zenu

  • @nabilamaashaallahmaashaall6977
    @nabilamaashaallahmaashaall6977 7 ปีที่แล้ว

    Roho zetu zinauma mnavyotutukana waarabu siwatu mnakataa nduguzenu kwa mambo yakijinga m.muungu katuumba tushikamane nasio tubaguane mie mwaarabu mume wangu mnyamwezi jeee nikamtupe

    • @brombo-ly4xz
      @brombo-ly4xz 7 ปีที่แล้ว

      Nabila maasha allah maasha allah Khalifa cha kushangaza tumechanganya damu 😭 mbona nchi za kiarabu zote zimejaa warabu weusi ?? Au hawajui ? Na wanapendana hamna ubaguzi

  • @annastaziakibole5603
    @annastaziakibole5603 7 ปีที่แล้ว +1

    naumia sana kuona ivi ila sina njinsi nabaki kutazama tu

    • @mzuvendi
      @mzuvendi 7 ปีที่แล้ว

      annastazia kibole Unaumizwa na nini??

  • @dhulfiqaarally7274
    @dhulfiqaarally7274 4 ปีที่แล้ว

    Zanzibar nikwao

  • @jamshedaltiwani6481
    @jamshedaltiwani6481 7 ปีที่แล้ว

    sote tunasahau
    haibaki Katika kumbukumbu ila Yale yaliyotuliza Kwa furaha au kwa machungu,
    ardhi ndiyo inayohifadhi kila Kitu na kila athari...
    salamu iwe kwa Zanzibar na Oman na watu wake

    • @salmamansour3718
      @salmamansour3718 4 ปีที่แล้ว

      sahh kabisa but hili jina sio geni kwang khalfan said mattar wamjua

  • @zenasalumu2560
    @zenasalumu2560 7 ปีที่แล้ว +1

    Apo mnafrai vizur ila mashaghala wakianza kuwatusi waarab

  • @asiakheir3846
    @asiakheir3846 7 ปีที่แล้ว

    Wengine hapo wameona choyo,roho zina wauma,akufaae kwashida ndie rafiki, wazanzibar musiwachukie waarabu,nendeningomekongwe makumbusho mutajua,zbar ni yatanganyika au ya Oman jibu likomle.

  • @asiakheir3846
    @asiakheir3846 7 ปีที่แล้ว

    Ccm ndio wanafiki mbona hamja wafukuza na meliyao?

  • @ahmedyoung7300
    @ahmedyoung7300 7 ปีที่แล้ว +6

    Zanzibar na oman ni ndugu hasa tena wa damu kabisa

    • @nassraramadhans1074
      @nassraramadhans1074 7 ปีที่แล้ว

      yani ningelikua nipo hee

    • @nassraramadhans1074
      @nassraramadhans1074 7 ปีที่แล้ว +1

      mimi ni mzanzibar ila nampenda sana tena sana raisi wa oman saidi bin sultan Qabos

    • @ajuxman9382
      @ajuxman9382 7 ปีที่แล้ว

      Ahmed Bob udugu huo umeanza lini .ww soma history utajua

    • @morenamiles7337
      @morenamiles7337 7 ปีที่แล้ว

      Nifulaha katika nchi yetu

    • @ajuxman9382
      @ajuxman9382 7 ปีที่แล้ว

      Morena Miles njoo tukufundishe kiswahili sio nafulaha sema nafuraha

  • @lastmanxa
    @lastmanxa 7 ปีที่แล้ว +1

    يا ريتني زنجباري وافهم مو يقولو

  • @stevoovlogs8645
    @stevoovlogs8645 4 ปีที่แล้ว +1

    Dude lote hlo linabeba watu 200 tu

    • @sinashomar1806
      @sinashomar1806 4 ปีที่แล้ว

      😂😂

    • @salmamansour3718
      @salmamansour3718 4 ปีที่แล้ว

      mbn huo mdude wako watia mtu mmoja hutii wawail kwa wakat mmoja na ni mkubwa so usishangae kikubwa ukadhan kina nn sjui

    • @sinashomar1806
      @sinashomar1806 4 ปีที่แล้ว

      @@salmamansour3718 🙆😂

    • @salmamansour3718
      @salmamansour3718 4 ปีที่แล้ว +1

      @@sinashomar1806 umefurahi enh watu kama hao majib yao madg tu

  • @nasorosaid3227
    @nasorosaid3227 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo unaitwajwe

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 7 ปีที่แล้ว

    Abu..msd
    Hiyo sio meli ya Bulicheka.!! choyo tuu

  • @shifaa3327
    @shifaa3327 7 ปีที่แล้ว

    Ela hapo hayupo kabusi musitudanganye

  • @annabayyiabdallah9732
    @annabayyiabdallah9732 7 ปีที่แล้ว

    Mbona wamepokelewa na jitu jeusi lisilopenda w2 weupe

  • @ajuxman9382
    @ajuxman9382 7 ปีที่แล้ว

    Watzania mabwege wakubwa bakora ya magufuli lazima mujue siku ya kuzaliwa kudadadeki njoo oman huku tuwapeni kazi za ndani

    • @annastaziakibole5603
      @annastaziakibole5603 7 ปีที่แล้ว

      mmmmh comment yak imeniuma sina njinsi

    • @mzuvendi
      @mzuvendi 7 ปีที่แล้ว

      Akhui si uungwana kutumia lugha mbaya! إذا كان المتكلم مجنون فألعاقل.....!

    • @ajuxman9382
      @ajuxman9382 7 ปีที่แล้ว

      cool moods nisamehe kaka daah kweli kama hapo ni makosa ila hawo watu si wazur ccm wamewatia ndani masheikh na kuukandamiza uislam sio watu wa kuwa na ukaribu nao

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 7 ปีที่แล้ว

    Waso haya wanamji wao

  • @Holy-Quran-allah
    @Holy-Quran-allah 7 ปีที่แล้ว

    مو صاير 😭

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 7 ปีที่แล้ว

    Ali... rudi kwenu hmn hujafungwa kamba unang'ang"ania nini kama unateswa?

  • @perrychicken5876
    @perrychicken5876 7 ปีที่แล้ว

    Zanzibar na oman ni damdam

  • @bxrkeshorts738
    @bxrkeshorts738 7 ปีที่แล้ว +1

    abu masoud tuletee meli yk ya chuma

  • @عايشهسعيد-ض5ذ
    @عايشهسعيد-ض5ذ 7 ปีที่แล้ว

    ujinga tu nendeni mukawapige basi muwafanye nini na umasikini wenu kutwa munaomba mnajitia mdomo yaliyopita yamepita tugange yajayo

  • @massoudsule9015
    @massoudsule9015 7 ปีที่แล้ว

    nyinyi mnakaa kuwasema waarabu je balozi huogopi kupinduliwa

  • @msellemsalim690
    @msellemsalim690 7 ปีที่แล้ว +1

    NILIKUA NIKISIKIA KWA BAADH YA VIONGOZ MBAL MBAL WA CCM ET CUF WATAWALETA WAARAB NDO HAWAA NN WASHAWASIL!!?

    • @mzuvendi
      @mzuvendi 7 ปีที่แล้ว

      Msellem Salim Enheee ndio hao washa fika!

  • @latifaayoub5750
    @latifaayoub5750 7 ปีที่แล้ว

    Oman Vs Zanzibar

  • @zainabuyasin8189
    @zainabuyasin8189 7 ปีที่แล้ว

    mel ya ukwel waoooo

  • @user-wi8hr5zt4y
    @user-wi8hr5zt4y 7 ปีที่แล้ว

    I don't understand anything but it is ok lol

  • @iddirajab5924
    @iddirajab5924 7 ปีที่แล้ว

    wazanzibar wanapenda uarabu ?toka lini tukawa na udugu wa damu na waarab .

    • @oopsm3574
      @oopsm3574 7 ปีที่แล้ว

      Iddi Rajab :weeee mwarabu piga zubb kila mahali Tanganyka, kenya, Uganda, Burundi, Ruwanda, Congo, Mozambique,. Madagascar, na mwahali mwengine shenzi type

  • @alialesry5131
    @alialesry5131 7 ปีที่แล้ว +2

    Abu Masuod Anza kufanya yako ya mabati takuka kukusaidia loooo wivuuuu tu huooo una lolote

  • @sumatanjunior231
    @sumatanjunior231 6 ปีที่แล้ว

    Eti fahari yetu haha dah

  • @rashidgadafrashidrashid633
    @rashidgadafrashidrashid633 7 ปีที่แล้ว +1

    hiyo saivi nusiiite zanbzar hiyo ni mkowa wa omani muacheni magufuli abaki na mifunguo yake

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 7 ปีที่แล้ว

    Lazima sisi tuwe wakwanza kutembelewa zanzibar na Oman nindugu damdam

  • @rosemarybenjamin5866
    @rosemarybenjamin5866 7 ปีที่แล้ว

    Mbon uyo mshik maiki kazubaa ivoo😁😂😂

  • @msirikalecharles7516
    @msirikalecharles7516 5 ปีที่แล้ว

    Ila hakuna kitu kizuri duniani kama muungano na ndo maana walisema kwamba umoja ni....... Na utengano ni.......!!?

  • @uwezo86
    @uwezo86 5 ปีที่แล้ว

    Meli ya 3 kubwa duniani? What?

  • @rosemarybenjamin5866
    @rosemarybenjamin5866 7 ปีที่แล้ว

    Qaboos yukoap sasa

  • @al7arthi755
    @al7arthi755 7 ปีที่แล้ว

    هباري ياكو

  • @zenabayzenabay5907
    @zenabayzenabay5907 7 ปีที่แล้ว

    Hahahahahah mashagala letu jicho

    • @hodanadani3732
      @hodanadani3732 7 ปีที่แล้ว

      Zena Bay Zena Bay 😂😂😂

  • @mohamedjuma1878
    @mohamedjuma1878 4 ปีที่แล้ว

    Hahahaha eti wataleta warabu

  • @shifaa3327
    @shifaa3327 7 ปีที่แล้ว +2

    Mumekuja kutekwa tena nyiii

    • @mzuvendi
      @mzuvendi 7 ปีที่แล้ว

      Shifaa 33 inaonyesha bado akili yako finyu sana bado una ukoko ndani ya bongo lako!

    • @shifaa3327
      @shifaa3327 7 ปีที่แล้ว

      cool moods hahahahahh naipenda sn znz ela sijamuona kabusi hapoo

    • @mzuvendi
      @mzuvendi 7 ปีที่แล้ว

      Qaboos akija atafikia kwa Magu kwanza sio Zenji...

  • @ajuxman9382
    @ajuxman9382 7 ปีที่แล้ว

    Nani kakwambia kama tuna udugu na mijuha

  • @shifaa3327
    @shifaa3327 7 ปีที่แล้ว

    Kabusi hapo sijamuona muwaongo

  • @mzuvendi
    @mzuvendi 7 ปีที่แล้ว

    Muflis hutukana watu akiishiwa hoja..

  • @zanzibarsmzenji
    @zanzibarsmzenji 7 ปีที่แล้ว

    AHAHAHHAHA NAWACHEKA KWA DHARAAAAAAUU

  • @sweetmama3242
    @sweetmama3242 7 ปีที่แล้ว

    Wengi wa waarabu ni wabaguzi sana. Haswa kwa sisi ambao tuna rangi nyeusi. Apo wamekuja kutengeneza tuu pesa. Akuna undugu apo. Wenyekusema undugu endeleeni. Wenzenu wanakusanya pesa zao😂. Na Zanzibari ni KISIWA jamani. Siyo NCHII. Huyo mtangazaji vipi? Loh...! 😜

    • @mzuvendi
      @mzuvendi 7 ปีที่แล้ว

      Sweet Mama Hata wewe lugha yako ni ya kibaguzi roho yako imejaa ukoko wa chuki!

    • @sweetmama3242
      @sweetmama3242 7 ปีที่แล้ว

      cool moods 😂😂sina chuki. Naishi kwa raha zangu. Nimesema hivyo cz nawajua sana baadhi ya waarabu walivyo wabaguzi. Ukweli unauma eeh...! Pole mwanahizaya wewe usiyekuwa na haya.

    • @inuyashasgirlsmao5084
      @inuyashasgirlsmao5084 7 ปีที่แล้ว

      Sweet Mama kama mweusi kajicrim upendze...

    • @inuyashasgirlsmao5084
      @inuyashasgirlsmao5084 7 ปีที่แล้ว

      Sweet Mama labda walikuona huna maana pole yako roho chafu hadi....

    • @sweetmama3242
      @sweetmama3242 7 ปีที่แล้ว

      inuyasha's girl smao 😂nimejikubali na rangi yangu. Ila waarabu baadhi yenu nimikundu kunuka. Wabaguzi nyie. Ukweli umewauma. KumaNyoko.

  • @lucasjohn9143
    @lucasjohn9143 7 ปีที่แล้ว

    Unafk2

  • @ajuxman9382
    @ajuxman9382 7 ปีที่แล้ว

    Je nyie yenu mutaleta lini huku washamba wakubwa ktk meli hiyo meli ndogo sana tumeileta kuwaomesheni .maaana kazi kukaa oman wanataka kuipundua nchi ya znbr mikojo hiyo nani anaitaka

  • @Kijana-wa-Tanzania
    @Kijana-wa-Tanzania 7 ปีที่แล้ว

    Nasser Al Butrani Hivi waliyoyafanya Waarabu kwa mtu mweusi mnayaelewa ama mna kumbukumbu ya nyakati za kueneza dini pekee?
    Hatujiulizi hata kwa nini sio wanaume wa Africa waliozaliana na wanawake wa kiarabu bali ni Wanaume wa kiarabu walizaliana na wanawake wa kiAfrica!
    Hebu acheni ujuha mtu mweusi aachiwe hadhi yake sio vi misaada vya kijinga vitupumbaze!

    • @abdulshellah8975
      @abdulshellah8975 4 ปีที่แล้ว

      Ww ndio juha ndugu yangu na una chuki binafsi zinakusumbua

  • @fadhilimlingi6192
    @fadhilimlingi6192 7 ปีที่แล้ว

    Tatizo ngozi nyeusi inashida sana, hivi hamsomi hata historia tu ya jinsi waarabu walivyowanyia babu zetu enzi hizo? Utumwa utumwa kwa kwenda mbele, mmesahau tu? Mwarabu atabaki kuwa mwarabu na mwafrika atabaki kuwa mwafrika. Acheni kutafuta undugu usiokuwa na maana. Hii inaonesha kuwa bdo ni watumwa kifikra.

    • @marymutheumuli7458
      @marymutheumuli7458 7 ปีที่แล้ว

      Mafuta ya Omani imadidimia ndio maana wanaanza kukimbilia Zanzibar na Tanzania. Omani watutese huku kwao, afafu mafuta yao yaishe ati sasa tuwaweke!

    • @mzuvendi
      @mzuvendi 6 ปีที่แล้ว

      Haya maneno unaandika umeyafanyia research au umekuwa "Kuhani" wa kutabiri?

    • @mzuvendi
      @mzuvendi 6 ปีที่แล้ว

      Historia aliyo kulisha mwingereza itabaki inakula bongo lako kama hujagutuka..

  • @abumasoud1996
    @abumasoud1996 7 ปีที่แล้ว

    mimi sioni majabu ya hiyomeli, meli ni mabati ambyo sili yake kutoka arthini.mimi naona ushamba tu

    • @inuyashasgirlsmao5084
      @inuyashasgirlsmao5084 7 ปีที่แล้ว +1

      abu masoud hahaha we unayooo kama hioo roho mbayaaa hasidi mkubwaaa..

    • @RidhwanAmar
      @RidhwanAmar 7 ปีที่แล้ว +2

      Wacha husda wewe ingujuwa imekuja kwenu Tanganyika Wazanzibar tusingelala kwa zogo lenu

    • @ahmedyoung7300
      @ahmedyoung7300 7 ปีที่แล้ว

      abu masoud ....iyo shuk ss ww

    • @brombo-ly4xz
      @brombo-ly4xz 7 ปีที่แล้ว +1

      abu masoud for your information angalia mapokezi ya meli za our sultan nchi zingine za ulaya. Unaongelea chuki. Last week meli shabab ii ilikua nchi ya Malta nenda online kagugo uone mapokezi na shamra shamra sijui mkoje. Mbona wazungu wakileta vimeli vyao mnavishobokea punguza hasira.

    • @ahmedyoung7300
      @ahmedyoung7300 7 ปีที่แล้ว +2

      abu masoud ..tena Zanzibar na oman waache kabisa ukitaka kulisibitisha ilo njoo oman waone pasport yk imeandikwa imetoka Zanzibar apo ndio utaelew oman na Zanzibar wakoje...

  • @edeba01haji66
    @edeba01haji66 7 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @nassorahmed4672
    @nassorahmed4672 7 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

    • @Suad49309
      @Suad49309 7 ปีที่แล้ว +2

      Mungu ampe maisha marefu Sultan Qabous

    • @alialesry5131
      @alialesry5131 7 ปีที่แล้ว

      Suad49309 Ameen Ameen Yarabby

    • @alialesry5131
      @alialesry5131 7 ปีที่แล้ว +2

      Wote wanaotowa kashfa mbali mbali ni waliozaliwa bila Busara. Uzalendo umewashinda wameona bora wadhihirishe Roho zao zisizo kuwa na Busara.

    • @user-sr7cc8pn9m
      @user-sr7cc8pn9m 7 ปีที่แล้ว

      عاشت بلادي وطابت معانيها باليمن والبركات

    • @saidzahran846
      @saidzahran846 7 ปีที่แล้ว

      Alhamdullillah tumepigiwa deki bandari yetu