ROYAL BAND YA OMAN YATUMBUIZA VISIWANI ZANZIBAR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2017
  • #hakikahiinifahariyetu #hakikahiinifahariyetu

ความคิดเห็น • 120

  • @zenabayzenabay5907
    @zenabayzenabay5907 6 ปีที่แล้ว +3

    Raha adi koooni sante oman mnatuniua pia kimaisha huku kwenu ukhaibuni shukran Baloz

  • @f.almansour7240
    @f.almansour7240 6 ปีที่แล้ว +4

    Nice to see cmng back to share and celebrate the roots..
    Also I think if sultans of Oman had still ruled Zanzibar I'm sure by now Zanzibar would have one of the best and the top modern country in the whole east Africa ... ngekua kama Oman kabisa maendeleo ... but its unfounate our leaders hawana fikira hizo wao nikufkiria maslah Yao tuu waliobakia kaeni chini .. sad indeed ...having said that I'm so happy to see everyone is having a fantastic time! bless all

  • @fifo262
    @fifo262 6 ปีที่แล้ว +2

    maashallah inapendeza sanaa

  • @fatmaikopoa34
    @fatmaikopoa34 6 ปีที่แล้ว +2

    nice mungu atuunqanishe

  • @user-ri7ei8zj1g
    @user-ri7ei8zj1g 6 ปีที่แล้ว +5

    فديت زنجبار وعمان 😗😗😗😗

  • @user-xw5re3bh5x
    @user-xw5re3bh5x 6 ปีที่แล้ว +1

    safi sana zanzibar na oman allah Kareem

  • @shuwekhaally6090
    @shuwekhaally6090 6 ปีที่แล้ว +5

    Mashalah inshalah tutaondka nao...tutard makwetu..Zanzibar by by...tumechoka mateso

    • @zuweinasalum8452
      @zuweinasalum8452 6 ปีที่แล้ว

      Shuwekha Ally karibu sana Oman.

    • @sharifahjumaa2605
      @sharifahjumaa2605 6 ปีที่แล้ว

      Shuwekha Ally dada umechoka kuteseka

    • @farhatfatma12
      @farhatfatma12 5 ปีที่แล้ว

      Zanzibar ni kwenu kama ulizaliwa na kukulia, si dhani kama ni sahihi kusema utarudi kwenu kwa sababu ya kauli za kibaguzi za viongozi wetu wa zanzibar, na kutojua umuhimu wa wananchi wao.
      Oman hata ujivune vipi utabakia kua mtu wa kuhamia tu.

  • @UmmyilhamUmmyilham
    @UmmyilhamUmmyilham 4 ปีที่แล้ว +2

    انا احبك عمان❤
    Nimefrahi sana wallah natamani ningekuwepo Tanzania wallah oman na Tanzania ni wamoja 😚😙😍😘

  • @salhamm742
    @salhamm742 6 ปีที่แล้ว +4

    Hahaha oooo mashalah Zanzibar yetu

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 6 ปีที่แล้ว +4

    Mashalaah wamerudi watu wetu

  • @azizamini3226
    @azizamini3226 5 ปีที่แล้ว

    Mashaallah....M/Mungu awarejeshe kwa Amani jamaa zetu..uzidi kufanana....nimefurahi sn

  • @user-qz2yd5wm2m
    @user-qz2yd5wm2m 4 ปีที่แล้ว

    Mashaa ullah nzuri saana.

  • @mimanassor3323
    @mimanassor3323 4 ปีที่แล้ว

    Woooow raha sana.

  • @suleimanmohamed4367
    @suleimanmohamed4367 3 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @hdhdbdh26
    @hdhdbdh26 6 ปีที่แล้ว +2

    kabisa upo okky

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 6 ปีที่แล้ว

    Mashaallah band ya oman beautiful waaww

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 2 ปีที่แล้ว

    Ingekua so chuki y Wengereza na marecani kumtuma nyerere kuizamisha Zanzibar tungekua mbali n kukusanya watu wa mataifa mengi tafauti ❤❤🇴🇲🇴🇲

  • @amenaafrica7046
    @amenaafrica7046 4 ปีที่แล้ว +1

    Nipo oman kikaz ila naipenda sana zanzbar yangu❤

  • @khalidsindano4747
    @khalidsindano4747 3 ปีที่แล้ว

    Aaa Zanzibar Raha wallah Zanzibar na oman huwez zitenganisha

  • @a.856
    @a.856 6 ปีที่แล้ว

    Nimependa wanawake katika band wamevaa vizur mashaallah

  • @hajjkadir948
    @hajjkadir948 4 ปีที่แล้ว

    Walahh Zanzibar will be at top

  • @asiakheir3846
    @asiakheir3846 6 ปีที่แล้ว +2

    Safi

  • @niaanthony9588
    @niaanthony9588 6 ปีที่แล้ว +2

    Wooow mpo kwetu tupo kwenu umoja Ni nguvu utengano ni udhaifu

  • @rashidseif6103
    @rashidseif6103 6 ปีที่แล้ว +11

    Hata msewe asili yake unatokana na Waarabu. ccm roho zinawauma wakiwaona waungwana. Natamani ningekueko Zanzibar nikashuhudia.

    • @mtoromtoro3338
      @mtoromtoro3338 6 ปีที่แล้ว

      Rashid Seif unahashuo tupe sumu bas

    • @blacknature7637
      @blacknature7637 6 ปีที่แล้ว

      Rashid Seif ha umeshinda!! msewe wa warabu ? Toka lini ? Apo umetuvuga

  • @thequ33en65
    @thequ33en65 6 ปีที่แล้ว +2

    bora warudi hata masikini atakuwa na tv na gari

  • @hdhdbdh26
    @hdhdbdh26 6 ปีที่แล้ว +1

    mashaallah balozi wetu wa omani

  • @luluamri370
    @luluamri370 4 ปีที่แล้ว

    Mabasha,na mashoga kibao hapo

  • @cautharmhinte6261
    @cautharmhinte6261 6 ปีที่แล้ว

    nassib mchana umesema kweli kabisa 👍

  • @asiakheir3846
    @asiakheir3846 6 ปีที่แล้ว +6

    Seif Ali idd ,unasemaje iko poa?hao ndoo wenyewe,hawana wasi mtu kwao.

    • @yahyaibrahim6934
      @yahyaibrahim6934 4 ปีที่แล้ว

      Hao ndio wenye kisiwa sio tanzania 😄😄😄😄❤❤❤

  • @allymohsmmed8480
    @allymohsmmed8480 5 ปีที่แล้ว

    Wazanzibari msijisahau

  • @abdullykadirdhulfiqaar1312
    @abdullykadirdhulfiqaar1312 6 ปีที่แล้ว +2

    yallah

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 6 ปีที่แล้ว

    Wow i mis home😂

  • @suleimankhamis8298
    @suleimankhamis8298 2 ปีที่แล้ว

    mbona zachezwa kama zile za ...........

  • @hongerakkachawasemewwkzbut4996
    @hongerakkachawasemewwkzbut4996 6 ปีที่แล้ว +1

    tunawakaribisha sana lakini wawakanye watu baadhi wanao taka kuchafua wa tz.

  • @RidhwanAmar
    @RidhwanAmar 6 ปีที่แล้ว

    Muungwana lake rohoni

  • @AliBaba-zb3tg
    @AliBaba-zb3tg 5 ปีที่แล้ว

    Eeee Mfalm Sultan ana back kidogo kidogo kwa zanzibar yake 😂😂😂😂 Mkalibishen kama otee yanii

  • @sheebqpsheebqp8314
    @sheebqpsheebqp8314 6 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana

    • @meshackayoub9328
      @meshackayoub9328 6 ปีที่แล้ว

      Eeh mwenyezi Mungu tusaidie! Nikiwaona hawa roho yangu inachafuka kwa jinsi walivyowadhalilisha wazee wetu zamani au wanajikosha? Walitutoboa vicgino,kutufunga minyororo,wanaume kuhasiwa,kubakwa,kutumikishwa ovyo na ukatili mwingi halafu leo wamekuwa malaika? Siwachukii kwa sababu ni bin adamu ila tabia zao na mambo wanayotufanyia huko kwao hawana utu hata kidogo!

    • @saidwayawaya5356
      @saidwayawaya5356 6 ปีที่แล้ว

      Mm nipo oman ila sijaona mateso yyte yle mpaka muda huu. Naishi kwa Amani.

    • @saidwayawaya5356
      @saidwayawaya5356 6 ปีที่แล้ว

      Tena naweza kusema. hamna nchi yenye Amani kama oman.

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 6 ปีที่แล้ว +1

    y6 y6
    Umeteswa wapi kma upo oman basi kitowe tena huna lazma kukaa kwenye mateso rudi kwenu tena upesi sana...

  • @rosemarybenjamin4333
    @rosemarybenjamin4333 6 ปีที่แล้ว +1

    Undugu jina 😆😆😆woooy dooo karibun lkin sio mbaya ila wamenuna hao no kusmile😂😂

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 6 ปีที่แล้ว +2

    Hamna muomani alinayebagua watu! una hila zikakubagua.! hebu jitizame jichungue je upo sawa.? kabla hujasema watu.?

  • @allymohsmmed8480
    @allymohsmmed8480 5 ปีที่แล้ว

    Warabuhao wana papatikiwa sanaa eti wanariali

  • @abdulazizharthy5627
    @abdulazizharthy5627 6 ปีที่แล้ว

    Waomani ni waomani tu bwana sifa zao zinajulikana waliijenga zanzibar wakaleta biashara pia kilimo na isitoshe walichanganya damu na mengi tu hayahesabiki

  • @radhiasalum833
    @radhiasalum833 6 ปีที่แล้ว +1

    wenye nchi yao wapo hapo hhehehe

  • @muddaththirhamoud1240
    @muddaththirhamoud1240 6 ปีที่แล้ว +1

    ❤️🇴🇲

    • @Suad49309
      @Suad49309 6 ปีที่แล้ว

      Mumenawar waomani mashaallah

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 6 ปีที่แล้ว

    Mnajulikana kwa uvivi watz bara na visiwani mpk raisi Magufuli kawasema raiya wake hmn vya burebure kwa utapeli na punguzeni midomo!! anataka kl mtu afanye kazi ale jasho lake.! and his real..TRUE..!

  • @sssshkassim625
    @sssshkassim625 6 ปีที่แล้ว

    Hawa siwaarabu ball ni watumwa wa kiengereza hii ni asali ya scotland

  • @yahyaibrahim6934
    @yahyaibrahim6934 4 ปีที่แล้ว

    Waoman hawataiwacha Zanzibar kwauwezo wamungu kwasbb Zanzibar niyakwaooo ukipeleleza historia yote ya Zanzibar inamuhusu muomani sasa utasema Zanzibar mwenyewe nani wenye wivu wajinyonge muomani akirudi Zanzibar tunampokea kwamikono yote naupendo wakutosha

  • @zuwenaabdillahzanzibar5670
    @zuwenaabdillahzanzibar5670 5 ปีที่แล้ว

    Oman ndugu zetu jamaa zetu zanzibar tu na pemba wabongo no sio

  • @kassimali1943
    @kassimali1943 4 ปีที่แล้ว

    Ndugu zenu ndio hira mbona mwateswa kwaho oman

  • @ahmedyoung7300
    @ahmedyoung7300 6 ปีที่แล้ว +2

  • @blacknature7637
    @blacknature7637 6 ปีที่แล้ว +1

    Y6 Y6hg umeniacha nicheke kwa akili yako finyo tabu ya hapa kwetu huwezi ifananisha Na popote pale dudiani

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 6 ปีที่แล้ว

    Hahaa eti ccm mbona inarudisha ukoloni.? kweli asiejua maana ucmpe maana.! Kiboko yenu ccm imewaanyoosha hapo ni kazi tu.!

  • @asiakheir3846
    @asiakheir3846 6 ปีที่แล้ว +1

    Nani wanachafua tz ? Waliomuua,shahidi Ali.

  • @aliawam3471
    @aliawam3471 5 ปีที่แล้ว

    Naona watu waza wamekua watoto?

  • @ridhiwaniridhiwan4497
    @ridhiwaniridhiwan4497 5 ปีที่แล้ว

    Lazma waje Zanzibar mana wanajua Oman Zanzibar ni ardhi yao sadkta

  • @suleimansuleiman4205
    @suleimansuleiman4205 5 ปีที่แล้ว

    Kama namuona qaboos anavotamani kuwepo znzbr

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 6 ปีที่แล้ว

    Kweli waarabu ni watu amani karibuni tena

  • @subehaahaji1504
    @subehaahaji1504 6 ปีที่แล้ว +1

    Mbon watangazaji wa zbc hawapo au wamepewa mikwala

  • @aishaomari1881
    @aishaomari1881 5 ปีที่แล้ว +1

    Wananyabyasa Kwan uongo kinatukalisha ni umasikin tu of coz kula pekeyako kama nyau bguo yako aweza ishika na glops kwa kinyaa wazuri Kama sultan kabus ni wachache

  • @radhiasalum833
    @radhiasalum833 6 ปีที่แล้ว

    hahahah yangu cheko.ni biashara tu lakin sio kutawala kama zamani muelele hivyo😂😂😂.mrudiiiii hapooooo hahahah

  • @y6y6hg77
    @y6y6hg77 6 ปีที่แล้ว +4

    Wapeni nchi watutese kama wanavyotutesa kwao

    • @zeyanaharmisuleiman696
      @zeyanaharmisuleiman696 6 ปีที่แล้ว +1

      Hatabara wanatesa wakowapi muwamsho makatili hasa nyamaza

    • @inuyashasgirlsmao5084
      @inuyashasgirlsmao5084 6 ปีที่แล้ว +3

      Y6 Y6hg mwarabu akitaka afrika mashariki nzimaa anachukua..bada ni ardhi zake kwa ushahidi wa dqm ziko wengereza..ila hawataki.nani anataka kuhukum watu wasio elewa ....

    • @inuyashasgirlsmao5084
      @inuyashasgirlsmao5084 6 ปีที่แล้ว

      Y6 Y6hg mwarabu hajui kuiba anajua kutoa nyie nini mmefanya cha maana mpaka sasa hivi karibu kiyama kitasimama na hamna mlicho fanya duniani...

    • @y6y6hg77
      @y6y6hg77 6 ปีที่แล้ว

      inuyasha's girl smao Mambo mengi tuu tumeyafanya sio hao makafiri wa kiarabu

    • @oopsm3574
      @oopsm3574 6 ปีที่แล้ว

      Wewe dawa yako Amar wagga😂

  • @inassibmshana6145
    @inassibmshana6145 6 ปีที่แล้ว +1

    inapendeza kweli ila nenda Oman ww uone jonsi waarab walivyo na ubaguz

    • @blacknature7637
      @blacknature7637 6 ปีที่แล้ว

      nassib mshana wa Oman usiwasemee uwongo hawana ubaguzi kwanza wengine wamezaliwa Na wa Africa ila Dubai Na saudia pale koma

    • @inuyashasgirlsmao5084
      @inuyashasgirlsmao5084 6 ปีที่แล้ว

      nassib mshana wabaguzi ni nyiyi ...mitume walikua warabu na mgekua nyie mna kheri mungu angeleta mitume wafrika ...

    • @blacknature7637
      @blacknature7637 6 ปีที่แล้ว

      inuyasha's girl smao 😂😂😂😂😂ahhh umeshinda 😂😂😂😂

    • @blacknature7637
      @blacknature7637 6 ปีที่แล้ว

      inuyasha's girl smao kawaarabu wabaya mbona waafrica wote wamekuwa waarabu kwa mkorogo 😂😂😂😂

    • @abdulyally7480
      @abdulyally7480 6 ปีที่แล้ว

      Hawsbuguwi watu

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 4 ปีที่แล้ว

    Yani waarabu wakicheza huwa nacheka 😀😀😀 mbavu zangu

  • @mhogomchungu7168
    @mhogomchungu7168 6 ปีที่แล้ว +1

    CCM mbona mnawarudisha Masultani , au nchi imewashinda mnataka kuturudisha enzi za ukoloni?

    • @zainabalbahri8085
      @zainabalbahri8085 6 ปีที่แล้ว +1

      Khalid Khalfan wewe wacha maneno ya kijinga Oman hana hajaa na znz sisi ni ndugu

    • @modiranks7076
      @modiranks7076 6 ปีที่แล้ว

      Khalid Khalfan afadhali kuliko utawala wa makafiri.

    • @blacknature7637
      @blacknature7637 6 ปีที่แล้ว

      Khalid Khalfan amka Kaka Sasa sio wakati wa ubaguzi muhimu anaekufaa waarabu Hana haja Na tz nchi ina watu mamilioni waarabu wataiweza wapi ?

    • @blacknature7637
      @blacknature7637 6 ปีที่แล้ว

      Ahmad Musa heko umezungumza kidiplomacy

    • @inuyashasgirlsmao5084
      @inuyashasgirlsmao5084 6 ปีที่แล้ว

      Khalid Khalfan kwanza hilo jina lako hata halikufai ...khaled alikua mtu wa maana si wewe.pili mwarabu ni mtoto wa mtume wako mhd naona umesahau warabu ni watoto wa mitume ndo sababu wana kheri mmewauwa na bado wanaonesha upendo ama nyiyi hamba kheri hata kidogo .hasbiallla wanema alwakil..badilisha hili jina.kuanzia leo uitwe joni...

  • @mtambile26
    @mtambile26 6 ปีที่แล้ว

    Anosema anateswa hakulazimishwa kuja oman mbona watu wanakuja na kurudi unateswa ww tu wengine hawateswi

    • @blacknature7637
      @blacknature7637 6 ปีที่แล้ว

      Zeyana Al-anbury dada usi panick bure wa tz kusema Nikawaida yao eti waarabu wanatutesa anavyo tutesa magufuli Ni kidogo ,? Nja nja hapa tunaitamani omani angalao tuweke familia zetu zina adhirika kwa shida mhhh

    • @y6y6hg77
      @y6y6hg77 6 ปีที่แล้ว

      Zeyana Al-anbury Akuna anaekuja Oman na akarudia tena washenzi wakubwa siwapendi waarabu

    • @salimkassim8547
      @salimkassim8547 6 ปีที่แล้ว +1

      Hivi tupew heshima gan wa tanzania ndio turidhik oman kwa aliye oman anajua watz wanavyoheshimiwa kwa walio nje sowez kuwalaumu lakin itabak wazanzibar wanatembea kwa kujinafasi oman

    • @y6y6hg77
      @y6y6hg77 6 ปีที่แล้ว

      Salim Kassim wewe usidanganye kuna watu wapo Oman wanateswa na waarabu awana heshima ata kidogo hao

    • @mtambile26
      @mtambile26 6 ปีที่แล้ว

      Usitukane watu hao wana chuki.tu hazijawaisha mbona watu wana furaha tu wakirudi huko wanarudi oman kwani huko hakuna wanaoteswa ni oman tu.mbona kila siku tunaona huko.mateso na mauwaji

  • @cautharmhinte6261
    @cautharmhinte6261 6 ปีที่แล้ว

    nahisi tutarud katka enzi za ukolon mm siwapendi kabisa warabu

    • @zainabalbahri8085
      @zainabalbahri8085 6 ปีที่แล้ว

      cauthar mhinte mmmmmmm na sie tunakupendaaaaaa ndio mushkila ulokuwepo

    • @zainabalbahri8085
      @zainabalbahri8085 6 ปีที่แล้ว

      cauthar mhinte kama hatuna pa kwenda basi bora akhera

    • @cautharmhinte6261
      @cautharmhinte6261 6 ปีที่แล้ว

      +Zainab Al Bahri ila ndo hivyo tufanyaje yote ni kumuomba tu mg

    • @zainabalbahri8085
      @zainabalbahri8085 6 ปีที่แล้ว

      cauthar mhinte na sisi ndo kama weweeeeeeee unavyosema

    • @ahmedzahor2975
      @ahmedzahor2975 3 ปีที่แล้ว

      Nani anataka apendwe na wewe kinyago wa kijijini