USB Kutokusoma data kutoka kwenye simu SOLVED

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Video hii inaelezea namna ya kutatua tatizo la USB kutokusoma data kutoka kwenye simu kwenda kwenye computer. Fuatilia maarifa

ความคิดเห็น • 8

  • @NehurumaJohn
    @NehurumaJohn 3 หลายเดือนก่อน

    Sorry mbn computer yang haina iyo option ya mtp usb device

  • @bujibaelikana7986
    @bujibaelikana7986 ปีที่แล้ว

    Ni mzuri kaka simu yangu ilikuwa usb inasoma vizur lakin sasa ivi nkichomeka usb inakuwa blank option zote znahusiana nakuchagua zmekuwa finted

  • @eliudbilali2434
    @eliudbilali2434 ปีที่แล้ว

    Umenisaidia leo,nilishafeli😅

  • @NehurumaJohn
    @NehurumaJohn 3 หลายเดือนก่อน

    Mbn pc yang haina option ya mtp usb drive

  • @lingardjr.9839
    @lingardjr.9839 5 ปีที่แล้ว

    Nakubal kaka ummenisaidia

    • @LectureRoomOnline
      @LectureRoomOnline  5 ปีที่แล้ว

      Karibu. Download App ya Lecture Room Online kwenye simu yako

    • @efronmarvo3007
      @efronmarvo3007 6 หลายเดือนก่อน

      @@LectureRoomOnline kaka nimefanya ivyo lakin kipengele chamwisho hapo inaniletea machaguo mengi na hiyo MTP siioni naweza chagua kipi badala yake

    • @NehurumaJohn
      @NehurumaJohn 3 หลายเดือนก่อน

      Ata ya kwang inakuwa hvo