KAMA UMETAZAMA VIDEO HII MWANZO MWISHO NA BADO UNAONA HUJAELEWA KITU WASILIANA NAMI HAPA wa.me/message/XGQIWDNEYAOMP1 UTAUNGANISHWA NA MWALIMU USIJALI UTAELEWA TU.
Mmi sijawahi kutumia Computer nilikua naomba mwalimu uoneshe kile kisu cha chini cha kubonyeza ili nijue unakibonyeza vip nimependa unavo fundishaaa🔥🔥🔥
Asante Brother kaz yako nimeipenda na ninaifuatilia ila ombi langu kwa sisi vijana ambao ndio tumeingia kwenye hii fan ya ufundi sim tunaomba ubezi upande huo.
Daah waooo ahsante sana dear sir, kiukweli me umenifungua macho kuhusu computer pia ni mwanafunzi wa chuo so kuanzia sasa takufuatlia,ili ni elewe zaidi kuhusu computer, ahsante sana be blessed
Tunaomba radhi kwa kuchelewa kujibu ingia hapa kwa kozi ya masomo ya Computer : chat.whatsapp.com/Lp31yTxK0Is3n026ubdx35 Na ukitaka kujifunza Photoshop, masomo ya kutengeneza matangazo, business card n.k : chat.whatsapp.com/JixPsx3C7goGw2EMdECwik Asante na karibu,
Usijali lengo letu ni kukufanya wewe uwelewe bonyeza hapa kupata nafasi ya kufundishwa live ofa kwako na yeyote asieelewa somo hili aingie hapa chat.whatsapp.com/LHrl3EycjOxJzmi4ulhh4F Karibuni,
Asante sana nimekuelewa, kama unahisi bado au unapata ugumu comment namba yako kuna kozi inaendelea kupitia WhatsApp pia kuna Zoom kama utahitaji, utapata nafasi ya kujifunza mbele ya mwalimu moja kwa moja.
Kinaitwa Scroll button, kazi yake ni kushuka na kupanda juu katika sehemu zenye mkanda wa kupanda au kushuka, hatuja kiongelea kwa kuwa hakina kazi muhimu kama hivyo viwili vya pembeni yake.
Ndio hapa Cairo, Misr lakini pia tunatoa masomo kupitia internet (Online Classes) lakini pia tuna vitabu mbalimbali vya masomo ya Computer kwa Kiswahili. Karibu.
Mwalimu upo vizuri sana naelewa tupo pamoja Mungu abarik kaz ya mikono yako
Asante sana sana
KAMA UMETAZAMA VIDEO HII MWANZO MWISHO NA BADO UNAONA HUJAELEWA KITU WASILIANA NAMI HAPA wa.me/message/XGQIWDNEYAOMP1
UTAUNGANISHWA NA MWALIMU USIJALI UTAELEWA TU.
Mmi sijawahi kutumia Computer nilikua naomba mwalimu uoneshe kile kisu cha chini cha kubonyeza ili nijue unakibonyeza vip nimependa unavo fundishaaa🔥🔥🔥
Nashukulu sana mungu akubariki kaka angu naelewa ni mwalimu mzur sana
asante San mwalimu,, mung akubariki
Mpo vizuri nawaelewa
salute Sana teacher nakuelewa Sana endelea kutupatia mafunzo zaidi.
Asante sana kwa somo lako nimeenjoy kwa kweli
Shukran sana
Nashukuru sana ndugu NK- Computer Training Mungu akubariki, tunakuombea uzidi kupata nafasi ya kutufundisha🙏🙏
Amin, nasi tunashukuru Sana kwa kutazama video zetu.
Mafunzo mazuri. Nina hakika nitajua computer vyema kupitia kwa channel hii. Asante sana kaka. New SUBSCRIBER
Asante na karibu sana.
Nashukuru sana mwalimu natamani nikuone unifundishe ana kwa ana nateseka sana ofisini
Saf sana umenisaidia bro
Nmejifunza ktu....uko vzr saana Mr
Ahsanteh kwakipindi kizur teacher
Ahsante sanaaa
Nzuri sana
Thank you so much 👍
Kikweli mwalimu' Mwenyezi akujalie kwa kazi hizi nzuri..
Allahomma Amiin amiin.
Naipenda sana hili SoMo nitawafuatitilia every day
Karibu sana.
Unapatikana wapi nije unifundishe computer jamani
Asante Brother kaz yako nimeipenda na ninaifuatilia ila ombi langu kwa sisi vijana ambao ndio tumeingia kwenye hii fan ya ufundi sim tunaomba ubezi upande huo.
Ok tutajitahidi kuangalia na simu maana hapa ni kwa Computer 🖥️💻
Nimeipendasa na
Asant san kaka mung akubarik
Thanks for the lesson. Highly appreciate you teacher. You have enlightened my skills.
Thank you too for your beautiful words.
Thanks nielewa kidogo
Asante sana
Daah waooo ahsante sana dear sir, kiukweli me umenifungua macho kuhusu computer pia ni mwanafunzi wa chuo so kuanzia sasa takufuatlia,ili ni elewe zaidi kuhusu computer, ahsante sana be blessed
Asante nawe ndugu karibu sana
Unafaa bro wewe ni mwalimu kabisa
Good study
Nmekuelewa vzr sana 😊🙏naomba ufundishe jinsi y’a kuandika na kusave mafail na documents
Tazama masomo ya WORD, au jisajili katika kozi zetu.
Kwakweli hapa somo nimelielewa sana hongera sana kakangu
Asante nawe kwa kufuatilia masomo yetu, usisahau kutazama na video zengine ili kuiva zaidi.
Shukran
Nakukubali MWALIMU
Asante sana kiongozi...
Leo bando langu nimelifaidi kupitia wewe.
Be blessed kaka
Ameen endelea kuperuzi utajifunza mengi mengi
Asante kwa somo, Mungu akupe maisha marefu
Amiin asante ndugu yetu.
Asante
I really enjoy the lesson...stay blessed
Ameen, thank you Mr.
Thanks
Ahsante sana nmeelewa vzuuuuri mno ubarikiwe na Jehova
Asante nawe Mr. Zacharia
Asante, kwa mafunzo maziri
Asante nawe
Thnx
Asante mwalimu kwa somo zuri hakika umenitoa mbali
Usijali, tembelea zaidi Channel yetu uwe zaidi yao.
Ahsante sana teacher nakuelewa sana
Asante nawe kwa kutufuatilia Mr. Beny.
ASANTE
Nakubal...😍
Safi sana
Shukran broo
Kawaida ndugu, na wewe asante kwa kufuatilia masomo yetu haya.
Safi sana
Safi sana
BAsi nami nimeipenda huduma yako nataka twende pamoja kuanzia video number one mpaka mwisho wa mafunzo hoyo@@@@@@@@
Utaimarika zaidi karibu.
Ok
Kwenye keyboard bado huja tufundisha kwenye hii videos au somo lipo ila sio kwa hiii video unielekexe ila tunakuelewa ndugu upo vizuri shukrani
Endelea na masomo haya utakuta keyboard: th-cam.com/play/PLlFXYkP08DOENlI5GxOZ5OAdFiFdUgx6f.html
Shukuran San mungu akuongoz
Amiin, karibu sana
greatly
Mnafundisha vizuri
Asante sana
Nashukuru Kwa kunisaidia kujua computer napenda sana
Asante nawe.
Shukran sana kaka mungu akuzidishie ,,sema bado kwenye keyboard haujafundish
Aamiin ndugu, Asante sana
wallah nilikuwa cjui chochot katk PC yaan nilikuwa nachzea tyu baada ya kujua hli som nimejifunza v2 vng sana nashukur san mung akujalie
Amiin akujaalie nawe ndugu
good
Hamfundish tena somo hil
Mm ntka kujifunza kuhsu hyo office
Unafundisha vizuri sana
Asante sana.
Unajua kufundisha sana
Asantee
شكرا
عفواً
Nimefurahi nimeelewa vizuri,, nimwanafunzi nipo tanga najifunza
Nasi tumefurahi sana kwa kuelewa vizuri, usisahau kufuatilia na masomo mengine ili kujiganga zaidi.
@@nk-computertraining asante sana nitaendelea kufatilia kaka
Hata online unaweza kuerewa?
Hello teacher I really want to start computer training online, what can I do?
Tunaomba radhi kwa kuchelewa kujibu ingia hapa kwa kozi ya masomo ya Computer :
chat.whatsapp.com/Lp31yTxK0Is3n026ubdx35
Na ukitaka kujifunza Photoshop, masomo ya kutengeneza matangazo, business card n.k :
chat.whatsapp.com/JixPsx3C7goGw2EMdECwik
Asante na karibu,
Masomo mazuri
Nimefrahi sana kwa darasa murwaaa
Asantee
Asant sana
Asante nawe
Somo liko poa,mwalimu uko poa ....tunajiunga na Darasa
Asantee sana ndugu na karibu sana.
Naitaji kujiunga
Naitaj kujifunza computer 🖥️
Karibu sana ndugu, jaza fomu.
Ninahitaji kujifunza zaidi
Asante teacher mm napenda nijue
Asante pia kwa kufuatilia masomo yetu
Hasante sana kwa mafunzo
Asante nawe kwa kutufuatilia.
Komputa yangu ni nzito sana naomba msaada
Dawa ipo, Tazama somo tumetuma juzi tu.
Sijaelewa chochote wallah, nimeondoka patupu
Usijali lengo letu ni kukufanya wewe uwelewe bonyeza hapa kupata nafasi ya kufundishwa live ofa kwako na yeyote asieelewa somo hili aingie hapa chat.whatsapp.com/LHrl3EycjOxJzmi4ulhh4F
Karibuni,
We utakua na tatizo la kuelewa au hujaamua kujifunza
Mr najitaid kujiunga lakinu inanishinda boss
Upo vizr ila urudie Mara mbili
Naomba video iliofuata
Fungua video za LIVE utakuta.
Naitaji kujifunza kujua computer
Jaza fomu
Samahani mm sijawahi kabisa kutumia kompyuta na nataka kujifunza nifanyaje
Jaza fomu
vizuri lkn unatufundisha lakini unaelekeza mbio sana so kdg mwalim tufundishe taratibu ili tuelewe vzr
Asante sana nimekuelewa, kama unahisi bado au unapata ugumu comment namba yako kuna kozi inaendelea kupitia WhatsApp pia kuna Zoom kama utahitaji, utapata nafasi ya kujifunza mbele ya mwalimu moja kwa moja.
asante sana teacher kwa masomo yako naweza kujifunza zaidi ?
Bila shaka karibu,tazama description kwenye video mpya ili kuwasiliana nasi.
Iko kidude ambacho kipo mikononi unayoita maus, katika yake Pana kama kiringi kilichogawanisha kushoto na kulia linaitwaje na kazi yake nn
Kinaitwa Scroll button, kazi yake ni kushuka na kupanda juu katika sehemu zenye mkanda wa kupanda au kushuka, hatuja kiongelea kwa kuwa hakina kazi muhimu kama hivyo viwili vya pembeni yake.
asante sana teacher but nataka kukufatilia wassap
Karibu sana, jaza fomu
Kiukweli mimi bado nahitaji mafunzi sana japo nimewafikia jamani
how to cut and 2 connect cjaelew
Asante nimepata kitu.ila kwamfano Sina computer nataka nijifunze kwenye simu Yan smartphone nifanyeje
Karibu ila ni vizuri kupata sehemu ya kufanya mazoezi.
Unapatikana wapi
Natamani nijifunze zaidi
Karibu sana.
Naomba uendelee na kipengele Cha kuanza kuandika barua au chochote
Tayari somo lishatumwa hilo tafuta "Word"
😂jaman nataman kuingia kozi ya kompyuta mnapatikana wp
Tazama comments au description utapata namba zetu.
Asante sana ndugu.
Nauliza kwaiyo iyo browser, player, office, internet ayo nimafali una download au ni program inakuwa kwenye computer,
Zinadownlodiwa na zingine zipo ndani, ila ukitaka bora lazima udownload.
Nimependa aya masomo
Asante ndugu
@@nk-computertraining naomba nichek apa kaka abedyobedy602@gmail.com
@@abedyobedy3377 OK
Asante kaka
Shukrani Sana Kuna sehemu lbda mnafundisha live?
Ndio hapa Cairo, Misr lakini pia tunatoa masomo kupitia internet (Online Classes) lakini pia tuna vitabu mbalimbali vya masomo ya Computer kwa Kiswahili.
Karibu.
@@nk-computertraining vitabu vinapatikanaje?
@@gideonburton467
Vitabu vipo ila kwa Tanzania bado.
Hi
Hi
Karibu
Mambo hali yako kaka napenda kujifunza toka kwako computer
Karibu Sana na Sasa tuna kozi zinaendelea, Nitumie ujumbe hapa > +201028123266 (Wasap)
Khasant ila me nataman kujua kutumia pc ila nimekuelew sana kwenye computer
PC ndio Computer na Computer ndo PC hivyo hongera mpaka hapo tayari umejua vyote.
Jaza fomu ili kuimarika zaidi.
NAKUPATAJE
Tazama Comments.
We jamaa ata ukinifunza kichina wiki 2 nitajua
Naomba kujua namba ya kutuma document maana sijui kabsa
Ok, labda document gani?