Maa shaa Allah! Bi Khadija alimpa utulivu Mtume wetu s.a.w kwa kua Mtume wetu s.a.w alikua ni muaminifu na mcha Mungu. Lkn hawa w’me wasiku hzi hawa wengi wao hawana uaminifu na hawana uchaMungu ile kukwera na wake zao hua km adhabu Allah amewapangia kwa dhulma zao. Mana mkewe akiwa na mali yote atamuhadaa amnyang’anye kitapeli akaiongezee wake astarehe nao.
@@alinassormohamed8051. Unajua maana ya wengi wao au unajishtukia??? Km unajishtukia ndio uache hzo tabia nilozieleza na sio uone unahukumiwa. Hukmu utakwenda kuiona akhera kwenye moto na pepo na sio hapa unapozinduliwa.
Wengi wetu ndio tabiaa zetu lakini wako wachache miongoni mwetu Allhamdulillah waaminifu wakweli watenda haki lakini hata nyie Wanawake wengi wenu MTIHANI wametufilisi na kuondoka na kusema siwezi kuishi na Mwanaume Masikini lakini yy ndio chanzo Cha umasikini
@@MnubiMm. Kwa mlivyo siku hzi w’me wengi unakuta w’ke wanaokufilisini wengi wao hua ni wale mnaojifanya mnawaongeza au mnaowaoa kwa kuwaeka uhawara kabla. Lkn m’ke uloenda kumtolea posa kwao bila ya kupita nae uzinifuni si rahisi kukukimbia kwa unasikini wako. Unakuta m’me ana mke katulia halafu anakwenda kutafuta mke wa pili (lkn huyo wa pili huyo pengine alichompendea ni kubandika manywele, makucha, kujikwabua, kuvaa nguo zisizoeleweka nk. Ssa unategemea huyo m’ke akiingia hatokufilisi? Au ukifilisika hatokukimbia akaenda kutafuta wengine wenye pesa??? Na pengine unakuta kurumbembe hakuna asiemjua. Kwa hio mnawajua wake wakudumu nao na mnawajua wa kustarehe nao Ila mnajitoa fahamu kiasi yanakukuteni. Mana wakustarehe nae unakwenda kumuoa. Kwann hurafuti m’ke mwenye maadili anayejitambua kwenye mavazi mpaka mapambo???
Bi khadja kumbe ni mwanamke bora kulko wote mashalaah. Mpka jibril na ALLAH wamempa salaam. Hii ni kubwaaa😂❤❤❤shukran shekhe wetu. Mungu akujalie afya na siha inshallah uzidi kutuelimisha. Wanaume WA sku hizi kutwa ni kuoa tu. Mke mmoja hawamuezi vp wawil. Sisi wanawake wanatupa majaribu KENGE Hawa uadilifu HAWAJUI YANI acha tu
Kama wamuogopa Allah jifunze kuepukana na matamanio maana ukiyaweka mbele ata wawili hutarithika kisha kuna masharti wafaa kutimiza ata kwa huyo mke moja.
Mungu.akuzidishie.umri.mrefu.sana.nakujalie.mwisho.mwema
Tunashukuru shekhe kwa mafundisho yako Mungu amekujaalia
Inalilah wainailah rajuun 😢allha amrehemu mtume wetu salwale wasalamu yeye pamoja na bi khadija allha awarehemu inshaaaallha 🙏 ameeni thuma 🤲🤲🤲 ameeni allhau wakubaru 😢😢😢😢❤❤❤❤❤
Maa shaa Allah, Allah atupe utulivu Kwa waume wetu, In shaa Allah
Mashaallah mungu akueke ili uzidi kutufundisha na mungu akujaalie janatul firdhaus
Allah akulipe kheir Othman Maalim Nakupenda kwa ajili ya Allah ... natamani tufufuliwe pamoja na tupate kivuli na wewe .. natamani nawe unipende
Mashaallah Allah akujalie umri mref uzid kutuelimish
MashaAllah shukran sheikhna Mola akuzidishie eliminate na kipaji cha kuisambaza
Maa shaa Allah! Bi Khadija alimpa utulivu Mtume wetu s.a.w kwa kua Mtume wetu s.a.w alikua ni muaminifu na mcha Mungu. Lkn hawa w’me wasiku hzi hawa wengi wao hawana uaminifu na hawana uchaMungu ile kukwera na wake zao hua km adhabu Allah amewapangia kwa dhulma zao. Mana mkewe akiwa na mali yote atamuhadaa amnyang’anye kitapeli akaiongezee wake astarehe nao.
Mashaallah
Mbona unahukumu? Kwani wewe umekaa au umeolewa na wanaume wangapi hata ukawa unawazungumnzia wanaume wote....
@@alinassormohamed8051. Unajua maana ya wengi wao au unajishtukia??? Km unajishtukia ndio uache hzo tabia nilozieleza na sio uone unahukumiwa. Hukmu utakwenda kuiona akhera kwenye moto na pepo na sio hapa unapozinduliwa.
Wengi wetu ndio tabiaa zetu lakini wako wachache miongoni mwetu Allhamdulillah waaminifu wakweli watenda haki lakini hata nyie Wanawake wengi wenu MTIHANI wametufilisi na kuondoka na kusema siwezi kuishi na Mwanaume Masikini lakini yy ndio chanzo Cha umasikini
@@MnubiMm. Kwa mlivyo siku hzi w’me wengi unakuta w’ke wanaokufilisini wengi wao hua ni wale mnaojifanya mnawaongeza au mnaowaoa kwa kuwaeka uhawara kabla. Lkn m’ke uloenda kumtolea posa kwao bila ya kupita nae uzinifuni si rahisi kukukimbia kwa unasikini wako.
Unakuta m’me ana mke katulia halafu anakwenda kutafuta mke wa pili (lkn huyo wa pili huyo pengine alichompendea ni kubandika manywele, makucha, kujikwabua, kuvaa nguo zisizoeleweka nk. Ssa unategemea huyo m’ke akiingia hatokufilisi? Au ukifilisika hatokukimbia akaenda kutafuta wengine wenye pesa??? Na pengine unakuta kurumbembe hakuna asiemjua. Kwa hio mnawajua wake wakudumu nao na mnawajua wa kustarehe nao Ila mnajitoa fahamu kiasi yanakukuteni. Mana wakustarehe nae unakwenda kumuoa. Kwann hurafuti m’ke mwenye maadili anayejitambua kwenye mavazi mpaka mapambo???
ALLAHU AKBAR WALILLAHI L'HAMDU
Sheikh wallahi tumefurahi sana
ALLAH AKUPE UMRI WENYE AFYA INSHAALLAH YA RABBI
ALLAHUMMA AMEEN
Mawaidha yaliyojaa ujmbe mzito maashaallah. Allah akuzidishie ilimu sheikh.
Sheikh maalim m mungu akupe umri mrefu,mawaidha yako kuntu
Alhamdullillah, mashaallah jazakallah kheri, Allah akuhifadhi.
Mashaallah skeikh Allah akulipe kheri nyingi hapa duniani na akhera
Masha Allah sheikh umeni funza kitu nilikua sijui shukran
MashaAllah ❤,ya Allah tujaliwe tuwe pamoja na kipenz chetu mtume wetu Muhammad S.A.W pepon🤲
Amiin
Bi khadja kumbe ni mwanamke bora kulko wote mashalaah. Mpka jibril na ALLAH wamempa salaam. Hii ni kubwaaa😂❤❤❤shukran shekhe wetu. Mungu akujalie afya na siha inshallah uzidi kutuelimisha. Wanaume WA sku hizi kutwa ni kuoa tu. Mke mmoja hawamuezi vp wawil. Sisi wanawake wanatupa majaribu KENGE Hawa uadilifu HAWAJUI YANI acha tu
Allahumma Barik fiii
MashaAllah Ustadh othman maalim..
Sheykh wangu Allah akupe umr wa kheyr
MashaAllah mashaAllah Allah barik ❤
Asante sheikh Othman maalim
Allah wetu mlez awarehem bi khadija na mtume mohammad
MASHA ALLAH 💚💚💚💚
Shukrn jazakallahul kheir
Mashallllah mashalllah
Jazakallah khayran
Swallalah Allayhi Wasalam
Jazzakumllah Khery
Allh Akibar❤
Allahuma sali ala Muhamadin wa ali Muhamad
Swallah ghaleh wasallam.
Bi khadija r.a
MASHAALLAH. 😢
Mashaallah
Masha Allah❤
Maashaallah
Naomba notumiwe kisa cha Nabii Mussa na Hindhie
Ishaalash
Tabia njema tunajifunz kwak
🌷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
❤❤❤❤❤
Shekhe je asiekua nauwezo wamali aruhusiw kuowa najee ikiwa anahamu zakimwili afanye nini tafadhar nijibu
Fungamana na funga Kaka yng
Kama wamuogopa Allah jifunze kuepukana na matamanio maana ukiyaweka mbele ata wawili hutarithika kisha kuna masharti wafaa kutimiza ata kwa huyo mke moja.
Kama unauwezo unaweza kuoa, na Kama huna bas unafaa kufunga, kwani swaum ni kinga.
Funga
Mashallah
❤❤❤
❤❤❤❤❤