KISA CHA MZAZI KUKATAA POSA YA MWANAMFALME | WANAUME HAWAFUNDWI KABLA YA NDOA - SHEIKH OTHMAN MAALIM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 136

  • @almaarifonlinetv
    @almaarifonlinetv  ปีที่แล้ว +34

    Kwanini tunapenda mawaidha yake Othman Maalim? ❤

    • @polyclinicroyal
      @polyclinicroyal ปีที่แล้ว +3

      Mimi sijui kwanini 😄❤

    • @KGONLINETV-i7z
      @KGONLINETV-i7z ปีที่แล้ว +12

      Ni mpole sana na ni Alama za uchamungu alafu ana utamu wa maneno na sauti nzuri

    • @KGONLINETV-i7z
      @KGONLINETV-i7z ปีที่แล้ว +5

      Ni mpole sana na ni Alama za uchamungu alafu ana utamu wa maneno na sauti nzuri

    • @halimaa9367
      @halimaa9367 ปีที่แล้ว +3

      yanafundisha mambo mzur ❤ nampenda sana shekhe pia anatembea wake nawajme

    • @SaumuNsega-or4qp
      @SaumuNsega-or4qp ปีที่แล้ว +3

      Kwanza anauwez mkubwa wa kufafanua mungu amzidishie.

  • @ZuwenaAlhabsi-ic5rv
    @ZuwenaAlhabsi-ic5rv 9 หลายเดือนก่อน +15

    Hakuna Mada ambayo anaitowa Shekh Othman,ikakosa wasikilizaji wengi,hiki ni kipaji alichopewa na ALLAH,Mada zote unazotowa zinatufundisha kwa undani zaidi.ALLAH AKUPE AFYA NA UZIMA, akulinde na Kila BAYA.UZIDI KUTUELIMISHA KATIKA DINI.AMEEN

  • @HabibaOthuman
    @HabibaOthuman 9 หลายเดือนก่อน +9

    Nampenda sana ❤❤❤❤sheikh othiman maalim kwa ajili ya Allah

  • @abdallahhalifa5860
    @abdallahhalifa5860 ปีที่แล้ว +15

    Huyu Sheikh ni Majaaz Alopewa na Mungu Allah amjaalie Umri mrefu tuzidi kuelimika kupitia Mawaidha yake

  • @Swalehwetu1
    @Swalehwetu1 9 หลายเดือนก่อน +4

    Othman maalim.anafanya research vizuri. Mawaidha yake ni elimu kwa Past + Present + Future. Allah amzidishie kheri 🙏🏽

  • @aminaabdulghanim8256
    @aminaabdulghanim8256 5 หลายเดือนก่อน +3

    Subhanallah kisa adhim jamani Uislam ni tamu una furaha ndani yake. Kila kitu na mtindo wake bila hivo tutateseka kihisia na maisha. ALLAH SUBHANALLAH WATAALAH atuongoze SEMA Ameen. Allah ukimueka moyoni nae ukuongoza ukimtoa moyoni nawe utateseka na duniani hadaa.

  • @abdulrahmanomar5676
    @abdulrahmanomar5676 9 หลายเดือนก่อน +3

    Sheikh Mashallah hapendi kutetanisha waislamu kwa migawanyo ya fikraisiyo na faida. Daima mawaidha yake yanafaa binadamu wote.

  • @kalthumsalim4419
    @kalthumsalim4419 ปีที่แล้ว +14

    Kwasababu anamakini ya kuzungumza mungu ampe umri na swiha njema

    • @almaarifonlinetv
      @almaarifonlinetv  ปีที่แล้ว

      Allahumma amiyn, usisahau kuSubscribe ❤️

  • @Ahmadfaisal-u2i
    @Ahmadfaisal-u2i 3 วันที่ผ่านมา

    Mashaa Allah shekhe MUNGU akujalie kilalakher uzid kutupa dawaa Mashaa Allah nataman mtt wangu umfundishe

  • @abdulrahmanomar5676
    @abdulrahmanomar5676 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi natoka Kenya natamani sana kuwa ninaishi kwa Mchina Zanzibar ni enjoy na kufaidika zaidi na Mawaidha ya Sheikh. Kwakweli kabisa mawaidha yake yanagusa umma khaswa tabiya. Ufasaha na kina Cha mawaidha Mungu ampe umri tuzidi kufaidika.

  • @user-yustajoseph
    @user-yustajoseph ปีที่แล้ว +6

    Mungu.akuzidishie.umri.mrefu.akuondolee.maradhi.akupe.mwisho.mwema.tunapenda.sana.mawaidha.yako

  • @abdaladelo371
    @abdaladelo371 10 หลายเดือนก่อน +5

    Alla ampe umri mrefu ili tuzidi kufaidika na mawaidha yake ya hhekima inshaallh taaala

  • @worldelectro2787
    @worldelectro2787 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi ni mukristu ila napenda mafundisho ya uyu cheikh ,anaongea na hkma kubwa sana .mafunzo mema kabisa kwa jamii

  • @anlaueamisse8656
    @anlaueamisse8656 ปีที่แล้ว +5

    Mashalla Nampeda sh kwajili ya Mawaiza ya kumjua ALLAH SUBUANA WATAHALA... MOZAMBIQUE...

  • @Nuhu-b4x
    @Nuhu-b4x ปีที่แล้ว +6

    MashaAllah! kwasababu anakhekma anafahamika pili mkweli MashaAllah ❤❤

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 10 หลายเดือนก่อน +7

    Mungu akuweke. Alhamdulilah

  • @JumaHamad-i3f
    @JumaHamad-i3f ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah mungu akupe Maisha mazur hapa duniani na kesho akhera

  • @SaidNassor-xj6yp
    @SaidNassor-xj6yp ปีที่แล้ว +5

    Allah akupe umri sheikh Othman maalim

  • @patimazaid1801
    @patimazaid1801 4 หลายเดือนก่อน

    Kwanza katulia Hana papara kalafu mada zake zote zina kiwango ,Allah akuhifadhi shekhe duniani na akhera amiin

  • @AliKhamiss-r5k
    @AliKhamiss-r5k 2 หลายเดือนก่อน

    Wallah huy sheikh nampenda ndan ya moy wang ivo akichek mm machoz yanantok kw furaha nampenda san kwa ajili y Allah mung amuwekeee

  • @AmanRashid-t4c
    @AmanRashid-t4c 3 หลายเดือนก่อน

    Darasa nzuri ukianza kusikiliza huachi inshaallah mugu atakulipa shekhe

  • @Nimriysbabe984
    @Nimriysbabe984 9 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤TabarakaAllah ❤❤❤❤❤....Allah akupe umri uzidi kutukumbusha In sha Allah

  • @RamadanRasheed
    @RamadanRasheed 8 หลายเดือนก่อน +1

    Shekhe mungu akuweke maisha marefu

  • @fatmaabdinuurjibriil
    @fatmaabdinuurjibriil 8 หลายเดือนก่อน +2

    Sheikh jazakum llah🥰

  • @SaumuLuvuno-s6w
    @SaumuLuvuno-s6w ปีที่แล้ว +2

    MashaAllAH ana ujuzi wa kueleza ki fasaha na ukaingiwa na hofu juu ya Allah na mafunzo alokupa

  • @NoorNuria
    @NoorNuria ปีที่แล้ว +7

    Mashaallah sheikh wetu mungu akupe afya uzidi kutupa dawaa

    • @ftimaramadan4748
      @ftimaramadan4748 ปีที่แล้ว

      Amin ya Rabby

    • @almaarifonlinetv
      @almaarifonlinetv  ปีที่แล้ว

      Allahumma Amiyn. Tafadhali, Subscribe channel yetu kwa mengi mazuri yajayo

  • @MwanaidiSeif-x3i
    @MwanaidiSeif-x3i 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akuwe daima shekhe

  • @YussraMohd-v6w
    @YussraMohd-v6w 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Allah akupe afya na umri❤❤❤

  • @AthumanAmiri-t7u
    @AthumanAmiri-t7u 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallh

  • @biashaomar2367
    @biashaomar2367 ปีที่แล้ว +3

    Shukraan jazakallah kheir sheikh mawaidha mazuri saana

    • @almaarifonlinetv
      @almaarifonlinetv  ปีที่แล้ว +1

      Allahumma amiyn. Naam Tafadhali, Subscribe channel yetu kwa mengi mazuri yajayo

  • @gonew-b5b
    @gonew-b5b 3 หลายเดือนก่อน

    Mansha’Allah Shukran Jazaakum Allahu kheir 🥰🥰♥️

  • @halimandune7317
    @halimandune7317 ปีที่แล้ว +3

    Mawaidha mazuri Allah atuongoze kutimiza haya innshAllah. Sheikh wangu Allah akupe umri uzidi kutuelimisha.

    • @almaarifonlinetv
      @almaarifonlinetv  ปีที่แล้ว

      Allahumma amiyn. Naam Tafadhali, Subscribe channel yetu kwa mengi mazuri yajayo

    • @fatmaally7252
      @fatmaally7252 ปีที่แล้ว

      Allahuma Amiin

  • @NaifilAlly
    @NaifilAlly 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi niseme ukweli tu ninapom cc kiliza sh.otman Maallim hata kama ninahuzuni kubwa Gani basi huondoka nakujihic furaha ,Allah akuzifishie Akhera na dunia

  • @ThuwaibaHamid-j1u
    @ThuwaibaHamid-j1u ปีที่แล้ว +1

    Maashallah mawaidha ya shekh wet yanatufunz meng

  • @MahfodhAmeyr
    @MahfodhAmeyr 8 หลายเดือนก่อน +1

    ماشاءاللہ

  • @fatumahassan8438
    @fatumahassan8438 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah napenda mawaidha yako Allah akujaze kheri

  • @rashid3562
    @rashid3562 ปีที่แล้ว +6

    Hawa ndo masheikh wetu wema nawaombea Allah awafanyie wepesi sn ktk Kaz ya dawa

  • @MusaNaswaba
    @MusaNaswaba 8 หลายเดือนก่อน

    Mashallwh ya maalim

  • @pesasaid768
    @pesasaid768 ปีที่แล้ว +1

    Allah azid kukupa umri mrefu udumu kutupatia mawaidha sheikh wetu .

  • @saidmusa8008
    @saidmusa8008 9 หลายเดือนก่อน

    Mashallah MUNGU akuzidishie inshallah 🤲🤲🤲

  • @Marim-qp8gs
    @Marim-qp8gs 10 หลายเดือนก่อน

    Shehk othman nashukuru sana kwa hadisi na mawaiza ambae unatusomesha barakaAllah fiikum

  • @suleimanmuhiddin5363
    @suleimanmuhiddin5363 9 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah mawaidha mazuuri sana❤❤❤❤❤

  • @SaumuAbdallah-j6k
    @SaumuAbdallah-j6k 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe Manisha marefu❤

  • @azizashaaban870
    @azizashaaban870 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah tabarakallah amazing daawah.

  • @صالحالصوافي-غ5و
    @صالحالصوافي-غ5و 9 หลายเดือนก่อน

    Mansha allah napenda anavyo elimisha

  • @fatumjumaa5563
    @fatumjumaa5563 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh Allah akupe umri mrefu uzidi kutufahamisha

    • @almaarifonlinetv
      @almaarifonlinetv  ปีที่แล้ว

      Allahumma amiyn. Naam Tafadhali, Subscribe channel yetu kwa mengi mazuri yajayo

  • @salmahussein8076
    @salmahussein8076 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah...eti na mimi nacheka..uku

  • @hamisimaulidiabasi
    @hamisimaulidiabasi ปีที่แล้ว +2

    Allah akupe maisha malefu

    • @almaarifonlinetv
      @almaarifonlinetv  ปีที่แล้ว +1

      Allahumma amiyn. Naam Tafadhali, Subscribe channel yetu kwa mengi mazuri yajayo

  • @mireillekwizera4047
    @mireillekwizera4047 ปีที่แล้ว

    Maashaallah Allah akujalie kwakweli tunakupenda 🇧🇮🇧🇮

  • @ibrahimmakata2111
    @ibrahimmakata2111 9 หลายเดือนก่อน

    Allah akuweke , Mashaallah.

  • @MahraMansoor5969
    @MahraMansoor5969 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @Khadijahabib-z2d
    @Khadijahabib-z2d 9 หลายเดือนก่อน

    mashallah

  • @djumbesaide2169
    @djumbesaide2169 5 หลายเดือนก่อน

    Alana sheik Mimi unitoshi wewe no mahalimu muimu Kwa família yote duniani

  • @ARAFATVSHOW
    @ARAFATVSHOW 9 หลายเดือนก่อน

    MANSHALLAH ❤️❤️

  • @lovedloveboy
    @lovedloveboy ปีที่แล้ว

    Maashaallah Allah akulinde na mahaasid Ustadh Othman
    mawaidha matamu.

    • @ftimaramadan4748
      @ftimaramadan4748 ปีที่แล้ว

      Amin ya Rabby

    • @almaarifonlinetv
      @almaarifonlinetv  ปีที่แล้ว +1

      Allahumma amiyn. Naam Tafadhali, Subscribe channel yetu kwa mengi mazuri yajayo

  • @IbrahimMambo-wo2jw
    @IbrahimMambo-wo2jw 9 หลายเดือนก่อน

    Mashallah ❤

  • @FaridaIdd-vl9ez
    @FaridaIdd-vl9ez ปีที่แล้ว +1

    Yanafundisha mazuri❤

    • @almaarifonlinetv
      @almaarifonlinetv  ปีที่แล้ว

      Naam Tafadhali, Subscribe channel yetu kwa mengi mazuri yajayo

  • @MustafaMustafaomar-b8i
    @MustafaMustafaomar-b8i 9 หลายเดือนก่อน

    Inshaa Allah

  • @IsmailHabibu-o9t
    @IsmailHabibu-o9t ปีที่แล้ว +1

    Barakallahu fiikum

    • @almaarifonlinetv
      @almaarifonlinetv  ปีที่แล้ว

      Allahumma amiyn. Naam Tafadhali, Subscribe channel yetu kwa mengi mazuri yajayo

  • @mathiasremy2154
    @mathiasremy2154 ปีที่แล้ว +1

    Mash Allah

    • @almaarifonlinetv
      @almaarifonlinetv  ปีที่แล้ว

      Naam Tafadhali, Subscribe channel yetu kwa mengi mazuri yajayo

  • @ZinnirahOmar-eb9wm
    @ZinnirahOmar-eb9wm ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah

  • @faidhatiabdallah9926
    @faidhatiabdallah9926 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @RamadanRasheed
    @RamadanRasheed 8 หลายเดือนก่อน

    Mawaidha yake huaga nayaelewa sana

  • @BakundukizeFatma
    @BakundukizeFatma 10 หลายเดือนก่อน

    Allahu baarik

  • @waynejohn2239
    @waynejohn2239 ปีที่แล้ว

    God bless you❤

  • @barakamussa1773
    @barakamussa1773 ปีที่แล้ว

    Allah akupe umri mrefu wenye kheri uzidi kutuelimisha

    • @almaarifonlinetv
      @almaarifonlinetv  ปีที่แล้ว

      Allahumma amiyn thumma Amiyn. Usisahau kuSubscribe kaka tuzidi kuwa pamoja.

  • @FatumaMasaka-i8l
    @FatumaMasaka-i8l ปีที่แล้ว +1

  • @khadijashuvaleyusuf4728
    @khadijashuvaleyusuf4728 ปีที่แล้ว

    Mashaallah 🥰 🥰

  • @AmanRashid-t4c
    @AmanRashid-t4c 3 หลายเดือนก่อน

    Yanafundisha kwa kina pia yanatia imani

  • @FahadNassor
    @FahadNassor ปีที่แล้ว

    Maashaallah

    • @almaarifonlinetv
      @almaarifonlinetv  ปีที่แล้ว +1

      Naam Tafadhali, Subscribe channel yetu kwa mengi mazuri yajayo

  • @AbdullshakuruJumanne
    @AbdullshakuruJumanne ปีที่แล้ว

    Maaashaallah

  • @user-yustajoseph
    @user-yustajoseph ปีที่แล้ว +1

    Duu shehewetu.mzazi.alie.kuzaa.mwenyezimungu ape.umri.mrefu.naazi.kumpa.subra

  • @SaumuNsega-or4qp
    @SaumuNsega-or4qp ปีที่แล้ว

    Mashaallah

    • @almaarifonlinetv
      @almaarifonlinetv  ปีที่แล้ว

      Tabarakallah. Naam Tafadhali, Subscribe channel yetu kwa mengi mazuri yajayo

  • @MonicahBrillian
    @MonicahBrillian 9 หลายเดือนก่อน +1

    Assalamualaikum! Sheikh Othman,vipi mtu anaweza ongea na wewe kwenye WhatsApp,Kuna kitu nataka nikueleze iliuaelimishe waislam na wengine,hichi kisa kimenihuzunisha sana haswa Kwa wailam,na pia lingine ni kuaelimisha Hawa ladyboss ambao wanawafanya wasichana wa nyumba kua si viumbe 😭😭😭😭

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว +1

    Shehe na mimi nacheka huku

    • @almaarifonlinetv
      @almaarifonlinetv  ปีที่แล้ว +1

      MaaShaaAllah. Naam Tafadhali, kama bado hujaSubscribe basi usiache kuSubscribe channel yetu kwa mengi mazuri yajayo

  • @MussaClementi
    @MussaClementi ปีที่แล้ว

    ❤❤

  • @sophiaesmarcharo9775
    @sophiaesmarcharo9775 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤🌷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 ปีที่แล้ว

    subhanalha

    • @almaarifonlinetv
      @almaarifonlinetv  ปีที่แล้ว +1

      Naam Tafadhali, Subscribe channel yetu kwa mengi mazuri yajayo

  • @sabraally5644
    @sabraally5644 ปีที่แล้ว

    Allah bark sheikh
    Me nlkuwa naomba namb yake

    • @almaarifonlinetv
      @almaarifonlinetv  ปีที่แล้ว

      Nadhani ingekuwa bora kwenda nyumbani kwake/msikitini kwake Zanzibar. Namba yake ni ngumu kuipata.

  • @user-yustajoseph
    @user-yustajoseph ปีที่แล้ว

    Ilakwamimi siwezi.kukuchukiya napenda uendelee mpaka kesho

  • @salumfumo
    @salumfumo ปีที่แล้ว

    Sasa nifanye nioe 🫠🫠🦥🦥

  • @shariffsalimibnmajah1004
    @shariffsalimibnmajah1004 ปีที่แล้ว

    😂😂😂

  • @sikukuuchuo3093
    @sikukuuchuo3093 8 หลายเดือนก่อน

    Anaongea vitu halisi ambavyo vinatokea katika jamii

  • @RehemaYusuph-px8qy
    @RehemaYusuph-px8qy 5 หลายเดือนก่อน

    Mashaalla

  • @SuleimaniEstikama
    @SuleimaniEstikama 7 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @hadidhamad762
    @hadidhamad762 9 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @passysaida8446
    @passysaida8446 7 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah

  • @mireillekwizera4047
    @mireillekwizera4047 ปีที่แล้ว

    Maashaallah