Mbinu nne (4) za namna ya kufikiri

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 296

  • @salimually2358
    @salimually2358 2 ปีที่แล้ว +3

    We ni tofauti sana na watu wa kawaida nafikiri kazi unayoifanya ni wito unavyoelezea ni kama unalipwa na watu wote wanaokusikiliza .naamini kupato unachokipata hakiendani nasomo unalotoa

  • @rosemlawa7306
    @rosemlawa7306 7 หลายเดือนก่อน +2

    Njia nzuri ni namba moja kutafuta suluhisho

  • @nehemiamminza4663
    @nehemiamminza4663 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kaka joel kwa somo lako zuri, kwa Mimi njia ambayo naweza nikaanza nayo ni kufikiri kufanikiwa na siyo kushindwa,
    Be blessed my mentor

  • @dottorobert
    @dottorobert ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana Brother joel nanauka, elim yaki ni ya moto sana

  • @PHILOSOPHY1890
    @PHILOSOPHY1890 ปีที่แล้ว +2

    Hakika hizi ni hisia ambazo zinafubaza maumivu kama utafikiria sana kuhusu maumivu fikra zako hazitavuka mpaka🔨perfect

  • @abditech14
    @abditech14 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa elimu kubwa sana

  • @bestroyaltv
    @bestroyaltv 11 หลายเดือนก่อน +1

    We ndugu, Mungu akupe kuishi ili kusaidia vizazi vingi mbele

  • @MjJohn-nj9nj
    @MjJohn-nj9nj 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli umenielezea Joel jinsi nilivyo kabisa

  • @josephmoses.989
    @josephmoses.989 3 ปีที่แล้ว +1

    Uzuri na ubaya wa hivi vitu mm huwa nafikria huwa ni nature ya mtu na sio kujifunza kuishi katk hii motazamo, na ukianza kujifunza kuixhi kwny haya maisha utakua na kazi mbili yaani kutafuta kufanikiwa na kubadili tabia.

    • @ewaldkimbori3159
      @ewaldkimbori3159 3 ปีที่แล้ว

      Ukishabadili tabia mafanikio yatakuja automatic

    • @josephmoses.989
      @josephmoses.989 3 ปีที่แล้ว

      @@ewaldkimbori3159 kumbuka mkuu tabia ni kama kovu, haiwezi kufutika.

  • @Phoenix_TechAnalyst
    @Phoenix_TechAnalyst 3 ปีที่แล้ว +4

    Bravo tanzania 🇹🇿 as a Country. The African community would have hired tanzanians speakers to heal the whole black nation.

  • @kassimumsoma5279
    @kassimumsoma5279 3 ปีที่แล้ว +9

    Hello, Mr Joel kwa mimi naona hiyo ya kutafuta solution ni njia bora ya kunitowa hapa nilipo
    Maana kadiri ntakapo sulihisha jambo, ndivyo ntakavyo panda juu, naamini Hilo kwahy njia pekee ya kutumia ni kutafuta shida na kuzitatuwa,
    Asant kaka Joel 🙏🙏

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว

      Ni kweli Kabisa Kasim🙏

  • @honorykwahhay4364
    @honorykwahhay4364 3 ปีที่แล้ว +2

    Nitatumia njia ya kwanza kutafuta suluhisho na na njia ya pili kuangalia mambo ya mbele, future, thank you brother, unafundisha mambo makubwa sana, I wish masomo yako hayo yawekwe kwenye mitaala ya shule za Sekondari na Vyuo

  • @jeyone4075
    @jeyone4075 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwalimu Joel...tangia nikufahamu nimefatilia mafundisho yako mengi sana but nadhan video hii ya kuifundisha injini yangu ya ubongo namna bora ya kufikiri ndio video pekee nlokuwa naimiss kwenye maisha yangu bila kujijua....nashukuru leo nimekutana nayo naam umenibadil braza....ahsante sana na ubarikiwe mnoo

  • @victoriasarwat4736
    @victoriasarwat4736 ปีที่แล้ว

    haki Asante sana kwa mafundisho mazuri....Mungu azidi kukubariki

  • @josephjafet325
    @josephjafet325 3 ปีที่แล้ว +6

    Umenifanya nitumie elfu 1 Kama mtaji wa biashara na Sasa Nina elfu 30.ubarikiwe Sana naamini hata mtaji nilionao Sasa utapanda.

    • @Msakatonge23
      @Msakatonge23 ปีที่แล้ว

      Hei babkubwa ni upi huo mtahi wa buku

  • @DrMbonea
    @DrMbonea 3 ปีที่แล้ว +3

    Nnanauka be blessed nina ushuduhuda kutokana na inspiration zako

  • @salumurashidi8973
    @salumurashidi8973 2 ปีที่แล้ว +1

    Great thinker Joel Nanauka ni bahati kwetu watanzania,, nitakapotimiza malengo yangu nitakutafuta nikuone

  • @peterbayo4677
    @peterbayo4677 3 ปีที่แล้ว

    Mawazo mazuri sana. Nakubali somo hili ni somo jema hata katika masuala ya kiroho. Katika kujenga uchumi na siasa inafanyika hivi bila shaka

  • @dicksongadson2223
    @dicksongadson2223 3 ปีที่แล้ว

    asante sana father yan kwa mimi apo future ndio naona inanitoa (low stage to hight stage)

  • @joramjaphet3060
    @joramjaphet3060 3 ปีที่แล้ว +2

    Sitaruhusu yaliyopta yaamue hatima yang. Thx bro

  • @juliethfrank6626
    @juliethfrank6626 3 ปีที่แล้ว

    Kaka Joel nimenunua notebook kwaajili yako,naandika kila unachofundisha napokea mnoo ubarikiwe sana kupitia wewe nitakua mtu mwingine siku cjazo, Mungu kuna vitu ameweka ndani yangu na wewe pia unaniongezea maarifa na kujitambua thanx bro ubarikiwe mnoo

  • @whitnesskowero1129
    @whitnesskowero1129 2 ปีที่แล้ว

    Asante kakaangu kwa somo zuri.... aiseee...

  • @user-ny1xj4mh4h
    @user-ny1xj4mh4h 7 หลายเดือนก่อน

    Kweli mafundisho ni mazuri Sana na yamekuwa msaada kwangu na kwa wengine ambao nimewafundisha na kuwaelekeza wapi nayapata pia niseme ukweli Mimi nimeyatumia Mara nyingi kila mara

  • @aishaahussein3915
    @aishaahussein3915 3 ปีที่แล้ว

    nimejifunza kitu nitokewapo na tatizo cha mhim ni kutafuta suluhisho shukrani sana kwa somo hili

  • @jacobnduya798
    @jacobnduya798 2 ปีที่แล้ว

    Asante sans. Mimi napenda kutumia abundannce theory

  • @user-wl2oi4dz7u
    @user-wl2oi4dz7u 2 หลายเดือนก่อน

    Asante braza kwa masomo mazuri napenda unavyochambua mamba nahitaji kuwa na uwezo kama huo nipe njia za kupita

  • @swabriissa2034
    @swabriissa2034 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimekusoma vizuri brother nanauka yote uliyosema nikweli ahsante kwa kuifungua upya akil yangu mola akubarik sana brother

  • @ENOCKPHILIPO
    @ENOCKPHILIPO 25 วันที่ผ่านมา

    Aise, Kiongozi Mungu akubariki sana

  • @BarackaNchimbi-vk6in
    @BarackaNchimbi-vk6in 11 หลายเดือนก่อน

    Miml ntatumia njia ya namna ya kutatua taiz asant san broo kwa mafundish mazur

  • @dicksonkalebo5236
    @dicksonkalebo5236 2 ปีที่แล้ว

    Kaka nashukuru sana naona naona yote yananihusu af mimi ni mwanafunzi but kutokana na hili naamini kabisa nitabadilika

  • @bhabdiiswahili7941
    @bhabdiiswahili7941 3 ปีที่แล้ว +1

    Njiya ya pili naitumiya sana. Ila leo umenipa nya nyengine asante

  • @flavianruga2224
    @flavianruga2224 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo mbinu ya kutafuta SULUHISHO imeshanifanyia wonders.Asante kwa masomo mazuri.

  • @onesmosanga8408
    @onesmosanga8408 3 ปีที่แล้ว +2

    Tuko pamoja sana mwalim joel me njia ya pili 'Future' ndo naiamin na ndo naitumia

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว

      Safi Onesmo

    • @soniimedia2440
      @soniimedia2440 3 ปีที่แล้ว

      Subscribe kwangu na mm nitafanya hivyo kwako Ahsante 🔥🔥🔥👉🔥

  • @neemabayo3522
    @neemabayo3522 3 ปีที่แล้ว +2

    Thank,,, bro you path away of my life ,, you became direct of my life thank god bless you.

  • @liswakilulu
    @liswakilulu 2 หลายเดือนก่อน

    Think for future ni njia nzr

  • @comrademlewaisavile336
    @comrademlewaisavile336 3 ปีที่แล้ว

    Mbinu namba 2 yaa imenigusa ngoja niongeze sipidi pamoja na ya 4.coz nataman siku moja namie niache alama katka jamii nayoishi na kuenziwa katka taifa langu kama mtyu niliyethubutu.mr Joel nakuombea kwa mmungu afya njema amiin👏👏

  • @ramadhan7088
    @ramadhan7088 3 ปีที่แล้ว +1

    Always Great content Sir Joel 🔥. Kama watu waliofanikiwa wanafikiri kwa namna zote nne hizi basi na sina budi kuaambatana nazo zote bila kuchagua, no choices kwenye mafanikio & you can't skip the process. Njia moja am proud of nikwamba sijawahi kuwaza kufell Jambo lolote always. Sir Joel Nanauka is a gift to us Tanzanians and all swahili community. There are few PEOPLE like you My Brother. Finance📊📊

  • @phido047
    @phido047 10 หลายเดือนก่อน

    Naona kama hiiii hali ninayo bas nitatoboa tuu❤

  • @inviolataluena8713
    @inviolataluena8713 2 ปีที่แล้ว

    Joel umejaliwa nakufuatilia sana

  • @roserushehela7045
    @roserushehela7045 2 ปีที่แล้ว

    "Kuongeza uwezo wao" n njia sahh kwangu zaid

  • @michaelkarunda5120
    @michaelkarunda5120 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarkiwe sana kwa Elim my bro

  • @hamzaabeli2590
    @hamzaabeli2590 3 ปีที่แล้ว

    Kwann mku unafanya kazi Alf mafanikio yanakua ayaendan upati ela

  • @thearobart4248
    @thearobart4248 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana Joel hii njia ya nne ya kuongeza uwezo naanza nayo leo

  • @shufaasarahan4389
    @shufaasarahan4389 3 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana uwezo wako mungu akupe mapenzi

  • @furahakimaro3932
    @furahakimaro3932 2 ปีที่แล้ว

    Brother Joel Nanauka tuseme tu ukweli Mungu amekubariki sana na maarifa

  • @jackmahuni2709
    @jackmahuni2709 3 ปีที่แล้ว

    Nashukuru sana kwahilo maana najiona mshindi mkubwa katika swala lakufanikiwa nakufikisha malengo yangu mbele kabisa.

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 2 ปีที่แล้ว

    Shukran Dr joel kwa hili somo

  • @helenamusa432
    @helenamusa432 2 ปีที่แล้ว

    Nanauka naseme2 Asante kwa hili mungu akulinde

  • @alivealabri5535
    @alivealabri5535 3 ปีที่แล้ว

    Kweli maneno yako nimejiona nafisi yagu kwenye mazugumzo yako niko OK silaumu mtu. Lakini shukra umenifunguwa ubogo zaidi nimepata ilimu. Zaidi kwako nakobeya Baraka kwako.

  • @thrivehappy9610
    @thrivehappy9610 2 ปีที่แล้ว

    Thank you so much for motivation!
    Nilikua ni mtu wa kukata tamaa sana
    Ila kupitia nyinyi waalimu wema mungu atuongoze zaidi

  • @KulwaHerman-tl9wo
    @KulwaHerman-tl9wo ปีที่แล้ว

    Njia ya nje ndo nzur zaidi katka maisha

  • @aidakapela9260
    @aidakapela9260 2 ปีที่แล้ว

    Asante mungu akubarik

  • @mickdardabdul3016
    @mickdardabdul3016 3 ปีที่แล้ว +1

    Brother. Sijui nikwambie vp ila unatoa elimu ambayo shuleni sijawahi kupata. Mungu akujalie afya tele kaka yetu JOEL NANAUKA

  • @harunmwazembe9980
    @harunmwazembe9980 3 ปีที่แล้ว +1

    Asanteh sana kwa somo zuri kaka Nanauka,, naomba kujua hicho ni kitabu gani

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว +1

      Wasiliana na Timiza Malengo Bookshop utakipata 0756-094875

  • @vonotto
    @vonotto 3 ปีที่แล้ว +1

    Njia ya kwanza ni kutafuta solution, thanks bro you made my day

    • @soniimedia2440
      @soniimedia2440 3 ปีที่แล้ว

      Subscribe kwangu na mm nitafanya hivyo kwako Ahsante 🔥🔥🔥👉🔥🙏

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 ปีที่แล้ว

    Amina nimejifunza kitu

  • @ntiruvakureismael717
    @ntiruvakureismael717 3 ปีที่แล้ว

    Naomba ushauri ,mie najiamini kufanya biashara ila nakutana namatatizo mbalimbali. Ila kikubwa naishi mbali ya inchi yangu ila naitaji kufanya biashara kati kainchi yangu

  • @jayotv2024
    @jayotv2024 3 ปีที่แล้ว

    Nanauka unahobgeya kweli

  • @raphaeljoachim2665
    @raphaeljoachim2665 3 ปีที่แล้ว

    Namna ya Kwanza imenibariki zaidi mtumishi wa Mungu,kuanzia leo naifanyia kazi.asante.

  • @tamimmohd8980
    @tamimmohd8980 2 ปีที่แล้ว

    thanks joel.nimefaidika sana

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 3 ปีที่แล้ว

    Kufikiria kuongeza uwezo ni jambo jema sana na sio kufiria ni kuwa tyr kuongeza uwezo wako haijaalishi una umri gani, au upo chini vipi lkn kuongeza uwezo ni muhim sana nataka nilifanyie kz hili

  • @meshackmmary3117
    @meshackmmary3117 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii nmeilewa sanaaa na kuacha kujilaumu na kuheshimu na kukitumia vzuri ili kilete matokeo makubwa

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว

      Kabisa hakuna kujilaumu

  • @mgallason...5686
    @mgallason...5686 3 ปีที่แล้ว

    Nimefarijika sana na Hili somo. Ubarikiwe sana.

  • @asyaasya3766
    @asyaasya3766 3 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza kitu kikubwa Sana,, asant mpendwa barikiwa Sana

  • @shukranjulius5910
    @shukranjulius5910 3 ปีที่แล้ว

    Kaka barikiwa zaidi Mungu azidi kukupa maono

  • @josephgabriel8593
    @josephgabriel8593 3 ปีที่แล้ว

    Kufikiri future..

  • @manenolugendo6396
    @manenolugendo6396 3 ปีที่แล้ว

    Ujumbe mzuri sana

  • @jacquelineernest7853
    @jacquelineernest7853 3 ปีที่แล้ว

    Njia ninayotumia ni future

  • @cecylianhumbi2672
    @cecylianhumbi2672 3 ปีที่แล้ว

    Asante mtaalam,mimi nafuata no 1 na 2 japo sikuwa mafahamu

  • @rosemuhazi9542
    @rosemuhazi9542 3 ปีที่แล้ว

    Kufikiria the future

  • @franknachimbinya7688
    @franknachimbinya7688 3 ปีที่แล้ว

    Thanx always natumiaga mamba 1 but Leo umeniongezea maarifa ahsant

  • @helenamusa432
    @helenamusa432 2 ปีที่แล้ว

    njia ya kwanza ni😍

  • @paulmgaya4890
    @paulmgaya4890 3 ปีที่แล้ว

    Asanteee sanaaa kwa somo zuri nimekuelewa sana mm huwa nafikilia kidogo ambacho ninacho je nitafika nacho wapi au kitanifikisha pale napotaka mm

  • @dr.joelsonmagogo1527
    @dr.joelsonmagogo1527 3 ปีที่แล้ว +1

    suluhisho na kufikiru kufanikiwa umenisema mimi

  • @gervasrevocatus3575
    @gervasrevocatus3575 2 ปีที่แล้ว +1

    Suluhisho my brother 🙏

  • @hepinafiapeter6772
    @hepinafiapeter6772 3 ปีที่แล้ว

    Suluhisho hii njia itanisaidia sana

  • @nasraomary9430
    @nasraomary9430 3 ปีที่แล้ว +1

    Thanks sir Joel, for me I think future it start

  • @roi2554
    @roi2554 3 ปีที่แล้ว

    #JOEL_NANAUKA
    *WATU WENGI HUWA TUNASUMBULIWA SANA NA WIVU WA KIMAPENZI SO, NINGEPENDA UTUPE ADVICE JINSI YA KUEPUKANA NAO*

  • @majiramoja2162
    @majiramoja2162 3 ปีที่แล้ว

    Asante bro naanza na ni 1 solution

  • @deboramagesa5124
    @deboramagesa5124 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka joel umeniongezea nguvu

  • @rashidabdallah6930
    @rashidabdallah6930 2 ปีที่แล้ว

    Very pyscholigist and intelligence person god bless you

  • @jamesibrahim8849
    @jamesibrahim8849 3 ปีที่แล้ว

    Kufikiri kuhusiana na suruhisho, kufikiri kuhusiana na kesho yangu.

  • @pastorgodsonjohn8562
    @pastorgodsonjohn8562 3 ปีที่แล้ว

    Sina cha kusema tofauti na kukubariki basi

  • @SKYVISUALS07
    @SKYVISUALS07 3 ปีที่แล้ว

    Kweli kk shukran sana umeniweka pazur sana solution tayar nakaza future kwa wise zako tu na nipo naongeza uwezo tayar

    • @niveskomba2426
      @niveskomba2426 ปีที่แล้ว

      Asante sana kaka kwa somo zuri.

  • @mauadonat7191
    @mauadonat7191 3 ปีที่แล้ว +2

    Thanks Joel.This is an amazingly great talk.These thinking ways are fundamental elements to our success in life.Thank you indeed.

  • @allykasm3199
    @allykasm3199 2 ปีที่แล้ว

    Bro nakubali sana mawazoyako

  • @irenefransis9612
    @irenefransis9612 3 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza kitu. Be blessed 🙏🙏

  • @johnmangaga4949
    @johnmangaga4949 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana broo!;

  • @sindimenne
    @sindimenne 2 ปีที่แล้ว

    No.1 ndio shida kubwa kwangu kaka

  • @gerriesilili2703
    @gerriesilili2703 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante JN
    Nadhani namnna ya kwanza njia ya namna ya nne zitanihamisha ktoka hapa nilipo sasa. Umenifungua akili brother

  • @adelambeikya8363
    @adelambeikya8363 3 ปีที่แล้ว

    Asante Kwa topic

  • @pascalkasandakasela4541
    @pascalkasandakasela4541 3 ปีที่แล้ว +1

    Tunakaribia kufika laki

  • @racheljohn6961
    @racheljohn6961 3 ปีที่แล้ว

    Nitatumia zote 4 na baada ya miaka kathaa joeli wewe utakua shujaa wangu

  • @marcopeter4091
    @marcopeter4091 ปีที่แล้ว

    Shukran Mwalimu

  • @mericktamba7981
    @mericktamba7981 2 ปีที่แล้ว

    Niceeeeee brzaa🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿

  • @condradmpinda5387
    @condradmpinda5387 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante kaka joel, mbinu nilio ipenda mbin ya 4, kwanzia leo ntaanza kujiamin san,,,

  • @medvansuriya1831
    @medvansuriya1831 3 ปีที่แล้ว

    Suluhisho... Naamini mwanga wa mafanikio unaanzia katika mbinu hiyo ya kufikiri.

  • @benelieta7936
    @benelieta7936 3 ปีที่แล้ว

    Kuongeza uwezo na sio kukaa katika madhaifu

  • @youngtone4333
    @youngtone4333 ปีที่แล้ว

    Pamoja mkuu

  • @majaboy3933
    @majaboy3933 3 ปีที่แล้ว

    Mbinu yanne naisi nikiendelea ntaendelea kujijenga zaidi