Kaka nashukuru kwa uwepo wako umenisaidia Sana umenipa moyo wa kujua kuwa hata mim ni wa thamani kubwa nilikuw najidharau na kujua kuwa sina uwezo wa kufanya chochote yote haya ni kutokana na maneno ya watu waliopo karibu yangu San waliweza kushika sehem kubwa ya maisha yangu na nikajua wao ndo watu wenye bahati kuliko mm Asante San joeli mungu akubaliki na uendelee kuwaelimisha wengineo wengi ili waweze kujitambua na kubadilisha maisha yao
Kwaniniii usijee tanga angalau Mara mojaa tuu kwa mwakaa watu wengii wataelimika Sana Mimi binafsi kilaa rafikii Yangu anakufahamu kwasababu ninakuelezea Sana kwasababu sijutii kukujuaa umenifanya mpaka nimekuwa meneja yaniii nashukuru sanaa
Joel Mimi nashukuru sana na napenda kukufatilia sana na nimeweza kupiga hatua kwa ajili yako naomba mi nipate kujuwa mbeleni nitasikikika vipi na naitaji know acha jina langu mi nafanya kazi ya ufugaji kuku na kilimo na hapa nilipo Niko peakeangu naomba hilo kaka Joel jina langu naitwa deogratius
Kaka Joel Asante kwa somo zuri sana, mm nimependa sana kanuni ya kuanzana kipao mbele na ndio ninayoitumiaga siku zote nakipaombele changu ambacho nikitimiza nakua na hamasa sana ni MAZOEZI
kwanza kabisa ndugu nashukuru sana maana mm pia huwa nahis hivyo ninafunya biashara ya nguo na viatu vya kike tu lkn huwa nasema nitafute pesa sana ili badae niwe na biashara kubwa na maduka menge tanzania
Tatizo Hilo la kushuka Kwa hamasa hata Mimi limenikuta mara Kwa mara ila Kwa Elimu hii naamini nitarudisha hamasa yangu Kwa asilimia 💯. Ubarikiwe sana kaka.
Kwamimi naitwa charles masudi nipo muji wa Durban ila kiukweli nini mipango mingi ila mipango yenyewe nahitaji nihifanyie bujumbura nyumbani ila niko mzee wakuahidi ntafanya ntafanya myaka sasa inasogea sijafanza kitu ila picha kubwa ninayo yakile nacokipangiliya sasa waumini kule njo wananiangusha buja naomba ushauri wako maana nakufatilia saana kwa video zako asante sana
Shukamoo kaka nashukuru sana kwa video zako zinanifunza sana Lkn kitu kinachonishinda ni jinsi gani nitaendesha biashara nikiwa mbali nayo Nisaidie kwa hilo
Mr joel mie nikijana wa umri wa miaka 24 ninamtaji wa m1 lakini nina ndoto ya kununua pikipiki yangu pia nimeajiliwa ttz kubwa kwangu napenda kubet ndio ttz kwangu ya kunirudisha nyuma kila nikijaribu kuaacha nashindwa nifanyaje msaada wako mkuu @see you at Top
My great Brother naomba kila unapo zungumza kuhusiana na video yako ya nyuma, ningengepelea uwe unaweka link za hizo video ili isitutie vigumu kutafuta sana, thanks thou
Nimeipenda sana Lecture ila sasa mimi natamani sana kusoma na kufundisha neno la Mungu pia natamani sana kuandika vitabu ila kila wakati naghairi sijui kwanini.
Tupambane ndugu amini kuwa tuna nguvu kubwa sana wanadamu hasa pale unapojigundua kuwa ni vitu gani ulivyonavyo. Hapa niseme tu shetani huwa hapendi mwanadamu apige hatua kutoka pale alipo na mbaya zaidi akijua unajitambua basi huwa anawekeza nguvu nyingi sana kukusimamisha pale Ulipo. Komaa ndugu ukimtanguliza Mungu kwanza Nina uhakika uzito utyeyuka.
To own private institution of education and join groups of students of different carrier with consideration of creative and innovative talented, to provide qualify products with fully competitive in marketing..
Kaka nashukuru kwa uwepo wako umenisaidia Sana umenipa moyo wa kujua kuwa hata mim ni wa thamani kubwa nilikuw najidharau na kujua kuwa sina uwezo wa kufanya chochote yote haya ni kutokana na maneno ya watu waliopo karibu yangu San waliweza kushika sehem kubwa ya maisha yangu na nikajua wao ndo watu wenye bahati kuliko mm Asante San joeli mungu akubaliki na uendelee kuwaelimisha wengineo wengi ili waweze kujitambua na kubadilisha maisha yao
Mr. Joel Nanauka... See you At the Top. Nakuelewa sana na kila siku unanipa hamasa. Bless You
Kaka wewe Mungu akubariki unatufundisha mambo mazuri kuhusu maisha ambayo huwezi pata darasani. Thanks much na Mungu akubariki sana
Matukio yasiongoze maisha yangu
Baina yetu tunaendeshwa na matukio ndoaana tunaghairisha mambo!!! Duh!! UMETUFUNGUA AISEHE!!!!!!!!
Mungu akupe maisha marefu kaka.kwa upande wangu umeniponya.ww ni kama muujiza...mungu akupe maarifa zaid
Mungu akubariki sana, napenda kusikiliza mafundisho yako yananiongezea uelewa kila ninapoyasikiliza
Asante mungu kwa kutuzawadia kiumbe wako huyu
Asante sana Kaka MUNGU BABA wa Mbinguni Akubariki
Yess my fover right nanauka nikianza jambo nikikaribia kumaliza kunatokea issue hushindwa kumaliza kwahilo naomba ushauri wako pleeas
Ahsante kwa somo hili muhimu. Picha yangu ya mbele ni kuanzisha biashara ya airbnb. Naomba ushauri zaidi.
Kufanya kazi kwenye mtandao ili watu wanitambue nakupenda vidio zangu
We ni roll model wangu nahitaji kuja kumotivate watu kama wewe apo kwa njia tofauti
Joel, I'm blessed with you.
ASANTE SANA Umekua mwalimu mwema sana kwangu
Asante sana kaka Joel hakika Leo umenipa marifa. Mapya mungu akubarik mm iyo tatu nitakwenda nayo sambamba zaidy
Kwaniniii usijee tanga angalau Mara mojaa tuu kwa mwakaa watu wengii wataelimika Sana Mimi binafsi kilaa rafikii Yangu anakufahamu kwasababu ninakuelezea Sana kwasababu sijutii kukujuaa umenifanya mpaka nimekuwa meneja yaniii nashukuru sanaa
Ubalikiwe kwa somo zuri
Picha kubwa ktk maisha yangu ni kuwa na nice Restaurant au
real estate business woman na nimeshaanza thanks Nanauka ❤
Nimekuelewa sana Dr hasa kwenye kupanga ratiba
1,Uwe Na Picha kubwa.
2,Anza kwa vipaumbele.
3,Tumia 2minutes rules.
4,Jiwekee Ratiba.
Thank you🙏.
Mimi ni mwanafunzi
I like it
Endelea kujifunza
@@faizajuma1743
Unasomea Nini??
Wao tangu nskize masomo yako nmejua kua nampangilio wa pesa nanaona nkifkia thankx alot
Joel Mimi nashukuru sana na napenda kukufatilia sana na nimeweza kupiga hatua kwa ajili yako naomba mi nipate kujuwa mbeleni nitasikikika vipi na naitaji know acha jina langu mi nafanya kazi ya ufugaji kuku na kilimo na hapa nilipo Niko peakeangu naomba hilo kaka Joel jina langu naitwa deogratius
Asante sana my brother from another mother
Thanks a lot kk joeli nmejifunza mengi kwako kila sku nahudhuria hli darasa umekuwa chachu ya maendkeo yangu barikiwa sana na bwana...
Kaka Asante sana yani nimefaidika kabisa ila ni natatizo tu moja iyo 2minu
Kaka Joel Asante kwa somo zuri sana, mm nimependa sana kanuni ya kuanzana kipao mbele na ndio ninayoitumiaga siku zote nakipaombele changu ambacho nikitimiza nakua na hamasa sana ni MAZOEZI
Mungu akubariki sana bro Nimelipenda sana somo lako na nakuakikishia lazima ninunue kitabu hicho🙏
Kupanga ratiba Asante sana
ni kweli, YOU WILL GO NOWHERE WITHOUT GOALS
Wow ubarikiwe
Kitabu chako cha kutogairisha mambo kimenisaidia sana.keep it up bro.
kwanza kabisa ndugu nashukuru sana maana mm pia huwa nahis hivyo ninafunya biashara ya nguo na viatu vya kike tu lkn huwa nasema nitafute pesa sana ili badae niwe na biashara kubwa na maduka menge tanzania
Kuja kuwa na campuni kubwa,,,na kuajili vijana wengi.
Asante mwalimu Joel Nanauka
Asante unafundisha vizuri sana
Tatizo Hilo la kushuka Kwa hamasa hata Mimi limenikuta mara Kwa mara ila Kwa Elimu hii naamini nitarudisha hamasa yangu Kwa asilimia 💯. Ubarikiwe sana kaka.
Kaka mm nauza viatu picha kubwa ni kumilik duka la viatu vya jumla na leja leja
More blessed brother nazidi kukuelewa
Ubarikiwee
Asanteee sana kwa mawaitha hayo
Bro asante kwa kutufundisha vizuri bro mimi nahitaji kuwa rubani wa ndege nimemaliza formfour ila watuwananikatisha tamaa
Thank you brother. 2 minutes hiyo nanuni nimeielewa
Habari tunapataje vitabu
Kwamimi naitwa charles masudi nipo muji wa Durban ila kiukweli nini mipango mingi ila mipango yenyewe nahitaji nihifanyie bujumbura nyumbani ila niko mzee wakuahidi ntafanya ntafanya myaka sasa inasogea sijafanza kitu ila picha kubwa ninayo yakile nacokipangiliya sasa waumini kule njo wananiangusha buja naomba ushauri wako maana nakufatilia saana kwa video zako asante sana
Asante my brother kwa lesson nzur kama iyo
Love you kaka joel wewe ni mkomboz wangu
ubarikiwe
ubariikiwe
Shukamoo kaka nashukuru sana kwa video zako zinanifunza sana
Lkn kitu kinachonishinda ni jinsi gani nitaendesha biashara nikiwa mbali nayo
Nisaidie kwa hilo
Asante sana kwa video hii
Ikitokea siku nimekutana na Mr Joel live nitalia kwa furah tuu mungu ajalie
Picha kubwa kwangu kuja kuwa na maisha mazurii
Mr joel mie nikijana wa umri wa miaka 24 ninamtaji wa m1 lakini nina ndoto ya kununua pikipiki yangu pia nimeajiliwa ttz kubwa kwangu napenda kubet ndio ttz kwangu ya kunirudisha nyuma kila nikijaribu kuaacha nashindwa nifanyaje msaada wako mkuu @see you at Top
Hustle man inspiration
Nimependa Kuanz Na 2minutes Rule... Its Very Tricky thank you!
Kuwa mchezaji bora wa dunia mtanzania
kwenye hamsa,mimi huwa nikikamilisha kutatatua changamoto za wananchi ndio hunip hmsa zaidi.
Kufikia malengo yangu
picha kubwa niwe fundi anae fanya makubwa na kuku balika namwenye duka kubwa la spea ili nisaidie wanyuma yangu ahsante mwalimu
Vizuri bro nimeielewa Sana hii video
Asante Sanaa Kaka Joel
naomba msaada wa mawazo, Hali hii inanitesa sana, maana natamani nisome Kwa bidii ila nakosa Ile focus
Kuwa kiongoz mkubwa nchi kwangu
Kipaumbele cha kujiwekeza kiasi cha pesa kila siku lazima ni save kuanzia elf2 ndan ya miaka miwili
Hamasa yangu ni swala ndio malengo ya kuletwa duniani mengine ni mapambo ya dunia
Kujiwekea ratiba na kufanyia kazi
Picha yangu kubwa katika kazi yangu ni kuifanya izalishe biashara nyingne kubwa na yenye mafanikio zaid ya hii
Hamasa
Ninawezaje kupata kitabu hicho
Asante Sana kaka
Shikamoo Joel
Hasante kaka. Sina hamasa kila wakati.
My great Brother naomba kila unapo zungumza kuhusiana na video yako ya nyuma, ningengepelea uwe unaweka link za hizo video ili isitutie vigumu kutafuta sana, thanks thou
Hamasa yangu kubwaaa kaka Joel kuwa daktari mkubwaa nchini wa Magonjwa ya Lishe na Ambukizi ,nimeanza tayari kuyatmiza malengo yangu ,!!!
Hello brother thank you
Asanteee sana brother
Kuanza na kuona picha kubwa ya kitu nnachokifanya.
Well said
Natakuwa na kapuni
Kuanza na kipaumbele
Nimeipenda sana Lecture ila sasa mimi natamani sana kusoma na kufundisha neno la Mungu pia natamani sana kuandika vitabu ila kila wakati naghairi sijui kwanini.
Pcha yangu Kubwa kufunika nyumba yangu
Nahitaji kumiliki shule. Nimeanzisha chekechea saiz
Hici vitu vyote viko ndan yangu kabla hujaniambia but how to start.. Bado nna uzito
Tupambane ndugu amini kuwa tuna nguvu kubwa sana wanadamu hasa pale unapojigundua kuwa ni vitu gani ulivyonavyo. Hapa niseme tu shetani huwa hapendi mwanadamu apige hatua kutoka pale alipo na mbaya zaidi akijua unajitambua basi huwa anawekeza nguvu nyingi sana kukusimamisha pale Ulipo. Komaa ndugu ukimtanguliza Mungu kwanza Nina uhakika uzito utyeyuka.
To own private institution of education and join groups of students of different carrier with consideration of creative and innovative talented, to provide qualify products with fully competitive in marketing..
🙏🙏
Njia ya kuwa na picha inanisaidia zaid
thanks
Nipo singida navipataje vitabu nahitaji
Hizi Point zote nne kwangu ni muhimu kaka
Nitatumia kanuni ya dk2
Vipaumbele
My bigger picture is 2be a great fxtrader
Kuwa na ratiba
Jmn cjui ntavipataje vitabu vyako
Now namalizaa chuo barchelor of laws, picha kubwa kwangu ni kuwa wakili mwenye mafanikio ya kutetea haki za watu wote wenye uhitaji
Joel THANK YOU! kwa kweli 2min rule inasaidia san. japo natamani kuipata hicho kitabu. GOD BLESS
Nitaanza na namba 4
☑️
Ila nimejifunza zaid kujiwekea ratiba, ili siku yangu isiendeshwe na matukio