IGP SIRRO AMSIMAMISHA KAMANDA MUROTO WA DODOMA “NATENGUA HAPAHAPA”

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 200

  • @kenethjaphet8130
    @kenethjaphet8130 4 ปีที่แล้ว +89

    kama na ww huon sababu ya mroto kutenguliwa kwenye ukamanda wake like yako ni mhimu

  • @eliazarinyakiema1969
    @eliazarinyakiema1969 4 ปีที่แล้ว +52

    Adhabu za kijeshi, sisi sio lazima tujue. Wamalizane huko huko.

  • @e.j.starelia5672
    @e.j.starelia5672 4 ปีที่แล้ว +14

    Umekosea sana kumsimamisha muroto!!!! Tena umekosea mnoo!!!!! Kamanda muroto nakubali kazi zake za kukomesha uhalifu,,,bora utoke wew lkn siyo kamanda Wa Dodoma plz

    • @samweljohn7960
      @samweljohn7960 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 bora atoke yy

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

      Wanajuana hao we nyamaza

    • @MpiganajiFundi
      @MpiganajiFundi หลายเดือนก่อน

      Ww unamuona t ila humjui

  • @edrickmbilig1021
    @edrickmbilig1021 4 ปีที่แล้ว +33

    Mbona kamanda Muroto anapiga kazi saf Nini shida kwake jaman akuna kama kamanda wa dodoma

    • @mehdyahmed8479
      @mehdyahmed8479 4 ปีที่แล้ว

      Oya ndugu muroto Hana issue kabisa yeye ni mtu wakujipendekeza kazini anajifanya anachapa kazi ili 2mradi jina lake linuke

    • @mwambietv7614
      @mwambietv7614 4 ปีที่แล้ว

      Edrick Mbilig mbwembwe tu hakuna kazi

    • @emanuelmwanga4
      @emanuelmwanga4 3 ปีที่แล้ว

      Huwezi jua pengine kavunja sheria

  • @aloycekiwia8613
    @aloycekiwia8613 4 ปีที่แล้ว +11

    Muroto mnamfukuza kweli.!!?? Mbona Ni kipenzi cha wengi jamani.! Wow..

    • @bockernyarusahi3655
      @bockernyarusahi3655 4 ปีที่แล้ว +1

      Aloyce Kiwia utawaweza hawa Waandishi wetu,kisemawacho na uhalisia ni tofaut(kichwa cha habar na yaliyomo ni tofauti)

    • @aloycekiwia8613
      @aloycekiwia8613 4 ปีที่แล้ว

      @@bockernyarusahi3655 Kweli Aisee ilinishtua nilipoona kichwa cha habari.

    • @aminahamisi2837
      @aminahamisi2837 3 ปีที่แล้ว

      Mruto yuko sasa mbona wanamfukuza

  • @mercykimuto9882
    @mercykimuto9882 4 ปีที่แล้ว +2

    I love you kamanda Sirro unafanya kazi watendaji wasikuangushe piga kazi tunakuombea

  • @paulebby1552
    @paulebby1552 4 ปีที่แล้ว +10

    Mambo ya kijeshi uswahilini??!! Nchi imepoteana Polisi wacheni kiki mnadhalilisha jeshi

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 5 หลายเดือนก่อน

      Anakosea sana hili jeshi sio vema kudhalilishana

  • @kebo2155
    @kebo2155 4 ปีที่แล้ว +21

    Aaaa mbona wa dodoma anafanya kazi yake kizalendo???!!!

    • @walivyojuma7095
      @walivyojuma7095 4 ปีที่แล้ว

      Mengi yapo ndani yamtungi

    • @isaacemily1889
      @isaacemily1889 4 ปีที่แล้ว

      Siro mjanja hao ni wanafiki nawajua wanajipendekezaga wapate vyeo

    • @clementmathias9512
      @clementmathias9512 4 ปีที่แล้ว +2

      Kudhalilisha watu ndo uzalendo? Utaendaje kumtangaza mtu mwizi na mahakama haijadhibitisha

  • @jimsonjimmy9232
    @jimsonjimmy9232 4 ปีที่แล้ว +13

    Tuachie mroto wetu huyu kamanda ddm ameisafisha kabisa mfano wizi wabodaboda saivi umepungua siro chonde

  • @omarymohammed2880
    @omarymohammed2880 4 ปีที่แล้ว

    muroto no muadilifu na mpiga kazi sana katika sekta la jeshi la polisi dodoma very exelent n hard working

  • @EK-kp2np
    @EK-kp2np 4 ปีที่แล้ว +11

    Hao walionyanyuliwa wote wachapa kazi, sijui changa la macho hili🤷🏼‍♂️🤔

  • @emmanuelndahan1421
    @emmanuelndahan1421 4 ปีที่แล้ว +7

    Yy mbna kawaonesha wenzake, angewapa ordér kiaskari zaidi

  • @younginspired3899
    @younginspired3899 4 ปีที่แล้ว +2

    Muroto kazidisha show off, kutokana na ethics police officers hawaruhusiwi kumchukua mtuhumiwa na kumpeleka kwenye cameras what for!!

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 ปีที่แล้ว +2

    Nadhani hii Ni sababu tu.... Makamanda wanapiga kazi nzuri Sana.... JPM anamjua Muroto na huwa anatazama clips zake za kazi inayofanyika dodoma, Sasa Sirro nawewe jipange mzee atakuhoji hili....

  • @Rashidmhedhery
    @Rashidmhedhery 4 ปีที่แล้ว +4

    Nchi imekufa,!!!!! Haya mambo yanatakiwa yawe public!? Kudhalilishana huku, ovyooooooooooo!

    • @alexkabeho5609
      @alexkabeho5609 4 ปีที่แล้ว

      Police ni public servants not defence so sijui una maana gani hapo, unafikili unawzidi kua professional?

    • @Rashidmhedhery
      @Rashidmhedhery 4 ปีที่แล้ว

      alex kabeho : does this needs to be public? Use your common sense 😓

  • @nipolive..2745
    @nipolive..2745 4 ปีที่แล้ว +4

    Siro uko vizuli sana hao utaza wagombea. Wanazalilisha jeshi

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 4 ปีที่แล้ว +6

    Mzee WA kipigo cha mbwa koko leo utapata tabu sana! hiiiii mi huwa nacheka tu

  • @uledimtumwa2406
    @uledimtumwa2406 4 ปีที่แล้ว +14

    Yeye mbona anawaonesha sasa!!!??? Tusifichane wahalifu lazima tuwajue.

  • @fortyyellu9971
    @fortyyellu9971 4 ปีที่แล้ว +6

    Asante IGP siro... hapa mkwaju popote hakuna kuhofia

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 4 ปีที่แล้ว

    Asante kamanda mkuu,hata sisi raia tunahitji kujuwa

  • @subiramohd885
    @subiramohd885 4 ปีที่แล้ว +8

    mimi Huyo wa Dodoma na mambo sasa siwapendi

    • @aminahamisi2837
      @aminahamisi2837 3 ปีที่แล้ว

      Mruo yuko Sawa kwenye kazi ila mambo sasa ni balaa tupu

  • @raphaelrespichius8508
    @raphaelrespichius8508 4 ปีที่แล้ว +4

    Chombo cha kuthibitisha uharifu ni mahakama tu,police wanakuwa na watuhumiwa wa uharifu

    • @oopsm3574
      @oopsm3574 4 ปีที่แล้ว

      "Uhalifu"

  • @hambalgullam8178
    @hambalgullam8178 4 ปีที่แล้ว +1

    I like it

  • @emmanuelmogela5871
    @emmanuelmogela5871 3 ปีที่แล้ว

    Hii sio powa siro,mnaabisha jeshi fanyeni mambo kimya kimya

  • @rehemakasebele6254
    @rehemakasebele6254 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmevuka mpaka sasa hayakutakiwa tuyajue haya jamn

  • @e.j.starelia5672
    @e.j.starelia5672 4 ปีที่แล้ว

    Kamanda siro na wew kuwa makini na kazi zako pia siyo vizuri kuwaaibisha wenzako ni bora ungeongea nao private bila kuchukua mikanda ya video

  • @getrudalufega9770
    @getrudalufega9770 3 ปีที่แล้ว

    Hafai kwanza aliwatukana mama zetu

  • @amosgerald7763
    @amosgerald7763 3 ปีที่แล้ว

    Aisee

  • @allyduwa9914
    @allyduwa9914 4 ปีที่แล้ว

    Good job afande siro

  • @godfreydaniel6167
    @godfreydaniel6167 4 ปีที่แล้ว

    Mteue tena sisi tunamkubali Muroto wetu...anapiga kazi sana kwanini umtoe kamanda

  • @shafiiomar6505
    @shafiiomar6505 4 ปีที่แล้ว +1

    Kamanda murito usimsimamishe kazi ukimsimamisha kazi na wewe nitamwambia raisi magufuli akusimamishe kazi au tunakuroga sawa,🇲🇾

  • @magingapaulo6673
    @magingapaulo6673 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi siro

  • @hanafiwakileo2865
    @hanafiwakileo2865 4 ปีที่แล้ว +3

    Sija wahi kuona tangu tupate uhulu kweli magu hachekina mtu

  • @rashidijumaaorwaka6699
    @rashidijumaaorwaka6699 4 ปีที่แล้ว

    Jamani kuna tofauti kati ya watuhumiwa na waarifu. Waarifu huthibitishwa na mahakama na sio mtu mwingine. Muroto anaowaonyesha huwa ni watuhumiwa na sio waarifu sasa nashangaa mnaomtukana sirro

  • @mgongolwajoseph6901
    @mgongolwajoseph6901 4 ปีที่แล้ว +5

    Leo muroto umekiwa mpole kila mbabe na mnyinge utapata tabu sana

  • @chimbokiswaga8662
    @chimbokiswaga8662 3 ปีที่แล้ว

    Sasa sheriaza kijeshi huku za nn mboni mdharirishajeshi hayo.muwe mna malizia hukhko huku sisi ya nn Sasa

  • @josephatalphonce4474
    @josephatalphonce4474 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwa murot umefeli utengunz coz ni mtu strong

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

      Mwiz balaa unqdhqni sababu ni hyo unayoiona hapo😪✍️🤣

  • @maxmaizer4631
    @maxmaizer4631 4 ปีที่แล้ว +2

    Daaaaaa mzee waukiingia Dodoma kufanya ualifu utoki salama Leo ymekuwa aya

    • @rajabmhando3819
      @rajabmhando3819 4 ปีที่แล้ว +1

      Hahahaaaaa yamemkuta leo

    • @maxmaizer4631
      @maxmaizer4631 4 ปีที่แล้ว +1

      @@rajabmhando3819 daaaa km zali mzee kapoa leo

    • @luperbukuku2659
      @luperbukuku2659 4 ปีที่แล้ว

      Anachokesea mroto ni kudhalilisha watuhumiwa na watuhumiwa hawajathibitishwa kuwa wana makosa ....je wakishinda kesi mahakamani na umewadhalilisha nan atawasafisha

  • @ngometvarusha4030
    @ngometvarusha4030 4 ปีที่แล้ว +7

    Labda walibainika wakimtete igp kuwa hatoshei nafasi hiyo alafu wakawa wanakaidi amri zake

  • @josephkessy5486
    @josephkessy5486 4 ปีที่แล้ว +2

    Hiki kikao ingefaa tusikione.

  • @musasimba3689
    @musasimba3689 4 ปีที่แล้ว +7

    Muroto usimtengue IGP muache Kama unamkubali muroto gonga like hapa

    • @HamissAli
      @HamissAli 2 วันที่ผ่านมา

  • @othmanmussa8492
    @othmanmussa8492 4 ปีที่แล้ว +1

    Mimi binafsi namkubali sanaaaa,,,kamanda Muroto.

  • @abdikadirabdisalan9902
    @abdikadirabdisalan9902 4 ปีที่แล้ว

    Naamini katikati africa mashariki tanzania inaongoza katikati uwendeshaji bora na utawala..Kenya and UG wana mengi ya kujifunza kutoka TZ

  • @sembojwamaterial8409
    @sembojwamaterial8409 4 ปีที่แล้ว

    😢😢afande muroto..poleee

  • @aminirapa2470
    @aminirapa2470 4 ปีที่แล้ว +1

    Kiukweli hii aijakaa vizur naona kama umemzalilisha muroto na kumfanya ashindw kufanya kazi yake kwa Uhuru ni heli mngeyaongea kimyakimya mkuu

    • @upendohalisi80
      @upendohalisi80 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa Amini da!! Hi siyo ya kuleta huku

  • @gasperkunambi9538
    @gasperkunambi9538 4 ปีที่แล้ว +4

    Vizuri ila msifokeane hadharani,mbarikiwe

  • @mariamukajiru1898
    @mariamukajiru1898 4 ปีที่แล้ว +8

    TUNAPOTAKA KUTATUA MATATIZO KUPITIA MITANDAO UKIZINGATIA NI JESHI LA POLICE HATUONI KUWA TUNA- EXPOSE UDHAIFU WETU KWA NCHI NYINGINE , KWAKUWA UMESEMA KUNA MAJUNGU NA FITNA...TAFSIRI MPO DISUNITY...

    • @alexkabeho5609
      @alexkabeho5609 4 ปีที่แล้ว

      Polisi ni under waziri wazili ya mambo ya ndani (home affairs ) Not defence minster so no exposure yoyote pale. Ni watumishi ya uma hawalinde mpaka ya inchi. Hope umeelewa

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 4 ปีที่แล้ว +9

    Kamanda Wewe Utaki Makamanda Kuonesha Watuumiwa Live Mbona Wewe Uko Live Apo Vipi Muroto Anafanya Kazi Nzuli Sana

    • @simontamba1285
      @simontamba1285 4 ปีที่แล้ว

      Awadhi Rajabu kwani yy yupo Na watuhumiwa?

    • @awadhirajabu7754
      @awadhirajabu7754 4 ปีที่แล้ว

      simon tamba ..Atupaswi Kujua Mambo Yao Ya Ndani Unajua Polic Wanapozidi Kujionesha Kila Muda Ndivo Waarifu Nao Wanapata Mwanya Zaidi Wa Kujifunza Vitu Ambavo Adimu Waarifu Niwengi Sana Isipokua Wanaogopa Awamu Hii Ni Moto Sasa Nao Polic Wasiwe Na Muda Mwingi Wa Kujianika Ovo Mitandaoni Muroto Kutuonesha Live Watuumiwa Ni Jambo Jema Kwasababu Ni Sehemu Ya Azabu Pia Napia Inatusaidia Kujua Tabia Ya Mtu Mana Unaweza Kumkalibisha Mtu Ndani Asubui Unajikuta Na Kilio Mwizi Atabiliki Polic Apaswi Kujianika Ovo Ovo Kwasababu Watu Wanaowatazama Wako Majambazi Vibaka Na Magaidi Sasa Hata Siku Akienda Sehemu Kuperereza Jambo Hata Akivaa Kilaiya Sura Yake Itajulikana Sasa Kijiji C Kitajua Kama Yuko Asikari Majambazi Wanaambiana Fasta Hii Njia Ya Kujionesha Sio Nzuli Hii Mitandao Inatumaliza Sana

  • @mtitimtiti376
    @mtitimtiti376 4 ปีที่แล้ว

    Afande siro mpiga kazi sanaaaa

  • @bakarimussa4164
    @bakarimussa4164 3 ปีที่แล้ว

    Mambo za kijeshi malizeni kimyakimya haya tuhusu raia.

  • @ameenaameena1224
    @ameenaameena1224 3 ปีที่แล้ว +1

    Hee nanyie kumbe

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 4 ปีที่แล้ว +13

    Mzeee wa mtapata tabu sana kauli imemuandama yy mwenyew leo hhhhh

    • @anoldjose7793
      @anoldjose7793 4 ปีที่แล้ว

      Malipo hapa hapa dunian😁😁

  • @henrytimoth9967
    @henrytimoth9967 3 ปีที่แล้ว

    Mroto kawa mpole kama sio yeye

  • @harunakayega5531
    @harunakayega5531 4 ปีที่แล้ว

    Dah aisee inaelekea wamemkwaza sana kamanda

  • @minaside6717
    @minaside6717 4 ปีที่แล้ว +4

    Magufuli oyee 😁😁 Mpaka askari anasahau tarehe

  • @ziadaalute6836
    @ziadaalute6836 4 ปีที่แล้ว

    Hahaaa atapata taabu sanaa😀😁😀😁

  • @ibrahimbaraka4607
    @ibrahimbaraka4607 ปีที่แล้ว

    Sro turikua tunakupenda

  • @godfreydaniel6167
    @godfreydaniel6167 4 ปีที่แล้ว

    Bring back our Muroto

  • @georgeerick3140
    @georgeerick3140 4 ปีที่แล้ว +1

    uyu mroto yupo vizur sema anaenda kizamani xjui ni elimu!!! mroto jeshi lazamani la udhalilishaji alipo tena nenda kisomi,usitumbuliwe na siro hana mchezo uyo,ilo jembe alitaki masyala.

  • @allyduwa9914
    @allyduwa9914 4 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe kila mtu ana m,babe wake unashau mpka tarehe hii kali wacha nicheke

  • @miltonmiltonpaulo3436
    @miltonmiltonpaulo3436 3 ปีที่แล้ว

    Ahahaha mi sina neno

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 3 ปีที่แล้ว

    Si alisema atachakaza watu we unachakazwa leo

  • @gidionelias6276
    @gidionelias6276 4 ปีที่แล้ว +6

    Siro waharifu waonyeshwe tuwajue

  • @reubendick4033
    @reubendick4033 3 ปีที่แล้ว

    Hahahahaha heka heka hizi bora kujiajiri

  • @masudinangololo3672
    @masudinangololo3672 4 ปีที่แล้ว

    Namkubali Sana kamanda muroto

  • @carlosndyetabula656
    @carlosndyetabula656 4 ปีที่แล้ว +1

    Waandishi wa habari mnaharibu hii taaluma huu upotoshaji tafuta hela kwa uhalali kichwa cha habari hakihusu hiyo habari,naelewa taaluma ya habari inaniuma kuona umeandika kichwa kinyume na habari kwa masilahi binafsi,tabia mbaya hii,watakaoponda kwasababu hawajui au kutokufikiri vzr

    • @MatukioDaily
      @MatukioDaily 4 ปีที่แล้ว

      Huelewi Taaluma ya Habari Wewe: Hicho Kichwa cha Habari Kiko Sawa Kabisa... Ukijifunza Vizuri "Writing the Best Headline for Hard News" Utagundua ni namna gani kichwa hiki cha habari kiko sawa.... na Pia Katika "Qualities of News Headlines" kuna mambo ya msingi ya kuzingatiwa kama vile Prominence, Conflict etc
      1. Ni kweli IGP Kamsimamisha Kamanda Mroto ili Ajieleze (Hapo Mwandishi Kaandika Heading inayoshika Attention ya Msomaji na Mtizamaji ili Afuatilie Ajue imekuwaje)
      2. Ni Kweli IGP Kasema "Natengua Hapahapa"... Hapo pia Mwandishi kama makini kugundua ni maneno yapi yataifanya habari yake kuwa ma vionjo vya tofauti.
      Mengine Mengi Siwezi Kuyaeleza Hapa Lakini Nampa Kongole Mwandishi wa Headline...
      NOTE: Ungekuwa ni Mwanahabari unayeijua vizuri taaluma hii Hakika ungenielewa bila kubisha lakini kama siyo mwanahabari ni ngumu sana kunielewa.

    • @carlosndyetabula656
      @carlosndyetabula656 4 ปีที่แล้ว

      @@MatukioDaily naelewa na mimi ni mtaaluma,kuna aina za leads nyingi hiyo aliyoandika ni provocative,quotation kwa wakati mmoja,instead angeandika IGP SIRRO AKAA NA RPCs au namna nyingine maana sio muroto pekee

    • @francisnkinga6550
      @francisnkinga6550 4 ปีที่แล้ว +1

      Carlos Ndyetabula 👍

  • @adamdaudi6191
    @adamdaudi6191 4 ปีที่แล้ว

    Huyo kamanda wa Mwanza amekaa ki Mwanza Mwanza, siyo wa mchezo mchezo!.

  • @abrahmapenzionlinetv
    @abrahmapenzionlinetv 4 ปีที่แล้ว

    Acheni uhanithi huo wa vichwa vya habari vya ajabu #wasafisimulizi

  • @mwambietv7614
    @mwambietv7614 4 ปีที่แล้ว +1

    Muroto anatetemeka haahahaah 😂 😂

  • @abaafarhat9191
    @abaafarhat9191 4 ปีที่แล้ว

    Kila mtu ana boss wake

  • @abdullaabdulla8618
    @abdullaabdulla8618 3 ปีที่แล้ว

    Wewe uliepost huna adabu,unatoa kichwa cha habari yako vile unavyojisikia

  • @gwantahbrainhalisi3527
    @gwantahbrainhalisi3527 4 ปีที่แล้ว +1

    IGP kanenepa sana... Achunguzwe na yeye

  • @showfive4413
    @showfive4413 4 ปีที่แล้ว

    Wanaomtetea mruto ni wale wanaomuona akijionyesha kwenye video kila akikamata mwiz hata kama kaiba baiskel. ndio wanaona anapiga kaaaaaazi

  • @jitulakalemastr7636
    @jitulakalemastr7636 3 ปีที่แล้ว

    Iyo azabu haitosh ungelifukuza kabisa

  • @emmanuelhilary8809
    @emmanuelhilary8809 4 ปีที่แล้ว

    noma xana

  • @prosperulungi2998
    @prosperulungi2998 3 ปีที่แล้ว

    Hapo haja inagonga mlango

  • @wistonmnubi3104
    @wistonmnubi3104 4 ปีที่แล้ว

    Good

  • @raphaelnestory1990
    @raphaelnestory1990 4 ปีที่แล้ว

    Namkubali kamanda dodomaaa

  • @ceciliajimmy5652
    @ceciliajimmy5652 4 ปีที่แล้ว +2

    Tusichanganye uhalifu au utuhumiwa na uwajibikaji. Hapo Kamanda yupo sahihi kabisa maana hataki kumwonea mtu ndio maana anawahoji mmoja baada ya mwingine. Big-up IGP.

  • @godfreydaniel6167
    @godfreydaniel6167 4 ปีที่แล้ว

    Tunamtaka Muroto wetu Kamanda kwanini umtengue?

  • @paull8659
    @paull8659 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimeliona lile Gorila la Dodoma( ..nitawapiga waandamaji mpaka wachakae, kama mbwa koko)..🤨😟

  • @josephshao475
    @josephshao475 4 ปีที่แล้ว +1

    We mwandishi unagongwa

  • @othmanmgeni9232
    @othmanmgeni9232 3 ปีที่แล้ว

    Huyu muroto anataka sifa Sana mbwa huyu

  • @charlesemmanuel9434
    @charlesemmanuel9434 3 ปีที่แล้ว

    Sikuhizi hatuna waandishi wa habari wasomi

  • @oyay2821
    @oyay2821 4 ปีที่แล้ว

    Hio haiendi mahali. Kesho utasikia wamerudishwa

  • @mako331
    @mako331 4 ปีที่แล้ว +3

    Sheria ileile unayosema Muroto anaivunja na wewe pia mbona unawadhalilisha makamanda? Nafikiri sheria za kipolisi nidhamu ifanyike bila vyombo vya habari

  • @alexmatt9504
    @alexmatt9504 3 ปีที่แล้ว

    Mbona hatujasikia kauli ya Mroto kusimamishwa kazi au ni kusimamishwa ili atoe hoja?
    Waandishi mnatuchanganya.

  • @charugamba218
    @charugamba218 3 ปีที่แล้ว

    Kamanda Siro wasisitize hao makamanda wakaze kamba ujambazi umerudi kwa kasi sasa baada ya kifo cha hayati Mh: Dr JPM sijui shida nini?

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

    Ikiwezekana atumbue wote aweke wapya nayy ajitumbue tu me sielewagi kabsa kazi zao kukmbzana na ving,ora tu et askari anaogopa kuingia nyumba haina umeme we hao askari au vyura😏😏😏

  • @lubatikoseme1446
    @lubatikoseme1446 4 ปีที่แล้ว +1

    Haua mambo yenu sisi wananchi mnatuonyesha ya nini..kiki za kijinga tu. Malizeni nyuma ya panzia

  • @isaacemily1889
    @isaacemily1889 4 ปีที่แล้ว

    Huyu kamanda Wa Mwanza mjinga sana fukuza kazi

  • @barakamfugale1049
    @barakamfugale1049 4 ปีที่แล้ว

    Muruto mnamtetea nyie mnamjua hapo wanajuana wenyewe kwa wenyewe

  • @laiserkuyan6075
    @laiserkuyan6075 3 ปีที่แล้ว

    Kamanda moroto wa Dodona Ako Sawa hanapapana kweli Na uwalifu

  • @allyomary611
    @allyomary611 4 ปีที่แล้ว

    Hamjaona anavyotuonea watu wamaror taazamagar zaubavuni zatusaidia usiku yeye hazitaki

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 4 ปีที่แล้ว +3

    Nadhan kuna namna2 hapa lkn Muroto si wakutolewa jmn mbn ni mchapa kazi vzr2 anajitahid au chuki zishapelekwa.

  • @samsondominiki3906
    @samsondominiki3906 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana mh:siro .

  • @fredjohntanzania3881
    @fredjohntanzania3881 4 ปีที่แล้ว +1

    UNAMTENGUAJE MUROTO???????? DAAAAAAAH

  • @msetikebwasimasatu3225
    @msetikebwasimasatu3225 4 ปีที่แล้ว

    Mbona kamanda mroto namuamini sana ,tatizo lake ni nini ?

  • @othmanmgeni9232
    @othmanmgeni9232 3 ปีที่แล้ว

    Anapenda Sana kujiona Sana fala huyu

  • @victormneney8236
    @victormneney8236 4 ปีที่แล้ว

    Hapa kazi tuuu😅😅😅😅😅😅😡😬😠😴