MBUNGE KIBAJAJI ALIVYOMLIPUA NAPE HADHARANI, ALIVYOIBA KURA CHUMBANI, "MWIZI WA KURA/ NDO MSHAMBA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo#KutokaMaktaba#Hii ilikuwa mnamo Julai 20, 2019

ความคิดเห็น • 118

  • @user-gr9px4pi2w
    @user-gr9px4pi2w หลายเดือนก่อน +8

    Yaani hata mimi wale wote wanaomsema vibaya mh Magufuli siwapendi na sitawapenda daima. Watake wasitake hakuna kama Magufuli...RIP mh Magufuli

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 หลายเดือนก่อน

      @@user-gr9px4pi2w exactly

    • @StivinNazael
      @StivinNazael หลายเดือนก่อน

      Kwa nini maguli.asisemwe wakati.u ajua Jin's watu.walipoteza maisha .kipindi chake

  • @jalaryababilasi1562
    @jalaryababilasi1562 หลายเดือนก่อน +6

    Usimuongelee magufur na sample zenu izo Yule alikuwa genius cyo wew wala hao mama zako

  • @samwelkavwanga4491
    @samwelkavwanga4491 หลายเดือนก่อน +11

    Pumbavu sana hii ya zamani sana😮😮mnamaliza mb za watu

    • @user-fz1ph3cn4s
      @user-fz1ph3cn4s หลายเดือนก่อน +1

      Sasa pumbafu ninj kwani uongo?

    • @maximiliankassimmakarabeka1691
      @maximiliankassimmakarabeka1691 หลายเดือนก่อน

      Yaani wamekosa vitu vipya wanaturudisha nyuma. Hawafai kabisa😊

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi หลายเดือนก่อน

      Vya zamani vinaishi.​@@maximiliankassimmakarabeka1691

    • @MursalLusinde
      @MursalLusinde หลายเดือนก่อน

      Akili nyingi ya kutfta view😂😂😂 watu wanatembea na upepo unapovuma 😅😅

  • @user-fz1ph3cn4s
    @user-fz1ph3cn4s หลายเดือนก่อน +3

    Well said Kibajaji.

  • @elioimer8423
    @elioimer8423 หลายเดือนก่อน +2

    Clip ya zamani sana japo haijapitwa na wakati kwani mambo za ccm ni Yale Yale.

  • @YusuphAmbokile
    @YusuphAmbokile หลายเดือนก่อน

    Mweshimiwa hongera kutukumbusha haya ndugu lusinde jobu Kuna watu wako ccm wanatuhalibia chama

  • @johnburton2955
    @johnburton2955 หลายเดือนก่อน +2

    mbona mnazingua sana hii taarifa ya zamani sana

  • @JuliusMlengeswa
    @JuliusMlengeswa หลายเดือนก่อน +3

    Usimtukane Lusinde , mtukane aliyerusha hii kitu ya zamani

  • @bogoheidaso2628
    @bogoheidaso2628 หลายเดือนก่อน +3

    Hii ya zamani sana miaka 2018

  • @user-uf3wr5sz7k
    @user-uf3wr5sz7k หลายเดือนก่อน +7

    Mh lusinde hujawahi kuniangusha kabisa kwa hoja zako

  • @karimmveyange280
    @karimmveyange280 หลายเดือนก่อน +5

    UMEELEWEKA ASANTEE. MUŠA HAJAWAHI TUKANA MTU. KUNADESTURI YA KIONGOZI AKIAMBIWA UKWELI HUSINGIZIA MAZITO TENAYAUWONGO

  • @karimmveyange280
    @karimmveyange280 หลายเดือนก่อน +6

    BIG-UP KIBAJAJIIIIIII

  • @yohanaantony5774
    @yohanaantony5774 หลายเดือนก่อน +1

    Hata ww umewatukana wale wazee bdo hujakomaa kisias hlf kumbuka Kuna maisha baad ya hiyo siasa mauti huja ghafla San akhera ni Bora kulko Dunia yko tafakari walipita weng kwny siasa na Dunia wakaiacha

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 หลายเดือนก่อน +8

    Ukishindwa kumheshimu mtu Kwa cheo chake ,hata umri wake basi

  • @salumjuma3152
    @salumjuma3152 หลายเดือนก่อน +2

    Hii ya tangu Mzee magu

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u หลายเดือนก่อน +1

    Utamaduni wakutoheshimiana CCM siutamaduniwake hayo ni yakwako tu kilamtu leo nimusemaji wachama .hilo nitatizo. leo wenyemizigo yauharibifu ndio lulu yachama nauongozi bora hapo lazima tuwemiguusawa halafu tukimbie badala yakutembea kama mifugo yenye sodoka.

  • @user-lb2jh4ss6v
    @user-lb2jh4ss6v หลายเดือนก่อน +2

    Duu mtihani sana

  • @Veni584
    @Veni584 หลายเดือนก่อน +1

    YA ZAMANI

  • @maximiliankassimmakarabeka1691
    @maximiliankassimmakarabeka1691 หลายเดือนก่อน +1

    Uhindo mnazingua. Unaletaje habari za miaka 4 iliyopita?

  • @simbamalala
    @simbamalala หลายเดือนก่อน

    Safi sana Kibajaji, una akili sana. Yaani ya miaka 6 lakini utafilkiri ni ya jana au leo!

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 หลายเดือนก่อน +1

    Vitu vinaishi.Mitandao inatunza vitu sana,Hya mama Samia angehifadhi hkuoaswa kuwapa vyeo hwawatu kbisa.Nape,kinana,muigulu chemba,makamba,wte hwa baba magufuli aliyaona mapema.Kinana baba alimwona kwenye sectar yambuga zawanyama.

  • @edwardkasubi5135
    @edwardkasubi5135 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mbona huwa hapewagi Uwaziri jamani maana huwa anajitahidi sana uchawa au dawati lake fupi sana nini 😂😂😂

  • @NdeshaPaul-uz9bw
    @NdeshaPaul-uz9bw หลายเดือนก่อน +2

    Mshamba na umjini?

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 หลายเดือนก่อน +1

    Hii video ni ya kipindi cha magufuri

  • @JammalMuhammad
    @JammalMuhammad หลายเดือนก่อน +1

    Nyie mmezowea kututukana. Sawa tuu

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 หลายเดือนก่อน +1

    Uzuri Wa wanasiasa wanajua namna ya kujibiringishua na wanainchi kusahau

  • @SaidiMohammed-ge5ot
    @SaidiMohammed-ge5ot หลายเดือนก่อน +2

    Sawa

  • @Anza_tz
    @Anza_tz หลายเดือนก่อน +1

    Hii clip ya zamani sio ya jana wa juzi ni kipindi kile Nape na kinana walivyozingua

  • @salimsalimali8285
    @salimsalimali8285 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni ungese hii ni ya Zamani, acheni kutupotezea mda

    • @user-fz1ph3cn4s
      @user-fz1ph3cn4s หลายเดือนก่อน

      Nani kasema ya sasa hivi?

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 หลายเดือนก่อน +1

    Wafukuzwe CCM

  • @mbarakaomary2155
    @mbarakaomary2155 หลายเดือนก่อน +4

    Uhondo nanyie niwapumbavu sana.
    Kichwa Cha habari na yanayo semwa tofauti

    • @Dangote255
      @Dangote255 หลายเดือนก่อน

      UMESIKILIZA VIDEO YOTE UKAKOSA KUSIKIA HAYO MANENO?

  • @ashachitemo7816
    @ashachitemo7816 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona unatuma clip za zamani

  • @nassorntandu4513
    @nassorntandu4513 หลายเดือนก่อน +3

    Ya zamani hii, enzi za Magufuli

    • @user-fz1ph3cn4s
      @user-fz1ph3cn4s หลายเดือนก่อน

      Kwani nani kusema ya leo? Hata kama ya zamani je ni ukwrli au uongo?

  • @user-vl7yy8gz9k
    @user-vl7yy8gz9k หลายเดือนก่อน

    Huyu Jamaa huyu cjui Leo anajisikiaje magu hatajwi kabisa, unafiki wa kisiasa

  • @kavyashortsleon
    @kavyashortsleon หลายเดือนก่อน +2

    Habari siyo ya mwaka huu

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 หลายเดือนก่อน +1

    Mdomo umekusaidia

  • @samwelnevele7796
    @samwelnevele7796 หลายเดือนก่อน

    Nape ni mshamba kwelikweli

  • @sadickmkanda8214
    @sadickmkanda8214 หลายเดือนก่อน +1

    Hii clip ni ya zamani sana ...ndugu zangu.

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 หลายเดือนก่อน

    Hawa ndio wanafiki kuongelea mtu baada ya kutumbuliwa hv nchi hiii unafiki utaisha lini na uchawa 😮😮

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 หลายเดือนก่อน

    mmelewa madaraka kwa ufisadi wa kuuza rasilimali zetu sasa ameanza kuubuana hiyo ni trela bado movie inakuja

  • @mangofish9079
    @mangofish9079 หลายเดือนก่อน

    Kama hamuna vya kuposti musituletee mambo ya nape na mwendazake hio video ni ya zamani

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 หลายเดือนก่อน

    Mpaka leo unaamini wamepotoka?....akil huna kabisa

  • @himanmwalwala7569
    @himanmwalwala7569 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu kibajaji anapenda sana kupatia kiki kwa tuhuma za watu

    • @user-fz1ph3cn4s
      @user-fz1ph3cn4s หลายเดือนก่อน +1

      Big up Kibajaji

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 หลายเดือนก่อน

      Sasa hayo mambo ya miaka 5 ilopita nyie mnakasirika leo

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 หลายเดือนก่อน

    halafu mtoa post uwe na adabu hii clip ni ya miaka zaidi ya 6 iliyopita

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh หลายเดือนก่อน +1

    Makosa yamefanyika nape namakamba magufuri aliwaona mwanzo kuwa hafai kosa kuwarejesha mimi nilijua tu wataendeleza njamaa zao na waondoeni wote

  • @BIGCHENDREADLOCKS
    @BIGCHENDREADLOCKS หลายเดือนก่อน +1

    Mumeumbuka😅😅😅

  • @charlesayubu6449
    @charlesayubu6449 หลายเดือนก่อน

    CCM muache ujinga mlitaka kuonyesha kama Magufiri alikuwa mbaya, wale wote waliyo msumbuwa kuwutawala wake mkawarudisha . Sasa mnaanza kuabika

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono หลายเดือนก่อน

    Damu ya John Pombe Magufuli haita waacha salaama

  • @user-wp1ug2je5k
    @user-wp1ug2je5k หลายเดือนก่อน

    WAO MJANJA NI YULE ALIE FISADI

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha หลายเดือนก่อน

    Uchawa ugonjwa mbaya kama kansa na ukimwi

  • @kLaknFXIOLI73acvSSWurw
    @kLaknFXIOLI73acvSSWurw หลายเดือนก่อน

    Mtu ukimzoesha tabia chafu atawachafua

  • @zephanialuangwaeliatosha9723
    @zephanialuangwaeliatosha9723 หลายเดือนก่อน

    Musiba kaleta msiba😅

  • @lilyjones3584
    @lilyjones3584 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa akili ya haraka, tukiunganisha dots, Bashiru ilibidi awekwe kando baada ya mwendazake kufariki ili watu waendelee kula kama walivyokuwa wamezoea? Inatisha sana!

  • @adeltuszakumuha9618
    @adeltuszakumuha9618 หลายเดือนก่อน +1

    Kuhamia Dodoma siyo ishu we chawa

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza หลายเดือนก่อน +2

    Mambo ya kitambo sana

  • @FortiMtolela-xl2nb
    @FortiMtolela-xl2nb หลายเดือนก่อน

    😊

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 หลายเดือนก่อน

    KWANI LAZIMA USEME KKKK

  • @jamesmarumbo6820
    @jamesmarumbo6820 หลายเดือนก่อน +4

    Wewe kibajaji huna lolote unataka uendelee kuwa mbunge tu

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 หลายเดือนก่อน

    Msiba au msigwa mbona sielewi sauti inavyotoka

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 หลายเดือนก่อน +1

    SAMIA SULUHU ARUDI KWAO ZANZIBAR NA MUUNGANO WAKE, HATUUTAKI TANGANYIKA NA TUNATAKA RAIS TANGANGINYIKA?

  • @flavianmashimi6327
    @flavianmashimi6327 หลายเดือนก่อน

    We siku zote ni wa kutumika tu tunakujua. Leo mnamkana Nape, Dah siasa ni sihasa kweli. Raia siku hizi ni wajanja acheni hizo

  • @DouglasChuwa-ec7mv
    @DouglasChuwa-ec7mv หลายเดือนก่อน

    Mnarogana wenyewekwa wenyewe

  • @user-qx6nj3me8x
    @user-qx6nj3me8x หลายเดือนก่อน

    Kibajaji Huna kitu

  • @D.P.O
    @D.P.O หลายเดือนก่อน

    Hoja za jimboni kwako hatukusikii bungeni ila yakiibuka ya ccm unakuja juu ili uonekane huna lolote

  • @Abdul-oc1ul
    @Abdul-oc1ul หลายเดือนก่อน

    Kweli ccm hmna akili kwn ushamba ni matuc wew mama yk ametokea mjini c ametokea shmb wch ujinga

  • @habibhamed1587
    @habibhamed1587 หลายเดือนก่อน

    Msenge maziwa tu huyo😊

  • @festoaidan8955
    @festoaidan8955 หลายเดือนก่อน

    Huyu njaa tu kwann anasubir Nape atenguliwe

  • @ImmanuelOisso
    @ImmanuelOisso หลายเดือนก่อน

    Uyu nimusenge sana

  • @isaacmollel345
    @isaacmollel345 หลายเดือนก่อน

    Huyu anyangwe kadi yaccm hafai hata maisikitini

  • @DavidChambala-hp6ge
    @DavidChambala-hp6ge หลายเดือนก่อน

    Mbona ukuyasema hayo kipindi hicho

  • @mohamedally6992
    @mohamedally6992 หลายเดือนก่อน

    WE ACHA KIBAMIA ACHEN CHUKI Z SIZO NA MASHIKO KWAN UKINYAMAZ KIMYA ITAKUWA NINI AKUNA MKAMILFU . ATA WEWE UKIFUKUZWA CHAMA WAKO WATAKAO KUSEMA VIBAYA TU .

  • @LinusAmanimbeye
    @LinusAmanimbeye หลายเดือนก่อน

    Mbona ulikuwa hausemi mpaka katumbuliwa ndo umenyanyua domo lako tunawajuwa

    • @johnkiimbila6799
      @johnkiimbila6799 หลายเดือนก่อน

      Hii ni ya kabla ya kutumbuliwa no ya kabla Magufuli hajafariki.

  • @user-eb3hf1lm9e
    @user-eb3hf1lm9e หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo Samia ndo kahamishia serikali dodoma😂😂😂😂😂

  • @friarmbongemelodies5662
    @friarmbongemelodies5662 หลายเดือนก่อน

    Huyo rais ni munguuu???daraja aumadarasa ni KAZI pesa ya raisi acheni siasa za hovyo

  • @rebmanwillbard7464
    @rebmanwillbard7464 หลายเดือนก่อน

    Km unafikiri kamtukana raisi, mpeleke mahakamani

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 หลายเดือนก่อน

    Kibajaji kazoea kuwachana na kuwatukana chawa wenzake wanaoondolewa kwenye nafasi kwa kuteleza ndimi zao tu lakini lao moja kwa maana kuwa ni mbunge yupi wa ccm wa awamu ya 5 atakayetamba kwamba amepita kwa kuchaguliwa?! Lakini Lusinde na wewe ujipange,kwa vyovyote mdomo huo huo ndio utakaokuponza kama baba yako Ndugai na matambo yoote yale!

  • @petermwanyondo5370
    @petermwanyondo5370 หลายเดือนก่อน

    Koww nanape nani anaifaam ccm nanani ameipigania ccm. Ww nayy

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 หลายเดือนก่อน

    Mr.Misifa Kibajaji mpiga domo maarufu wa ccm-jimbo la Mbarali utaratibu huohuo ndio utakuja kukudhuru

    • @jesaminzo
      @jesaminzo หลายเดือนก่อน

      Jimbo la Mbarali?

  • @user-ji1mq4sk1n
    @user-ji1mq4sk1n หลายเดือนก่อน

    ulitaka amuite Baba yako

  • @SabastianRaymond
    @SabastianRaymond หลายเดือนก่อน

    RAIS NAMHESHIM SANA SANA.
    ILA CCM KUFAAAAAAAA, KUFAAAAAA, KUFAAAAAA ALIYE KUASISI ALISHAKUFA NA WEWE KUFAAAAAAAA!!!

    • @Namtumbo
      @Namtumbo หลายเดือนก่อน

      Mmh

    • @SabastianRaymond
      @SabastianRaymond หลายเดือนก่อน

      @@Namtumbo
      Inauma sana.
      Wako WATU wanajineemesha wao WAKATI wananchi wanaumia,kisa ni kada WA CCM au ananafasi ktk chama

  • @SabastianRaymond
    @SabastianRaymond หลายเดือนก่อน

    SIKIPENDI HIKI CHAMA.
    KILISHAISHIKILIA HII NCHI KAMA MUNGU ALIPOUMBA NCHI, ALISEMA CCM UITAWALE TANZANIA.
    KOMA CCM, KOMA.
    ACHIA TAIFA HILI PEPO LA CCM UMESHINDW.

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa anajua kujikomba sana akiambiwa muoshe rais miguu halafu uilambelambe anafanya kweli niamini

  • @gilbertmtoshu-gm7bt
    @gilbertmtoshu-gm7bt หลายเดือนก่อน

    Mzee wa matukio 😅😅😅😅😂

  • @fadhilimoshi5754
    @fadhilimoshi5754 หลายเดือนก่อน

    Ccm mna tabia zakutuibia kura hata mjitete vp siku zenu zaja kuachia madaraka hamtatawala milele.

  • @user-jy4pm3hh9s
    @user-jy4pm3hh9s หลายเดือนก่อน

    Wabunge wanaotetea ugar tu

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 หลายเดือนก่อน

    Huyu ana akili kama ya panya

    • @user-fz1ph3cn4s
      @user-fz1ph3cn4s หลายเดือนก่อน

      Wewe ndio mwenye akili ya sisimizi.

  • @ramadhaniwaziri6493
    @ramadhaniwaziri6493 หลายเดือนก่อน

    Asa mshamba ni tusi nalo? Hiyo ni aina ya sifa

  • @FransisLaurenti
    @FransisLaurenti หลายเดือนก่อน

    Wataje basi

  • @ezekielmabwai482
    @ezekielmabwai482 หลายเดือนก่อน

    Hujaenda shule wewe na elimu yako ya Darasa la 7. Waliokuchagua nao mnafanana

  • @lilangasayi1689
    @lilangasayi1689 หลายเดือนก่อน

    Zigo lingine ni hili,pimbi kabisa huna tofauti na huyo nape

  • @siminafamily7367
    @siminafamily7367 หลายเดือนก่อน

    Jamani huyu Kibajaji mbona sijamwelewa, mbona bado anamzungumzia Magufuli au ni Clip ya long ndy imepakiwa leo ili tuisikilize tu? Sasa mbona anazidi kuanika ubaya wa chama sisi tumeshachoka na ccm pisheni tuone wengine watasimamia vip Rasilimali zetu ninyi mmefeli mnatuzamisha shimoni. Vipofu wa maono na matarajio ya WaTZ

    • @user-fz1ph3cn4s
      @user-fz1ph3cn4s หลายเดือนก่อน

      Wewe uliyaka asimtaje Magufuli aliyetuleteaxwatanzania maendeleo????????

  • @deusdeditsimba4452
    @deusdeditsimba4452 หลายเดือนก่อน

    Weeee AKILI Huna Bwana weee

  • @lingwamalagila3003
    @lingwamalagila3003 หลายเดือนก่อน

    Mbunge huna lolote wewe

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u หลายเดือนก่อน

    Utamaduni wakutoheshimiana CCM siutamaduniwake hayo ni yakwako tu kilamtu leo nimusemaji wachama .hilo nitatizo. leo wenyemizigo yauharibifu ndio lulu yachama nauongozi bora hapo lazima tuwemiguusawa halafu tukimbie badala yakutembea kama mifugo yenye sodoka.