Unajua unachoongea? ....huyo ni captain lkn ni pilot na huyo aliekuja na meli NI captain lkn siyo pilot, atakuwa pilot once akiwa kwenye idara ya kuingiza au kusindikiza meli kupita sehemu fulan.......tafuta tafsiri ya neno pilot husije ukachanganya na ndege
Sio kwamba hawawezi ndio taratibu duniani kote mabaharia wazawa ndo wanaweza kuingiza meri bandarini kwoa
Kweli lakini Wenyeji wanajua lugha ya kwao hivyo inakuwa rahisi kwa mawasiliano napia kuijua vzr bandari .
HUYU NI PILOT SIO CAPTAIN
sasa kuna pilot wa majiii?