UTACHEKA: VITUKO VYA RC MAKONGORO AKIKABIDHI OFISI KWA QUEEN SENDIGA "HUYU NI MKE WA MTU".

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ค. 2023

ความคิดเห็น • 57

  • @user-od9oe8le8y
    @user-od9oe8le8y ปีที่แล้ว +8

    Makongoro is so Charming!!big up

  • @rizickkihombo2045
    @rizickkihombo2045 ปีที่แล้ว +7

    Hongera makongoro Nyerere umefata nyayo za baba wa taifa

  • @saidomar6344
    @saidomar6344 ปีที่แล้ว +4

    Hongera Mh. Makongoro. Unakipaji sana. Ofisi zinachangamka. Mungu atakupandisha vyeo zaidi. Amen

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 ปีที่แล้ว +8

    Raise wetu safi sana kuendeleza kumuamini mtoto wa baba yetu wa Taifa Mwalimu Nyerere aliko atakuombea Kwa Mungu Kwa kazi ya Urais

  • @ericbalige1781
    @ericbalige1781 ปีที่แล้ว +7

    Safi sana Mh. Makongoro. Style yako ya kukabidhi ofisi na jokes za hapa na pale kwa kweli zinaleta raha ya kazi. Naamini kwa jokes hizi na makabidhiano haya murua kabisa,Mh.Queen atajiskia yuko nyumbani. Hivyo ndivyo kazi inatakiwa kuwa, kazi na jokes kidogo!

  • @mzarendo.com9624
    @mzarendo.com9624 ปีที่แล้ว +4

    Makongoro ni mcheshi tena ni mtu wa kujichanganya na watu wote wala hana majigambo kwamba ni mtoto wa kiongozi maarufu sana Africa na Dunia nzima kwa ujumla. Hanaga makuu wala tatizo lolote lile...
    BIG UP SANA MTOTO WA MUASISI WA TAIFA LETU; MAMA KAKUONA CHAPA KAZI.

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 ปีที่แล้ว +5

    Manyara watakumiss sana makongoro uko vizuri mtoto wa baba wa taifa la Tanzania.uko mcheshi sana ni ishala ya upendo.

  • @paulsurungu1979
    @paulsurungu1979 ปีที่แล้ว +2

    Dah makongoro Nyerere tunakutakia kazi njema huko Rukwa mm ni mzaliwa wa simanjiro manyara Kwa kweli kazi uliyo tufanyia hatuna Cha kukulipa ila mungu atakulipa uzidi kuwa moyo ule ule wa kuwatumikia wananchi hata huko Rukwa ukawatumikie vema kama Wana manyara

  • @SaidihusseinAthumani-dy9kw
    @SaidihusseinAthumani-dy9kw ปีที่แล้ว +4

    Mama Samia hongera Sana Kwa kuwateuwa Hawa wakuu wa mikoa

  • @machasofficialsite6221
    @machasofficialsite6221 ปีที่แล้ว +3

    Mzee wangu makongoro,Mungu ni mwema,utaendelea kuaminiwa...wewe chapa kazi tu

  • @ericrukamba6802
    @ericrukamba6802 ปีที่แล้ว +2

    Makongoro ana utani kama wa Mwalimu, lakini kusema kweli huyu Mama yuko vizuli sana, kwanza ana uzuli wa asili, alafu napenda msuko wake, nimfano Bora wa Wanawake.👌

  • @ReubenBuchege-zb2lx
    @ReubenBuchege-zb2lx ปีที่แล้ว +7

    Ukweli huyu mkuu wa mkoa nampenda sana sana napenda sana musuko wake

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 ปีที่แล้ว +4

    Anafikisha ujumbe wa kweli katika hali ya ucheshi...Queen yupo bomba.. amekuja nyumbani kwao hasa

  • @mwigakatumpula5695
    @mwigakatumpula5695 ปีที่แล้ว +4

    Akili kubwa sana huyu makongolo😅😅

  • @nassibuduma7162
    @nassibuduma7162 ปีที่แล้ว +3

    Ila mkoa wa Rukwa Mungu akusaidie sijui,

  • @justineisacki8740
    @justineisacki8740 ปีที่แล้ว +1

    Mzee napenda sna

  • @japhetmaxi8789
    @japhetmaxi8789 ปีที่แล้ว +5

    Hongera Sana Kiongoz 👍 ucheshi na kazi ni mhimu Sana katika Utumishi uliotukuka

  • @ABRAHAMMHOJA
    @ABRAHAMMHOJA ปีที่แล้ว +6

    Umerithi ucheshi wa Mwalimu Nyerere .Hongera sana

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 ปีที่แล้ว +2

    Makongoro ni mcheshi mno
    Hapendi Makasiriko Aisee

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 ปีที่แล้ว +2

    Sijachokaga kumsikiliza Makongoro..najiuliza tuu, anajua kukasirika?

  • @s.m2858
    @s.m2858 ปีที่แล้ว

    Asante Rais wetu Dr. Samia Suluhu Hassan kwa kumuenzi baba wa Taifa. Hakika wewe ni mfano wa kuigwa

  • @machasofficialsite6221
    @machasofficialsite6221 ปีที่แล้ว +2

    Queen sendiga,dada mzuri pesa ipo kama RC afu kasuka tu kawaida nywele nane,ila njoo sasa kwa hawa maslay queen...kichwa box,hana kazi na hajui kujipambanua ila anataka wigi na misuko ya 50000 na kuendelea...😂😂😂 Kalaghabao

  • @user-eb3sr5wi5v
    @user-eb3sr5wi5v ปีที่แล้ว +1

    Baba mcheshi jaman hadi rahaaa❤❤❤❤😂

  • @marthagabriel3417
    @marthagabriel3417 ปีที่แล้ว +1

    Manyara wangemuacha makongoro

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 ปีที่แล้ว

    Rais wangu ongera 8 nsana kwa kumuacha mtoto wa baba Taifa kuwa Rc,tena baba huyu mcheshi kama baba yake,lakini viongozi wengine kujisikia sana..Rais wangu oyeeee, Makongoro oyeee ❤❤👍👍

  • @ALADINLWEKAZA-oc9wo
    @ALADINLWEKAZA-oc9wo ปีที่แล้ว

    Uwa nakupenda Sana Mzee wangu

  • @MuhammedFoum-kr5kc
    @MuhammedFoum-kr5kc 8 หลายเดือนก่อน

    Ahhh huyu asaa ni komedians😅😅😅😅😅

  • @projectusmakwaya7895
    @projectusmakwaya7895 ปีที่แล้ว +1

    Mhmm mzee Makongoro jmn

  • @boniphacelusato
    @boniphacelusato ปีที่แล้ว +1

    Makongoro mcheshi sana

  • @piuspanga864
    @piuspanga864 ปีที่แล้ว

    Karibu Queen wetu

  • @godymbanyi1878
    @godymbanyi1878 ปีที่แล้ว +1

    Nitakuwepo kwa wiki moja

  • @mtangag774
    @mtangag774 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂anavituko huyu

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 ปีที่แล้ว +1

    Makongolo halikuwa haamini kama ataendelea kuwa mkuu wa mkoa

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 ปีที่แล้ว +1

    Safsana kaka

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u ปีที่แล้ว +1

    Ucheshi wakulithi lakini.akimaanisha mambonibalabala

  • @shukranitv2971
    @shukranitv2971 ปีที่แล้ว

    Ila queen yupo vizuri sna licha ya kuwa mkuu wa mkoa lakin hajabadili style yake ya twende kilioni Safi sna

  • @HamisAlly-rc7py
    @HamisAlly-rc7py ปีที่แล้ว

    Komaa mpaka kiiitke❤

  • @nineplussports.-sy5mw
    @nineplussports.-sy5mw ปีที่แล้ว +5

    Makongoro Nyerere Ni Mtu Na Mkubali Sana 🎉🎉,Anahotuba Yake Ile Tuzo Za Mzee Wake na Kazi Alizo Zifanya.
    Huwa napenda Sana Kumsikiliza.

  • @amirishauur5795
    @amirishauur5795 ปีที่แล้ว

    uyu dada bora kaondolewa rukwa maana angekufa

  • @erickmbogoro6738
    @erickmbogoro6738 ปีที่แล้ว

    Majina yote

  • @SaidihusseinAthumani-dy9kw
    @SaidihusseinAthumani-dy9kw ปีที่แล้ว

    Na mm Sina macho ha ha ha ha ha aaaaaq

  • @bensonlameck6348
    @bensonlameck6348 ปีที่แล้ว +3

    Sendiga Amesuka nywele 8 Tuli.alafu ni RC,alafu slayqeen wanataka wigi la elfu 50

  • @mabulajoel1967
    @mabulajoel1967 ปีที่แล้ว

    Sawa wakuu wa mikoa

  • @happyyohana9881
    @happyyohana9881 ปีที่แล้ว +1

    😂😂🥰💪💪

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ni mtoto wa hayati nyerere au?

  • @elipidhugotesha1909
    @elipidhugotesha1909 ปีที่แล้ว +1

    Hongeren life is about joy charmimg charmastic so

  • @kyangwesignermohamed7867
    @kyangwesignermohamed7867 ปีที่แล้ว +2

    Msicheke saana angalieni Shida za watu na mjiulize mtazitatuaje

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 ปีที่แล้ว +2

      Heeee kwahiyo watu wasicheke hata siku moja kisa watu wanashida???

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 ปีที่แล้ว

    Mlevi sana

  • @kalolontungo8476
    @kalolontungo8476 ปีที่แล้ว

    Queen tutakukumbuka wanarukwa