Maneno Ya Imani - makongoro kwaya kuu-mwanza

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 38

  • @igiiwamapendo4454
    @igiiwamapendo4454 10 หลายเดือนก่อน +10

    God bless pastor Festors Mwini kimuyu of BHB kutufanya tujue nyimbo Nzuri kama hizi, kwa kipindi cha Nyimbo za zama kila juma pili saa nane.

  • @muigaiwaweru6385
    @muigaiwaweru6385 ปีที่แล้ว +9

    Wimbo wa kiroho unagusha moyo kikweli. Asante kwa kuuimba na kuuleta kwa chombo hiki. Bwana Mungu Baba awabariki wahusika na wasikilizaji.

  • @anthonyodera5473
    @anthonyodera5473 ปีที่แล้ว +6

    asante emanuel peter, hizi nyimbo mimi huskiza tu kwa bibilia husema na mchungaji kimuyu.

  • @jmukwego
    @jmukwego 2 หลายเดือนก่อน +4

    Biblia husema studios-kijabe., Wimbo niupendao and pst. Festus mwini kimuyu and also my dad mzee Godfrey Njoka laid the foundation of my life firmly in Christ Jesus. God bless them all.

  • @bonifacenzinga-w3n
    @bonifacenzinga-w3n ปีที่แล้ว +5

    Asante kwa wimbo huu. when true gospel was preached through music.

  • @cadeaumahuridi7054
    @cadeaumahuridi7054 ปีที่แล้ว +6

    asante Kwa nyimbo mutumishi ubarikiwe sana

  • @kirwabenjamin348
    @kirwabenjamin348 ปีที่แล้ว +4

    Nyimbo za ufalme wa Mungu

  • @JustinNjiru-c4i
    @JustinNjiru-c4i 3 หลายเดือนก่อน +2

    This is true gospel,am blessed by these nyimbo za Zama🙏

  • @ezrakipruto1418
    @ezrakipruto1418 ปีที่แล้ว +6

    This was real music when singer's would research the Bible verse probably and compose songs that uplifted my faith us your Christian then.

  • @monicakiprotich2661
    @monicakiprotich2661 ปีที่แล้ว +5

    sweet melodies

  • @samsonjuma5618
    @samsonjuma5618 ปีที่แล้ว +3

    MUNGU awabariki sana mmenihudumia mno..msichoke

  • @viking24
    @viking24 ปีที่แล้ว +6

    Safi sana. Nyimbo tamu sana. Hebu, weka albamu yote ya hizo nyimbo za zamani za Makongoro kwaya kuu. Sauti za waimbaji ni kama za malaika. Balikiweni na Bwana

  • @muigaiwaweru6385
    @muigaiwaweru6385 2 หลายเดือนก่อน +2

    Maneno ya imani tena na sauti himizi - Mungu katika utatu utukufu na sifa kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo!

  • @alexamuli8308
    @alexamuli8308 ปีที่แล้ว +4

    💕💕🙏 nimebarikiwa sana. Mungu akubariki sana 👍

  • @mushondaremezo6224
    @mushondaremezo6224 ปีที่แล้ว +4

    Ubarikiwe sana sana God bless you hizinyimbo nazipenda sanaaaaaa zinatujenga kwakiroho

  • @kingoramichael2233
    @kingoramichael2233 ปีที่แล้ว +4

    Makongoro choir: where are this guys? this was just a master piece. God bless them.

  • @davidloree8423
    @davidloree8423 ปีที่แล้ว +5

    The best choir ever in my life

  • @fredrickayany710
    @fredrickayany710 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tafadhali kuna wimbo inasema naja nipokee by the choir ninaomba tafadhali

  • @yohanatlatlaa4205
    @yohanatlatlaa4205 3 หลายเดือนก่อน +1

    Makongoro kwaya kuu ni kwaya nzuri sana sauti vyombo mungu awabariki sana Mimi kila jioni lazima niwasikilize kwaya inayonipa faraja katika maisha yangu

  • @muigaiwaweru6385
    @muigaiwaweru6385 ปีที่แล้ว +2

    Hats Leo hii wimbo huu umenitia moyo.

  • @isaackaimenyi7714
    @isaackaimenyi7714 10 หลายเดือนก่อน +3

    good song

  • @muigaiwaweru6385
    @muigaiwaweru6385 10 หลายเดือนก่อน +2

    Leo 30th December,2023 nimeusikiza wimbo huu wenye himizo za utakatifu, kweli kweli!. tena na usikiza mara nyingine.

  • @ParteAfter3600
    @ParteAfter3600 5 หลายเดือนก่อน +2

    Biblia husema Kenya imekuleta hapa pia?

    • @emmanuelpetertruegospelcha3331
      @emmanuelpetertruegospelcha3331  5 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi sina ushirikiano BHB ila ni radio Iliyovuma kwa muziki wa injili zamani kabisa... Hivyo mimi binafsi naziweka huku ndio kila mtu apate kutunza kwa simu yake maana wengi wanatafuta sana nyimbo hizi nami nikaona ni vyema niwafanyie wepesi wapate kusikiliza tena ndio furaha yao iwe baraka kwangu. *Na Jina La Bwana wetu Yesu kristo lipate sifa daima* nia yangu ni injili ifike kwa wengi kupitia nyimbo hizi zenye upako wake Roho mtakatifu

  • @juliuskaziahindi8038
    @juliuskaziahindi8038 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu Muumba na mbingu ubariki wapendwa hawa. Ningeomba upload nyimbo ile ilisema,
    NAENDA NISAFISHE DHAMBI ZANGU..