Hongereni sana kwa nyimbo zunu nzuri na haitatokea kwa miaka ya Sasa nyimbo Kama hizo ni kwaya ya aina yake vyombo vilivyipangiliwa mungu awabariki popote mlipo
Hahaha sawasawa,, ila tambua ni jukumu la mtu aliyejitoa kuweka nyimbo hizi katika TH-cam bila hivyo uwezi pata kabisa kwako wapongeze walio fanya kazi hiyo sio TH-cam
Ninapenda kusikiliza kwaya nzuri Neema makongoro mwanza vyombo ilivyopangiliwa sikiliza solo gitaaa sikiliza sauti ya kwanza mpaka ya nne mungu awabariki popote mlipo
Hi Brother Emmanuel..ninaomba Wimbo unaosema..naja kwako nipokee kutoka kwa kwaya kuu ya makongoro..ipo kwenye hii albamu..otherwise Mungu akubariki kwa kazi njema unayoifanya ninabarikiwa sana na nyimbo hizi huku tukizidi kungoja kurudi kwake Yesu.
Hakika mnaoandaa kwa hizi mnao utukufu MKUBWA toka kwa Mungu iamani ivi kweli wali kuna waimbaji kama hawa ? Sikia sauti sikia vyombo mpangilio wake na waimbaji kwa ujumla hakika unasikia kubarikiwa sana Kwaya Mungu barikiweni sana sana.
Zinanikumbusha mbali sana mbarikiwe wapendwa
Mungu ibariki Tz. Africa nzima iwe mikononi mwako utupe uamusho tuweze kulitangaza none lako
Mungu na hawabariki hawa waimbaji na pia amzidishie mtuzi wa huo wimbo baraka tele ,,,
Asanteni sana makongoro mungu awabariki kwa nyimbo zenu nzuri hakika ninafarijika sana sana moyoni mwangu
Hongereni sana kwa nyimbo zunu nzuri na haitatokea kwa miaka ya Sasa nyimbo Kama hizo ni kwaya ya aina yake vyombo vilivyipangiliwa mungu awabariki popote mlipo
Aki Asanteni sana kwaajili ya hizi zama zetu, life iko smart na you tube.
Hahaha sawasawa,, ila tambua ni jukumu la mtu aliyejitoa kuweka nyimbo hizi katika TH-cam bila hivyo uwezi pata kabisa kwako wapongeze walio fanya kazi hiyo sio TH-cam
Ninapenda kusikiliza kwaya nzuri Neema makongoro mwanza vyombo ilivyopangiliwa sikiliza solo gitaaa sikiliza sauti ya kwanza mpaka ya nne mungu awabariki popote mlipo
Mungu awabariki sana, nyimbo zenu zinanibariki tangu utotoni mpaka sasa
This is a so excellent Singing
Hakika ni nyimbo nzuri sana sana
Makongoro kwaya nawapenda sana. Mungu aendeleye kuwabariki
My favorite song & Choir ,,
AIC Makongoro
Thanks for this song
All of the time Oldest was the Gold
God bless you and stay tuned for more..... happy 2023
Mbarikiwe kwa huduma hii nzuri ya uimbaji.
Wau my goodness! Old is gold! Upate wapi guitars zinye zimepangwa hivi?! So sweet to listen to!
GOD BLESS THIS CLASSICS.ALWAYS BLESSED
wonderful tune ...elicits memories of the best original gospel ...now hope you also load the tune 'huyo mwovu ibilisi' by makongoro choir
Okey happy 2023 stay tuned
memories are made of this. great music. God bless this choir,
Hi Brother Emmanuel..ninaomba Wimbo unaosema..naja kwako nipokee kutoka kwa kwaya kuu ya makongoro..ipo kwenye hii albamu..otherwise Mungu akubariki kwa kazi njema unayoifanya ninabarikiwa sana na nyimbo hizi huku tukizidi kungoja kurudi kwake Yesu.
Amina nikirudi naweka ombi lako
@EMMANUEL PETER TRUE GOSPEL CHANNEL 🇰🇪 thanks alot 🙏
Hakika mnaoandaa kwa hizi mnao utukufu MKUBWA toka kwa Mungu iamani ivi kweli wali kuna waimbaji kama hawa ? Sikia sauti sikia vyombo mpangilio wake na waimbaji kwa ujumla hakika unasikia kubarikiwa sana
Kwaya Mungu barikiweni sana sana.
@@emmanuelpetertruegospelcha3331bado ninangoja hili ombi
Wonderful tune
I need vol 2 ya hiyi kwaya
Iko TH-cam tayari tafuta download
Tofauti ni ipi ya makongori kwaya kuu, makongoro evangelical, makongoro vijana?
*Nyakati na eneo la kanisa ndio tofauti kati yao* kwaya kuu-mwanza ndio mama miaka ya mwanzo sana evangelical ni wale walio eneo la kanisa lingine
Iam interested with the full album.Where can i get one?
Give me your WhatsApp number
Wau my goodness! Old is gold! Upate wapi guitars zinye zimepangwa hivi?! So sweet to listen to!