Nilifika Nkinga miaka ya hivi karibuni ila kitu cha kwanza kilikuja moyoni mwangu ni juu ya nyimbo zao hizi. Labda kwakuwa nilikaa siku chache tu, ila nilivutiwa sana na utulivu wa watu wake. Mungu awe nanyi mmetuburudisha na kutuweka karibu na Yesu kwa miaka mingi sana. Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 yetu na vipaji vya kumwimbia Mungu.
Ndugu Emanuel Mungu akubariki kwa kukubali na kutakeleza wajibu wa kutuletea nyimbo hizi. Nimetafuta wimbo wa Simoni wa Yona je, wanipenda...." sijafanikiwa. Nipe ushauri.
Ni waimbaji kutoka Nkinga christian kwaya,radio habari maalum ni studio tu walio rekodia nyimbo hizo kazi kubwa ni kwao wana Nkinga christian kwaya tabora
These songs are blessing many souls mine included however they can't be played to the end of every song. Kindly record again let more souls be blessed. I am a kenyan. Shalom.
Yani ngoja nifike nyumbani niisikilize hii album nafikiri nipate na.muda mzuri sana wa kulia mbele za Mungu. Hii injili kwa njia ya nyimbo sasa hivi ni stori tu na maisha binafsi. Miaka hiyo kipindi injili ikiwa ni uweza wa Mungu uletao wokovu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amini kubwa sana kwa Yesu...naam Sifa na utukufu ni za Mungu aliye juu sana asante sana kwa kutenga muda wako kuisikiliza napata faraja kwa shuhuda zenu
Ubarikiwe sana kwa kutuwezesha kusikiliza hizi nyimbo tena. Hizi ndizo nyimbo ambazo tulikuzwa nazo tangu utotoni hadi sasa tumekuwa watu wazima. Tumeimarika kwenye imani kupitia huduma ya watumishi wa Mungu kama Nkinga Choir kati ya wengine. Mungu aliwatumia kutia nguzo ya injili ya kweli kwenye mioyo yetu. Tanzania mlibarikiwa na vipaji vya uimbaji. Mungu na azidi kuwaimarisha! 🇰🇪🇹🇿
Be blessed Nkinga your songs are very inspiring all of them. I love them so much. These are the songs we will be singing in heaven may God help us to live to His will. Miriam from Kenya
Best of the best gospel choir album.. nakumbuka walivyoitoaga hii album miaka ya 90 mwanzoni, tukiwa Arusha my late father took me to their album launch.. Mungu awabariki kila mmoja aliyehusika kwenye hii album..
Mungu awabariki sana mliofanya kazi ya kuziweka hizi nyimbo. Hakika zinakumbusha mambo mengi sana hasa jinsi Mungu alivyokuwa anatukuzwa. Nyimbo zenye ujumbe na utamu usiochuja. 🙏🏾
Shukrani waimbaji wa Nkinga kwa kukubali kutumiwa na Mungu kupeleka ujumbe wake. Nyimbo hizi zimenibariki mfululizo kwa zaidi ya miaka 30! Mungu aendelee kwabariki katika maisha haya na kuwafikisha katika ufalme wake.
@@emmanuelpetertruegospelcha3331 God bless you abundantly in the Name of Jesus as you continue to serve the Lord in spirit and truth as the Jesus Gospel sweet memories songs. Thank you for ooh sifa full album, can you get Tazama Yesu album by prison choir.
Very blessing, biblical with holyspirit inspiration, that generation left something for us , i pray God to help us we handover something genuine inspired of GOD to the next generation. Thanks for availing this for us am blessed and let the name of the Lord be praised.
They were keenly prepared. They were biblical. Truly word of God. God bless you all who prepared and made this nice work available for us. Should any one manage to download these please inform me.
Nyimbo nzuri ira nashauri watafute waimbaji wanaoweza kuzikarabati ili zikubari kwenye sisitimu ya kisasa zina kataa kuleta stilio nzur zimnajuwa zamani ilikuwa ni oudio tuu
Tayari zipo kwenye kisasa ya tegemea na aina ya sisitimu unayo tumia wewe pengine ni hafifu... Kwangu ipo sawa tena safi hivyo jaribu kutumia aina ingine ya redio
This album brings back a lot of childhood memories when my parents used to play these songs. It's funny that I didn't even understand Swahili, but the melodies are still fresh in my mind
Nimerudi tena ndugu katika Yesu, hizi album za zamani nilizitafuta sana nashukuru nimefanikiwa kuipata hii, lakini kuna hiyo moja siipati nakuomba tafadhali nisaidie kuipata ni album ya"Yote yawezekana" Yan nitafurahi sana
MUNGU awabariki sana kwa kuziweka nyimbo hizi za zamani zinahuisha sana. Wewe uliyeweka album hii Ooh SIFA ni za Bwana mwokozi asante sana naipenda sana hii album. MUNGU awatunze
@@bonifacelyoba2453 sawasawa kabisa ila nyimbo za albamu hiyo usiyumbishwe zipo tayari katika mitandao hukitafuta kwa majina yao utapata.... nitaweka albamu ya *imani ya petro* ambayo haipo mitandaoni
Hongera mno Nkinga Christian Choir. Nyimbo hizi ni tibithisho kamili ya namna ya kumsifu Mungu. Japo za zamani ujumbe bado mujarabu na bora kabisa siku zote. Baraka na zimiminike kwetu sote.
Una ule wimbo wa: "Nina neno ndugu juu yako, umeacha upendo wako wa kwanza, naja naja upesi, shika sana ulicho nacho ndugu, (sije mtu katawaa taji) mtu akaitwaa taji yako"... Asante
@@emmanuelpetertruegospelcha3331 Asante kaka, lakini si huo. Huu naouulizia ulikuwa wimbo wa mwisho katika mkanda wa Sauli. Hata hivyo asante kwa kazi nzuri. Ukiupata tafadhali tuwekee nao pia. Baraka teletele!
Sawa ila ebu angalia ule *kanisa la efeso* Huduma upendo choir kama sio huo utanipa Jina la kwaya ndio ikuwe rahisi kwangu kuupata... Bila shaka ni huo wa huduma upendo choir kanisa la efeso
Nilifika Nkinga miaka ya hivi karibuni ila kitu cha kwanza kilikuja moyoni mwangu ni juu ya nyimbo zao hizi. Labda kwakuwa nilikaa siku chache tu, ila nilivutiwa sana na utulivu wa watu wake. Mungu awe nanyi mmetuburudisha na kutuweka karibu na Yesu kwa miaka mingi sana. Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 yetu na vipaji vya kumwimbia Mungu.
Asante sana Dada unao ushuhuda mzuri mno zidi kuwa nasi nitaweka karibuni albamu ambayo uja sikiliza.. kaa nasi siku zote acha Mungu aitwe Mungu
Kimsingi MUNGU ni mwema sana,huu ni uimbaji wa hali ya juu sana.Yesu ni mwema
Waoh. Miaka hiyo ndio nimeokoka, nyimbo hizi ziliniinua sana kiroho. Ee Mungu Wabariki wote waliandaa Album hii ya Miujiza
Asante sana sifa kwa Bwana wetu Yesu kristo
Awesome and well composed songs...God bless Nkinga choir.Napenda nyimbo hizi sana sana I bless the Lord for you.
Ndugu Emanuel Mungu akubariki kwa kukubali na kutakeleza wajibu wa kutuletea nyimbo hizi. Nimetafuta wimbo wa Simoni wa Yona je, wanipenda...." sijafanikiwa. Nipe ushauri.
Oh I know that song ni kwaya ya vijana Arusha mjini simoni wa Yona am away now till I return back soon i will upload for you remind me when am back
Jamani kumbe na wewe huo wimbo wa Simon mwana Yohana je unanipenda mimi, wachunge, walishe kondoo wa Mungu. Yaani jamani tunaupataje sasa jamani
th-cam.com/video/Ence1woA7oc/w-d-xo.htmlsi=hvbcTapjp8YXpeMU clink the link and be blessed here is the original one
@@emmanuelpetertruegospelcha3331
Kila wakati na sikiliza hizi nyimbo na sishibi,yaani natamani ingekuwa mapenzi ya Mungu hizi siku zirudi nyuma,i really miss ths days
Toka DRCongo nimebarikiwa sana zaidi na nyimbo hizi.
Bwana abariki kwaya hii
Radio Habari Maalum (Arusha) mlifanya kazi kubwa Mungu awabariki.
Ni waimbaji kutoka Nkinga christian kwaya,radio habari maalum ni studio tu walio rekodia nyimbo hizo kazi kubwa ni kwao wana Nkinga christian kwaya tabora
Mungu awabariki hawa wanakwaya ❤❤❤❤❤💯
These songs are blessing many souls mine included however they can't be played to the end of every song. Kindly record again let more souls be blessed.
I am a kenyan.
Shalom.
Mwenye masikio asikiye maneno haya. Baraka tele kwetu na shukrani kwa kwaya ya Nkinga. Mbarikiwe.
Mmenikumbusha mbali sana sifa kama hii humpendeza Mungu ;waimbaji turudi ktk kumtukuza Mungu namna hii tuache kucheza cheza
@1990 Duuuh old is Gold
Be blessed
Mwaka 1098 naa hizi nyimbo..nikiwa sunday suchol now ni mama na wana
Nikikumbuka mwaka 1993 nyimbo za nkinga du mungu awabariki sana sanaa
Yani ngoja nifike nyumbani niisikilize hii album nafikiri nipate na.muda mzuri sana wa kulia mbele za Mungu.
Hii injili kwa njia ya nyimbo sasa hivi ni stori tu na maisha binafsi.
Miaka hiyo kipindi injili ikiwa ni uweza wa Mungu uletao wokovu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amini kubwa sana kwa Yesu...naam Sifa na utukufu ni za Mungu aliye juu sana asante sana kwa kutenga muda wako kuisikiliza napata faraja kwa shuhuda zenu
Mmmmh dhambi ndio chanzo cha uhalibifu
I marveled on getting this gospel in TH-cam,,,😢 dedicate to my late hubby who loved it in yr 90s 🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu wangu Mungu wangu,mpaka nahisi kama ndiyo ni leo.Kweli siku hazigandi,sifa na utukufu apewe Bwana
Barikiwa Sanaa Ndugu
Kwa kweli nimebarikiwa sana na huu uimbaji tangu ujana wangu...Mungu awabariki sana wana NCC
Amina Aimidiwe Bwana wa mabwana Anaye tushangiliza katika kristo ambaye ndiye Mkuu wa Mungu
God bless Nkinga Choir- mmetutoa mbali
Amina sifa na utukufu ni zake yeye aliye tukomboa kwa makosa yetu na kutuweka huru kupitia kwa damu yake ya thamani,, Yesu ni njia ya kweli na uzima
oooooooh very nostalgic! such beautiful songs.
Barikiwa sana dadangu mpendwa Bwana anazungumza na wewe kupitia nyimbo hizi
Ubarikiwe sana kwa kutuwezesha kusikiliza hizi nyimbo tena. Hizi ndizo nyimbo ambazo tulikuzwa nazo tangu utotoni hadi sasa tumekuwa watu wazima. Tumeimarika kwenye imani kupitia huduma ya watumishi wa Mungu kama Nkinga Choir kati ya wengine. Mungu aliwatumia kutia nguzo ya injili ya kweli kwenye mioyo yetu. Tanzania mlibarikiwa na vipaji vya uimbaji. Mungu na azidi kuwaimarisha! 🇰🇪🇹🇿
Ushuhuda mzuri kaa nami kwa albamu yao nyingine
Uko sahihi mtu wa Mungu.
Nawapenda Sana Hawa watumishi
Sometimes I admire to be part of this great choir...though I come from Kenya
You mean you were among them??
Be blessed Nkinga your songs are very inspiring all of them. I love them so much. These are the songs we will be singing in heaven may God help us to live to His will. Miriam from Kenya
God bless you
Mungu awalipe mara mingi, koome sonko nikiwa kenya
Naam barikiwa sana
Best of the best gospel choir album.. nakumbuka walivyoitoaga hii album miaka ya 90 mwanzoni, tukiwa Arusha my late father took me to their album launch.. Mungu awabariki kila mmoja aliyehusika kwenye hii album..
Nyimbo tamu na zilihifadhiwa vzr kabisa,ziko na quality yake,hongereni Nkinga Christian choire Mungu abariki kazi yenu.
A kind of singing that impacts my heart I wish I could meet even one of the singers, thank you very much nkinga Christian choir
Nyimbo nzuri sana and well balanced sounds
Mungu awabariki sana mliofanya kazi ya kuziweka hizi nyimbo. Hakika zinakumbusha mambo mengi sana hasa jinsi Mungu alivyokuwa anatukuzwa. Nyimbo zenye ujumbe na utamu usiochuja. 🙏🏾
God bless you ,NKINGA CHOIR
Shukrani waimbaji wa Nkinga kwa kukubali kutumiwa na Mungu kupeleka ujumbe wake. Nyimbo hizi zimenibariki mfululizo kwa zaidi ya miaka 30! Mungu aendelee kwabariki katika maisha haya na kuwafikisha katika ufalme wake.
Miaka ya 1990 na kuendelea siku ya jpili Kuanzia saa nane mchana lazima uwe karibu na radio maana nkinga, ulyankulu mwanza town lazima waimbe
Naam
Nyimbo hizi zinanikumbusha miaka ya 80 jumapili kulikuwa na kipindi cha saa nane , kipindi cha kwaya nilikipenda sana
ubarikiwe sana mutumishi wa Mungu unatuwekea nyimbo tamu sana ubarikiwe
Asante sana mna ni tia moyo mnapo ni pongeza kwa kazi hii Barikiwa sana zidi kuwa katika chaneli yangu kwa zingine nzuri zaidi 🙏🎶
@@emmanuelpetertruegospelcha3331 God bless you abundantly in the Name of Jesus as you continue to serve the Lord in spirit and truth as the Jesus Gospel sweet memories songs. Thank you for ooh sifa full album, can you get Tazama Yesu album by prison choir.
Very blessing, biblical with holyspirit inspiration, that generation left something for us , i pray God to help us we handover something genuine inspired of GOD to the next generation. Thanks for availing this for us am blessed and let the name of the Lord be praised.
Thank you so much for understanding the true anointed songs pass them to your children at home they will grow remembering as well
Nabarikiwa sana wimbo huu, mubarikiwe waimbaji
Mungu hawabariki
Nimejisikia baraka sana moyoni
Barikiwa sana
They were keenly prepared. They were biblical. Truly word of God. God bless you all who prepared and made this nice work available for us. Should any one manage to download these please inform me.
Ninawasikiya Tano kwatano❤🎉
It's true that this song is spiritual,of course GOD, bless this choir amen.
Habari Nami nahitaji hizi nyimbo
Mungu awabariki sana wapendwa kwa wimbaji huu mzuri mno. Tayari nimebarikiwa.
Asante sana ndugu nimefurahi sana kuwa kichocheo cha imani yako katika kristo ndio mwito wangu kufanya kazi ya Mungu kwa njia ya uimbaji *barikiwa*
Jamani jamani! Hizi nyimbo zinanipa raha sana ninapozisikiliza huwa sitakagi mtu anipigishe story (Muwanji mpenda nyimbo za kwaya)
On those old gold days !
Ndiyo maana zamani waimbaji waliimba watu walibarikiwa waliokoka walipona hizi nyimbo zinaishi zina pumzi ya MUNGU kabisa🙏
Nabarikiwa sana sana sana
Asante sana kutuwekeya nyimbo hizo
Growing up in 90's listening to these songs its a true blessing.
Wow. This is gold.💗
Mungu awabariki kwa utumishi huu mzuri wa uimbaji. Mnanibariki sana kwa uimbaji wenu.
Good old songs reminds me of the times in the 1990s God Bless u all
I love these songs. Remind me of 90s. True gospel.
I have looked for this song for years .....thank for for finding it, I love it so much
Did you do the download, if yes then carry on ,if not then subscribe
Murikuwa nanyimbo nzuri kabisa
My all-time favorite choir
Amina
Nyimbo nzuri ira nashauri watafute waimbaji wanaoweza kuzikarabati ili zikubari kwenye sisitimu ya kisasa zina kataa kuleta stilio nzur zimnajuwa zamani ilikuwa ni oudio tuu
Tayari zipo kwenye kisasa ya tegemea na aina ya sisitimu unayo tumia wewe pengine ni hafifu... Kwangu ipo sawa tena safi hivyo jaribu kutumia aina ingine ya redio
This album brings back a lot of childhood memories when my parents used to play these songs. It's funny that I didn't even understand Swahili, but the melodies are still fresh in my mind
Be blessed Jesus is King
Wonderful songs they are really touching . God bless singers
Nimerudi tena ndugu katika Yesu, hizi album za zamani nilizitafuta sana nashukuru nimefanikiwa kuipata hii, lakini kuna hiyo moja siipati nakuomba tafadhali nisaidie kuipata ni album ya"Yote yawezekana" Yan nitafurahi sana
Ya kwaya gani???
MUNGU awabariki sana kwa kuziweka nyimbo hizi za zamani zinahuisha sana. Wewe uliyeweka album hii Ooh SIFA ni za Bwana mwokozi asante sana naipenda sana hii album. MUNGU awatunze
Asante sana 🙏 kaa nami kwa zengine njema zaidi
@@emmanuelpetertruegospelcha3331 mie naomba uweke albam zote tatu za kwaya ya uinjirist vijana arusha mjini haswaa ile albam ya usiyumbishwe
@@bonifacelyoba2453 sawasawa kabisa ila nyimbo za albamu hiyo usiyumbishwe zipo tayari katika mitandao hukitafuta kwa majina yao utapata.... nitaweka albamu ya *imani ya petro* ambayo haipo mitandaoni
Hongera mno Nkinga Christian Choir. Nyimbo hizi ni tibithisho kamili ya namna ya kumsifu Mungu. Japo za zamani ujumbe bado mujarabu na bora kabisa siku zote. Baraka na zimiminike kwetu sote.
@@makorithaddaeustm6344 Amina
Nyimbo tamu na zenye ujumbe.ASANTE
Zilizopendwa
Blessed
Kutoka TZ mpaka UK twasema, Asante 🙏🏿🙏🏿
Amina Barikiwa sana 🎶❤️❤️🎸🤝
Una ule wimbo wa: "Nina neno ndugu juu yako, umeacha upendo wako wa kwanza, naja naja upesi, shika sana ulicho nacho ndugu, (sije mtu katawaa taji) mtu akaitwaa taji yako"... Asante
Naam upo kwenye full album unaitwa *na kwa yule malaika*
@@emmanuelpetertruegospelcha3331 Asante kaka, lakini si huo. Huu naouulizia ulikuwa wimbo wa mwisho katika mkanda wa Sauli. Hata hivyo asante kwa kazi nzuri. Ukiupata tafadhali tuwekee nao pia. Baraka teletele!
Sawa ila ebu angalia ule *kanisa la efeso* Huduma upendo choir kama sio huo utanipa Jina la kwaya ndio ikuwe rahisi kwangu kuupata... Bila shaka ni huo wa huduma upendo choir kanisa la efeso
Mbarikiwe sana. Ninatamani kuimba pamoja na waimbaji hawa Mungu awabariki. Ni nyimbo tuliziimba tangu utotoni. Mbarikiwe
@EvangelisteMireilleMITAMBA unakaribishwa vyema fanya mazoezi kwa mkanda huu imba zote tengeneza video ukiimba kisha nitumie
hii heaven straight
Naomba sana ukijaaliwa uitafute Abum ya (AIC NZEGA TOWN CHOIR - Amka usinziaye) ili rekodiwa mwaka katikaya 1994 au 1995
Niliweka huo wimbo wote hata nikakuambia upo tayari ukabaki kimya hadi wa leo siku ileile ambayo uliomba
nimejaribu kuangalia kwenye channel yako siauona tafadhali@@emmanuelpetertruegospelcha3331
Nimekua nikiitafuta hiyo sauti iliyoginga chorus ya YUKO WAPI ALIYEZALIWAAA. Asante mtumishi kwa baraka hizi kupitia hii Album bora kabisa.
Kuwa nami kwa zengine njema zaidi....
ni baraka sana
BARAKA KWELI KWELI,KUNA ULE WIMBO WAPENDWA,UNAIMBA TANGU SASA MSIENDELEE KUISHI KWA TAMAA ZA ULIMWENGU HUU,SIJUI TAPATAJE?
Upo unaitwa tunasoma maandiko albamu ya mpende Mungu wakoth-cam.com/video/WsDwFtEOQVE/w-d-xo.html
Asante Mpendwa wa Baba
Wonderful Choir! Truly Gospel Songs of All Times!
Real gospel music
these guys were smart
They're smart till the return of our Lord Jesus Christ
Worship music videos
Good old days, Asante
Ivi jamani nikienda Habari Maalumu studio ntapata hizi album za choir za zamani
Jaribu nenda lazima ziwepo kwani wao ndio walio warekodi
Sawaa
Album ya ukweli. Gospal ya UKWELI.
Amen
Old is old
Philipo Kidiku
Mumenikumbusha nyimbo za zamani zakale, asante sana kwa choir nzuri. Mungu awabariki sanaa.
Hongereni jaman
Google
Asana sana kaka! Je tunaweza kupata na nyimbo Za Nkinga Peace band? Walioimba nainua macho yangu!
Naam zipo kabisa ila kaseti ina sauti ya chini sana utasubiri kwa mda ni renew tena