SHEIKH MSELEM BIN ALY ASOMA MISTARI YA BIBLIYA AWASHA NGAZA WAUMINI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2021
  • #AdilAbdallah #SheikhMselemBinAly #DarsaLaShekhShahran
    Karibu ujiunge nasi Adil TV. Adil TV nikituo kinacho onyesha Video tofauti kama vile Move,Tamthilia,Qaswida,Comedy Clip,Show n.k Ili kujiunga nasi bonyeaza SUBSCRIBE ili kupata video mpya kila tunapo ingiza. Pia weka komenti zako katika video hii. Napia TUNATANGAZA BIASHARA YAKO tupigie 0774 362 246

ความคิดเห็น • 106

  • @hilmialiomar1983
    @hilmialiomar1983 2 ปีที่แล้ว +1

    Anaongea kwa busara na upole mpaka moyo unafurahi, Mashallah Allah(S.W) akubariki sheikh wetu.

  • @muhamedkhatib4913
    @muhamedkhatib4913 ปีที่แล้ว

    Mashallah shekh mselem Allah azid kukuhifadh

  • @mhinahalfan2694
    @mhinahalfan2694 2 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah, ujumbe mzuri. Mwenyezimungu akuhifadhi na akulipe yaliyo bora duniani na Akhera.

  • @kasamohamed6526
    @kasamohamed6526 2 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah usipomuelewa sheikh wangu hutoelewa mtu mwengine yoyote, Allah atuhifadhie masha Allah

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 2 ปีที่แล้ว +5

    Maa shaa Allah ni maneno mazuri ya kutafakkar kwa kila muisilam.

    • @mohammedissah9917
      @mohammedissah9917 2 ปีที่แล้ว

      Mungu akulipe kila la kher Shekh mselemu ally kwa mawaidha mazuri mungu akuzidishie iman na afya njema aman

  • @jarshekhar8854
    @jarshekhar8854 ปีที่แล้ว

    Allah akuweke sheikh maana mmpo wachache

  • @user-tw9jk8ow1r
    @user-tw9jk8ow1r 11 หลายเดือนก่อน

    Ameen 🤲 جزاك الله خير

  • @deathrow8004
    @deathrow8004 2 ปีที่แล้ว +2

    Sheykh
    Huwa nakuelewa Sana
    Baraka llahu fyikaa

  • @nalingarowl7048
    @nalingarowl7048 ปีที่แล้ว

    Ukristu ndiyo Imani yenye umri mkubwa kuliko Imani zingine Kwa sababu hiyo Ina mengi kuliko Imani zingine

  • @kitengeayoub2649
    @kitengeayoub2649 2 ปีที่แล้ว +2

    namuelewa huyu shekh kuliko maelezo. Allah amuhfadh aamiin

  • @abuorbakar7490
    @abuorbakar7490 2 ปีที่แล้ว +3

    Walio kuweka gerezani walikuwa hawajui thamani yamaneno yako wala uwepa wako maneno yako yanafaida kwawanaozingatia mashaalwah

  • @mbarakamaulid2545
    @mbarakamaulid2545 2 ปีที่แล้ว +1

    Shekh uko vizur jazakallah shekh

  • @ramadhanmpungwe9014
    @ramadhanmpungwe9014 2 ปีที่แล้ว +2

    Masha allah ya shekh

  • @maymunamakungu6265
    @maymunamakungu6265 2 ปีที่แล้ว +1

    MaashaAllah MaashaAllah MaashaAllah

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 2 ปีที่แล้ว

    Shukran
    Sheikh wetu kwa ukumbusho
    Allah akubariki na akuhifadhi

  • @khalfaniibrahim201
    @khalfaniibrahim201 2 ปีที่แล้ว

    Allah akuzidie ulizi biizinlllah

  • @yasminiibwende5221
    @yasminiibwende5221 2 ปีที่แล้ว +2

    Hafidhahullah sheikh wetu

  • @carlomikki2763
    @carlomikki2763 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah

  • @abuuissa1642
    @abuuissa1642 2 ปีที่แล้ว

    Wallah Allah akuhifadhi sheikh

  • @rashadymuhamad6293
    @rashadymuhamad6293 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sheikh

  • @HasbunaSubeit
    @HasbunaSubeit 2 หลายเดือนก่อน

    Allahu akbar

  • @staminahothman4574
    @staminahothman4574 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah sheikh kwa ukumbusho

  • @cholojuma8558
    @cholojuma8558 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akulinde namabaya shehe mselem bn Ali wewe nibingwa

  • @saidsalim851
    @saidsalim851 2 ปีที่แล้ว +3

    #adil tv wapi sheikh kanukuu vifungu vya bibilia?

  • @marrymwacha9262
    @marrymwacha9262 2 ปีที่แล้ว

    ALlah akuifaz

  • @allymarijani6869
    @allymarijani6869 ปีที่แล้ว

    laillah hailallah

  • @istambuliahmedi8203
    @istambuliahmedi8203 2 ปีที่แล้ว

    ماشاء الله وبارك الله فيك وجزاك الله خيرا

  • @matovuabdullah7728
    @matovuabdullah7728 2 ปีที่แล้ว

    Taratiib sans!.

  • @kassimbitogwa6992
    @kassimbitogwa6992 2 ปีที่แล้ว

    mashallah

  • @pilabiliani9394
    @pilabiliani9394 2 ปีที่แล้ว

    Inshallah

  • @mariammohd3515
    @mariammohd3515 2 ปีที่แล้ว

    Kweli

  • @mkubwamasoud2776
    @mkubwamasoud2776 2 ปีที่แล้ว +3

    Haya Alhalul bida'a sikilizeni Aya hizo jueni ya kwamba matendo na aamal mnayoyafanya hayana malipo mnapoteza muda katika kutenda matendo ambayo hayana maamrisho katika uislam

    • @allykeita704
      @allykeita704 2 ปีที่แล้ว

      Ina maanisha Nini?

    • @allykeita704
      @allykeita704 2 ปีที่แล้ว

      Unamaanisha nini

    • @allykeita704
      @allykeita704 2 ปีที่แล้ว

      Ameongea vibaya amaaa

    • @omarsakawa2070
      @omarsakawa2070 2 ปีที่แล้ว

      hujamuelewa shekhe hamaanishi hayo yenu,shekhe amaanisha kuwacha qur'an na kushikana na kupeleka matendo kwa siasa za kidemokrasia.

    • @zainabzanzibar1518
      @zainabzanzibar1518 ปีที่แล้ว

      Wewe unataka tusikilize mapasho kila siku?leo kapashwa shekhe huyu kesho yule sisi shida yetu ni kubata mawaidha na sio mipasho kama mashekhe wengine

  • @mohdmbarouk8465
    @mohdmbarouk8465 2 ปีที่แล้ว

    Hujalazimishwa kuwa muislamu eti hiyo ni juuu yako mwenyew Na Mungu kadhihaki kitu gani

  • @nikizaanociata4730
    @nikizaanociata4730 2 ปีที่แล้ว +2

    Kumfwata Yesu njo dini ya Mwenyezi Mungu pekee .

    • @basaulansangu3588
      @basaulansangu3588 2 ปีที่แล้ว +2

      Yesu alikua mtume Kama mitume wengine kumfuata yesu ni kutekeleza yale aliyo yazungumza siyo kumfanya yesu kua ni Mungu au mtoto Wa mungu

    • @sadyomary8256
      @sadyomary8256 2 ปีที่แล้ว

      KASOME INJILI AU BIBLIA UPYA

    • @jumashabani8474
      @jumashabani8474 2 ปีที่แล้ว

      Naona ndio amekufundisha uvae na hivyo

  • @sayaribrand538
    @sayaribrand538 ปีที่แล้ว

    Ukweli utabaki kua ni ukweli

  • @brightshaka6301
    @brightshaka6301 2 ปีที่แล้ว

    Hahhhhh her ufe kuliko kua Muslim ni msiba mkubwa Allah sw akusimamie inshallah

  • @muhammadkazumar5184
    @muhammadkazumar5184 2 ปีที่แล้ว

    Aswaa

  • @allykeita704
    @allykeita704 2 ปีที่แล้ว

    Dini na siasa huwezi kuvitenganisha

  • @mustafamfiringe1266
    @mustafamfiringe1266 2 ปีที่แล้ว

    Ongea mselem

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 2 ปีที่แล้ว

    Ukumbusho ulio na hekima.

  • @albethmwakatumbula2851
    @albethmwakatumbula2851 2 ปีที่แล้ว +1

    Yameanza tena marumbano ya kindini !chokocho zilitulia ,sasa zimeanza tena

    • @sadyomary8256
      @sadyomary8256 2 ปีที่แล้ว

      HUJAELEWA TU.ULIZA WANAOELEWA

    • @jumashabani8474
      @jumashabani8474 2 ปีที่แล้ว

      Unataka nn.
      Linakuhusu nn we sikiliza tia akilini

  • @111dudi
    @111dudi 2 ปีที่แล้ว

    Sheikh umetoa mifano mibaya ya bara, vizuri. ingekuwa vizuri ukatoa mifano mibaya ya zanzibar vile vile. tujifunze

    • @yunushuden1639
      @yunushuden1639 2 ปีที่แล้ว

      Ina onyesha huja muelewa bin Ally hebu sikiliza kwa makini kasema vp

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 ปีที่แล้ว

      Mm ni mbara pia . Lkn hujamuelewa, Rudia kusikiliza tena. Alipokugusani topic ya gerezani alipokua na changmoto zake.

  • @mariammohd3515
    @mariammohd3515 2 ปีที่แล้ว +1

    Ila kwani inakua hivi

  • @shafiikhamis2336
    @shafiikhamis2336 2 ปีที่แล้ว +2

    Dahh...sija sikia hizo aya za bible...una andika vp wew vichwa vya habar...jitahid uweke uhalisia kweny video ndgu usije hamwa...

  • @nikizaanociata4730
    @nikizaanociata4730 2 ปีที่แล้ว +1

    Chamuhimu nikumkubali Yesu sio masharti ya dini .

    • @ramadhanmpungwe9014
      @ramadhanmpungwe9014 2 ปีที่แล้ว

      Elewa vzr ww

    • @omarbilali9529
      @omarbilali9529 2 ปีที่แล้ว

      Umkubali Yesu kama nani....🤔

    • @awadhrmusa28
      @awadhrmusa28 2 ปีที่แล้ว

      Yesu si mtu kama sisi2 anaenda choon

    • @sayidabdillah8505
      @sayidabdillah8505 2 ปีที่แล้ว

      Habar Dada
      Nakuomba ufahamu kuwa yesu mtoto wa Maryam au mtoto wa bikira Maryam ni binadamu sawa na binadamu wanaume wote tofauti yake na binadamu wengine wakiume ni kimoja,yeye yesu alichaguliwa na mungu kuwa mtume kwa wana wa Israel kwa kipndi hicho alicholetwa hakuwa mungu wala mtoto wa mungu
      Kwanza alizaliwa na mungu hazaliwi,alikuwa analala,anakula anakunywa,anakwenda haja kubwa na ndogo,alikuwa anasahau,anasinzia na vitu vyenye sifa ya kibinadamu
      Ambazo sifa hizo mungu hana kwa hiyo yesu hakuwa muungu
      But pia mwanadamu huzaa binadamu,Maryam alikuwa binadamh hakuwa mungu bcoz alizaliwa na baba aneitwa imrani na mama anaeitwa hannani
      Anaekumezesha na kukujenga imani kuwa yesu ni mungu anakuootosha,mungu anabaki kuwa ni mmoja tuu
      Kuna vitu viwili ufahamu
      Unapoambiwa kuwa huyu ni Mwana wa ccm jiulize ccm imezaa au unapoambiwa huyu ni Mwana wa sheitwaani jiulize sheutwani amezaa anaitwa Mwana wa sheutwan bcoz matendo yake ni ya kishetwani
      Na huyu yesu unapoambiwa ni Mwana wa mungu sio kumzaa Bali ni matendo ya yesu yanaendana na mafundisho ya mungu sio kumzaa
      Usipotoshwe na waroma,wapagani,na wagiriki
      Yesu ni mtu au binadamu aliyezaluwa mashariki ya kati

    • @sadyomary8256
      @sadyomary8256 2 ปีที่แล้ว

      YESU HAKUWA NA DINI? YESU HAKUWA NA MASHARTI? LETA HOJA IMARA SI MANENO NA MATAMANIO TU?

  • @lastgospel706
    @lastgospel706 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu shehe ametudhihaki wakristo..kweli mi naishangaa hi dini hata sasa....kuliko niwe muislamu heri nifeeeeeeeee🤮🤮🤮🤮

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว

      kufa tu kwani kuna mtu anakuhitaji

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 2 ปีที่แล้ว

      Amekudhihaki wapi,hebu tueleze.

    • @sharaarabiy858
      @sharaarabiy858 2 ปีที่แล้ว +1

      Kufa tu Kwan lazima uwe muislam khaa we vip....

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 2 ปีที่แล้ว

      Last Gospel
      Unaushangaa Uislam, na waislamu nao wanawa washangaa wakristo, hivi uwe na akili uwe na mungu anazaliwa na mwanamke, anauawa.
      Kiwango cha mwisho cha ujinga. Wazungu wamewa danganya wasio jitambua, pale walipowasukuma utumwani.

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 2 ปีที่แล้ว

      Hakuna mkristo anaweza kukutajia dini yake dunia hii kama unaijua ya kwako inaitwaje twambie QUR-AN ni kitabu pekee kilichotaja dini ALLAH anayo ikubali 3:19 Qur'an ISLAM ndio ni hakuna nyingini