MAAJABU YA "KISIMA CHA MUNGU" - MANYARA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 ส.ค. 2021
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Sigino yetu,babati yetu,manyara yetu,,miss my home town
Nimepamic kwetu sinai
@@stelajeremia2053 mi kwetu nyunguu,napamic sana,Sinai siku hizi ni mji unaokuja kwa Kasi ya ajabu
Yaonyesha jinsi Mungu wetu anavyosikia maombi!
Big up ma brother Yussuf Dai,
Kama mmesoma Geography sio ajabu nijambo la kawaida kutokea Duniani
Amazing
Kwel
Kwani wasafi mmeishiwa watangazaji au
Wengine hatujui ww fatilia kwengine
Napafahamu vizur kisima enzi zangu npo kitetooooo....kweli mungu ni mkuu
Nomaaa sanaaah
Jamn nyumbn kumenoga
4 comment
Kiteto kipo pia kisim cha Mungu tena htr kuliko hiki cha Manyar kile maji hayaish wala hayapungui mkigomban maji yanatok Machaf ama nyoka
Kiteto ipo mkoa wamanyara au hujui
@@allygunda3616 sasa kiteto s niwilaya na ww
Mbona sikifahamu
Maajabu kwel hayaa
Nyumban kumenoga
Mambo ya ajabu sanaa hivi serikali unashindwa kukusanya kwenye vyanzo vikuu .
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💞💞💞💞
Heka ishirini nikisima au bwawa
😂😂😂 dadeki Mwanza mpaka Babati maji
Hiyo ni creta ndogo ambayo ina ziwa dogo lenye maji baridi, ninalifahamu sana eneo hili. Kuna underground acquifer ambayo inaleta maji hapo kutoka kwenye highlands. Ni watatoga na wala siyo wamang'ati.
Hii ni crater na asili yake ni mlipuko wa volcano ktk mlima huo
Lukuvi jiji la mwanza ardhi n
Wal wa babati tujuane
Tupo jamani najiskia Raha kuskia kwetu kukitajwa
Nipo hapa
Tupo wana babati,wale Wa singe,Nangara,managha,himiti,bonga hadi haraa mpoo?
Wale hangoni,kwere,mrara,waang'waray,maisaka,mjini kati,old majengo,kigongoni,mji mpya,osterbay,ngarenaro hadi nakwa mpoo??
Wale Wa negamsi,miomboni,sigino,sawee,nyunguu,Malangi hadi kiongozi na magugu tujuane jmn Wa nyumbani,....
Babati ni yetu
We are here negemsii
@@user-qe8jj2cl8q
Tupooooo
Tujuane
Manyara safii
Mmmmm
Hahahahaaaa kisima cha Mungu
Aya jamani sisi tulikata sana Kuni huko kina maajabu mengi sana
Kondoa ipo chem chem ya ajabu
Nyumbani kwetu babati manyara sigino.
Usikute yale mji ya upako yanachotwa uko
Ukubwa wa heka 20?!!! Sio kweli
Mkijenga barabara maji yataanza kupotea
Nikama kulikywapo na mlima hapo .nainaonesha kuwa ulitokea mlipuko mkubwa Karne nyingi .nakusababisha bonde hili
SAS hyo x caldera jaman???
..........llll. Ta
Babati yetu manyara yetu Sigino yetu karibun muje mjionee kisima cha mungu.
Mtangazaji unaongea kama unakula
Ana kithembe jaman mdomo kama mzto flan 😊
Njoutangaze wewe kwa lugha yenu falann au kiswahili hujui