Kiufupi sanaa inahitaji uvumilivu. Huwezi kuja ndani ya mwaka ukatoboa. Kiufupi anjela unatakiwa uelewe hivyo. Digital platform mauzo yake yana mbinde sana
Sasa anafkir akiongea upumbav wke atakuja wasafi asahau aishi maishaa yke uko dah. Haya maisha wew ata kma harmonize hakulipi ila kumbuka alikukutoa sio vizuri kutoa habari za ulipotoka foolish kbx ... 🙌
@@fredambrose3118 brouh. Me cwez competition ila sasa apo ata akiongea anapata faida gani labda unafkir kuna hela atapewa au ni kujitia aibu katika media...
@@MrMona_TZ faida atakayo pata ni trends, na pia kama angekuwa anasema uwongo angepata aibu ila sio uwongo na yy sio wa kwanza kusema hayo ata kina cheed na killy wameyasema na pia kwa anachokisema kinaonekana kwa jicho la wazi kabisa, au ww umewahi kumuona ibraah akipiga show?
Yn we ningese kwel.ww mbona mtu wemu alipotoka wsafi alilalamika sn nakuongea kila neno baya kuea kafanyiwa hamkujuwa. Km alisaidiwa na mondi. Inapaswa aka ae kimya. Mbona mlifurahiya yn hamtaki kusikia baya la uyo kenge wenu limisemwa. Kwa kuwa yy mtakatifu sio
Ii radio pamoja natv juu yauwendeshaji wake aupo kitaasisi ipo kichuki zaidi yakukombanisha watu nakumpamba mliki nafamilia yake nawatu wakalibu kwake tofauti namaradio zingine iko siku mmiliki akifa basi ivi vyombo avitaweza kusonga mbele kutokana vipo kiutashi zaidi vinaendeshwa kwakuangalia upepo radio ipo unakuta vipindi vyake vyote kusema watu au kumsifia boss kuanzia watangazaji wamekuwa machawa waboss ata wazee wangu kitenge zembwela ando sio wale niliokua tunawajua kido naona oscaosca anaunafuu kuliko viranza wengine
Kweli mjinga hajijui yani wanamchota tu ulipiga show hukupiga show . Inatakiwa ushukuru kwa kila hatua ulizo pga zaman hukua hivyo ukiendelea kuropoka na kutoa siri za kamb hakuna atakae kusaidia watu wanakuchora tu akili yako niyaovyo sana
Kuna namna ya kujib interview as proffessional, Konde imekupa jina pia sio lazima uizungumzie vibaya, hamna anayefanikiwa kirahis hii dunia, watu wanasacrifice vitu vingi had wazaz kufikia hayo mafanikio, is not izee
Jina bila pesa ni ujinga na ata jina hajawapa kwa vile hilo jina halikuwa na nyenzo kuu zozote na ndio maana hukuona ata wakipata shows...... kingine hakusaidiwa km ni msaada mmakonde angefata nduguze awasaidie ila hiyo ni biashara ambayo mmakonde kawanyonya watu na sio tu angella aliyesema hivyo ni wote cheed, killy na country
@@worldhappiness1181 ndio mmuache muhusika aongee sasa yy ndio anajua alivyonywa, harmonize alisema alinyonywa atuoneshe sasa label yake inavyokwenda maana simply wale watu wote pale kondegang wanakula kupitia brand ya harmo iliyojengwa na WCB na wamshukuru jembe maana ndiye boss pale
Hongera kwa kuondoka kwenye lile genge la wavuta bangi
Power ni mjanja mjanja.Hongera kwa kuondoka pale.
Bila kumzungumzia konde hamjisikii raha kabisa yaan 😂😂😂
hiyo interview unajibu chochote unachoulizwa sio tu wasafi ata tv zingine wanaulizanga hayo maswali
We nimpuuuz sn asiongeleewe yy km nani s
Asa ivi mnamuona uyo kenge wenu ni msafi mtakatifu sn sio yn wt wasiongeeaovu yk
@@john_1tradermjinga uyo ajitambui
Aaah nawee chizi kwani apo kunashidagani
Huyu nae mnafik tu ungekua mkwel ungesema kabla hujatoka yan wabongo bwana
hata hamo aliongea baada ya kutoka
Wasafi wanafki sana
Ww ndonafiki mana iyo ni intavyu lazima aulizweazwla au kisa kahojiwa wasfai mbona korosho wenu alivyo enda hojiwa clouse aliongea ujinga kibao kuhusu mondi mbona mlifurahia amkusema clouse wnafiki achen ushabimi maandazi mfu wenu ni tapel
Anjalla ungenyamaza..aki.watu wanakutumia
Daah ety kudangaa 😂😅
Duuuuh pole san
Interview mbaya kabisa ilowahi kutokea
Ili dada jinga sana ani kama bumunda😂😂
Kusem ukwel t ndio mpaniki mwachen ajinafs
Akili imelala 😂😂😂
Angela box kama ramla tu
Wasenge nyie na boss wenu yaani harmonize mlishamshindwa kitambo mbwa nyie mna angaika tu
😅😅😅😅😅😅
Kiufupi sanaa inahitaji uvumilivu. Huwezi kuja ndani ya mwaka ukatoboa. Kiufupi anjela unatakiwa uelewe hivyo. Digital platform mauzo yake yana mbinde sana
Sasa anafkir akiongea upumbav wke atakuja wasafi asahau aishi maishaa yke uko dah. Haya maisha wew ata kma harmonize hakulipi ila kumbuka alikukutoa sio vizuri kutoa habari za ulipotoka foolish kbx ... 🙌
Ilikuwa biashara na sio msaada ingekuwa msaada harmo angechukua ndugu zake awasaidie muacheni muhusika aongee alivyonyonywa
@@fredambrose3118 brouh. Me cwez competition ila sasa apo ata akiongea anapata faida gani labda unafkir kuna hela atapewa au ni kujitia aibu katika media...
@@MrMona_TZ faida atakayo pata ni trends, na pia kama angekuwa anasema uwongo angepata aibu ila sio uwongo na yy sio wa kwanza kusema hayo ata kina cheed na killy wameyasema na pia kwa anachokisema kinaonekana kwa jicho la wazi kabisa, au ww umewahi kumuona ibraah akipiga show?
Yn we ningese kwel.ww mbona mtu wemu alipotoka wsafi alilalamika sn nakuongea kila neno baya kuea kafanyiwa hamkujuwa. Km alisaidiwa na mondi. Inapaswa aka ae kimya. Mbona mlifurahiya yn hamtaki kusikia baya la uyo kenge wenu limisemwa. Kwa kuwa yy mtakatifu sio
@@fredambrose3118yn nimjinga uyo yn hawtaki mtu wao mabaya yk yasemwe wnyona mtakatifu sn
Wasafi bna 🤣🤣🤣🤣🤣
Ii radio pamoja natv juu yauwendeshaji wake aupo kitaasisi ipo kichuki zaidi yakukombanisha watu nakumpamba mliki nafamilia yake nawatu wakalibu kwake tofauti namaradio zingine iko siku mmiliki akifa basi ivi vyombo avitaweza kusonga mbele kutokana vipo kiutashi zaidi vinaendeshwa kwakuangalia upepo radio ipo unakuta vipindi vyake vyote kusema watu au kumsifia boss kuanzia watangazaji wamekuwa machawa waboss ata wazee wangu kitenge zembwela ando sio wale niliokua tunawajua kido naona oscaosca anaunafuu kuliko viranza wengine
Ahaa kumbenaijuwa chuki sio. Je kipindi kile korosho alienda fanya mahojiano clouse na kuongea vitu kibao. Kuhisu wasafi na mondi amkuliona ilo. Mbwa. Ww acheni ushabiki maandazi mwachen aomgse ukwel
Mondi anakufanya mbele na nyuma. Anjela mnafiki.
Wenzio wanakuchola dah
Huyu demu anajiharibia san Upumbavu wake
Kusema ukwel ndio anajhrbiaa achen ukuma huo
Sasa anakuhusuni nin uyo kwani
Mi naomba wamakomde musicoment kwa 7bu nyi hamtaki ukweli tafuteni media ynu ya mmakonde
Kweli wasaf mmekosa interview maswali gani ya kipumbavu kias hicho
Kweli mjinga hajijui yani wanamchota tu ulipiga show hukupiga show . Inatakiwa ushukuru kwa kila hatua ulizo pga zaman hukua hivyo ukiendelea kuropoka na kutoa siri za kamb hakuna atakae kusaidia watu wanakuchora tu akili yako niyaovyo sana
Kwnn asi ongee ukwel ila hp ingekuwa clouse inamuhoji uyo kenge wenu kuhusu mondi mngeona sawa sio. Mtu ni mpuuz sn
Nishaa wewe ni mbwaaaa
Kuna namna ya kujib interview as proffessional, Konde imekupa jina pia sio lazima uizungumzie vibaya, hamna anayefanikiwa kirahis hii dunia, watu wanasacrifice vitu vingi had wazaz kufikia hayo mafanikio, is not izee
Jina bila pesa ni ujinga na ata jina hajawapa kwa vile hilo jina halikuwa na nyenzo kuu zozote na ndio maana hukuona ata wakipata shows...... kingine hakusaidiwa km ni msaada mmakonde angefata nduguze awasaidie ila hiyo ni biashara ambayo mmakonde kawanyonya watu na sio tu angella aliyesema hivyo ni wote cheed, killy na country
@@fredambrose3118 Pesa, kama utazipata utazipata tu, ukikosa ni mamuz yako kuzikosa pia. Depend ni njia ipi umeamua kuitafuta na kuipata.
@@worldhappiness1181 ndio mmuache muhusika aongee sasa yy ndio anajua alivyonywa, harmonize alisema alinyonywa atuoneshe sasa label yake inavyokwenda maana simply wale watu wote pale kondegang wanakula kupitia brand ya harmo iliyojengwa na WCB na wamshukuru jembe maana ndiye boss pale
Hakuna lebo pale makondeni
Huyu wanamtumia kichwa kibovu unajiaribia
Ukwel lazima usemae kak
Ndiyo maana ya interview unaulizwa unajibu tena unafunguka
Kijinga icho