Katika maisha tunapita ila usisahau kua mungu yupo toka cku yakwanza mm kukujua nakusikia Sauti yako hakika nlivutia xna nkasema hakika mungu katushushia mwanamke mwenye saut tamu xna ila maisha Hua hatukosi changamoto ghafla walizima ndoto zako zote niliomba asubuh jioni kurudi kwako na hatimae mungu katimiza maombi yangu nimeona kazi yako Mapya wimbo mzr unahusu kupambana hakika mungu yupo usikate Tamaa 🙏🙏 kwa uwezo wa morah hta mungu utapona sisi kama mshabiki zako tunakupenda natutakuombea🙏🙏
Angella tabia yako mby sana jmn. Et nmeludia ludia hii nyimbo mpak kibando changu cha jero kimeisha. Umejua kuitendea haki jmn hyo ngoma. Mie nmeiyelewa mpk cjielew❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Anjella is a lady who knows what she wants.I wish one day nifanye kolabo kubwa na wewe.Dada unajua kuimba sana.Big fan baze from +254 ❤.We love you Anjella
Angella piga kazi maana kipaji unacho, usikate tamaa kabisa maana maisha niaya aya tyu, kutoka hatua flan kwenda ingine sio mchezo, acha wakutoe ktk studio zao lakini tunao kujua tutakusupport sana USHAURI piga kazi nguvu kubwa unayo zaidi ya lebo ya mmaaaaaa..............ko..........nde. Simba kukupost sio mchezo ujue, tunakupenda sana piga kazi usiwaze uliko toka.
💯 percent perfect talent. Angela nothing i can write to you, when God says your , Let your talent to make you shine+ be blessed in his eyes 🎉cheers and enjoy your music jouney.
Keep pushing, beautiful, I never knew konde gang terminated the contract, but God will direct you in your music journey. Never give up. your number-one fan from KENYA💗💗💗
Ongera mdogo wangu Anjella. Kuhusu matatizo ya miguu,wewe umelelewa kama mkristo. Nakusihi tafuta jinsi ufike Nigeria kwenye kanisa la marehemu TB Joshua, ama tafuta mtu yeyote aliyetoka huko akiwa na anointing water, amini utapona miguu hiyo. Najuwa wengi wanaweza kusema ni upuhuzi,lakini na animi utapona. Jesus is alive. Ahsante
Wow 🤩 Wow,,,,,ANJELLA baby you killed it. Congrats My Angel 👼😇you won’t believe what God has has on the Table for you…you are a blessing to a lot one day you will testify that🙌🏾🙌🏾🙌🏾👏🏽👏🏽
@@pamellaosewe4842 yah on an interview and ibra confirmed too and beside have heard her say konde gang worldwide like she says in her previous tracks ??????
Katika maisha tunapita ila usisahau kua mungu yupo toka cku yakwanza mm kukujua nakusikia Sauti yako hakika nlivutia xna nkasema hakika mungu katushushia mwanamke mwenye saut tamu xna ila maisha Hua hatukosi changamoto ghafla walizima ndoto zako zote niliomba asubuh jioni kurudi kwako na hatimae mungu katimiza maombi yangu nimeona kazi yako Mapya wimbo mzr unahusu kupambana hakika mungu yupo usikate Tamaa 🙏🙏 kwa uwezo wa morah hta mungu utapona sisi kama mshabiki zako tunakupenda natutakuombea🙏🙏
We demu cjawai kukukubari Ila Leo nitakua shabiki ako naamini Sasa kua unajua kweli kuimbaa🔥🔥🔥🔥🔥
kwangu naona Mungu wa mbiguni kupitia ingoma alisha kuinuwa already. nashukuru Mungu kwa ajili yako. final ilove as you are.
Angella tabia yako mby sana jmn. Et nmeludia ludia hii nyimbo mpak kibando changu cha jero kimeisha. Umejua kuitendea haki jmn hyo ngoma. Mie nmeiyelewa mpk cjielew❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Watu wangu wa gulf kama kawaida let's support this talented super star ❤💯🔥
Angella ndio msanii bora wa kike,tanzania na afrika mashariki,kama unakubaliana na mimi nionyeshe kwa kulike
th-cam.com/video/NhOUwoFPgaA/w-d-xo.html
goooooooood
Acha sifa za kijinga😂😂
👌
Unaota
Tatizo sio nyimbo tatizo ni kulalamika, mimi naongea ukweli, achana na kulalamika yameshapita.Fanya hit song na maisha mapya utatoboa.
Anjella You Kill it
❤❤❤❤
th-cam.com/video/t6-OocFJg44/w-d-xo.html
Sure killed more
th-cam.com/video/akDk6O6Vi3k/w-d-xo.html
Kali sana
This is nice....makofi banaaaaa .....waziiii waziiii on point ☝️👐💞
Hyu mdada ashamaliza🎉❤ mambo yote
Anjella is a lady who knows what she wants.I wish one day nifanye kolabo kubwa na wewe.Dada unajua kuimba sana.Big fan baze from +254 ❤.We love you Anjella
Am from 254 n I love this song. Kazi kuntu Anjella. This song is always singing in my mind all day.. Hongera KM na jeshi lote kwa jumla.
Mungu mfanyie wepes huyu dada.Mashllah
Anjella , umeyapitia mengi, ila Mungu yupo nawe.
Much love from Kenya
Angella piga kazi maana kipaji unacho, usikate tamaa kabisa maana maisha niaya aya tyu, kutoka hatua flan kwenda ingine sio mchezo, acha wakutoe ktk studio zao lakini tunao kujua tutakusupport sana
USHAURI
piga kazi nguvu kubwa unayo zaidi ya lebo ya mmaaaaaa..............ko..........nde.
Simba kukupost sio mchezo ujue, tunakupenda sana piga kazi usiwaze uliko toka.
The natural star🔥🔥
100% Song.
100% Message
00% insults
100% Full HD video
Congratulations Anjella 💯💥💥
😂
True baby girl..
God is blessing you above and exceedingly what you can think or imagine ❤❤❤❤ from 254
Kaza dada angu maisha kuna leo na kesho sahau ya nyuma angalia mbele ❤❤❤❤ god bless you 🥺🥺💪💪💪
Yani kuku pongeza tuh aitoshi wewe ni number one tanzania ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
#Anjella kama Yanga Africa. Daima mbele, nyuma mwiko...Keep it up sis...💪♨️♨️♨️
Congratulations Angela hii nyimbo ina hisia sana na ujumbe mzito kwa harmonize 🎉
Jina lenyewe KONDE GANG, unategemea nn km sio UKATILI tu, pole Anjella, Mungu atakusaidia na hatokuacha.
😢😢😢😢😢this song and video...duh..
Kind of real story...so kajala kumbe do chanzo cha zote😢😢
Kabisa
Video ndio nimeelewa maa ya nyimbo Zima
Nilihisi kumbe kweli
This lady's management should make sure she wins a Grammy one day because iyo ndo ligi yake 💪🏾such an awesome talent 🔥🔥
Waliosema watasimama nami wamevuta kiti wamekaa 🔥🔥
THIS IS NOT JUST A SONG BUT A TRUE LIFE STORY AND TESTIMONY FROM ANJELLA 🔥💯MUCH LOVE FROM KENYA 🇰🇪❤️
Homo wq mchongo
Really
@@Jasminiomary aty huyo harmo fake ni mkenya 😅😅😅😅 aky tunachoma picha
Yeah it's true haya yote aliyapitia kipindi kajala yukona hermonize.... hermonize alitamani amsaidie anjella hila Kajala akamzima
Nyimbo nzuri sanaaa sister tunakupenda snaaa huku Moz🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Hakika ngoma Kali sana mungu asimame na wewe bega kwa bega adi ufikie Malengo Yako🙏🙏🙏
On Behalf of my Family, my Village people, my Ancestors and also my Wicked Landlord, we approve this Song 😂😍💯🔥 Pitia kwangu pia nina kazi mpya
Was Wicked Landlord necessary 😂
Really now😂
@@Mickey-jd2craki😂😂😂😂😂
🤣😂😅
Wicked landlord
Mbona bonge moja chupa! Mungu a ku bless Angela
Anjela nilikujua ukiwa konde geng na nikakwamini naumeonyesha sababu ya Mimi kuamini Sana ,love you Anjela for life
Two voices much talent no hype. One love from 254🇰🇪
Your baritone is something else❤❤❤
Kali sana my sister
Anjela anajua zaidi jamani ❤
Sana
Africans don't need instruments to make music. Their voices are melodic.😍
True. Much Love❤
Hongeraaa mtoto umewka umeua kuna warojua umekwishaa nafikiri wamepata aibu MORA yu nawe mamaanuu❤❤❤❤❤
Courage Ma chere big love from 🇨🇩
Hii ngoma inatamba hadi Kenya 🎉🎉❤❤
Anjellina umeuwa mdogo wangu BIG UP MA SISTER💪
Mambo ni moto sana 🔥🔥🔥
Uyu Dada anakipaji nzuri endelea God Ako nawewe
Angel unaweza my
💯 percent perfect talent. Angela nothing i can write to you, when God says your , Let your talent to make you shine+ be blessed in his eyes 🎉cheers and enjoy your music jouney.
Keep pushing, beautiful, I never knew konde gang terminated the contract, but God will direct you in your music journey. Never give up. your number-one fan from KENYA💗💗💗
Congratulations dada nko2 pamoja na wew
We Kenyans have certified this as a banger...🔥🔥🔥
Wow,😮 congratulations My Sister Anjella Good music 🎵❤ good melody ❤️❤️ i Kama umeupenda huu wimbo kama mimi like👇 hapa
Huyu dada ana kitu kichwani, hongera sana. Keep it up 🙏
Anjella was the 2nd most talented artist in Konde gang, they didn’t realize how lucky they were to have her.
Is she still in konde gan ama
@@lilebro953 alishatoka
He said she was
This song explains how Harmonize is a good guy, but Kajala came to finish him by dismantling the team.
Who else has noticed that?
Exactly
Nakukubali san hasa hii ngoma ya bless hongera Sana Black Angel 💞
The best song,, much love from+254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I can tell she had been through a lot...her voice says it all❤️ Inshallah Allah will bless you.
Congratulations 🎉 Angela Umeanza kupiga hatua nzuri sana pambana mungu yu pamoja nawe
The black angel black queen 👸🏾 love you more blessings big fan hapa USA 🇺🇸 nakupenda keep its up good work ❤❤❤❤❤
Everything is good
Audio good
Video good
Voice amazing
Vocal good love you Queen 👑 Anjela ❤️
anjella tunajivunia wewe ❤❤ tupotayar kudonate money for u.... Fanya mzuki wako wewe ni mkubwa kuliko konde mshamba.. 💥💥💥💪
Congratulations for accepting to walk your own journey without limits from anyone,keep pushing dear❤❤
This singing carry a great message about her lifetime hardships 😢
Kumbee kajala ndoo zilikua zakeee izooo
U’r the best African icon 🔥🔥🔥✊. Keep push God will bless u regardless of difficulties u’r facing madam👏
Nice song, Nice message..... I watched it 6 times my eyes full of tears. May God bless you and Konde Boy to the world
Hii Ngoma Iko 🔥🔥 congratulations Anjera Mungu Yuko pa1 na ww
The best song so far by a female artist this year in Tanzania. Fantastic song. Angela you can sing. Keep it up
Go, Go Anjella, our queen 👑 you deserve every little good thing here on earth, thank you for blessing us with such a sweet and inspiring song 💗
th-cam.com/video/QPYKmdFCPh4/w-d-xo.html
Kwa hiyo boss alieekeza Sana Kwa mapenzi kuliko wasanii wake
Yes bila Shaka, hapo alifeli
Ongera mdogo wangu Anjella. Kuhusu matatizo ya miguu,wewe umelelewa kama mkristo. Nakusihi tafuta jinsi ufike Nigeria kwenye kanisa la marehemu TB Joshua, ama tafuta mtu yeyote aliyetoka huko akiwa na anointing water, amini utapona miguu hiyo. Najuwa wengi wanaweza kusema ni upuhuzi,lakini na animi utapona. Jesus is alive. Ahsante
Félicitations ma soeur t'as bien chanté vraiment, tunawapenda kutoka KINSHASA DRC❤❤❤
Unajua mamilooo anjelllah tanzania na Africa inakupenda haupo peke yako❤❤🔥
th-cam.com/video/QPYKmdFCPh4/w-d-xo.html
Wow 🤩 Wow,,,,,ANJELLA baby you killed it.
Congrats My Angel 👼😇you won’t believe what God has has on the Table for you…you are a blessing to a lot one day you will testify that🙌🏾🙌🏾🙌🏾👏🏽👏🏽
The girl is at different level. Hongera sana naamini utafika mbali sana
You can do it 🎉🎉🎉🎉🎉 I’m so proud of you angella don’t give up mama you can do it 🫶🏿💞💞💞💞🥰 we love you 🇺🇸
Kenya 🇰🇪 we support you
🙌🇹🇿 bonge la wimbo sister unajua
I wish anjella could join konde gang again...this is pure talent
She left too early
But if u follow the storyline you will find that angella was suffering
The story explains everything
Mapenzi yalimfanya atoke shameji alikuwa anazingua😂
@@widebrainclassicexactly
Love from burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 lakini mupatie eshima zake harmonize🙏🙏🙏🙏
th-cam.com/video/QPYKmdFCPh4/w-d-xo.html
Harmonize was feki
Heshima Gani Sasa ? 😂😂😂
Unataka heshima gani? Mbona kumshukuru sana kwa kumfanya awe hapo alipo!
Hii nyimbo
Ndo nimeiyon Leo
Yaan inasisimua
Dada unajua sanaaaa
Blessing
This song is a big tune love from kenya the production the quality vocals everything is on point 🔥🔥🔥🇰🇪
Nyimbo nzuri inaenda yenyewe haihitaji nguvu yeyote 🔥🔥
Nimeona alichokuwa akipitia konde gang lile ni genge kweli
THIS LADY IS TALENTED 🥺🔥🔥🔥🔥
Much love from Nairobi❤ Tunakutambua Sister
Anjela keep going usichoke,..utafika mahali unapoelekea tu,..A talented girl 💪💪
Memuona harmonize feki weka like yako apo kama umemuona
Na kajala 😂
Na masaja
th-cam.com/video/QPYKmdFCPh4/w-d-xo.html
😂😂😂😂😂
😄😄😄
You deserve all the accolades. Your voice is out of this world🔥🔥. Love from Cameroon 🇨🇲 🇨🇲
❤❤❤❤❤❤❤
Mungu akusaidie sana my dada
Oyaaa huyu sister hatari kweli God bless you ❤❤❤
I heard u were dropped from kondegang
Keep going if you were to be a star you will still with or without harmonize..
Nice song ❤
Did she confirm what you heard?
@@pamellaosewe4842 yah on an interview and ibra confirmed too and beside have heard her say konde gang worldwide like she says in her previous tracks ??????
This song has a deeper meaning ❤❤❤❤❤
nakupenda sana anjela nantakuchangia kwauwezowangu kam utaomba msaada pambana mungu we2sote❤
Love the tone variation.
Love the beats.
Love the video.
Love everything in the song!
😊
Congratulations girl God bless you .. much love from kenya 🇰🇪
Harmonize feki na kajala feki
Mungu alisema malipo n hapa hapa...harmoniz Alimfanyia diamond .... Leo kafanyiwa yeye
Kenyans 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 love & support Anjella
Much lov our cute Queen😘😘😘😘❤❤❤, honger kw kaz nzur👏👏👏
Kutoka DALLAS TEXAS KUELEKEA EAST AFRICA TANZANIA Mungu akubariki🙏🙏🙏dada umeimba kwa hisia sana
Anjella Never disappoint much love from Kenya Nairobi #Gistoff
047 ndani pya Mimi nko hapo
Dada pambania kombe uingie wasafi unakitu kikubwa san
Anjella, you sing well in this song and not only singing well but also you made a good content. Congratulations.
namkubali sana uyu dada 💪💪,Mungu akujalie sana Anjella
The way she changes his voice is a vibe..❤❤❤
Her *
Kwani tz Kuna njoroge?
English is bleeding
@@katatatv2410😂😂😂😂😂his voice😂
You can tell she's getting real comfortable with it 🔥🔥🔥🔥 let's get it queen 👑👑👑👑❤❤
th-cam.com/video/QPYKmdFCPh4/w-d-xo.html
This is disrespectful
Good song
bonge moja la ngoma...hongera sana Angela
Everything is good
Audio good
Video good
Voice amazing
🥰
😂😂😂🔥🔥🔥hormonize fek na kajala feki nimemuona hapo😂😂🔥🔥🔥🔥