Hongera your Highness, Madam President Dr Samia for receiving such a "Grand Receiption", in Indonesia. Mambo haya ndio yanawachomaga sanaaaa.. "Wapinzani". Nilifurahi Sana kuona Dege letu likitua Indonesia. I felt so proud. Congratulations our "Great President." Mimi nishakupigia kura ya ✓na bado kuapishwa tu.
Akika tunamuombea mama yetu mungu amulinde na Kila aina yoyote ya mabaya mungu ibaliki Africa,mungu ibaliki Tanzania 🇹🇿 Asante na woch nikiwa Nairobi🇰🇪But my home is Tanzania, 🇹🇿 Bukoba mkoa wa Kagera,Mugana kiziba ,Bwanjai virage.
Heshima amepewa hilo gari ni na aina ya m benz G wagon kaki sana...lakini alipo shuka hakusalimia wengine.wueh hilipwe mshahara na african presidents niwapee mawaitha pesa ziko africa....hongera Tz president🎉🎉🎉.
Huu uandishi wenu uchwara,unakuja na kichwa cha habari chako cha kipuuzi. Ulitaka Rais aingie kwa baiskeli ya miti au bajaji? Mkue na kukomaa akili zenu.
Roho. Za kishetani hizo ! Kuna siku utajiua wewe ! Kama hujajaza luku tutajuaje ? Uzembe wako unatutangazia sisi ! Maisha yako duni hayatuhusu , si ukaolewe?
Angekua mama yako ungesema maneno hayo? au kwakua sio wako na hii ujifunze ndio maana ya wivu WA kijinga yaana mafanikio anayopata asie kuhusu unatamani yaondoke kifupi ndio tunaita roho za kwanini?
😂Kwa wale limbukeni,washamba.na mbumbu hapo rais hajapewa heshima kama samia.Kinachopewa hiyo heshima ni Taifa.Hata mngepeleka kichaa,Tahira wao wangeangalia Taifa atokalo.Ndiyo maana wale askari wamebeba bendera ya.nchi. Mpo machawa?
Chuki zako zitakukondesha broo, huyu mama anaheshimika huko nje kuliko ww unavyodhania, ww endelea kumchukia tu ila untill 2030 tukonae mjengoni, never stop her ,
Niulizie hii inamsaidia nini Mtanzania au wale waliopotea maisha yao kwenye nyumba liloanguka kariako hivi karibuni kwasababu hatuna vifaa vya kileo vya kuokolea au inamsaidia nini yule mtoto anaesoma chino ya miti na ubao wake ni Ardhi ya udongo mwekundu au wale vijana waliomaliza vyuo na hawana ajira ?
Huyo ndieRais Samia Suluhu Hassan.Allah mama akuweke akuhifadhi na kila adui...amiin
Hongera your Highness, Madam President Dr Samia for receiving such a "Grand Receiption", in Indonesia. Mambo haya ndio yanawachomaga sanaaaa.. "Wapinzani". Nilifurahi Sana kuona Dege letu likitua Indonesia. I felt so proud. Congratulations our "Great President." Mimi nishakupigia kura ya ✓na bado kuapishwa tu.
God bless our country and our president
Ubarikiwe hiyo nchi imemuheshimu raisi wetu
nmewapenda bure waindonesia kwa ukarimu n heshima yenu
Hongera
Sisi Huku Tanzania kuna baadh ya watu wanamuona hana maana lkn huko Duniani anathaminiw sana. Big Up sana Madam Presidaa tunakupenda sna
hilo sio gari la kifahari na marais wote hupewa ulinzi mkali an adc wao kwa nyuma🤣🤣🤣🤣🤣
That was colorful ❤
Asante mama yenu kazi iendelee
Njoo bongo migari mingi mpaka kero😂
😂😂😂
Akika tunamuombea mama yetu mungu amulinde na Kila aina yoyote ya mabaya mungu ibaliki Africa,mungu ibaliki Tanzania 🇹🇿 Asante na woch nikiwa Nairobi🇰🇪But my home is Tanzania, 🇹🇿 Bukoba mkoa wa Kagera,Mugana kiziba ,Bwanjai virage.
Heshima amepewa hilo gari ni na aina ya m benz G wagon kaki sana...lakini alipo shuka hakusalimia wengine.wueh hilipwe mshahara na african presidents niwapee mawaitha pesa ziko africa....hongera Tz president🎉🎉🎉.
Safiii sana Raisi kwa.kueshimiwa ugaibun
SAMIA SULUHU RAIS WA JAMHRI YA TANZANIA 😂😂❤❤❤
Best
Wow!
Nikitugani umekiamaki katika huu msafara na kinatakiwa serikali yetu kujifunza hapa msafara wa rais ni gali moja 1tu ivo mjifunze kubana matumizi
Ulinzii jeee kwa hiyo america wanapoteza pesa hujui protocol mzeee
Hiyo ndo gari ya heshima sio hizo Toyota za mjapani
😳😳🚴🚴🚴
Alienda kula bata Indonesia, huyu mama anajua kusafiri? Good luck
Siyo mbuzi hao. Ni swala
Mnazurura hovyo watu wanateseka huku umeme shida
Na wewe nenda kazurureee kama rahisiii
🤣🤣🤣🤣🤣
Huna akiri wewe ulitaka afanyej
Nimeamaki madhali Yao , swala , ukalimu na utamaduni wao unaakisiwa kwa wTu maalumu
Wanaukalimu, na madhali yao yañaakisi pia
Waache waumie
Mama yetu MUNGU AKUBARIK NA AKUWEKE Sisi tupo tunakupambania lazima 2025 urudi kwa KITI CHAKO Ili uwatumikie watanzani CCM NGUVU MOJA..KAZI IENDELEE
Tanzania Giza,Giza,Giza.Tunashindwa hats kwenda kusaga mahindi
Wataka sima my friend
😂😂😂😂😂😂😂
tazama msafara wa raisi ni gali moja tu sio kama tanzania magali zaidi ya 25•9/0/yange ongoza msafara huo kodi ya wana inchi bira kujali uchumi wao
Acha ushamba hpo ni ndani ya ikulu ndomana 😂😂😂
Huu uandishi wenu uchwara,unakuja na kichwa cha habari chako cha kipuuzi. Ulitaka Rais aingie kwa baiskeli ya miti au bajaji? Mkue na kukomaa akili zenu.
Imebakia nchi chache tu amalixe Dunia
Umenichekesha best nikwer
Kwa iyo huo ulinzi mkali unatuhusu nini sisi ,umeme hakuna tangu juzi mishe haziendi yeye kuzulula tu ,asa raisi gani uyu.
Roho. Za kishetani hizo ! Kuna siku utajiua wewe ! Kama hujajaza luku tutajuaje ? Uzembe wako unatutangazia sisi ! Maisha yako duni hayatuhusu , si ukaolewe?
@@MohammedAwadh-gq9siAcha uchawa zuzu, hamna la maana hapo, ana dhurura sana na impacts hamna, fara mmoja unasapot ujinga
Angekua mama yako ungesema maneno hayo? au kwakua sio wako na hii ujifunze ndio maana ya wivu WA kijinga yaana mafanikio anayopata asie kuhusu unatamani yaondoke kifupi ndio tunaita roho za kwanini?
Tatizo Amna akili , huioni Solae ama !? Kua mbunifu acha kulalamika Kaa chizi
Kwani ulizaliwa na umeme
Magufur halikua hanatembelea gelezani kuona changamoto zao hasa mama anaweza tiamguu
😂Kwa wale limbukeni,washamba.na mbumbu hapo rais hajapewa heshima kama samia.Kinachopewa hiyo heshima ni Taifa.Hata mngepeleka kichaa,Tahira wao wangeangalia Taifa atokalo.Ndiyo maana wale askari wamebeba bendera ya.nchi. Mpo machawa?
Chuki itakuteketeza wewe kwani hujui Taifa hupewa heshima zaidi haswa Kiongozi akiwa ni bora sana wa wakati huo?.
Chuki zako zitakukondesha broo, huyu mama anaheshimika huko nje kuliko ww unavyodhania, ww endelea kumchukia tu ila untill 2030 tukonae mjengoni, never stop her ,
@@SuleimanMasoud-sr2vb huyo udini utakuwa ndio unaemtesa
Mbona rais hatuliii kimempeleka nini huko?
Nenda ww km umeona hatuliiii
Niulizie hii inamsaidia nini Mtanzania au wale waliopotea maisha yao kwenye nyumba liloanguka kariako hivi karibuni kwasababu hatuna vifaa vya kileo vya kuokolea au inamsaidia nini yule mtoto anaesoma chino ya miti na ubao wake ni Ardhi ya udongo mwekundu au wale vijana waliomaliza vyuo na hawana ajira ?
Ikulu za wenzetu zimeendelea,hadi wanafuga mbuzi wageni wa rais wanachinjiwa tu
Itu bukan kambing...itu rusa yang di lindungi..
Ufisadi
Unaonaje mngesoma hata moja kwenye kaukoo kenu? Tatizo ni elimu tu na kipaji !
@@MohammedAwadh-gq9si wewe ni mbwaaaaaa, kama makuma wengine
Kama huna bahati huna tu urabaki ufisadi tu kumbe mwenzetu unagundu
@@THEQUILLSTORY kumaaaaaaaaa
😂😂😂😂😂@@MohammedAwadh-gq9si