Timu inapambana wakt kuna forward butu. Mpira unachezwa nyuma lkn mbele wanapkwenda hakuna muunganiko na hakuna mmaliziaji zaid ya kubutua nje. Huo ndo ukweli na uwazi. Ile simba iliyokuwa inakushambulia kwa hasira zote na lazima wakufunge goli kuanzia 2 za mapema haipo. Mbele kuna WARUKA RUKA KINA ATEBA.
Wewe ndo wale wanoumia na mafanikio ya mnyama,kwani kinachotakiwa ni kucheza vizuri au kupata point? Wanaocheza vizuri wako wp? Cheza kwa mbinu zote,cheza kwa kupaka rangi,cheza kwa kubutua lakini mwisho kinachoaangaliwa ni Nani kashinda? Hapa tunafurahia.
Mimi Game ya juzi nataka kumtaka Mwalim Fadru Davic Kwa Sub ambazo siyo za lazima, Kiukweli zile Subu zilituumiza saaana wengi mungu Ibariki Simba... Simba nguvu Moja.
Mi niliandaa picha ili nipost na wimbo wa jay melody ule wa yu wapi nahodha yu wapi nahodhaaa chombo kinazama nikaskia watu wanalalamika sebleni kwamba huyo refa apigwe apigwe kumbe Simba kafunga bhana nikachungulia kidogo nikajua goli limekataliwa ninaliliona kumbe ndo la ushindi wanataka refa apigwe 😂😂😂😂😂
Semaajiiiiiiiiiiiiii 'Greatly
Nakubar semaj❤❤❤❤❤
Asante sana semaji letu Mungu ni mwema Simba itafika mbali
😂😂😂😂😂
Ila Semaji anamaneno ambayo yanaendana na ukweli, kweli walishajiandaa na caption
Nilichokiona waandishi wanaenjoy kumuhoji srmaji Ahmedy Ally😂😂😂
Simba nguvu moja
Mungu ni mwema love you simba
❤❤❤❤❤ simba damdam unyama mwingiiiiiiiiii
Fact brooo🎉🎉🎉❤❤❤
❤❤❤❤❤ simbaaaaaa
Haiishi mpaka iishe Simba NGUVU moja.Hongera Sana wachezaji wetu.
Facts Facts 👌
Kweli kabisa kaka
4:35 ❤❤❤❤
😂😂😂😂 Kibu ana kanisa😂😂
Safi semaji
m ni shabiki wa yanga kuna baadh mda msenaj unaongh mambo ya msing san
❤❤🎉🎉❤🎉❤❤🎉🎉🎉
Umetisha kk
Ahs ssc thanks kibu danger
Ad raha kumsikiliza SEMAJI
Ila vioongozi,nazani mnanielewa,tafuteni wachezaji wanaoendana na clabu ya simba. Msemaji anajua mpira, anajua wachezaji wazuri.
Semajii la bolee
Wachezaji hao hao kama IMAMU wa MSIKITI habadiliki. 😂😂😂😂 Semaji la dunia
🎉
They will never tired😅
Semaji le2
Kweli kabisaaaa
😂😂😂😂😂😂😂😂 na kuku bali Ahmed ally semaji la caf
mshambuliaji hafungi adi aombewe 😅😅😅😅😅😅
poleni sanaaaaa
Sawasaw msemaji wetu unasema ukweli
Wale ni mashabiki wa yanga walivaa jezi za Simba 😢😢
Mwamba namkubali sana uko vinzuri
Sw msemaji tumekuelea
Ubaya ubwela
Walio fanya hivyo sio mashabiki wa Simba..
Ww bwege
Shabiki wa kweli hawezi kufanya hivyo.. umeshashinda fujo ya nini ?
Apana , sorry , bwege ni hao waliovunja viti..
sema kwa kugawa utamuu uyuu jamaa kauwaaa
😂
Angalieni maiti isimng'ang'nie mwishaji
Sema usiogope
Taifa Kubwa
Vita ni vita mura
4:35
Ahmed bwana eti nyuma mwiko
We fala SI ulikuwa unasema shirikisho mashindano ya watoto mbona mumeyavalia njuga usitukane mamba fala wewe
Huna baya msemaji
😂😂😂
Kamera za Azam zitatoa ushahidi ,
Nunua kamera tafadhali
Mpanzu vip anacheza kesho
Anacheza
Timu inapambana wakt kuna forward butu. Mpira unachezwa nyuma lkn mbele wanapkwenda hakuna muunganiko na hakuna mmaliziaji zaid ya kubutua nje. Huo ndo ukweli na uwazi. Ile simba iliyokuwa inakushambulia kwa hasira zote na lazima wakufunge goli kuanzia 2 za mapema haipo. Mbele kuna WARUKA RUKA KINA ATEBA.
Wewe ndo wale wanoumia na mafanikio ya mnyama,kwani kinachotakiwa ni kucheza vizuri au kupata point? Wanaocheza vizuri wako wp? Cheza kwa mbinu zote,cheza kwa kupaka rangi,cheza kwa kubutua lakini mwisho kinachoaangaliwa ni Nani kashinda? Hapa tunafurahia.
UBAYA UBWELA😂😂😂😂😂
😂😂😂🎉
Mimi Game ya juzi nataka kumtaka Mwalim Fadru Davic Kwa Sub ambazo siyo za lazima,
Kiukweli zile Subu zilituumiza saaana wengi mungu Ibariki Simba... Simba nguvu Moja.
🤪🤪🤪🤪🤪
Simba ya sasa inaitwa utatoa hutoi?😂 yaani unasakwa mpaka unatoa waulize waarabu
😂😂😂😂😂😂😂nimeipenda hii😊😊😊
Mi niliandaa picha ili nipost na wimbo wa jay melody ule wa yu wapi nahodha yu wapi nahodhaaa chombo kinazama nikaskia watu wanalalamika sebleni kwamba huyo refa apigwe apigwe kumbe Simba kafunga bhana nikachungulia kidogo nikajua goli limekataliwa ninaliliona kumbe ndo la ushindi wanataka refa apigwe 😂😂😂😂😂
Hili huwa haliongeagi point siku zote kama linataka ucomedian siliende kuigiza
inakuuma chomoa ubaya ubwela
Wewe roho mbaya itakufanya uwe mchawi
Pole usilie vumilia
Hawashindwi kingoa viti haliyakua wamewahi kuwasha moto katika nchi ya watu majuha
Nchi ya watu majuha Iko wapi?😂😂😂😂uto mna umia
Hamna akili yanga wote.
Yani nyi vyura mnaumia na matokeo ya Simba badala ya kufuatilia timu yenu daaah 🐸🐸🐸🐸😂😂😂😂😂
Nyie lipeni pesa acha mdomo
Lipa ww
Nyie mkamlipe Okrah na timu yake, mnatia aibu. achaneni na Simba.
Ngoja tuachane na wagawa utamu😂😂
kwanza nyie wahuni wa yanga mnaevaa jezi zetu kina mchome nadhani ndo mnatuharibia.