ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Dah huyu mschana mwenye tatoo mzuri kweli napenda movie zake kweli yan 😍
😀😀😀Nawapendajeee rayuu na na Bi mwasiti mko vizuri❤️☑️
Nimewapenda saana ,msichoke kutuandalia mazur zaid ,tufurah tuongee umri
Asanteni kwa muendeleze, movie nzuri, hicho kipande cha ndundi kimenichekesha 😂😂😂
Nimependa mshtuo wa daktari
Babu wee pumu wee kapumuliye huko 😂😂😂😂 panya wakijani😂😂watakufa shangaz zako 💕💕💕💕
Amenimaliza
Hahaha aky ameua nimecheka ajabu me naicheki nikiwa Kenya nafurahia sana
Tunaoangalia hii movies SAS hivi gonga like tujuwane hapa
Tupo palus naendelea hapa mwanzo nilikuwa bize kidogo. Yani damu nzito kawaendea
Watakoma alivyowaendea na panga nilijuwa wataogopa kwel damu nzito 🤔
Wanywea kama priton
Kamwambia jieshim na wew samtime
Utasikia mtu hivyo hivyo nishavaa taiti
Movie nzuri sana nawapenda wote jamani....tunataka movie km hizi love you guy's
Uyo emed twampeda anatubaba
Kweli mama ni mama hata afanye madudu gani Hongera bro kwa kumlinda mama
mama ni mama hata kama mwehu ila mtoto usi mzalau mama ona leo mwanae amechukia kudharauliwa kwa mama yake
😂😂😂kweli kabisa
wallah dear
🤣🤣 nakwambia kuzaa kuna raha yake
Kweli kabsaa amenifurahisha sana ameonyesha ukomavu
Rayuu na shog ake mko.viziri sna😍😍😍😍😂😂 eti kijuui
Très bon film
Sitembei na maajuzaa😂😂😂😂😂😂👍
Duma nakukubali sana brother 🇫🇷
Kama vile nimemuona mume wa Jike Shupa jmn 😂😂😂 au macho yang
Duh MI nilikuwa najiuliza huyu jamaa mbona nimemfananisha kumbe kweli 😂😂😂
@@ummsalyass1096 Hahaha
Jaman mineno ya hemedi hatariii eti nna mipopo huku na huku na wanamashine ndeefuu hizoooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aki nimeirudia sana move Tamu sana sijawai ona 🤣🤣🤣🤣🤣 duma
Nawapenda hao wamama Hidaya Njaid na mwenzie wanadeserve hiyo part hawajawahi kosea
Kabisaaa 👌👌
Mbavu zangu mm jamani 😂😂😂😂kumbe maana yakiju nikijuso😉😉😉duhhh
Jamani nimecheka eti mwasiti anamwambia hemedi umenipotezea mda halafu unaniambia hunitaki
😁😁😁😁huruma lkn kumpotezea mda mwenzake
@@marymamntine1909 na uzee ule atoke zake uko
😄😄😄
Waa!eti mbele hakuchez nyuma hakutingishki
Huyu mama Patrick Kanumba huwa nampenda ❤❤
Wamemshika simba makalio lazima watafunwe🤣🤣🤣
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣 huyo dokit anavituko jamani
Mwasiti eeee ,una mdomo mrefu Kama pochi ya kichina iliyokosa hela!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😅😅😅😅
Jamani walh vile move tamu
Duma yuko vizuri kuliko gabo
Big up guys nice movie i like it 😍😉🥳😘😂
Mama ni mama kwakweli
Kazi nzur nduguzangu mlio shiliki
🤣🤣🤣Eti mi mtu akinikalia sawa naruka nae kimasai kwan mi nmezaa dunia hapa Mwasiti ana nini huyu lakn mama🤣🤣🤣🤣🙌🙌
Wa kwanzaa
😃😃😃hemed kwenye kuchukua majibu😂😂😂
Hemedy jamaa yangu kwenye hii movie umefery sjaona manjonjo yako,
Mdomo ka pochi ya kichina iloisha hela😂🤣🤣🤣
Mie mwenzenu nampenda Duma
Mwasiti anadomo atari 😄😄😄😄😂😂😂😂Naceka adi naumia mbavu
wa kwanza
Kwani mnawaza nn amamumeathirika kwa malaya
Hahahahahahah. Mtu akinikalia sawa. Naruka nae kamasai😂🤣😂🤣😂
🤣🤣🤣🤣🤣👍
Hahahahaaaaaa
Nimecheka yngu yote 😂😂🤣ucmthimbe mrembo kachimbe shangazi zko
Kamati ya ugomvi 😅😅😅😅😅
Genius hiyo Kwiyo Huyo Shabani Mwenyewe anamjua Mama Yake na Amemzoea.Kibaya Chako Babuuu na Mama ni Mama tuuu hakuna Kama Yeye.
Umeona baya baya lako zuri la mwenzio💕💕
@@alexiamruu7581 ndo hivyo
Wabongo wanajua kuact,sana movie imependeza.
Dokta popote ulipo mungu akusamei🤣🤣🤣et cmmepima cndio
Ahahahahahahha hemedy unatak kukimbia majib jmn
Hongera movie mzuri sana
Hidaya njaidi umu ndani umeuwa mama
Aliye sikiy a hemed km atarogwa gonga like😂
Nimejikuta nacheka mpaka nimelala
Hemedy kwenye move hii umetisha dem mkali hatali
Bonge la party 2Kalii
😂😂 Nacheka wallah movie tamu
Safi sana mmewez wchzaji
Kwenda kupima damu kwaogopewa Ata kama mtu bikra lazima kuogopa 😂
Ata sijui kwann alaf inakuwa
Jamani jafari uuuyi Mimi siwesi mwambia niaibu sana
Naipenda sana hii movie uko namafunzo sana
Mama kasema mtu akimkalia poa yuaruka nae kimasai 🤣🤣🤣🤣🤣Hana adabu huyo mama kabsa
Nlkua naisubiria kwa hamu, Mashaallah nzuri
Hemedi umenichekesha,,, aty zawadi yako chkua upige nayo picha🤣🤣
Wembamba tuna taabu jmn... Kufananishwa na kila kiumbe
hahaha kwl jmn
😂😂😂😂mara miguu kama fito za genge,mara kama minyoo,yaani tafrani
Mtu akinikalia sawa naruka nae kimasai😀😃😃
Kipara. Nazani unanifahamu sinaga tabia za umbea umbea. Naijuwa hiyo😂
😆😆😆😆😆😆Mbele akuchezi wala nyuma akutingishiki mama weeee 😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Maajuza wamepewa yao😂😂 uso umewashuka
Wow Kazi nzuri sana
Mtu mzima ovyooooo,, alafu mama jieshim
Mwasiti mama lao 😂😂😂😂nimecheka sana
Baby mwanasiti mbona wamuonea kakangu asilete uchuro atakufa shangazile he he hee mutaacha hizo mashangingj
Shabani yuampenda na kumjali mamake, lakini mama nae kakosa Ata aibu Sana, yaani acha tu yuamkosea mwanae
🤣🤣🤣🤣🤣panya wa kijani
Hemedy uyo mama atakuroga kweli ujue 😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
uyu mama noma 😃😃😃
haaahaaaa mama shabani anataka kumuendea jafar ngende
Nice moved jmn
Huyu dokita angemaliz kunipa majib na kumchinja kbs😂😂😂
Kafanye kazi shabani umlee mama
Nimecheka tunaenda kupima tutaenda bichi, ndo tutafuata majibu
Mupo vizuri
Mwas nae anaongea kumbe...micharuko lkn wana akili wanaogopa maradhi
DOCTOR UTAUWA WATU NA PRESHA HAHAHAAAHAHAHAHA
Duma Ana hasira mbaya na hiko kigugumizi ndiyo baraa kabisa yani
Mungeleta muendelezo part 3 na 4 nikaona hao ma sharobaro walivyo rogwa na kuchizika 🤣 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Iko safi
😂 😂 😂 😂 😂 Nimecheka mbaka nimelia mwenyewe 😂 😂
Nice movie jaman
Duh hiii noma kweli
Kkkkkkkkk moves nimeipenda sana
Me mtoto wangu ww wale sio wtoto wngu umetisha
Good movie
Ila watanzania hawajui ku act jmn khaaa acha tu nisiwe mzalendo vitu havipo real...yaan wanaongea km wanasoma km huyu mudy khaaa hajui kitu jmn
Tupeyako tuwone
@@aminatatu5692 embu mwambie atuletee yake tuiyone
wa mama wa hivi wapo wengi tu mtaani eti wananionea wivu sababu mm mzuri 🤣🤣🤣
Wahuni siyo watu wazuri jamani 🤣🤣🤣🤣 watu wamekimbia jiji
Mbere ya pangatena😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwanini Daktari huyo aliwapa matokeo ya vipimo vyao kwa namna hiyo?
Mbele akuchezi wala nyuma akutingishiki😅😅 wana maneno hawa wamama..
😂😂😂😂😂😂👍jmn huhuhuhuhuhu nimecheka kisenge
Shkran kwa mafunzo mazuri
Hii movie inavituko sana hahaha ninacheka mm
Hongeren kwa mafundisho mazur
Ila doctor ana mambo ya ajabuu🤣🤣🤣🤣
nina popo hapa na hapa hahahahahahahaha phd hatar naondoka kama ifuatavyo nmecheka kifala
Kumbe dunian kuna panya za kijani😃😃😃
😂😂dactar hii aina yako ya utoaji majibu sjaipenda ndo nn kushtuana hivi😂😂

Bonge la party 2
Kalii